VIDEO | TUNAPEWAGA NA MUNGU - YOHANA ANTONY (Official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 263

  • @shamimwabuke5379
    @shamimwabuke5379 2 ปีที่แล้ว +2

    God bless this young boy
    Kama unampenda Yohana gonga like please 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @huimamilambochoir2453
      @huimamilambochoir2453 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/PHphQJ15o-0/w-d-xo.html

    • @edwinmutonyi7537
      @edwinmutonyi7537 2 ปีที่แล้ว

      God bless you kaka ni mungu tu from Kenya karibu sana Kenya yohana

  • @titusmumo54
    @titusmumo54 2 ปีที่แล้ว +1

    Pendeza Sana huduma isonge yohana , Kenya n yohan Tu sasa

  • @joelkahindo5513
    @joelkahindo5513 2 ปีที่แล้ว +1

    Vraiment yohana tuna kupenda sana kutoka mu République démocratique du Congo ubarikiwe na mungu hasahawake wake .

  • @vailethkidady7322
    @vailethkidady7322 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli sisi wana wa Mungu kila kitu chetu tunapewa na Mungu

  • @PaulineNjiru-no6kx
    @PaulineNjiru-no6kx 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera yohana nyimbo zako zapendeza hata watoto wakenya twajivunia na wewe barikiwa Sana.

    • @EsterFrasinsi-g7q
      @EsterFrasinsi-g7q 3 หลายเดือนก่อน

      Hongera Sana yohana nyimbo Zak ni nzuri San mungu akubariki

  • @perpetuambizo1518
    @perpetuambizo1518 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi mkubwa wewe

  • @Lillian-sz4yr
    @Lillian-sz4yr 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali mdogo wangu mungu akulinde

  • @iannjoroge2037
    @iannjoroge2037 2 ปีที่แล้ว +8

    Hogera yohana mungu akuwezeshe katika Huduma yako kenya tuko na wewe kwa hali zote tunakupenda sana from kenya

    • @noyanakyildiz1092
      @noyanakyildiz1092 ปีที่แล้ว

      Honorary you analysis nape ndas nyimbo xakoo sana

  • @yasintareva996
    @yasintareva996 ปีที่แล้ว

    Nikisikia nyimbo zako nafarijika Sana 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Sana , mwenyez Mungu akuongoze siku zote🙏🙏🙏🙏

  • @nancynyachama5058
    @nancynyachama5058 2 ปีที่แล้ว +5

    Wow amen amen God bless you napenda nyimbo zako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu abewe sifa kwa mtumishi wetu YOHANA ANTONY tunalindwa na malaika wa mbinguni mungu akuangasia usiku na chana kwa wokovu wako.

    • @Agnes-gm7nd
      @Agnes-gm7nd 3 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi yohana antony bwana asifiwe show me how to shoot when you are singing song

  • @julietsambu5583
    @julietsambu5583 2 ปีที่แล้ว +2

    Unapendwa bure kwa kibali ulicho nacho kutoka kwa mungu#kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @valleryprecious1493
    @valleryprecious1493 2 ปีที่แล้ว +4

    Nazipenda nyimbo zako sana ,yanibari kweli lots of love from Kenya yohana

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa mungu YOHANA ANTONY tia bidii mungu wetu anawesa na akupe nguvu pamoja baba mzazi.

  • @saa9137
    @saa9137 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen, from Kenya

  • @everlynemoraa9423
    @everlynemoraa9423 2 ปีที่แล้ว

    Kweli baraka tunabewanga na mungu mwenyewe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏much love from kenya baba

  • @jamesmailu1626
    @jamesmailu1626 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana am James from Kenya

  • @obedeobed4236
    @obedeobed4236 2 ปีที่แล้ว

    Amina hongereni Yohana mungu akuwezeshe katika huduma Yako kenya mungu akubarki kwa hizo nyimbo zawakovu

  • @vannygaltz
    @vannygaltz 2 ปีที่แล้ว +16

    Moja kalii🔥🔥🔥nakukubali dogo❤Big up and lots of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @razigirazigi5437
      @razigirazigi5437 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu hakupe guvu

    • @rahabmwita2164
      @rahabmwita2164 2 ปีที่แล้ว +1

      Good luck to your goal and continue praising God lot love from Kenya I like it

    • @rahabmwita2164
      @rahabmwita2164 2 ปีที่แล้ว

      God bless you uzidi kuwa nyota

    • @mapendoitaji1308
      @mapendoitaji1308 2 ปีที่แล้ว

      Hi

    • @fortunatamrema8612
      @fortunatamrema8612 2 ปีที่แล้ว

      Keep it on .God will be with you gay. Be blessed

  • @Francee-Michael
    @Francee-Michael 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed Yohanna ni nani producer wako coz mziki wako unanisisimua kabisaaa

  • @vickykipngok6920
    @vickykipngok6920 2 ปีที่แล้ว +8

    Amen,baraka inatoka kwa Mungu 🇰🇪 ,ubarikiwe Yohana

  • @elizabethnapeyok6703
    @elizabethnapeyok6703 2 ปีที่แล้ว +1

    Hogera yohana kwa kutubariki n nyimbo mzuri much love from Kenya

  • @elishaotieno8007
    @elishaotieno8007 2 ปีที่แล้ว +1

    hapa Kenya Elisha Amadi Mungu akubariki sana brooooo

  • @zionfahariofficial2057
    @zionfahariofficial2057 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa Utawazwe Daimaa🙏🙏🙏

  • @sarafinachesiro4101
    @sarafinachesiro4101 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen God bless you and protect you for ever

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hakupe miaka mingi na Saudi nzuri, Napenda nyimbo Sako Sana.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙏🙏❤️

  • @marykilonzo2882
    @marykilonzo2882 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥dogo keep it burning from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rosebabala195
    @rosebabala195 2 ปีที่แล้ว +5

    Amina mubarikiwe 🙏🏽🙏🏽 sana na Mungu kwa wimbo huu 🙏🏽

  • @christinemayende7435
    @christinemayende7435 2 ปีที่แล้ว +3

    It's true ninakupenda sana pamoja na nyimbo zako ni mahubiri kabisa Christine mayende from Kenya i love

  • @perischari3630
    @perischari3630 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa vipawa na huduma Mungu ndo hupeana mwenyewe. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Yohana

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi yohana Antony nyimbo zako ni nzuri zinanibariki mungu akuwezeshe kwa kila jambo maana tunalindwa na mungu ubarikiwe sana.

  • @consolatamatias5046
    @consolatamatias5046 2 ปีที่แล้ว +1

    💥💥 my God 🙏 continue blessing you yohana ❤️🇰🇪🇰🇪

  • @agneskavesa469
    @agneskavesa469 2 ปีที่แล้ว +3

    Umebarikiwa Sana Tonto..yote ni ya mungu..karibu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nancycharo805
    @nancycharo805 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mtto yohana unanigusa moyo wangu sana

  • @bonangira7351
    @bonangira7351 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen...... ubarikiwe Sana brother Antony.... from KENYA

  • @margretmorara4193
    @margretmorara4193 2 ปีที่แล้ว +6

    Hapa kukusupport from Kenya blessings we get from God .Thanks for this nice piece. Many blessings to you and your team.

  • @mcjose2544
    @mcjose2544 2 ปีที่แล้ว +6

    Tunapewanga na mungu ,Amen, more love from kenya 🇰🇪 , wacha mungu aendelee kutupa ulinzi.

  • @christophermbiane3921
    @christophermbiane3921 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli baraka na kila kitu ni kutoka kwa MUNGU barikiwa sana (Kenyan watching from Saudi Arabia)

  • @mercylinesharin9112
    @mercylinesharin9112 2 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa sana nyimbo zako hunibariki sana. Lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mosesndonye1424
    @mosesndonye1424 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna kwenda Kwa wanganga tulindwa na mungu be blessed kijana wamungu

  • @djddjd2726
    @djddjd2726 2 ปีที่แล้ว

    Wow congratulations 👏 keep it up ,,Ameen 🙏,,keep going with yur talent

  • @eunitabirgen674
    @eunitabirgen674 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @florencehaluwa2191
    @florencehaluwa2191 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa pastor unali ndwa na mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🥰

  • @nicodemuskioko7883
    @nicodemuskioko7883 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwa hadi ushangae sana kijana utakuwa wa baraka kwa watu wengi🙏🙏🙏

  • @annkiama8480
    @annkiama8480 2 ปีที่แล้ว

    Congrats 🤝 nakuheshimu sana sending love from Kenya ❤️❤️🇰🇪🇰🇪

  • @ruthwakoli7757
    @ruthwakoli7757 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice song much love from 🇰🇪 tunawapenda sana mungu awabariki am watching from 🇱🇧

  • @evelynejimas7719
    @evelynejimas7719 2 ปีที่แล้ว

    Wow nice song baraka za wana wamungu zinatoka kwa mungu barikiwa sana broo yohana tunakukaribisha kenya

  • @eliotzemmanuel
    @eliotzemmanuel 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh wow, so nice 👍 please keep it up brother 🖐️🇹🇿👉🇺🇬🙏🙏🙏👋

  • @shaulineapondi7145
    @shaulineapondi7145 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen tunalindwa na Mungu 🙏🙏

  • @elizabethselina7830
    @elizabethselina7830 ปีที่แล้ว

    l love you my child, mungu akae nawe maisha yako yote na akubariki💖💖💖💖👍

  • @annewambui8980
    @annewambui8980 2 ปีที่แล้ว

    Much love yohana from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edithwamboko7756
    @edithwamboko7756 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen God bless you son much love from kenya 🇰🇪

  • @truthgospelchurch8700
    @truthgospelchurch8700 2 ปีที่แล้ว +13

    Kweli ni baraka za Mungu, such a wonderful video with your Dad, God's blessing continue flowing to your family Yohana ❤ 🇰🇪

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd 6 หลายเดือนก่อน

    Nashunguru mungu mtumishi yohana maana tunalindwa na mungu.mungu akuinua viwango vingine.

  • @lizmuchi7329
    @lizmuchi7329 ปีที่แล้ว

    Aky mungu n mwema huu wimbo umenibariki xana mtoto yohana aky barikiwa sana

  • @felistakaguo1903
    @felistakaguo1903 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana Yohana Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @roselynechepchumba3607
    @roselynechepchumba3607 2 ปีที่แล้ว +3

    Much love brother 🙏 God bless you from Kenya 🇰🇪 watching from Qatar 🇶🇦 🙏

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana tunakupenda Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @erickmtonyole-MTONYOLE
    @erickmtonyole-MTONYOLE 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU YOHANA ANTHONY

  • @nyarnyauyoma9016
    @nyarnyauyoma9016 2 ปีที่แล้ว +1

    Your songs are so powerful and have alot of blessing keep going on

  • @mosesmwiti1279
    @mosesmwiti1279 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuonekanie Sana Johanna Kenya tuna kupenda Sana mm n sabiki wa nyimbo zako

  • @faithmbithe3269
    @faithmbithe3269 2 ปีที่แล้ว +2

    😲😲 wow nice one much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @karenmuinde5121
    @karenmuinde5121 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow, this is powerful. More grace kijana yohana.

  • @Agnes-gm7nd
    @Agnes-gm7nd 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde kwa huduma yako mtumishi na usongee mbele kabisa.

  • @FavourMumbe3075
    @FavourMumbe3075 2 ปีที่แล้ว +4

    Listening 🎧 here from Kenya❤️Go far brother

  • @luvuga
    @luvuga 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job bro Antony.kweli n baraka. Mungu azidi kukubariki.

  • @janetchep1180
    @janetchep1180 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏 watching from KSA keep up

  • @edinahmoraa2096
    @edinahmoraa2096 2 ปีที่แล้ว +5

    This boy is talented with an amazing voice👏👏👏👏Keep going Yohana. Much love from 🇰🇪

    • @justinemase980
      @justinemase980 2 ปีที่แล้ว +1

      This boy talented with an amazing voice keep going yohana much love from 🖐️🖐️🖐️💯🇰🇪

    • @JacintaMumbua-nh3oy
      @JacintaMumbua-nh3oy ปีที่แล้ว +1

  • @emmaemma5716
    @emmaemma5716 2 ปีที่แล้ว

    Yoahana congration keep it 👆 from Kenya

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 2 ปีที่แล้ว +1

    God Bless Mr Mtepa for allowing this talent out and for the support 🙏🙏

  • @eunicerehema4982
    @eunicerehema4982 2 ปีที่แล้ว

    Waau yohana ubarikiwe sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faithsyombua6682
    @faithsyombua6682 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa ni mungu tu ...tukiweka mungu mbele atatupea kila kitu juu sisi niwatoto wake Am bless Kenya 🇰🇪 🙏

  • @MasamElisha-zu5ve
    @MasamElisha-zu5ve ปีที่แล้ว

    Barikiwe sana na mungu nyimbo zako zinanibariki sana we mtoto

  • @samnabwela
    @samnabwela 2 ปีที่แล้ว

    Lots of love from Kenya @sam Nabwela keep going mdogo wangu Mungu akusidishie neema .

  • @erickmtonyole-MTONYOLE
    @erickmtonyole-MTONYOLE 2 ปีที่แล้ว

    NI KWELI KABISA, TULIOOKOKA TUNALINDWA NA MUNGU MWENYEWE

  • @elizabethmusumba8144
    @elizabethmusumba8144 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations Yohana may God bless you alot🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mishinema8719
    @mishinema8719 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen ubarikiwe sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mtoto Yohan 🙏

  • @sr.damarismukua2511
    @sr.damarismukua2511 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations 🎉🎉🎉 little and nice boy. zidi kumtumikia Mungu boy. Kunayo ahadi.

  • @minoomutua200
    @minoomutua200 ปีที่แล้ว +1

    God bless you yohana Kenyan

  • @josephomwoyo3563
    @josephomwoyo3563 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo tamu sana congrats yohana keep moving this gospel to the whole world be blessed from kenya 🇰🇪 we appreciate you so much

    • @linetmoraa213
      @linetmoraa213 2 ปีที่แล้ว

      Congratulation yohana ,,, I'm from Kenya I love your songs, God bless you🙏 continue singing and remember we love you

    • @stevenlameck9940
      @stevenlameck9940 2 ปีที่แล้ว

      Nimeikubar saaan dog anawez

  • @neemanyambogai2542
    @neemanyambogai2542 2 ปีที่แล้ว

    Wow 😳 keep it up God has plans for you

  • @sniderimali3111
    @sniderimali3111 2 ปีที่แล้ว

    Much love bro good work i salute you keep up

  • @lawrencebarasaadungo9305
    @lawrencebarasaadungo9305 ปีที่แล้ว

    God bless you minister Yohana...

  • @jtanetadhiambo6056
    @jtanetadhiambo6056 2 ปีที่แล้ว +3

    Soo adorable song 🥰 keep it up young bro and be blessed

  • @Braybeib
    @Braybeib 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎊 👏 💐 yohana 🇰🇪

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 2 ปีที่แล้ว +2

    Oh halleluyah halleluyah from Kenya 🇰🇪 we adore u

  • @jacintadavid3842
    @jacintadavid3842 2 ปีที่แล้ว

    Kweli tunapewaga na mungu mtoto yohana mungu akubariki sana kutoka apa Kenya

  • @wickyblessed976
    @wickyblessed976 2 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed yohana you are such a blessing mob love from Kenya #wicky blessed

  • @catetheequeen3094
    @catetheequeen3094 2 ปีที่แล้ว

    woooow the song itself it's so explanatory ,keep going yohana

  • @mutisyarose1607
    @mutisyarose1607 2 ปีที่แล้ว +1

    A very nice song.More blessings to you Yohana

  • @shadowmedia7644
    @shadowmedia7644 2 ปีที่แล้ว

    Safiii sana ur blessed from God yohana

  • @marykmusiq8442
    @marykmusiq8442 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen baraka utoka Kwa Mungu,na Pia tunalindwa na malaika binguni

  • @Janet-nl6lj
    @Janet-nl6lj ปีที่แล้ว

    Very true na usiwaipungukiwa na utukufu wa Mungu

  • @jeremiahdeus1127
    @jeremiahdeus1127 2 ปีที่แล้ว +2

    Wonderful song stay blessed son , Am so blessed with this song

  • @jemamgaya136
    @jemamgaya136 2 ปีที่แล้ว

    Upovizur yohan mungu akupe maixha malefu mtoto unatixh

  • @swtboyhamoniz368
    @swtboyhamoniz368 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tunalindwangwa na mungu mwenyewe

  • @douglasmochiemo1088
    @douglasmochiemo1088 2 ปีที่แล้ว

    Nice song much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @naomycherono5540
    @naomycherono5540 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hosanna amen and Amen powerful God bless you yohana 🙏🙏🔥🔥🔥🔥🧎‍♂️🧎‍♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmanuellelagat094
    @emmanuellelagat094 2 ปีที่แล้ว

    Waw brother thanks nimeingoja Sanaa hii

  • @carolynesimiyu508
    @carolynesimiyu508 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Baraka zatoka kwa mungu amtegemeae mwanadamu amelaaniwa