ukiona mtoto wa wenzio anajua kuhusu MUNGU unafurah tu moyon wapo wengine hawamjui MUNGU hata kufikia mahali wanamtukana na kusema hawaoni sababu ya kumwabudu..asante sana mdogo wang endelea kuwa na hofu ya MUNGU nae hatakuacha wala kukupungukia👏👏👏👏👏
Barikiwa sana kaka Mungu amekutowa mbali sana ukiwa mtoi mdogo sana sai umekuwa mkubwa kiasi Mungu akulinde uwe mtu mzima na heshima zako mimi pia naomba kibali changu cha uimbaji kifwate mtoi wangu
Be blessed bro keep going wapi likes za yohana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Injili lsonge Mbele
Amen 🙏
Good boy
Amen 🙏🙏
Kweli kabisaaa Mtumishi 🙌🙌🙏🏼🙏🏼,Barikiwa sanaa kwa kazi nzuri from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi kubwa xanaaaaaa
My favourite song aki....❤from kenya
Hallelujah 😇 🙏 🙌 😇 Kenya 🇰🇪 🙌 👏 let's gather here
ukiona mtoto wa wenzio anajua kuhusu MUNGU unafurah tu moyon wapo wengine hawamjui MUNGU hata kufikia mahali wanamtukana na kusema hawaoni sababu ya kumwabudu..asante sana mdogo wang endelea kuwa na hofu ya MUNGU nae hatakuacha wala kukupungukia👏👏👏👏👏
@@femidayahaya9293 ni kweli
Great song Yohana congratulation 🎉🎉🎉❤❤
Barikiwa Sana wimbo mzuri 🇰🇪🇰🇪🎉🎉
KWANI MM NDIO WA MWINZO MNIPEE HATA LIKE MOJA TU 🎉🎉🎉🎉🎉😂😊
😂😂😂 shukuru mungu hushapata
Juu unaandika mwinzo badala ya mwisho 🤣🤣
Amen Amen mungu ni mwema ametusaidia bwana God bless you alot 🙏
Amen ubalikiwe Sana Mtumishi yohana antony Wimbo ni mzuri sana .
Bado mwanza jaman
Mungu akubariki.
Thanksgiving to our God and glory to u the father the son and the holy spirit . Hallelujah , hosanna , amen
Amen 🙏 hallelujah 🙏 may lord 🙏 bless you this song let's blessed many
❤❤❤ injili isonge mbele barikiwa mtumishi yohana🎉🎉
Amen kubwa na MUNGU hakubaliki kwa hudumaaa❤❤❤
hata sasa amenisaidia hongera mdogo wangu Yohana ❤❤
I really enjoyed this song be blessed 🙏🙏
Be Bless Much Servant of God, You're A Blessing To Our Generation 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lovely. You have good dancing steps 🎉
Be blessed
Wimbo mzuri kabisa. Umenipa nafasi ya kushukuru Mungu. Ametusaidia ❤❤
Barikiwa🕺Sana Yohana wakeñya🇰🇪 wakiamua kukuinua wanakuinua kabisa
We just say thank you to God 🙏🙏🙏
Be blessed My friend
Be Blessd young man .May ur srar keep shining❤❤❤❤❤❤❤❤
Sifa na Utukufu simrundie Bwana 🙏 ametuwezesha 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️👈
Kwakweli mungu akubariki sna yohana na akuongezee nguvu zaidi
May god continue to bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I'm blessed servant of God
Waaau hongera sana nyimbo nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Baraka 🙏🙏 tumeipokea kwa upendo na imani kubwa
Much love 💝💝 from Kenya and all kadama from gulf wanakupenda
Be blessed Antony yohana ❤🇰🇪🇰🇪
Love it so interesting❤❤❤❤❤
You are a God sent
Be Blessed Sevant of God this is very Amazing 👏 ❤❤
Ameen Ashukuliwe Mungu Tumefika hapa
Amen 🙏🙏 from Kenya ❤❤❤
I wish you all the best in everything you do.I will continue praying for you my friend.
Iam from I love your song God bless you
Be blessed yohana kutoka kenya Tunakupend a sana
Hii From kenya always love our songz
Hallelujah 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 nice song 💯
Serving the lord is good.have a nice day My friend
Good song. God bless you.
amen 🙏🙏🙏🙏 ukweli ni kwa neema yake bwana
Uko vizur ndg yng mungu akutangulie 😮
more Grace brother
Be blessed my brother ❤❤❤🎉🎉🎉
I njili ya mungu iendelee mbele ,nimefurahi sana mungu akutangulia
We are praying for you
From Beverlyne
Be blessed ,,,nice song ,,,
Wow very nice song ❤
This Tanzanian son is a blessing from God
Tumekuja mjini kutafuta maisha kweli very true my brother keep it up wakenya wako wapi naomba tu support hii video ifike 100k views in 2 weeks 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏
God bless you brother 🙏 ❤❤❤
🇰🇪 twakutambua sana
The message❤❤❤
Nikweli mungu ametusaidia tumefika hapa utukufu kwa mungu ubarikiwe mtumishi❤🎉
You are a blessing
Hallelujah Ashukuriwe kwa kwelii
Be blessed johana,,
Hongera sana antony
Amen Wimbo mzuri barikiwa sana mtumishi w mungu 🇰🇪
❤❤❤❤❤ God bless you
Amegrow....nilimjua na song na ata sasa😮
Watching this while I'm in Oman🇴🇲🇴🇲 aky God bless you bro
wooow asanti kwa kututambua team strong,,,keep up brethren🙏🙏🙏🙏♥♥♥♥
powerful song
Amina sana yohana mungu akubaliki sana
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🇰🇪
🎉🎉🎉wimbo mzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Mtoto wetu nakupenda sana Mungu akubariki ❤
Kweli hata sasa Bwana YESU ametusaidia
May God be with you
Kazi safi Kenya recognizes you 🎉🎉🎉
My favourite❤❤❤❤❤❤❤
Life mjiniiiiii nikupambania
Be blessed ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana kaka Mungu amekutowa mbali sana ukiwa mtoi mdogo sana sai umekuwa mkubwa kiasi Mungu akulinde uwe mtu mzima na heshima zako mimi pia naomba kibali changu cha uimbaji kifwate mtoi wangu
Hallelujah 🎉🎉🎉🎉🎉
Congrats bro may God give you strength to do his work
Nice song 💕❤
Be strong and put God first
Mungu akubariki sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Be bless you 🎉
Uko vizuli sana mdogo wangu
Asante kaka johana ...ukija Kenya aki niambie TU nikusalimie
Kazi ya bwana iendelee mbele🎉🎉
Almighty shall reŵard...
Mungu akubariki kwa kipaji hiki
Yohana mkombozi wa gospel tz
Amina ashukuriwe Mungu tumefika hapa
Mungu akubarik sana Yohana kaz nzur MUNGU azid kuinua kaz yako isonge mbele
God is good indeed 🇰🇼
Abarikiwe, saana, Irene betinnah uganda 🇺🇬❤❤❤❤😂😂
Huu wimbo umenibariki sana ubarikiwe sana yohana kwa huduma nzur ❤❤❤
Congratulations mtoto yohana
Ubarikiwe kwa ujumbe nzuri 🤛