Ukweli akuna anayeweza kutengemea Ila Mungu pekee ata mmi sigetegemea kama Nita panda Ndege lakini Kwa neema ya mungu nkapanda good song our son from Tanzania Sisi wakenya twakupenda Sana 🙏🙏🙏Mungu akumbariki Sana yohana
Awwww...mwana m barikwa wa mungu endelea kuinuliwa juu sanaa katika kibali chako...Twakutazama kutoka Kenya...Twatamani uje Kenya kuimbia watoto Rika zako na kuwabarika na uwimbaji wako...
Yohana you are working so hard congratulations again you are the best continue young boy God going very far with you 🙏 ❤️ 💙 ♥️ 🙌 He is a powerful God he will never abandon you may the glory of God shine upon you and your family in Jesus name amen 🙏
The message in your song they changed my life go go .....nipewe likes za huyu mtoto wetu (hatukutengea huku Gulf mambo yatakuwa mema kwetu)
Bravo .bravo blessed son..
True
You are a blessing from God
Bieveni
HAKUNA ALIETEGEMEA KWA WAKATI KAMA HUU TULIONAO NI NEEMA TU YAMUNGU
tunakuitaji uje kwetu Burundi tunakpenda san❤❤❤
Kazi nzuri Yohana.
Ukikuwa Kenya make sure umenitafta.
Amen 🙏,,, ukiimba unaguza Sana siku moja karibu kanisa ya nyumbani hapa Kenya🇰🇪
Hakna aliyetegemea tungekuwa hivi jamani 🙏 be blessed no weapon formed against you will prosper
Amen
Hallelujah brother. Mola akubariki kibali king'ae zaidi. U kielelezo kwangu
Am from Ugandan but like songs of yohana mungu akubariki congratulations 👏👏
The best as always Yohana 🙏❤️❤️... Kibali unacho na neema ya Mungu izidi kukubeba 🙏🙏Much love 💙 💛 💚
Amen azidishiwe neema yake azidi kutubariki
Kabisa 💯💯
Habari
brother yohana mungu akuzidishie,unanibariki Sana.
@@carolynmumbua2503 to me I think about love you you can get time off
Ukweli akuna anayeweza kutengemea Ila Mungu pekee ata mmi sigetegemea kama Nita panda Ndege lakini Kwa neema ya mungu nkapanda good song our son from Tanzania Sisi wakenya twakupenda Sana 🙏🙏🙏Mungu akumbariki Sana yohana
Amina sana Mtoto Yohana Mungu azidi kukupeleka viwango vingine kabisa.Wimbo unanibariki sana
Kwa kweli hakuna aliyetengemea yohana mungu akubariki na akuinue zaidi ❤️❤️🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 welcome Kenya yohana.
Amen,,Yohana unanibariki kila siku Kwa nyimbo zako,,,sichoki kusiskiza,,,barikiwa sana
Ujumbe mzuri sana, feeling blessed from 🇰🇪kenya
Kweli mungu ni wakutisha na nehema zake mwenyezi mungu ni nyingi mno❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo nzuri kabisa, uminibatiki saana, much love from kenya❤️❤️❤️❤️❤️mungu azidi kukilonda nakupa nyimbo nyingi zakumtukuza na kimsifu.
Greetings from my little son to you he really wont's to dance with you
Amen Amen wimbo mtamu 🙏🙏🙏mungu azidi kukunyunyuzia baraka mtoto yohana natiwa moyo na nyimbo zako
Hakika umenibariki na huu wimbo mdogo wangu.....
Uzidi kukua katika kumpendeza Mungu....
Si I'm blessed with song 🙏,, I just heard it when passing by a certain church,,, Enyewe God is the game changer
Kwakwel mtoto yohana hakuna aliyetegemea Mungu akubariki sana by Nathanael Tanzania pamoja sana katika gospol song
Sifa zote mpe Mungu utakua imara skuzote ktk huduma,ukijishusha Mungu atakukuza hakka hatukutegemea tuyaonayo,Grory to heaven God.
A super hero!!! Mungu akuzidishie na huishi kumtumikia daima milele.... believe in yourself that you're more than a conqueror....
Siku moja nitakuita kenya 🇰🇪.
Ak please do so,,,,,we are waiting
Hallelujah Bwana Yesu Asifiwe kweli Mwenyezi Mungu kampatia Mtoto huyu mdogo kamfanya Mchungaji ndani Make Kipaji takatifu
Love you yohana my Young God bless you ❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania imebalikiwa Sana
God bless u my younger brother nimebarikiwa
Wonderful song ❤❤be blessed Yohana💯🙏🙏
Congrats😘😘 much son your songs is just a blessing to me,,,I really wish to have a son like you,,,continue blessing us with more songs
Akupandishe katika viwango vingine zaidi by Nathanael Tanzania manyara ahsanteh sana
Mungu awenawe daima.ashante Sana Kwa nyimbo nzuri.Karibu Kenya,Kisii county
He's all grown... God bless you Yohana
Awwww...mwana m barikwa wa mungu endelea kuinuliwa juu sanaa katika kibali chako...Twakutazama kutoka Kenya...Twatamani uje Kenya kuimbia watoto Rika zako na kuwabarika na uwimbaji wako...
Najua hata nilipo hapa Mungu ataniodoa naaibishe maadui zangu🙏🙏🙏😭
woow,wimbo mtamu Sana,nabarikiwa Tu Sana nikiwa hapa kenya
Tafadhali mtu aambie huyu kijana kwamba hunibariki sana🙏🙏🙏🙏😭
I really love your voice alot of love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
Hakuna kabisa ni MUNGU ndiye amefanya mtumishi wa Jehovah Uzidishiwe zaidi
Mungu azidishe kipawa chako naazidikukuinua napenda nyimbo zako zote natoka Kenya barikiwa
Kweli MUNGU anafanya makubwa San ubarikiwe san yohana Antony
Wimbo wenye kibali. Hakika Mungu ndiye tu jawabu letu
Woow nice song, am Soo blessed
Mungu akubar san katk maisha yako kweli ni nani agetegema atafk hapa alipo ni mungu tu ndy anajua
Yoana uko aje naenza kuona your gospel zimeweza haki
Sababu maisha yangu yanalingana na hi nyimbo
Yohana you are working so hard congratulations again you are the best continue young boy God going very far with you 🙏 ❤️ 💙 ♥️ 🙌 He is a powerful God he will never abandon you may the glory of God shine upon you and your family in Jesus name amen 🙏
Blessings from above
Awesome song little angel,,,,,you such a blessing from God,,,,,,your song's are so encouraging boy,,,,,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😮😮😮hatar
The love I have for this boy has no limitation
Ubarikiwe Sana kweli hmn MTU alietegemea kwamb ungekuw hivy my brother💖💖💝
Hakika mtumishi yohana Antony mungu wako anatisha in Jesus name Amen
Nakupenda sana yohana Mungu akulinde na watu wenye kinyongo moyoni umwimbie yye daima halleluyah 🙏🙏🙏🙏🙏🌹💏❤️🌟🙌💃💯🎶
Mtumishi yohana mungu asindi kukuinua kwa Kibali cha webaji nyimbo zuri zinanijenga mimi
Barikiwa sana ndani ya tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
We love you young boy mungu akufungulie njia kwa kweli mungu wako anatisha love from Kenya
You're awesome you started this ministry since you was a baby boy God bless you angel Yohana 💙 ❤️ 💖 💗 💕
Yohana ubarikiwe milele sikutegemea Kama ningefika Mahali nilipo Leo lakini ni mungu tu
😢😢😢😢😢 Niko na machozi yafuraha Mungu amenibeba ni kwa neema ya Mungu imetuona
Karibu Kenya 🇰🇪
Kweli mungu anatisha jamani ubalikiwe yohana mungu azikuku inuwa kilasaku Amina 🙏🙏🙏🙏 💐 ♥️♥️♥️♥️♥️ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
mungu akubari dogo, nyimbo zako zanibariki sana.
I magine know is saa 7uziku nani na zikiliza nyimbo zako mungu ukubariki zana
Wao Kenya 🇰🇪 twakutabua yohan
Hongera sana yohana God bless you kwa maana hakuna aliyetengemea kua tungekua hai leo, 💙💙💙❤❤❤💕💕💕
barikiwa sana mtumishi yohana kwa nyimbo nzuri kama sisi wa Kenya.
keep on going young boy, no body expected that all of us could be as we are but only God serves us
I really love the ministry of this servant of God,,,,,,,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna aliyetegemea kwa kweli twashukuru mungu mueza wa yote,big up yohana may God bless you.Your song has a strong messenge inside
Kwel kabisa hata mmi sikujua leo ningeitwa mama siku kama ya leo bt mungu alijua barikiwa yohana❤😅
Kweli mungu wetu anatisha asente kwa Kibali cha wibaji mtumishi yohana maana mungu wetu ni tengemeo.
Sikutegemea ningekuwa jinsi nilivyo leo, blessings baby yohana
Mungu azidi kukutangulia kwa Kila jambo
N ukwel kabisa mmi sikujua Leo ningeitwa mum lkn mungu atabaki kuwa mungu tu barikiwa sana mtoto yohana 💟😍👍💜👩🏭😊
Amazing song keep going mungu ni mkuu akuna mwingine kama yeye hallelujah kazi njema sana mungu akuinue zaidi Yohane 🙏🏻🙏🏻🙏🧎♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akuzidishie neema ikumbebe maishani mwako
Barikiwa sana naomba nikualike kwangu siku moja kenya
Kweli Barikiwa sana kwa sababu tukivyo ushi zamani atukutegemea Kama leo tutaoshi maisha ya raha kubwa
Mungu azidi kukuongoza na uimbaji wako na kwa neema
Hakika Mungu anakutumia unanibaliki sana 🤝😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen and amen may almighty God bless you 🙏🙏🙏❤️♥️❤️
Nabarikiwa Sana na huduma yako mtoto mzuri, Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu zaidi na zaidi
Be blessed yohana watching kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 is blessed
mungu wako anatisha kutoka ..... KENYA mungu tumemtegemea.
Wakwanza hapàa bonge la wimbo
Tunakuitaji ukuje kwetu kasei side ya sukut fullgospel church tunakukaribisha mtoto yoana Anthony AMEN🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Lindas mensagens nas músicas do miúdo. Parabéns querido.
Yohana the great👏👏👏 much congratulations bro,,, neema ya mungu izidi kukubeba sana.... #### karibu kenya💪💪💪
Congratulations yohana much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My dream yohana Antony is to minister together with you,,,,all the way from kenya
Very good song, God bless you very much, young brother
Kenya love you Our Son, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪more Grace much
Kazi nzuri muimbaji WA injili Kenya napenda huyu kijana
Endelea hivo , hakuna mwenye anajua mipango ya Mungu,may God bless you
Nzuri sana nabariliwa nikiwa kenya👑💯💯💯💯🔥🔥😘❤❤❤❤
Kweli kabisaa ni mungu tuu barikiwa sana yohana from kenya
Watching from Kenya....very nice song 🔥🔥🔥🔥
Much love pastor Yohana umenisaidia sana .May God bless you so much nakupenda sana
May God lift you up,,,,my young brother,,,,,yr songs really blessed me too🙏🙏
Pongez kwako mungu hi ni kazi Yako 🙏🙏🙏
Kazi zuri ndugu kweli mungu anaweza milele ahimidiwe daima endelea mbele bwana asifiwe daima mungu akubariki bro yohana Antony,.
Wewe ndiye jeshi la mbinguni unawakilisha tamasha ya injili niruhusu nifanye remix
Im from Kenya may god bless you
May God bless you na azidi kukuongezea kipaji much love from 🇰🇪🇰🇪