Mawaidha ya Bi.Msafwari | Ni sawa kumtambulisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2024
  • #CitizenTV #citizendigital #citizentvkenya

ความคิดเห็น • 19

  • @Jane-fi8on
    @Jane-fi8on 4 หลายเดือนก่อน +2

    Cheating is a choice as Benjamin has rightly said. You choose to cheat and take full responsibility for it.

  • @jecintawangare8763
    @jecintawangare8763 4 หลายเดือนก่อน +3

    Benjamin anakuaanga realistic.....

    • @user-uf2uj8kv9m
      @user-uf2uj8kv9m 4 หลายเดือนก่อน

      Benjamin wasomee kabisa

  • @user-kq4mt9yy5p
    @user-kq4mt9yy5p 4 หลายเดือนก่อน +3

    na kama mtoto alikua ata kabla ya ndoa. na ulimficha hiyo siri kabla umuoe

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 4 หลายเดือนก่อน

      Hii ni serious because the marriage can be annulled

  • @Connelllucy
    @Connelllucy 4 หลายเดือนก่อน +1

    The best thing is to let your partner to know befoe

  • @emertonmwakina8593
    @emertonmwakina8593 4 หลายเดือนก่อน

    Am watching from county 006.Rashid hili swala laitaji hekma ya hali ya juu sana na pia hofu ya kiungu iwepo kati yao maana Kuna pia possibility hata mafa kufanyika ..Lakini muhimu wayaseme hayo mbele ya pastor au sheikh wakiwa pamoja siku hiyo.

  • @lilianjepkemboi258
    @lilianjepkemboi258 4 หลายเดือนก่อน

    I feel like judging this one. Rashid it's like you've messed up Lulu 😂😂😂

  • @EmanuelAmuravu
    @EmanuelAmuravu 4 หลายเดือนก่อน

    Haya.mambo.huna.sema.ni.kweli.kabisa.

  • @quintergiraah7297
    @quintergiraah7297 4 หลายเดือนก่อน

    We thank God for this channel....Amen.

  • @rebeccawangeci2900
    @rebeccawangeci2900 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenda nje ni uamuzi wako wala sio kosa katika ndoa

  • @lucynyiro3864
    @lucynyiro3864 4 หลายเดือนก่อน

    Ata mke ikatokea ajue bado Kuna wanaume wengine ni ngumu kwao kukubali na kukana mtoto si wake

  • @umpump8472
    @umpump8472 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume ni wa sharati sana

  • @abiudcheno2545
    @abiudcheno2545 4 หลายเดือนก่อน

    Hi kipindi itolewe Kwa citizen

  • @FREDRICKOUMA-ij1vo
    @FREDRICKOUMA-ij1vo 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini mpango wa kando , ongeza bibi kama unaweza lisha.

  • @daisychepkoech4715
    @daisychepkoech4715 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ata hacpotambulika kwa binadamu mungu anamtambua na wote tutakufa cku moja...watoto wote ni sawa ...wenye walisaliwa ndani ya ndoa na wenye walisaliwa nje ya ndoa ni sawa....

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 4 หลายเดือนก่อน

    Wote huaga ni chanxo