Ni vitu gani wanaume wanapaswa kufanya ili kunogesha mapenzi na mahusiano katika ndoa?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Mawaidha ya Bi. Msafwari

ความคิดเห็น • 23

  • @faithwekesa9784
    @faithwekesa9784 ปีที่แล้ว +1

    Munatusaidia sana ...sababu twaelimika hapa shukrn🙏🙏

  • @user-oz3go1lv6p
    @user-oz3go1lv6p ปีที่แล้ว +2

    Unawacha akupendaye unakuja kwangu ukifahamu vyema mimi either sikupendi ama huwa sina feelings. Alafu unaexpect nikutumie message za mapenzi kila kukicha eti juu nimekuoa. Eti unaexpect nikusaidie home chores. Huo sio ushenzi? It's either you marry your love or face the kinds of me.

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 ปีที่แล้ว +2

    Shida katika ndoa ni wanaume maana mwanamke ni kama mkate kwa chai lkn hawa wanaume wamekua kama ezraeli malaika mtoa roho

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha 😂😂😂
    Mafunzo kwa Mke pia ni muhimu sana.
    Mapenzi ni kupeana..
    Pande zote mbili..

  • @beatricewairimu2788
    @beatricewairimu2788 ปีที่แล้ว

    Ukweli kabisa

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 ปีที่แล้ว +4

    Maisha ya siku hizi ni kusaidiana kulipa bills na heshima na upendo

    • @lucysudi
      @lucysudi ปีที่แล้ว

      😭😭😭

  • @Seth.Jrking
    @Seth.Jrking ปีที่แล้ว

    👏👏👏🙏🙏

  • @hillaryopiyo435
    @hillaryopiyo435 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke kusifiwa? We had a lady ten years ago,actually a class representative at a certain college in Nairobi.Nikaishi kumsifu, but madharau was lastly the one she showered me with.Mwanamke aliniongelesha as if nimekuwa slave wake,demanding to see me tell her things.Huo ndio uliokuwa mwisho wangu naye.Nilimtoka nikimtokanga

  • @sifariziki1282
    @sifariziki1282 ปีที่แล้ว

    Njo kweli iyo mumy nawa penda Sana

  • @yusuphamani8015
    @yusuphamani8015 ปีที่แล้ว

    Wanawake hamtunziki Leo hamna mapenzi Kwa manaume hasa pale mnapo Pata viumenje

  • @dennismyles8256
    @dennismyles8256 ปีที่แล้ว +1

    Nchi yenye Imebaki na ujinga sana duniani ni Kenya..!!
    Wakati wananchi wanatangaza mapenzi vijijini watu wanakufa Kwa njaa na nchi inaporwa na Ruto..!!

    • @halkanogalma9408
      @halkanogalma9408 ปีที่แล้ว +2

      Kwani mapenzi na Ruto ni wapi na wapi

    • @dennismyles8256
      @dennismyles8256 ปีที่แล้ว

      @@halkanogalma9408 Sasa elimu mpaka ya ngono na mapenzi ilihali vizazi vya angamia Kwa njaa, Viongozi nikutangaza sera Kila uchao..!! Kenya f***kd-up nation.

    • @MOON-lw5xt
      @MOON-lw5xt ปีที่แล้ว +2

      Shut up AZIMIO is dead
      Hustler nation oyee

    • @zuhurahkhamis4257
      @zuhurahkhamis4257 ปีที่แล้ว

      Na unajuaje kama vijijini watu wanakufa njaa si ni watangazaji ndio wanatangaza kwa TV kuna time ya kila kitu sasa sababu kuna ukame watu wasipendane

    • @hillaryopiyo435
      @hillaryopiyo435 ปีที่แล้ว

      Yeah bro.Kenya tangu zamani imejulikana dunia nzima kwa kuandikisha historia ya kuwasheheni watu wa roho mbaya