Walking in His calling; It is not easy, It is no cup of tea, It is no walk in the park, I have definitely felt like it I have no more strength to continue, But still, I'll choose Jesus I have decided to follow Him and serve Him all the Days of my Life. YES to Jesus Over and Over again🙇♀
It’s past midnight after a lot of battles about the ministry God has given me I decided to worship God, only to come to this powerful song after nmekaa najiuliza kama naendelea mbele na huduma au lah🙌🏽 😭BWANA NIMEKUBALI WITO WAKO🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Zoravo spoke to me so direct wajameni when he said no more excuses😭 Wimbo umefanyika confirmation! MUNGU ANAZUNGUMZA, MUNGU AMEWATUMIA WATUMISHI WA MUNGU😭🙌🏽
Safi sana.. Mungu awabariki. Na mmependeza kWa kweli magauni nimeyapenda na mpangilio wa rango kWa wote on stage iko Good. Hongereni. Kwenye" nimekubari " hapo naona mwenye kitengo chake katuangusha kidogo.. lakini I think ni bahati mbaya tuuu.. Tuko pamoja...
Next time tusiwaachie watu wenye shida ya L na R kuandika captions/subtitles. Yaani mwanzo tuu wa video unakutana na NIMEKUBARI😢. Also ni vyema kuwapa watu zaidi ya watatu kupitia before ku upload. All in all there is full of blessings in this song.
Walking in His calling;
It is not easy,
It is no cup of tea,
It is no walk in the park,
I have definitely felt like it I have no more strength to continue,
But still, I'll choose Jesus
I have decided to follow Him and serve Him all the Days of my Life.
YES to Jesus Over and Over again🙇♀
Mungu akubariki John Kwa huu wimbo
I wish na mimi niwe apo ila be blessing ❤
It’s past midnight after a lot of battles about the ministry God has given me I decided to worship God, only to come to this powerful song after nmekaa najiuliza kama naendelea mbele na huduma au lah🙌🏽 😭BWANA NIMEKUBALI WITO WAKO🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Zoravo spoke to me so direct wajameni when he said no more excuses😭 Wimbo umefanyika confirmation! MUNGU ANAZUNGUMZA, MUNGU AMEWATUMIA WATUMISHI WA MUNGU😭🙌🏽
Mungu akupe Neema na nguvu za kuenda mbele zaidi
Mungu awabarik wew na zoravo mmefanya vzur❤❤❤
Mungu awabarik wew na zoravo mmefanya vzur
Nimebarikiwa na uzidi kuongezeka sana🙏🙏
Every time when I listen to this song ,I feel God'S Presence
I'm in deep spiritual when am listening this song
Yes to jesus, He is everything 🙏 🙌🙌
I love this song
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu John songolo Wimbo mzuri sana tumekubali kwa Jina La Yesu🙏🙏
Mme Barikiwa BWANA AWATUNZE NA kuwainua
God blessed you
Nimekubali🙌
servant of Almighty God ZORAVO be blessed so Much I appreciate what is inside you bro!!!!!
Powerful song
Kazi kubwa iyi 🔥 courage Sanaa Mutu wa Mungu
Vrmt kazi nzuri ile mubarikiwe na Bwana
From glory to Glory. Nimekubali wito imenigusa sana ,nazidi kukubali ❤❤
Blessing,papa thank you🙏🙏🙏nimekubali wito wako🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana. Hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu.
Hongera sana ndugu yangu kwa kazi nzur hiyo
Huu sio wimbo tu, bali ni Ufunuo mtakatifu
Kaz nzury sna
Nimekubali Bwana, acha maisha yangu yakutukuze wewe
GOD bless you brother. Keep it up GOD is with you
Safi sana.. Mungu awabariki. Na mmependeza kWa kweli magauni nimeyapenda na mpangilio wa rango kWa wote on stage iko Good. Hongereni.
Kwenye" nimekubari " hapo naona mwenye kitengo chake katuangusha kidogo.. lakini I think ni bahati mbaya tuuu..
Tuko pamoja...
this so encouraging i really need you God every time
I like to see tom akipiga 🎹 piano😊
Hongerah sana Jonh kwa Wimbo mzuri.
Blessings 🙌
Sikuwachwa nyuma na baraka ❤❤❤❤
Next time tusiwaachie watu wenye shida ya L na R kuandika captions/subtitles. Yaani mwanzo tuu wa video unakutana na NIMEKUBARI😢. Also ni vyema kuwapa watu zaidi ya watatu kupitia before ku upload. All in all there is full of blessings in this song.
Umenena vyema
Sijasikia hio shida ya L na R
Halikuwa swala la kusikia ila swala la kusoma na kuandika both Titles na captions..soma title ya wimbo mwanzoni mwa video
Huu ni zaidi ya wimbo❤❤❤😢
we say yes to our Lord 🎉🎉
Ubarikiwe John🎉
Amen. Mungu akulinde sana ❤❤❤❤❤
Hallelujah Glory to Jesus
Ubarikiwe KAKAANGU johni
Aminaaaaaa.....nimekubaliii😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽... Thankyou Jesus 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ubariki sana Dada
Be blessed brother
Mungu wetu ni mwema sana
You guys are blessed
A song feels like heaven
Hongera Sana my Brother huu wimbo umeubariki moyo wangu Mungu aendelezee kazi njema alio ianzisha ndani yako
Ubarikiwe pia mtumishi wa Mungu
Powerfull
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki huu wimbo ni utukufu utukufu
Amen 🙏 God bless you 🙏❤️
THIS SONG IS POWERFUL
God bless you brother...keep serving the living Lord
🙌🙌🙌🙏🙌🙌🔥🔥🔥
Powerful powerful
Powerful Man of God
Utukufu juu ya utukufu
Awesome Awesome Awesome
Nmebarikiwa❤
Blessed
😭😭😭😭😭 nime kubari Yesu unitumie😢😢😢
Nimekubali 🙌
Songa mbele nduguangu
Asante sana kaka
Be blessed
😭😭🙏🏿
Powerful
🤲🏾🙏
Nimekubali❤
🙇🏽♀️❤️
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥
❤❤❤❤❤❤
❤❤
😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
Nimekubali
Mungu awabarik wew na zoravo mmefanya vzur
Mungu awabarik wew na zoravo mmefanya vzur❤❤❤
Powerful Man of God
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥