ZORAVO “NIMEITUMIA DIGRII YANGU MIEZI MINNE TU”/AJIBU KUHUSU WAIMBAJI KUTOKUWAJALI WANAMUZIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @mwlamaninnko.25
    @mwlamaninnko.25 ปีที่แล้ว +1

    Zoravo uko vizuri sana katika majibu yako , so wise and humble...More blessings!

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Zoravo kwa hekima na unyenyekevu ulionao. Imeandikwa, Hekima hukaa na wanyenyekevu (Mit 11:2); na Mungu atazidi kukupa neema kwa huduma yako (1 Pet 5:5). Ubarikiwe sana na kuzidi

  • @MelensianaKemanzi
    @MelensianaKemanzi หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa dharau sio kitu kabisa ni ujinga kaka live long my br but we have to pray

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bureee
    Japo sio fans wako sn
    Ila Mungu akutunze sana
    Damu ya Yesu ikunike sn mtumishi

  • @jeniphermwani1867
    @jeniphermwani1867 ปีที่แล้ว

    Hongera zoravo nimefurahi kusikia kuwa umeacha digrii kwajili ya wito nakutia moyo wewe sio wa kwanza na hicho kitakulipa angali ,mwimbaji wa nyimbo za kidunia Kofi olomide alikuwa na digrii mbili lakini hakuajiliwa alidili na kipaji chake na sasa ni mtu mkuu.

  • @loycenicolao7488
    @loycenicolao7488 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani wanangu nao siku Moja wawe vijana wanaomtumikia Mungu kama hawa. Songeni mbele na Wala msiangalie tabia za kidunia. Bwana atawapandisha zaidi mlipo

  • @obedisiarangiriki8142
    @obedisiarangiriki8142 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ana watu
    Amejiinulia kizazi kingine kabisaa,waabudio halisi...
    Wale waliojua Wana kipawa na wakatumia vby,wakamuacha aliyewapa kipawa imebaki story
    Sahivi tuna kizazi kingine kabisaa