IRAN YAIPIGA ISRAEL KWA MAKOMBORA ZAIDI YA 100, NETANYAHU AHAPA “TUTALIPIZA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @Mubarak552
    @Mubarak552 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mmechelewa kutupa taarifa

  • @binseif2216
    @binseif2216 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jana eljazeera imeeipoti watu zaid ya 150 wamekufa na nyetanyahu kakimbilia kwenye handaki na watu zaid ya 1000 wamejeruhiwa

    • @mwarimohamisi1378
      @mwarimohamisi1378 3 นาทีที่ผ่านมา

      first and foremost lazima ueelewe Iran hawatumi hizo missiles kuua watu,wanatuma hizo missiles kuhemesha iron domes...na jana isipokuwa nyingi zilidenguliwa na Us na Jordan zingelemewa sana. Sasa kudhibiti hizo missiles doesnt come cheap its damn expensive so sahizi Isreal hata kama hakuna waliokufa lakini uchumi utayumba.

  • @nth3512
    @nth3512 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sio makombora ni mvua ile. Tatizo media zao zinaficha, lkn jana Netanyahu alionekana akikimbia kwenye handaki, angalia telegram

    • @storytownTv
      @storytownTv 5 นาทีที่ผ่านมา

      Telegram tunaangaliaje mkuu ,nielekeze plz

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Makombor kamavuwa useme wat2😂 achani uogo yuma zote zilizo teketea makobor200

    • @EsterMatei
      @EsterMatei ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watu wakiingia chini ya mahandaki

    • @mwarimohamisi1378
      @mwarimohamisi1378 41 วินาทีที่ผ่านมา

      si uongo...nyingi ya hizi missiles si kwamba zilikuwa targeted kwa watu bali zilikuwa ni za kuhemeshe the air defence system na kuwapa kichapo cha hasara...imagine hizo missiles zingetumwa daersalm leo mungeamka vipi?

  • @nurdinmkwachu28
    @nurdinmkwachu28 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Et hajafa mtu

  • @binseif2216
    @binseif2216 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wamekufa wengi sana hao waongo hata iraq wanajeshi waliuwawa sana na taleban lkn walikuwa wanaficha mpka raia wamarekani wazazi walikuwa wanawalilia watotowao kutoonekana baada ya majeshi ya marekani kurudi USA kushindwa VITA

  • @kelvinanselimu1281
    @kelvinanselimu1281 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nawaonea huruma waarabu juu wamemchokoza beaa 😅😅

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 58 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna lolote Israil BILA marekani hawezi kufanya chochote. Anawapiga WANYONGE tu. Alafu unampa sifa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Haya acha inyeshe tuone panapovuja. Wakati wao wanaendelea na vita, na sisi tuendelee na vita vy mitandaoni kwa Comments zetu. Wakishamaliza vita vyao na mshindi kupatikana automatically na sisi vita vyetu vya mitandaoni vitaisha.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MustafaMiraji-s1v
    @MustafaMiraji-s1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ahapa ni lugha gani ??😂

  • @Patriotism-x3v
    @Patriotism-x3v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ni kuapa, siyo kuhapa

  • @AhmedHamed-r5i
    @AhmedHamed-r5i 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gaza inapigwa kila iitwapo leo hutajawahi ona umepost. Mnafki mmoja we

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umesahau kama makafiri na manaswala wana chuki na uislam ndugu yangu kiza mashoga wamepigwa ndio wananaleta unafiki halaf makombora zaidi ya 200 yeye eti zaidi ya 100 kingene watu walikufa mazaiyuni ila miyahudi haisemi Allah halali wa hasinzii ipo siku tutashinda zidi ya mayahudi na makafiri wanao tuchukia

    • @IbrahimuMaselo
      @IbrahimuMaselo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@fatmafatu1128ww nae mswahil vta wapgane wengn ww unaleta kidomodomo chako cha din..

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@fatmafatu1128waislamu ni magaidi acha wapate kifiro

  • @mirzah117
    @mirzah117 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    AHAPA ndio unamaanisha nini?

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ameshambiwa uyo kwa mba akijibu safari hii anaifuta nchi iyo na waliokufa ni wengi sanaa wawil tu

    • @AhmedmartiniMartin
      @AhmedmartiniMartin 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Et rafiki angu waongo sana kombora la balistic na I Dom yao imeshindwa kuzuia maana Iran imetuma makombora ya balistic na makombora ya kawaida yaliyo zuioiwa ni ya kawaida balistic sijaweza kuzuiliwa yametua yote pale iran alitumia mbinu kubwa Israel awez kuzuia balistic

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nyie watu bhana umeambiwa wamejeruhiwa kido wawili siyo kuuawa we unasema wameuawa😂😂😂 ila Kuna mparestina ndiyo kauawa.

    • @MosesTenganamba
      @MosesTenganamba 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unalazimisha wafe😂😂😂 utasuburi sana.subiri jubu la Israeli kwa Irani watasema tu​@@AhmedmartiniMartin

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Eti watu wawili😂😂😂😂😂 www

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    sio 400 tena...?

  • @suleimani-k6f
    @suleimani-k6f 8 นาทีที่ผ่านมา

    Iraeli akingia vt na Iran bc atachagiwa vpigo vtatok kila pembe tupu

  • @happynesssamwel2917
    @happynesssamwel2917 50 นาทีที่ผ่านมา

    Milad ayo sasa umeishiwa

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna Aya nyingine ipo pia inayo ifuta hiyo kwahiyo ujue ni zama zao wakati huo sio zama za mwisho wa mtume Muhammad swallalahu alayhi wasallama maana wa israil wa Leo wanao endesha dola watokea marekani ujerumani ulaya pia ndio walio anzisha ushoga sasa vipi taifa teule lianzishe ushoga halafu liwe bora Hakuna kitu kama hicho wa israil wa Leo sio wabora hawana ubora ni mashetani tu kwa ubaya wao

    • @Keyjop
      @Keyjop ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Basi sawaaa

  • @memasecretariete
    @memasecretariete ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hapa kuna shida (1.) wewe unasema makombora 180 wakati cnn wanasema umbali wa yaliyotumwa mabomu ndio miles 180 (2.) unatuambia wa islail wawili tu ndio wamejeruhia inamaana hayo ni mabomu au barudti au sehemu waliyolenga wa iran ni jangwan wasipoishi watu (3) umesema maafisa wa palestina wamesema mwanaume mmoja wakipalestina amuwawa na mashambulio ya iran unataka kusema wa iran wameua mtu wanae mtetea na wammemjeruhi adui yao na kwa mantiki hiyo shambulizi la iran limefeli?

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi 55 นาทีที่ผ่านมา

    Mpooo slow sanaa ila wacha Israel ipigwe tu maan tumeichoka n fujo zake💀

  • @hamadmakame6040
    @hamadmakame6040 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    HAHAHA IZRAIL KAYAKANYAGA

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole sana

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio AHAPA ni AAPA. MILLARD UNAZINGUA

    • @petro_Raphael
      @petro_Raphael ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fungua yako

  • @aidandamian2566
    @aidandamian2566 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oya taarifa ya jana unaileta leo mkuu

  • @BakariBakari-qg1ue
    @BakariBakari-qg1ue 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yan makombora 200 yaue mtu mmoja au ndo propaganda za kivita

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢 yaani makombora zaidi ya 100 yanajeruhi wawilo😢😢 iran hawapo siriuz na hii vita😂😂 bora waombe tu yaishee maana ni matumizi mabaya ya kombora 😢😢

    • @husseinawadh4009
      @husseinawadh4009 35 นาทีที่ผ่านมา

      Sio Iran ni Milard ndio hayupo serious na ka kazi yake. Anaendekeza ushabiki.

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uhuu ndio mda mwafaka wa kupiga vinu vya nyuklia irani

  • @TBCLINICKYELA
    @TBCLINICKYELA 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uwongo, 90% ya makombora yamepiga maeneo husika. Iron dome ni kama ilishindwa fanya kazi.

    • @FatmasaidhamesaHamesa
      @FatmasaidhamesaHamesa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kila siku hapati n bom 😂😂😂😂

    • @AhmedHamed-r5i
      @AhmedHamed-r5i 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jidanganye​@@FatmasaidhamesaHamesa

    • @AhmedmartiniMartin
      @AhmedmartiniMartin 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli na ni. Kwasababu iran iliweka makombora ya balistic na ya kawaida ya balistic yote yametua yakawaida kdg amezuia akijibu tu yanaenda balistic tupu mpk kwa neta nyau

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AhmedmartiniMartin💪💪💪🇮🇷💪💪💪

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mabom yote akuna ataa mmoja kufa sasa zam inahamia kwao

    • @dreamleague-uq2gx
      @dreamleague-uq2gx ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jidanganye

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Makengo ni kupiga base za kijeshi sio raia

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeona lengo la Israel kuuwa raia wengine Hawaii raia wanapiga sehemu za kivita kama viwanja vya ndege na base zao.na Sheria za kivita ni hivyo kama jana wangepiga maeneo ya wananchi basi Hali ingekuwa tata

  • @GaitanMadux
    @GaitanMadux ชั่วโมงที่ผ่านมา

    You ain't active

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kunawatu huwa hii Aya hawasomi kabisa kama wanavaa miwani za mbao
    😂😂😂 ila wakipigwa utasikia matusi na laana midomoni mwao
    QURAN 45:16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

    • @ahlul-hadith
      @ahlul-hadith 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Qur'ani Haifahamiki Kibubusa Hivyo Mkuu, Kaa Chini Uisome Utakomboka na Utanishukuru.

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hili limetanyau limechanganyikiwa alijui wapi kwa kutokea na wapi pakutokea

    • @Fredrickrobson01
      @Fredrickrobson01 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kijana inakuuma kujeruhiwa wawili,hakuna taifa litakalo pigana na Israel litashinda ipo kibiblia yetu macho Mungu hajawahi danganya kaka

    • @moonlightTv-me9zw
      @moonlightTv-me9zw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Iyo imetabiliwa hivyo hakuna na haiji tokea taifa lolote kushinda vita juu ya Israel​@@Fredrickrobson01

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili zako mbovu Hyo vita Hao waisraeli unao zungumzia siyo Hawa wanao eneza ushoga au nawewe🌈

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wamekudanganya kama unaskiliza habar za waisraeli uongo wamekufa weng unasoma bibilia gani hizi zilizoandikwa na wahuni ama kasome tena unaelewa vizur

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Fredrickrobson01israeli wameuwawa wengi lakini nikosa wajinai kutangazwa kwamujibu wa vyombo vya magharib