EXCLUSIVE: MWANAMKE MWENYE NDEVU NYINGI AFUNGUKA "WANAUME WANANIOGOPA KUNITONGOZA KISA NDEVU"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Kazi ya Mungu haina makosa dada usife moyo ila Mungu ndiye alikuumba hukujiumba wenye wanamwongea na kimcheka wajue hakuna mtu mwenye alijiumba much love dear ❤❤❤
Usiwe mnyonge Dada ni mzuri Mungu atakujalia❤
Dada nzur masha'allah na amejaaliwa jicho...mngu atakupa mtu sahih kua na subra..📌☑️
Mzuriiiiii mashaa allah❤❤ ila nyoa dada ndevu toa kwa wax ila kama mwenyewe waona kawaida basi allah akusimamie inshaa allah kila kitu kinasababu ❤❤❤❤🎉
Zitakua nyingi zaidi
Anatia huruma duu
@@Mpakauseme alaa kumbe
Mavazi angevaa ya kike
Hiyo wax Haifai..
Mzuri mashallah dada wa wenyewe mungu akupe hekima my lovuuuu
acha unafk nzr wap na midevu
Saafi, ana mtoto, na ana sura nzuri sana tu.
Good.
Subhanallah mwenyezi mungu anampa atakae na kumnyima amtakae. Kuna wanaume hawana kabisa ndevu lakini mdada Masha Allah udevu hadi raha 🎉🎉😊😊wanao kunanda wakumbuke mungu hakosei
unaamk kesho unaanz kujikuta n wwe n hali km hyo utajichkuliaje
Jikubali sana dada yangu wasikuzingue juu mungu akufanya makosea kukuumba hivyo anamakusudio yake
Mashallah dada mzur sana ila punguza unyonge ty wew upo vizur sana❤❤❤
Mbona kinyonge dada yangu yote mungu Atakupa nguvu na Alisia yako madam ❤❤❤
Tunakupenda tu dada yetu... huu ni uumbaj wa Mungu
Beautiful and wonderfully made by God.
Amen
I saw her on Facebook, she's beautiful and wonderfully made by God 🙏
Polycystic ovarian syndrome.
You are so beautiful ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ I love you 💖💖
@@JohnsonNgugi-eg6zyumalaya tu
Anatumia jina gani Facebook
Mungu yupo ata ku tetea 😢😢❤❤❤❤🙌🏽🙌🏻
Amen
Ishi uwezavo dada ww ni mnzuri sana mungu atakupa mume bola na mwenyekukujali wasamehe wanaokusema vibaya
We hata mi sikutongozi janaume kabisa unaweza kunipelekea moto bule
Ni tatizo la HOMONI
Homoni za kiume zimezidi kwake
@@halunimnenwa5224😂😂😂😂😂😂 jau ww
Nakushauri Dada kafanye laser zinapotea kabisa izo
Chukua wewe sasa😂
Kwani wewe mtangazaji umeowa au? chukuwa hiyo chombo weka ndani ndevu haiwezifanya usimkule na kupata utamu, nahisi ungeniowa mimi ila bado mdogo nasoma ❤❤❤❤
Mungu ndie muweza🙏🙏
MUNGU huwa akosei kwenye kuumba na akaona ni vyema 🙏🙏🙏🙏🙏👏dada ni mrembo sana na ni mama mzr,,😘😘😘😘😘😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hyo ni kawaida t Sana dada Kuna wat hawana miguu Wala mikono eb fikiria we miguu unayo umbo unalo sura unayo zitakwenda zitaisha kwa uwezo wa mungu usijali
She so pretty , she don’t need to shave at all 💕💕💕💕❤️❤️💓💓
Amazing ❤❤
Mungu awe nawe siku zote dada, u mrembo sana tena wa tofauti, jiamini na tembea kifua mbele
Mbona nimesha mpenda dada binti mzuri mashallah❤
Mzuri mno yaani mungu fundi
acha umalaya umetamani jicho tu
😂😂😂😂😂
Atoe ndevu atapendeza. She looks scarry.
Dada upo safi mno nimekupenda bure kabisa ❤😊
Mshukuru mungu kwa kila hali dada angu muweza ni.mwenyezimungukuwa huruma mdgo wangu 🤲
❤Ameeni 🙏🙌 utukufu tunamrudishia Mungu, Mungu arikumba hivyo kwa utukufu wake usije ukanyoa au ukatumia dawa usije ukapata madhara.nimekupenda,unampenda Mungu,
kusemakweli wewedada nimurembo tena sana wachawatu.waseme wasemavyo mungu yukopamoja.nawewe anasikia hojazamoyowako lakinikwakweli wewenimurembo.sana nasikiliza kutoka saud arabia mashallah❤❤
Ukizaa nae mtt w kiume huyu hlf afate iyo sura n ndevu atakua bonge l handsome 😘
True
Fikra zako kama zangu
Dada nakupenda sana mume mwema anatoka kwa Mungu utaolewa Tu muda sahihi ukifika mdogo wangu kipenzi Mungu yupo
Dah, Jikubali dada Mungu atakupa wa kufanana naww
Usiwe mnyonge Dadangu Mungu atakujalia sana❤❤
Aandike namba zake Dada maisha llah ni mzuri alhamdulilah
Kwenye creen hazipo ila ametaja namba zake mwenyewe
Ameamua kuziacha aone zitafikia wap
Mabaharia kama nawaona vile
Napenda utulivu wako dada❤❤
Ni mzuri wewe ningekuwa mwanaume ningekuwa ❤❤
Nakupenda sana wewe dada mume mwema anatoka kwa Mungu muda sahihi ukifika utaolewa Mungu yupo umeumbwa na Mungu
😂😂😂😂eti! Nipo kwenye mausiano ambayo sijui yanausiana na mimi❤❤❤
Mdada mzuri sana.... Mungu amekubariki sana Asee sijui kwenye tabia.....
Dada uko vizuri, Mungu amekuumba kwa uzuri wake jipe moyo.
Kwan huwaazinyolewi
Dadangu ahsante sana Mungu anakupenda maumbile Mungu kakupatia jipende mwenyewe na bila shaka mwenyenzi Mungu atakufanyia kulingana na vile roho Yako inataka nakutakia heri na fanaka kwa maisha Yako kwa mola nimekucha
Uko mzuri dada tena mrembo tu, yupo pia my friend kutoka TZ but yy huzinyoa lakini bado zaonyesha hadi kifuani so akiwa mbele zawatu anajifunika sura japo amezinyoa halafu nimrembo sana tu, usifuate maneno ya watu Mungu ndie alie kujaalia so Ishi maisha yako.❤
Jamani mbona dada Yuko viziru mbona Mimi nimempendaa❤❤❤❤
Yaan me mwenyew mwanaume lakn sna hizo ndevu, ila mungu mkubwa sana humpa amtakaye na humnyima amtakaye kwahy tote saw tuh alhamdulilah
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 nimejikuta nacheka baada ya kusoma comment yako Mungu fundi
Mzuri MashaAllah ❤🎉❤🎉
She is so beautiful ❤️ keep going kirembo
Jiamini mpendwa Mungu hajakuumba kwa bahati mbaya,yaani ni mrembo sna🙏🙏🙏🙏🙏
Beautiful MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Daaaaaaaaah ila ana ndevu nzuri jikubali dada binadamu haishiwag neno❤❤❤❤❤
Numéro yako dada
Ila ni mzur sana mungu hajakosea kabisa❤
She's a beautiful lady bambi❤❤❤
Very beautiful ningekuwa mume ninkekuoa wewe ni mrembo tu sana jikupali dada
Lkn ni mzuri sana
Jaman ni mrembo sn jikubali hata usiwe mnonge ukamkifuru Mungu,anamakisudi yake
Yaan dada ww n mzuri sana aisee nimekupenda bure
Mungu akupe wepesi akujaze n subra . 😢
Anafanana na waigizaji wa kiume wa Nigeria ,very smart
Beautiful 🎉🎉
Waaau Mimi nmekukubali tu cz hio nkaz yamungi usjali ❤❤🎉
Nyoa hizo ndevu, alaaaaaaaa
Akinyowa zinaongezeka
hahahahaaaa
@@nadyasalim7956
Hamna cha kuchekesha
@@sonnyr1899 nilikua naitafuta hiiii. Ukinyoa zinaongezekaa
Coment Yako n chuki kwani alitaka
Dada kwa kweli ni mzuri Ma Shaa Allah
Rangi imembeba,angekuwa black ingekuwa noma.all in all GENETICS 🤞
Wengine wanabebwa na nini
Aki dada uko mrembo sana ❤❤❤❤
She is so beauty
Hata nami nina ndevu ,,so tujukubali, proud to u Sr.
Dada nimzurii usihofu kwanza anae kushangaaa ni mjinga Mimi nimekukubali uko vizuri
Huyu tangu nakua nimemkuta ana ndevu sasa watu wakawa wanamshangaa ila alikuwa anazinyoa baadae akaacha kuzinyoa. Dada jikubali wala usiwe mnyonge pambana utatoboa❤
😂😂😂😂 ujumbe wako ume nifanya nicheke..
@@jeremiapeter683 kweli yaan kipindi hicho alikuwa na mme wake sasa ana ndevu hapo ndo kulikuwa na mkanganyiko kila mtu anamshangaa
Sawa..
Huyu dada ana asili ya nywele weee angalia hata kichwani...ni mzur sana
Maashaallah. Dada mrembo Allah akujaalie mume mwema. Kwani ndevu si nyweletu. Usijali lizikiyako ipotu
So beautiful 😍😍😍
Nimefikia kumpenda sana huyu dada. Nampenda sana
pole sana dada< i live in USA, unaweza kufanya laser treatment hazitaota tena. uliza laser treatment, watu wakusaidie ununue kenzo. huku marekani tunafanya laser kwa makwapa, miguu, mikono na uso.
Acha utani ni bei gani kufanya hiyo treatment
Sasa wewe ambae upo huko ndo wakumsaidia
You are beautifully and wonderfully created mamaii....love you from Kenya 🇰🇪
Beautiful, beautiful!
Kweli Yuko mrembo sana nakupenda Bure I wish ningekuwa mwanaume ningekuoa Kwa haki ya mwenyezi Mungu ❤❤❤
Mdada mzuri sana❤wazo langu uwe unazipunguza
Kweli apunguze bhana dah
kweli angezitoa maana wanaume tu wanavozinyoa sembuse yeye ashindwe kuzitoa ajikubali lkn kila mwezi afanye wax
Pole Sana dada angu inshallah mng akupe ujasir katk maish yako
Napenda sana mwanamke mwenye ndevu wao wana nyota ya utajili❤❤
Pole Sana Allah Akupe Subra Mashaallah Kwakweli Wewe Nimzuri Allah Amekujaalia
Unataka Spot Tuu au Unataka Kuolewa Pia....
😅😅😅😅aisee ni noooma sana mbona ni HANDSOME sana ivyo
Acha kumkufuru Mungu
MUNGU Asante kwa uumbaji wako🙏.
Watanzania mimi ni Mkenya hii condition inaletwa na High level of Androgens Ni kawaida tu. Ukitaka kuzitoa fanya mazoezi upunguze Mwili so that Mwili wako utengeneze fewer Male hormones. Wanaume Msimwogope Ni kawaida sana.
Njoo wewe umuoe
😂😂😂😂@@Clever-l8v
@user-ex6sh1rl4d 😂😂😂 na wewe
Kuna haja gani ya kusema wewe ni mkenya au uhusiano uko wapi katika taarifa yako kuhusu hio condition na wewe kuwa mkenya?
Tatizo la sisi na wakenya ni "bragging" sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kujitambulisha kama mkenya? Au kuwa mkenya kuna kusaidia nini? Or what is so special about Kenya that you should introduce yourself here before addressing this matter ?
Big up my dear. Jah be blessed our dreams because Be believe Him. 🙏
Ukwel dada anaitaji msada maan iyo ni changamot sana kua na mausiano ukwel anaitaji msada
I like to meet her,
Mie Mkenya ebu tuasiliane niko jijini Nairobi. ❤
ah weh,,mzuri ila usiniambie mustach huo nikae nao ndani,,,nop😊
Acha kusema hivyo ndugu Mungu ana mambo mengi sana sana, hajapenda
Mimi nimempenda sana natamani niongee nae ❤
MIMI KUCHEKA SIWEZ KUJIZUIA😂
Ila kuandika unaweza kujizuia!
@@jlove5238 katombwee
My situation right now mpaka mume wangu kaniacha kaoa mwingine juu ya marafiki kumcheka but I thank God for who I am
Sioo wakwanza ila naombeni like apaaa
Kumbukeni kuwa, juko nyuma hapakuwepo kwamba Mwenyezi Mungu kuumba namna , Hii inaonyesha kuwa SIKU ZA KIAMA ZIMEKARIIBIA.
Bukoba tuna kila kitu muacheni mungu aitwe mungu,senene sisi,miguu mizuri na mashepu ya wadada sisi,tetemeko Sisi,katerelo Sisi,ndizi sisi yani Noma😂😂😂😂
😂😂😂 umetisha Sanaa👊
@@waulaya8507 Bukoba ni full package 📦 aisee 😂😂😂
Mungu akubariki dada you're very beautiful indeed
Hajajua tu jinsi ya kuzifanya zisiote tena
Mwambieni atumie treatment ya " Laser hair removal" hizo ndevu ndio itakuwa kwaheri hazitaota tena.
Ni kitu simple tu kama kweli hazipendi.
Haina madhara
@@Petrolheadstz haina hata robo ni safe
Kwa Tz itapatikana??
Ipo@@stansiauisso5441
Inapatikana wapi? @@stansiauisso5441
Mzuri mashaallah jikubali Dada nimekupenda❤️
Dada Mrembo ww umependeza tu na ndevu zako kila kitu kinatokea kwasababu nimependa unajikubali
Mimi kama utasilimu nakutakan. Ilan nina wake watatu wewe utakua
Mungu ni mwema kwa kila jambo wewe nimzuri 😊
Hu nao ni mthihani masikini usijali dadaa ni Maisha tu hayo
kweli
Usivunjuke moyo dada angu mungu yupo
Si awe anazipunguza anaogopesha mwili wa mwamke kichwa tu ndio cha mwanaume.
Wewe huskiii akinyoa zinaongezeka zaidi jmn
Aje kwangu nko taari kuish nae❤🎉🎉🎉
Mzuri kama Muarabu
Fala wewe unayewatukuza waarabu kwamba ni wazuri
Sababu wanakufiraga sio Kenge wewe
stupid kwani waarabu ???
Unakaa powah dadangu na comment nikiwa hapa Kenya mimependa hizo ndefu...zako...Mii ninazo lakini chache Sana na hata zikimea siezi kumlaumu maulana ...yaani mimi na resemble Babangu❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣
si kuna dawa jamani angekua huku saudia naona vinaisha tu