Engine ambazo ni 2AZ FE zilikosewa kiwandani zilikuwa na faulty piston rings ambazo zina wear out faster na zinasababisha engine kula oil. Na toyota walitoaga recall notice ya hizi engine. Hii mistake imejirudia. Ilianzaga kwenye toyota tercell. Kikubwa ni kwamba ni vyema sana kuepuka hizi engine za 2AZ FE wakati wa kununua gari maana zilikosewa kiwandani (industrial deffects)
@@lyimoej7198 mie nadhani kula oil ni tatizo la oil mafundi wengi wanatia oil ya 20w50 kwa huku kwetu na husababisha hata guganda kwa oil ukifungua sample dish utagundua ilhal inatakiwa tutie oil ya fully synthetic 5w30 SM/SN inategemea mwaka wa engine. Mm binafsi nimeziona gari zenye engine hizo zipo zaid ya mileage 260,000 na zipo good condition.
A 1 basi inategemea na plant ambayo gari ilikuwa manufactured,, maana toyotas ambazo ni 100% made in japan zinakuwaga flawless. Hizi plants nyingine especially from mexico, na maeneo mengine kama centuky ni quite different. Sijachunguza kujua specific,, maana kwa huku tunatumia kilometres kuhesabu mileage,, kwa wenzetu wanatumia miles,, sasa mfano mile laki moja uki convert kwenye kilometres ina maana inafika hata kilometa milion kadhaa,, which means kwa huko abroad hilo tatizo linaanZia kwenye mile laki moja na something hence kwa hizo kilometre hapo inawezekana bado tatizo halija persist
corona happened my friend 😂, but no worries soon fresh content zinakuja just stay tuned, btw thanks for the love all the way from kenya really appreciate it.
Best east african car reviews!! Keep up the good work! Watching from 🇰🇪🇰🇪
From Uganda 🇺🇬 with love. I love this car and I Hope to get one soon
I appreciate the good work on reviewing locally available cars. Big up 👊🏾👊🏾 🇰🇪🇰🇪
Review ya mark x zio kwann zipo chache kwenye market
bt upo vizuri broo
Unajitaidi saana kuelezea vitu hongera nyinginge nyingi kwako umetisha saana mtuwangu
Naomba kujua kati ya hizo injini nne ulizotaja ni ipi mpaka sasa nafanya kazi vizuri tofauti na 2AZ FE inayokula sana oil??
Safi napenda ubunifu mzuri,naamin utaongeza aspects zaidi mbeleni.
Nice analysis...ila ingependeza kama utaongeza aongeze aspects kadhaa katika uchanbuzi, mathalani vitu kama: Oil gani inashauriwa itumike, performance parameters, tryres.... nk.
sawa mkuu nitalifanyia kazi hili
Keep up the good work bro. 🔥🔥🔥🔥
Asante mtaalam, tufafanulie TOYOTA WISH sifa zake na uwezo wake pamoja na bei yake kwa matoleo yote
Good work kaka... kindly review Subaru Impreza Hatchback
Bro channel yako ilikua inakua faster sana. Umefanya uzembe. Jitahidi urudi, unaelezea vizuri sana.
nashukuru kaka, tunarudi
Tuletee Other Review's where are you Sir?
Uko vizuri sana bro next review utuletee V8
Fanya review ya townhiace pickup
Nice presentation bro..
Next time fanya review ya Toyota brevis na vitz new model
Naitaji uifanyie review Toyota wish
Fine work brother!!
Unaweza kubadilisha dashboard ukitaka
inapo waka taa kwenye dash board sehemu ya mafuta inamaanisha nini ile taa ndongo ukiacha kakikombe? naomba msaada kujua
Great review !
Smart host 🔥
boss tunaomba elimu ya toyota brevis
Uko vizur bro. Thanks kwa izi video. Crown, altezza ukipata nafasi 🙏
ondoa shaka nalishughulikia
Tunaomba ututajie na bei boss
Big up sanaaa broda
Review Toyota vanguard
safi sana
Bro big up sana. Nice and honest review
fanyia review ya premio
Nzuri
Visionaries engine tu unaelezea na transimision inaspeed ngapi
Kaka umesahau gearbox kuna yenye gear 4 na kuna yenye gear tano
Chambuzi zako ziko poa sana chief ila naona hujarelease video nyingine mda sasa, fanya jambo
Safi sana mkuu naomba ufanyie review Toyota noah za aina zote nazo zinachanga sana ni ipi brand nzuri Zaidi new model au old modal?
Mkuu fanya review ya Toyota prius C na
Renault Kwid
Tunaomba review ya corrola alex plz bigup sana kwa kazi nzuri
Napita pita mzee hope unaendelea fresh
afya imeanza kutengemaaa sasa naweza fanya movement mbili tatu
Brother uko vzur next episode explain 2generation ya toyota harrier n miongon mwa gar nnayoifkria
ondoa shaka soon naachia content motomoto
Great Review
Engine ambazo ni 2AZ FE zilikosewa kiwandani zilikuwa na faulty piston rings ambazo zina wear out faster na zinasababisha engine kula oil. Na toyota walitoaga recall notice ya hizi engine. Hii mistake imejirudia. Ilianzaga kwenye toyota tercell. Kikubwa ni kwamba ni vyema sana kuepuka hizi engine za 2AZ FE wakati wa kununua gari maana zilikosewa kiwandani (industrial deffects)
Za mwaka gani zilokosewa maana hii engine ipo kwenye harrier 2002 mpk 2013 na rav4 2005 mpk 2013 zipo ok
A 1 2007 mpaka 2009 zikishafika mileage za juu sana zinaanza kula oil
@@lyimoej7198 mie nadhani kula oil ni tatizo la oil mafundi wengi wanatia oil ya 20w50 kwa huku kwetu na husababisha hata guganda kwa oil ukifungua sample dish utagundua ilhal inatakiwa tutie oil ya fully synthetic 5w30 SM/SN inategemea mwaka wa engine. Mm binafsi nimeziona gari zenye engine hizo zipo zaid ya mileage 260,000 na zipo good condition.
A 1 basi inategemea na plant ambayo gari ilikuwa manufactured,, maana toyotas ambazo ni 100% made in japan zinakuwaga flawless. Hizi plants nyingine especially from mexico, na maeneo mengine kama centuky ni quite different. Sijachunguza kujua specific,, maana kwa huku tunatumia kilometres kuhesabu mileage,, kwa wenzetu wanatumia miles,, sasa mfano mile laki moja uki convert kwenye kilometres ina maana inafika hata kilometa milion kadhaa,, which means kwa huko abroad hilo tatizo linaanZia kwenye mile laki moja na something hence kwa hizo kilometre hapo inawezekana bado tatizo halija persist
Ina bei gan kaka
Naomba reviw ya nissan murano plz
Pleas Review Toyota sienta
Ni bei gani kaka angu?
Boss wangu, nitafurahi sana Ukiielezea Toyota Auris
Naisubiri kwa hamu Subaru Forester old model
Naomba utuonyeshe jinsi ya kukunja seat za magari ya Toyota.
Kindly do review of Toyota Sienta
Engine uliyotaja number-3. 3MZ FXE ina CC 1300??
Kitu kama kluger ina engine variants tatu,
Gasoline:
2.4 L 2AZ-FE I4
3.0 L 1MZ-FE V6
3.3 L 3MZ-FE V6
Ulete land rover dicovery manual transmission au both transmission and auto
Review na Renault auto transmission
nzuri
Kaka mbona kimya kingi sana kulikoni
Sijasikia hiyo gari gearbox yake gia ngapi?
Fanya review ya corrola fielder
ipo vema sana
Naomba bei
Wanasema kluger kuna aina ya engine sio nzuri ni kweli...
Mbona kimya skuizi garinyingi huzitoi piaupo vzr mno
Dah, mbona umeacha kuproduce content?
aisee soon fresh content zinakuja dnt worry
Broo fanya crown broo
goood show keep on.
Nice
Mimi napenda kluger je? bei halisi ni ngapi? wengi wanatudanganya
Nice presentation
neat review! endelea hiv hiv
Fanya review ya RAV4
Kazi nzuri sana
Review Toyota wish
Maeleozo ya ractis plz broo
Vipi Toyota crown
Naomba review ya Toyota Vanguard
kiongozi jitahidi kuonyesha kila kitu unacho kiongelea
Fanya Probox na rav4
Naomba tusaidie mawasiliano
Dah madini haya mkuu, haya mie bado nakukumbusha tu ka vitz new model Hahaha # ndinga za bongo
nakumbuka mzee nalishugulikia hili
Tufafanulie Toyota crown
Hiyo kluger ya 2AZ FE Ina vuta tairi za mbele au za nyuma ? Na HP yake umesahau kutaja
Shida umepotea mkuu
Review ya toyota raum
Wewe unapatikana wapi na bei gani?Mtwara
Naomba uizungumzie Subaru forester old mzee nazikubali sana
Nimependa.
Toyota harrier
Sema pia na Bei
Fanyaaa Toyota premio
Good
Habali naomba unidadavulie gali aina ya toyota vista ardeo
Bro what happened to this beautiful channel? A concerned kenyan follower asking
corona happened my friend 😂, but no worries soon fresh content zinakuja just stay tuned, btw thanks for the love all the way from kenya really appreciate it.
Kipumzisha kicha kinaitwa headrest, kipumzisha m(i)kono ni armrest.
Fanya review ya Toyota Hilux new model..
sawa more videos coming
Bei ni ngapi hela ya tanzania
Hope tuungane kufanya car reviews i think we share common interest ...
Nzuri kaka
Nataka kuona halia
Uwe unataja na bei
Review toyota prius asee,,,,
Runx please
Hongera aisee, tuwekee zote
Hadi Toyota tactics, sienta ,raum wish nk.......
Mtu aangalie pakwenda
Fanya ya bmw 6 series
Ninaomba ufanye uchambuzi wa Crown athrete