Nimependa sana ufafanuzi wako, naomba kufahamu kuhusu Toyota fortuner, kuna Gx, Gxl, legendary, face lift, Gr sport nk, je ipi ni bora zaidi kwa everything including cost, maintenance, fuel consumption, comfortability, safety, and so on.
Kaka uko vizuri sana kufanya review na details nakusifu na ninakufatilia lkn jambo moja linahitaji ulifanyie kazi sound producer wako, makelele ni mengi wakati unazungumza tunaomba tukusikie wewe tu hayo makelele yatoke
Oya ukiona wabongo tumekubali ujue unajua nmekubali sana na hii ndo gari nitayonunua asee big umetisha. Bongo hakuna kama mchambuzi wa magari anaejua kama ww.
Tulimwambia east cars afanye review zenye quality akabisha haya sasa watu wanaamia kwa dr mechanics
Ukweli tuseme.
Kuna watu wanachambua magari hapa bongo ila Dr. Mechanics unaupiga mwingi balaa, reviews zako ni 🔥 Uko vizuri broo hongera sana
Kaka naomba unifanyie REVIEWS ya SUZUKI ESCUDO YA 2016 naiona unyama sana
Nimekua nikisubiri review ya hii gari, thanks sana 👏👏👏👏👏👏
Great. From mombasa Kenya, your content is amezing, nimejifunza
Well-done Dr.Mechanics. Uchambuzi kwa wakati wake. Wow! Umeupiga vya kutosha mtaalam🙏🙏🙏
Best car reviewer in town ❤🔥
Unatusaidia sanaa kaka asanteee sana na hongeraa piaa,, tafadharii naomba ufanyee review ya honda insight 2010.
Good
Nimependa sana ufafanuzi wako, naomba kufahamu kuhusu Toyota fortuner, kuna Gx, Gxl, legendary, face lift, Gr sport nk, je ipi ni bora zaidi kwa everything including cost, maintenance, fuel consumption, comfortability, safety, and so on.
Nakukubali sana mtu wangu,endelea kutuletea vitu...
Review ya SUZUKI ESCUDO 2016
Gari nzr sana , nasumbuka na spear hakuna mpk sasa na wa2 hawaleti au km kuna duka mshajihishaji unalijua wanaouza spear za hii gari naomba utujuze
Naomba Namba Yako
kaka nataka nilinunue nipe namba yako nikuulize baadhi ya vitu
Kaka vyema Kaka👏👏👏
Naomba mnizawadie. Alaf niitangaze huku tunduru mtakuja kunishukuru
Brother appreciate wat u do 💪🏽🙏 tunaomba Audi Q7 na Vanguard
Tunaomba review ya toyota wish
Naomba review ya honda CR-V MK2, sababu zinaingia sana sikuhizi hapa Tanzania
Kaka uko vizuri sana kufanya review na details nakusifu na ninakufatilia lkn jambo moja linahitaji ulifanyie kazi sound producer wako, makelele ni mengi wakati unazungumza tunaomba tukusikie wewe tu hayo makelele yatoke
How much price?
Mtaalam wa Magari
Toyota blade naomba review @Dr mechanics
Hii gari naipenda sana
Naomba review ya Mazda Verissa
Safi sana
How much is this particular one going for?
Mbona hujafanya review ya back seats kiongozi
Niuzie
Hio Honda ya cc1800 ni bei gan na hio ya cc2000 nipe bei
Review Toyota Raize pamoja na bei yake
❤❤
Hiyo Gari sh ngapi?
Brother nataman kuijua Mazda demio hii gari naipenda kimuonekano lakin sijapata bahati ya kuijua vizuri msaada
Dr ndyo zina simamia bei gan hizi?
25m chasis
As far as i know hii gari haiji na spare tire…. Hakuna zinazokuja na tairi la akiba?
Kaka wamekumosea nini wa Premio😂. All in all review nzuri sana, the car is worth it
😂
Kenge atakuambia haina spare
Camera imekaaa vizur
Kaka tunaomba namba za sim ninashinda gari yangu imekuwa kotrobox utanisaidiaje upatapo sms nijibu asante.
Gari yangu Honda HRV
Kaka hiyo location mbona kama gymkhana 😢
Mwaka 2010 Honda wali discontinue utengenezaji wa Honda crossroad. CRV imeanza kutengenezwa kabla ya 2nd generation Honda crossroad
Kweli je vipi upatikanaji wa spare
Ndio mnajua leo kuhusu gari za Honda
Honda yangu inakosa nguvu kwenye milima msaada ndugu
Mweshimiwa nina shida ya ongea nawe kwa cmu
Show room inachukuwa kiasi ngap? Na kuagiza kiasi gan ?
Mpaka 17ML
Hii gari naipenda sana ila changamoto ni spare part kupata spare ndoto tu ni shida dijajua kwa nn watu wengi hawajachukua hii gari
spare una agiza online tu ni gari poa sana ulaya ni gari ya kipenzi cha wengi hasa usa 🇺🇸
Kama wewe usivyo nayo
@@denisrukangula2227😂
Really want to purchase this car, send your contact here
Bituminous no yako ya simu
kaka kipindi kijacho review volkswagen touareg
Honda ipo kama HAMA.naitaka Honda CROSSROAD
Hiyo kioo kuipata ni hadi japan
Oya ukiona wabongo tumekubali ujue unajua nmekubali sana na hii ndo gari nitayonunua asee big umetisha. Bongo hakuna kama mchambuzi wa magari anaejua kama ww.
watu wameng'ang'ana na IST tu vigari kama birika wakati kuna vyuma best zaid kama izi
Nitapataje naomba yako ili tuogee
Lakini CROSSROAD neno la kiingereza sio kijapani
Kwani Galaxy ni neno la kijapani mbona unanunua simu
@@sadih5333 unawashwa? 🤔
Huyo alie kuleta mjini na kukufunza kiswahili alikuambia kua wanaume huku tunatahiriwa?
@@sadih5333 kama wewe bado una govi, nenda kwa ngariba akung'ate
Kuiagiza toka Japan mpka kufika bongo bei gani kwa used
Kuagiza 20m, used ni 18m to 19m
Honda shida ni spare.Spare zipo japan gari ipo Tz
Shida ni hao waletaji wa spare honda ipo vyema