Kuhusu kuungua kwa nissan dualis, ni kweli zinaungua kutokana na shorti. lakini sababu ya hiyo short ndo haziko sahihi...CVT transmission haina physical gear like traditional automatic gear box.. CVT is a belt driven transmission equipped with two conical pulleys that are responsible for varring gear ratio..sasa ukisema gear zina pandiliana no.....nissan dualis zinaungua kutokana na mtu kuleta michezo kwenye IPDM module ambayo ndo fuse box inayo manage all electric activities kwenye hiyo gari
Business diary; maswali mazuri na majibu mazuri. Nimeongeza ufahamu. Heko kwenu sns pia kwenu Cairo. Nitawafikia hapo umenigusa kwenye zana za kilimo. mfano Trekta
VW nmeziona sana mwaka jana afu amjazungumzia
Gari nzuri na number 1 ulimwenguni toyota vitz.
Asanteni SNS for Having me again. Mbarikiwe💐💐
Ilipendeza kuonyesha picha pia
Pokezi zangu kwa huyu meneja Cairo salute kwako kwa uchambuzi mzuri biashara ni matangazo
Mr Sabby yuko wazi kabisa kwa bei tofauti na wengine
Ubarikiwe🎉🎉
Tofauti na akina doto anakuambia hii toyota ist 20M usije na fundi wala kuulizia km kwani ww miaka yko unaijua
ur so genuine
Kuhusu kuungua kwa nissan dualis, ni kweli zinaungua kutokana na shorti. lakini sababu ya hiyo short ndo haziko sahihi...CVT transmission haina physical gear like traditional automatic gear box.. CVT is a belt driven transmission equipped with two conical pulleys that are responsible for varring gear ratio..sasa ukisema gear zina pandiliana no.....nissan dualis zinaungua kutokana na mtu kuleta michezo kwenye IPDM module ambayo ndo fuse box inayo manage all electric activities kwenye hiyo gari
Niko muleba kagera nitumie mawasiliano ya mpakani mutukura
Business diary; maswali mazuri na majibu mazuri. Nimeongeza ufahamu. Heko kwenu sns pia kwenu Cairo. Nitawafikia hapo umenigusa kwenye zana za kilimo. mfano Trekta
Kaka Mambo vp mm nataka gari