Toyota Passo Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Tumekuletea Toyota Passo gari ya bei nafuhu na rahisi kuimiliki na kuinunua, tumechambua faida na hasara zake
    social media:
    instagram;. ...

ความคิดเห็น • 115

  • @jemmylove100
    @jemmylove100 3 ปีที่แล้ว +1

    You are the best kaka!! Ulivyo itetea passo unawezamfanya mtu aende yard straight forward baada ya kuangalia hii video

  • @allyndewa9225
    @allyndewa9225 4 ปีที่แล้ว +18

    Maelezo yako poa sana, unatufanya tununue kitu ambacho tunakielewa..umeleta ukombozi mana weng tunavamia tu

  • @brianmulenga6256
    @brianmulenga6256 3 ปีที่แล้ว +11

    even though i cant understand ur language ur review is the best that have seen so far among african vloggers

  • @0yh964
    @0yh964 3 ปีที่แล้ว +6

    Shida Siyo engine ya 1Kr-Fe. Shida ni sisi waswahili. Hivi unajua kwamba hiyo engine ya 1KR-Fe ilichukua tuzo ya International Engine of the year sub ya 1000Cc kwa miaka minne mfululizo (2007 mpaka 2010). Halafu sisi ndio tunaita engine mbovu.
    Unakuta mtu ana engine kama hiyo halafu anaweka Oil ya 20W 50. Halafu unataka engine isikusumbue? You can't be serious.
    In short hii gari ukiweza kuiservice kama inavotaka basi unapiga nayo root kwenda mkoa wowote.
    Ni kama tu watu wanavyozilalamikia engine za 1AZ-FSE D4. Yaani vitu vyote vinavyotaka matunzo wabongo lazima wavilalamikie. Kwa sababu wanapenda kufanya mambo mengi kienyeji.

  • @daudjohn752
    @daudjohn752 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa mkwer sana .. Kwenye kuwa bomoa anawabomoa kweri kweri na penye kusifia anasifia saf sana.

  • @feliciansanyenge
    @feliciansanyenge 4 ปีที่แล้ว +2

    Well done brother, elezea wish

  • @Taifadigital
    @Taifadigital 3 ปีที่แล้ว

    boss naomba ukiona hi comment unitafute 0762575128

  • @deno174
    @deno174 3 ปีที่แล้ว +4

    Watching from Kenya. Good work

  • @yonandekirwa4635
    @yonandekirwa4635 3 ปีที่แล้ว

    Uko vzr Bro, endelea kutuwekea review za magari mengine mfano Sienta, Vitz & Ractis

  • @exerlex8043
    @exerlex8043 3 ปีที่แล้ว +2

    Man review nzuri sana. Keep it up. Nataka kununua Toyota RunX ikoje hii?

  • @dismasgerald3497
    @dismasgerald3497 2 ปีที่แล้ว

    Brother unajua kuelekeza vzr sana

  • @jayfinest6987
    @jayfinest6987 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana bro umeeleza vizur sana, mimi sio mtu wa magari lakin nimekuelewa kiurahisi kabisa

  • @BahatiKweli
    @BahatiKweli หลายเดือนก่อน

    😂aisee unatetea hapohapo unaponda, ila kulingana na uwezo wa gari, tajiri ataamua mwenyewe!

  • @thegoodoldtwinsepisodes9641
    @thegoodoldtwinsepisodes9641 4 ปีที่แล้ว +2

    I think you need to rectify at around 1:04 of the video where it gives the details " 1KR-FE, 4 CYLINDER, CC 996".... shouldn't it be 3 cylinder?

    • @ndingazabongo8613
      @ndingazabongo8613  4 ปีที่แล้ว +1

      Thanks.. aloot. its a typing error.. you are right

  • @2wheelereyes521
    @2wheelereyes521 2 ปีที่แล้ว +1

    Kevin kutoka kenya... Sija wahi ona review nzuri kaa hii kwa lugha ya kiswahili.
    Umeeleza vizuri saana ndugu.. nina subscribe leo walaii!
    Swali moja tu lakini ndugu, uki li nganisha Passo hii model na Vitz old model, gani nzuri?
    Umbo wa mwili wangu ni mrefu kama futi 6.6. ni gari gani dogo una weza recommend ni nunue?
    NOTE: nili taka kununua Passo 1300cc, lakini baada ya kuona Review yako, sita inunua kwasababu ya hizo joints ume ongelea. Mahali niko barabara haileti shagwe na kwa hivyo siezani nayo.
    Ninge pendelea gari strong.

  • @lyimoej7198
    @lyimoej7198 4 ปีที่แล้ว +2

    Daihatsu company imenunuliwa na toyota 100% which means hata magari yao ni reliable as toyota ndiyo parent company. Just like toyota rush ni daihatsu cami a.k.a terios but as long as ni toyota engines with aisin transmissions it is a good buy. Toyota ni king of reliability

  • @doctormkawa3313
    @doctormkawa3313 3 ปีที่แล้ว +3

    It's a Good job brother, well done Maa shaa Allah

  • @ernestmbwana6282
    @ernestmbwana6282 3 ปีที่แล้ว +2

    Blaza maelezo yako yananipa sababu kadhaa kuangalia video zako zingine. uko vizuri be bless

  • @beammoyo
    @beammoyo 2 หลายเดือนก่อน

    Bei Gani iyo broo

  • @mwikwabematiku379
    @mwikwabematiku379 4 หลายเดือนก่อน

    Naitaji isn't ya kununua

  • @kefamfilinge2729
    @kefamfilinge2729 ปีที่แล้ว

    Kuishiwa nguvu Paso tatizo nn

  • @atuganilekibanda6922
    @atuganilekibanda6922 4 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha brooooo .....paso pasua

  • @alexisbulimwengu1743
    @alexisbulimwengu1743 4 หลายเดือนก่อน

    Yani tusi nunuwe mbona mimi nime nunuwa passo new model 2011 ambayo ina poston ine

  • @Doya-rw5qb
    @Doya-rw5qb 3 หลายเดือนก่อน

    Uwakika

  • @eliudkapinga9799
    @eliudkapinga9799 ปีที่แล้ว

    Ninayo kaka naomba kujua loteshen isizidi ngapi kwa ili nikae nayo mda mrefu?

  • @TheLifeofRandy
    @TheLifeofRandy 2 ปีที่แล้ว

    Really wished you spoke English. I don't understand what you are saying but I really like your expressions

  • @thomasishausi2192
    @thomasishausi2192 4 ปีที่แล้ว +2

    nimekuelewa vibaya mno

  • @sigifridaloyce6515
    @sigifridaloyce6515 3 ปีที่แล้ว

    uko vizur kaka

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 4 ปีที่แล้ว +1

    Njoo na TOYOTA RACTIS please bro

  • @selektrealestate3044
    @selektrealestate3044 2 ปีที่แล้ว

    You need to get back out there..... amazing content ila umeacha kutengeneza content you probably have the best car review in TZ as car enthusiast we need more context like this

  • @lydiakiilu7607
    @lydiakiilu7607 3 ปีที่แล้ว

    Hello I am looking to buy cv joint for my passo 2009 model which one should I buy

  • @kigogoadam1086
    @kigogoadam1086 4 ปีที่แล้ว +1

    Paso pasua

  • @jorammwasyoge7137
    @jorammwasyoge7137 ปีที่แล้ว

    Naomba tuichunguze Nissan Murano

  • @medardtaligilsa8938
    @medardtaligilsa8938 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauzwa kwa tsh ngapi

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana broo ,,nichambulie corolla x

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 ปีที่แล้ว

    Lakini pia naomba utuwekee video ya toyota estima,honda insight na honda streem,,,, shukurani na kazi njema kwako.

  • @jonathanmoshi9000
    @jonathanmoshi9000 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nasubiri ya Vits

  • @fidesmosha7765
    @fidesmosha7765 3 ปีที่แล้ว +1

    Unafafanua vizuri sana,asante sana.

  • @doctormkawa3313
    @doctormkawa3313 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuambie na bei

  • @laskomlay4896
    @laskomlay4896 3 ปีที่แล้ว

    Naomba maelezo ya altezza 3sge hata watsp 0787886938

  • @jnoil2760
    @jnoil2760 2 ปีที่แล้ว

    Brooo brevis au crown plz

  • @rolandbushumba2363
    @rolandbushumba2363 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa hapo kwenye hiyo ya 3 cylinders

  • @lemwasgraphics7486
    @lemwasgraphics7486 3 ปีที่แล้ว +1

    tuletee toyota Raum

  • @esterurassa363
    @esterurassa363 2 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu PASSO New Model

  • @oupabrillecarr9318
    @oupabrillecarr9318 2 ปีที่แล้ว

    Like to see passo dash board what does all the lights meao.

  • @alihassanmwinyi6547
    @alihassanmwinyi6547 3 ปีที่แล้ว

    Prado land cruiser EX, box body!

  • @سعيدالشكري-ت8م
    @سعيدالشكري-ت8م 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no yako please kama huto jali

  • @swagatdebracy6447
    @swagatdebracy6447 4 ปีที่แล้ว +1

    Tulete Harrier bro

  • @amanevance610
    @amanevance610 4 ปีที่แล้ว

    Zungumzia pia kuhusu toyota brevis

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 2 ปีที่แล้ว

    Review Toyota spacio

  • @soudminal2801
    @soudminal2801 2 ปีที่แล้ว

    Bro twataka kufahamu kuhusu toyota spacio

  • @rakibuabubakary839
    @rakibuabubakary839 2 ปีที่แล้ว

    Engene gani ina fanya kufanyia uber

  • @bakarijabiri7526
    @bakarijabiri7526 3 ปีที่แล้ว

    naomba maerezo ya toyota spacial new model

  • @orestleon50
    @orestleon50 3 ปีที่แล้ว

    Fanya review ya Toyota noah old model

  • @piusvincentkihiyo499
    @piusvincentkihiyo499 2 ปีที่แล้ว

    Umetisha kaka , good review

  • @africmoshy6107
    @africmoshy6107 4 ปีที่แล้ว

    Safi sanaa anii kk info km zotee naamini utapitia magari common yote ya bongo

  • @emmanuelnundwe119
    @emmanuelnundwe119 3 ปีที่แล้ว

    Kwema mkuu probox vip

  • @charlesfundisha6376
    @charlesfundisha6376 3 ปีที่แล้ว

    Blaza wee unauza magari pia au ni mtaalam wa magari

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว

    Gari yangu jamani nakapenda!

  • @medardtaligilsa8938
    @medardtaligilsa8938 3 ปีที่แล้ว

    Naulizia Toyota lasso cc 1500

  • @dismasgerald3497
    @dismasgerald3497 2 ปีที่แล้ว

    Broo fafanua gari ya toyota ractis

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana ila mimi naomba nikuulize kitu,,, kwanini kila gari inayoelezea ni Toyota tu kwanini Sio hata Honda.

  • @kgchippy
    @kgchippy 2 ปีที่แล้ว

    Good description broo 👌

  • @livinusmtashobyaa3197
    @livinusmtashobyaa3197 2 ปีที่แล้ว

    Naomba reviews za vts

  • @papaamopao51
    @papaamopao51 3 ปีที่แล้ว

    Na passo piston 4 ina changamoto gani

  • @ezekiamwampashi-df5hj
    @ezekiamwampashi-df5hj 4 หลายเดือนก่อน

    Big up

  • @Any2226
    @Any2226 2 ปีที่แล้ว

    Nice bro

  • @modesthenrykitange2397
    @modesthenrykitange2397 3 ปีที่แล้ว

    uchambuzi mzuri sana.
    Naomba kama unaweza uchambue gari aina ya SIENTA

  • @gracemaro4064
    @gracemaro4064 2 ปีที่แล้ว

    elezea Toyota Raum

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 3 ปีที่แล้ว

    Broo naomba namba zakooo

  • @joshjoackimjacksonkisoso2914
    @joshjoackimjacksonkisoso2914 3 ปีที่แล้ว

    Mzee 1kr ni 3 piston

  • @Any2226
    @Any2226 2 ปีที่แล้ว

    Nice bro

  • @alexjeremia6471
    @alexjeremia6471 3 ปีที่แล้ว

    itolee ufafanuzi Toyota raum

  • @abdulgreg5909
    @abdulgreg5909 ปีที่แล้ว

    Safii

  • @doncandy8919
    @doncandy8919 3 ปีที่แล้ว

    Hujataka Bei

  • @robertmanase6423
    @robertmanase6423 4 ปีที่แล้ว

    Dah Mr madata vipi tena

  • @directorxd8806
    @directorxd8806 3 ปีที่แล้ว

    Ractis vipi

  • @issakakijaband1373
    @issakakijaband1373 3 ปีที่แล้ว

    Uko saf kaka

  • @gabrielaloice7058
    @gabrielaloice7058 2 ปีที่แล้ว

    Inaweza kilometa 700 hyo?!!

  • @abdulgreg5909
    @abdulgreg5909 ปีที่แล้ว

    Safio

  • @سعيدالشكري-ت8م
    @سعيدالشكري-ت8م 2 ปีที่แล้ว

    Mm ukwel naipenda sana hii gari sijui dukan au iliotumika inauzwaje

    • @mandyfitnesstv6738
      @mandyfitnesstv6738 ปีที่แล้ว

      Kuanzia M3 kwenda juu

    • @motv-ub3qj
      @motv-ub3qj 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@mandyfitnesstv6738m3 kwa mtu au

  • @raphaelsendalo4456
    @raphaelsendalo4456 3 ปีที่แล้ว

    Kulger l

  • @kilomberotelevision7409
    @kilomberotelevision7409 4 ปีที่แล้ว

    Review ya crown athlete plz

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 4 ปีที่แล้ว

    Gotcha bro

  • @elibarikimmollelnawapatavi7361
    @elibarikimmollelnawapatavi7361 3 ปีที่แล้ว

    Bei gapi hiyo jibu

  • @dr.njipaysophon3209
    @dr.njipaysophon3209 4 ปีที่แล้ว

    Broh tufanyie toyota brevis

  • @umaiyyah9130
    @umaiyyah9130 4 ปีที่แล้ว

    je naweza kusafiri nayo umbali mlfu

    • @ndingazabongo8613
      @ndingazabongo8613  4 ปีที่แล้ว

      yeah unaweza mimi nmesafiri nayo mara kadhaa ipo vizuri tuu sema kwa engine kama 1kr sikushauri sana kama ww ni mtu wa safari sana hii engine haina nguvu sana kwa vile ni piston tatu lkn ukipata ya piston nne inachapa kazi tuu

    • @umaiyyah9130
      @umaiyyah9130 4 ปีที่แล้ว

      Ok nashkuru sana maana watu wanantisha sana mbk nilikua naogpa kusafir nacho

    • @nelsonalex2513
      @nelsonalex2513 4 ปีที่แล้ว

      @@ndingazabongo8613 nakuubaliiii Mzee Baba embu naomba zungumzia crown athletic kaka tuish umo

  • @shedrackmbilinyi
    @shedrackmbilinyi 3 ปีที่แล้ว

    rumion mkuu vepe

    • @noortz9416
      @noortz9416 3 ปีที่แล้ว

      Nimekukuta huku tens unaulizia rumio ..inaelekea IPO kwenye roho yako kamamimi...

    • @manitmany966
      @manitmany966 2 ปีที่แล้ว

      Boss

    • @manitmany966
      @manitmany966 2 ปีที่แล้ว

      Phone number