Daah my dear thank u very much for this video..yaani nimefanya haya one week na siyo effective sana but nimeona matunda yake..niliosha nywel jmosi ya tar 18/1/2020 na ninmeosha nywel na nilifanya steaming ya kitunguu maji na saumu then nika weka leave in condition ya bamia..then nikaendelea na kuhudumia nywel usiku tu kwa kutia maji na gel ya bamia then leo nimeosha kwakwel nywele ni nzito na ndefu kiukwel nimeona mabadiliko i wish kutuma picha but sina watsap no yako be blessed
Daah asnte kwa kunipa somo but naomba namba ako dada yaaan mie nywele zangu n nyepesi yaan kipilipili nifanyje ili zikuee naomba unisaidie au nitmie mafuta gani???
Bamia sio mafuta dear ni leave in conditioner.. unachemsha maji kisha unakata kata bamia unaziloweka kwenye maji... baada ya Saa moja unazichuja.tayari kwa matumizi
Kama utaweza kupata mafuta ya vatikan yanasaidia sana mimi pia nywele yangu ilikuwa ngumu lkn saivi ni raini japo nikiosha kuja kuichana naumia ila km unaweza kufunga na rolaz haiumi
@@gracebimz7935 naomba nisaidie na jinsi ya kuondoa unga mweupe utokanao na kupaka jelly nywele zikiwa kavu, nilifanya bila kujua leo nimeona video yako ndo nimejua sa naosha lkn wapi hayatok
Anza kwa kupima kwanza aina ya nywele zako, kisha fata ratiba maalumu ya matunzo ya nywele (niliiotoa kwenye video zangu za nyuma kidogo), kisha nunua bidhaa za nywele asili na uanze matunzo
Bamia ni nini aki kiswahili ya bongo ni ngumu sisi wakenya our swahili is good and horrible hahahhaha... Much love from Qatar
Bamia kwa kingereza ni OKRA dear. Na hio ni okra gel❤
Mabenda my
Magz Akky jh
😂😂😂😂 at wakenya swahili yenu ni nzuri aaawap bongo ndio imeeleweka kenya nachekaga nikienda club nianze kuongea na wenyeji 😂
Ya ni Mazur mafuta hayo ya nazi ninayo. Kumbe bamia Lako nikajuwa olijino
I always like your vedio yanisaidia sanaa nimekuza nywele zangu kwa miezie misita
Woooow Hong sana mamy nafurahi kusikia hivo ❤❤❤❤
Unatumia bamia kila siku au
Daah my dear thank u very much for this video..yaani nimefanya haya one week na siyo effective sana but nimeona matunda yake..niliosha nywel jmosi ya tar 18/1/2020 na ninmeosha nywel na nilifanya steaming ya kitunguu maji na saumu then nika weka leave in condition ya bamia..then nikaendelea na kuhudumia nywel usiku tu kwa kutia maji na gel ya bamia then leo nimeosha kwakwel nywele ni nzito na ndefu kiukwel nimeona mabadiliko i wish kutuma picha but sina watsap no yako be blessed
Wooooow Napenda sana matokeo mazuri dear, hongera sana. Jitahidi kufata ratiba hutojuta mamy. WhatsApp number ni 0752320329
Nauliza naweza fanya ata kwa nywele zenye dawa?
I love parachuti coconut oil. I use all over from my hair to body and my baby too. Once I start growing my hair I’ll use this trick. Thank you 😊
Oww kwel dear n mafuta mazuri sana, ok utanipa feedback ukianza kutunza nywele
Naweza tumia jelly ya alovera na sio bamia?
Hair growth zinaptikn wapi pmoj na hair butter
Karibu dear tunatuma. Tutafute kwa 0752320329
@@gracebimz7935 mbn text hamjibu wal simu hampokei jmniii kun nn
Dad mmb samhn naomb unielekez namun ya kutumia
Mhhh usiku tu😳😳Apana dear
Tunasema usiku kwa sababu mwili unakuwa umerelax na ukifanya hivi kila usiku hapo kwa wiki mbili tu utakuja hapa kunipa mrejesho dear
Apo sawa dear nkajua ukifanya hvyo usiku mmoja tu basi znakua
Je kwa sis tunaoanza kufuga nywwl yaan ni fupi kbs tunafany aje??
Daah asnte kwa kunipa somo but naomba namba ako dada yaaan mie nywele zangu n nyepesi yaan kipilipili nifanyje ili zikuee naomba unisaidie au nitmie mafuta gani???
Karibu dear 0752320329
Samahani.kwani.ukitumia ile shower cap(kofia.zila.plastic) nikosa
Ni sawa kabisa mamy
Ukiamka asubuhi zinaoshwa au zinabaki ivo ivo?
Ukishatia bamia usiku asubuhi ni lazima uzikoshe ama??
Nitafurahi kupata muongizo zaid
Naomba kuuliza hivi kuweka blichi je nikiichoka naweza kubadili au mpaka ninyoe
Omgeza sauti dear sauti yako iko chini hatusikii
Sawa dear nalifanyia kazi
Dada mimi nafata,vidéo zakosana,sasa,nataka,kujua,gisi,yakutengeneza mafuta,ya bamiya,asante
Bamia sio mafuta dear ni leave in conditioner.. unachemsha maji kisha unakata kata bamia unaziloweka kwenye maji... baada ya Saa moja unazichuja.tayari kwa matumizi
Naomba kuuliza. Naweza kukuza nywele Vila kusuka?
Ndio lakini usiku ufunge mabutu
Asante
Asante dada naukiamka unazikosha Au unasuka tuu
Je Kama nywele za dawa inakzwaje
Ahsante mrembo
Naomba namba yako
Ukisha paka hivo unaruhusiwa kuziosha asubuhi yake?
Hapana dear, bamia hutumika Kama leave in conditional. Kwahio hatuioshi
Vp Dada yangu unapatikana mkoa gani
Niko moshi dear
Basi wife anakufuatiliaga Sana nifanye naye yuko moshi au tupatiye namba yko
Ili mwonane c pia tuko moshi
Nzuri dia..... mic u
Miss you more dear
Napenda nitwisti nywele yangu ila inafunguka sijui why ..nahisi coz ya juu inadawa bado
Yes dear itakua kwasababu juu inadawa.Unakatia ncha?
@@gracebimz7935 bado sijakata coz ndio naanza kuhudumia ninatwo weeks tangu nianze
Iyo bamia umeitengenezaje maana hata sisikii
nomber zako naziomba jmn ninahitaji kukutana na ww ana kwa ana
But sina sprat bottler na thatin cap ya kuvaa napata shida sijuii nitapataje dear
Je unaweza tumia bidhaa za Cantu kama ulishawekaga nywele dawa
Tu heleze vizuri bamia ni nini
Mbona ww una nywele au sio nzuri kwako
Bado sijaridhika nazo dear. Pia sina asili ya nywele, nazihudumia vizuri ili zikuwe. Nisipozihudumia hazikui
Me naona hapo yamekua maana nishawai kuona video yake kuna utofaut na kiukwel bamia ni zur saaana
Vp bamia inakaa kwa sku nagp kwa chupa au aialibki
Nina nywele ngumu sanaaa yn hadi kusuka nawaza nifanyaj ss ili zilainike me selina
Kama utaweza kupata mafuta ya vatikan yanasaidia sana mimi pia nywele yangu ilikuwa ngumu lkn saivi ni raini japo nikiosha kuja kuichana naumia ila km unaweza kufunga na rolaz haiumi
@@hatimalnaamani876 asnte san
Selina jitahidi kupata leave in conditioner dear maana kazi yake kubwa ni kurainisha nywele, pia Kama utaweza kupata SHEA BUTTER itakusaidia sana
Mwalimu wetu mbna nywele zako fup2 sasa sis tutakuamini je! Kana kwamba nywele italefuka?
Tunywele twako tufupiiii tuamin vp
Kama sina hiyo kofia naweza vaa mfuko wa rambo
Ndio dear au ile kofia ya kuogea pia
@@gracebimz7935 ok
Sasa nikiwa nalala niziweke maji
Ndio ia sio mengi sana
Daomba niulize nywere zangu sinakatila nyumanifanyje
Pole sana dada. Naomba upime aina ya nywele zako
Asante my
Karibu sana
Kwanini usitengeneze izo vitu tukiona juu sauti yako hatuisikii
Pitia video zangu za nyuma utaona namna nilivotegeneza dear
Uko poa ila ungekuwa unaonyesha na vitendo kwa video zko ingekuwa poa zaidiii maana wengine tunaelewa zaid kwa vitendo
Sawa Sawa dear... nitakuwa naonyesha vizuri
@@gracebimz7935 naomba nisaidie na jinsi ya kuondoa unga mweupe utokanao na kupaka jelly nywele zikiwa kavu, nilifanya bila kujua leo nimeona video yako ndo nimejua sa naosha lkn wapi hayatok
Hiyo bamia inatumika kwa nywele yoyote.?
Ndio unaweka Kwenye nywele yoyote na inajaza nywele kwel
Grace & bimz samahan na kweny nywele zeny dawa unatumiaje io bamia ili ijaze nywele na kukuza??
Asante
Karibu mumy
dear nahitaji hizo kofia nitazipataje niko zanzibar
Na ukilala asubuhi unaosha au la?
Ukilala hauoshi tena dear. Bamia hutumika Kama leave in conditioner
Mm mafuta ya nazi yalinishinda kutumia siyapendi
Hyo jeri bamia inasaidia nin kwa nywele?
Kujaza nywele na kuifanya iwe imara na pia hutunza unyevu. Karibu dear
@@gracebimz7935 Santee
Kama Haina hiyo sprei inakuwaje maana wengine tupo vijijini
Jinyunyizie vimaji kwa mkono dear.Unyevu utaupata tu
Kwani ukishamaliza ivo hakuna kuoga kicwani awo
Hauoshi dear.Bamia Inatumiwa kama leave in conditional kwahio leave in hua hatuioshi mamy
Sorry hiyo bamia umeifanyeje??
Nimeiloweka na maji moto kisha nikaichuja
Huwezi paka kwenye fupi kabisa uziandae zikue vzr kwa kuanza kusuka?
Ni vizuri sana ukifanya hivo dear maana zitakua kwa afya nzuri
Je Kama Sina Hy Jerry ya bamia nikitumia mafuta peke yake inaekuwa je
Sio mbaya sana dear. Ila jerry ni muhimu kwa sababu ni conditioner. Hivobasi unaweza kununua ya dukani (leave in conditioner) ili usisumbuke na bamia
@@gracebimz7935 hata kwanywele zenye dawa unatengeneza je Hy jeli ya bamia
Kwahiyo mpendwa, hii kazi inatakiwa tuifanye kilasiku ?
Namb ako tunaipataje jmn
Ukiwa umesuka unaruhusiwa kutumia
Nanywele za dawa inafaa
Bamia bichi au chemsha?
Chemsha kidogo dear
Na maji au yenyewe yenyewe.
Nimekuwa nikiweka dawa ya nywele ninataka kuwa na nywele asili, lazima ninyoe nianze upya?
Hiyo bamia unaifanyaje naona kama ni mafuta
Unakata ndogo ndogo kisha zichemshe kwa maji madogo sana. Ikishavutika vizuri ichuje Kwenye chujio. Kisha ule ute utumie
th-cam.com/video/3dTzbp8wE-s/w-d-xo.html
Tazama hapa dear
Mimi nataka iyomafuta ya nazi ntayapata wapi
Unaweza kutumia ya faima. Ingia Instagram andika Fatima coconut oil. Ni mazuri sana
huwezi kuvaa mfuko kwa huo usiku
Hiyo bamia waitengeneza vip
Natamani kujua njisi ya kujuza eyebrows haraka
Paka wanja
Inasemekana na mafuta ya nyonyo yanarefusha haraka. Ila sijawahi jaribu
mimi nywel zangu zinakatika tu bila sababu dawa sijawai weka na natumia hayo mafuta ya parachut
Unatumia shampoo gani?? Halafu pia huwa unazinyoosha kwa umeme?? Na ratiba yako ya steaming na protein imekaaje?
@@gracebimz7935 natumia johnsons na sinyoosh na pasi wala dawa sijawai eka na mafuta natumia hayo parachut
celebrating United
Naomba upime aina ya nywele zako kisha nipatie jibu dear
@@gracebimz7935 napimaje hospital au kivipi
Je kama nikitumia hata mafu ya kula tu
Mafuta ya kula sio mazuri kwa nywele. Jaribu kupata ya nazi na ya mnyonyo
Grace & sawa je ukimaliza kuziwekea jer unaziosha au
Hii ni ya kufaya siku ya kuosha tu au siku zote?
Hauoshi dear Unatumia bamia Kama leave in conditioner
Jamn waooooo
Je kwa mtu ambaye nywele bado ni fup sana itakuaje??
Anza kwa kupima kwanza aina ya nywele zako, kisha fata ratiba maalumu ya matunzo ya nywele (niliiotoa kwenye video zangu za nyuma kidogo), kisha nunua bidhaa za nywele asili na uanze matunzo
Nisaidie dawa ya kuondoa wekundu unaotokana na matumizi ya picco
Maashaallaah
Msaada nywele zangu niliweka dawa kwa sasa naitaji zisiwe na dawa kwaiyo nifanyanje
Tazama hapa mamy
th-cam.com/video/2lObQ_Y4qRw/w-d-xo.html
Asante sana nimeshakusabscribe
Nimependa ngozi yako unatumia nni
Asante dear
Karibu dear
na kama mamii ndo unaanza sasa kusuka huna nywele ndefu kama zako unaweza kufanya hivyo
Ndio mamy, na Ukianza mapema ni nzuri zaidi
Kama nywele ni za dawa
Inafaa pia mamy
Bamia yatengenezwa vipi
Unakata ndogo ndogo kisha unazichemsha alafu unachuja ule ute ndio unautumia
th-cam.com/video/3dTzbp8wE-s/w-d-xo.html
Tazama hapa dear
Kama mafuta ya nazi huna utumie mafuta gani
Tumia olive oil dear
Umefundisha kuondoa mabaka kwa kiazi mvilingo na mchele je kama sina brenda nitumie nn
Kama huna Brenda nawa uso na sabuni kisha paka maji ya mchele usoni kisha kata vipande vya viazi na uanze kujisugua navyo usoni dear
Saut iko chini je kwanywele yenye dawa inafaa
Yhooo.... 🔥🔥🔥
Unaruhusiwa kuitumia kila siku?
Ndio dear
Nzuri Mammy
Naomba mawasiloano yko ya moja kwa moja Nina shida na baadhi ya bidhaa toka kwako
Naomba kuuliza ata ukitumia maji ya kawaida tu ni sawa
Kama hausuki napo
VIP kama unasuka nywele zako (mwanafunz)
Mambo dada
No zako za ximu nitumie
sauti ndogoo inaboaa
Pole dear nalifanyia kazi
Thnkyew
Karibu sana
Bamia unatengenezaje
Tazama hapa dear
th-cam.com/video/3dTzbp8wE-s/w-d-xo.html
Hatukusikii
Ntarekebisha mamy. Asante sana
Sauti ndogo jitaidi
Asante sana. Ntalifanyia kazi
I like it
Karibu sana
oliveroil je uwezi paka mpka nazi dia
Unaweza kuitumia dear. Unatumia nazi, castor oil, olive oil, na avocado oil
Grace & bimz thank love
Waoooo its cool
Mafuta yabamia tutaeza kuyapata wapi
KWA MATATIZO YA NGOZI, KAMA MICHIRIZI, MAKOVU, NYAMA UZEMBE, KUONGEZA SHEPU, HIPS,N.K,DAWA ZIPO,SMS/WHATSAP 0693_330284
Naitaj 0692234911
@@khadijakhadijalissu886 dawa ya makovu ni nn
Sasa wewe mbona yako sio ndefuu
Irene Swaleh hiyo nywele ni 4C kukua halaka si lahisi hata hivyo inajitahidi sana kuzitunza zitakua
hiyo bamia unapika au unaloweka
Uso wako unatumia nn
Natumia mafuta ya nazi dear
Je sisi wenye nywele fup xana
Unatengenezajehayomafutayabamia
th-cam.com/video/3dTzbp8wE-s/w-d-xo.html
Tazama hapa dear
Maji ambao unatumia namaji yakawaida ou kunadawa ndani?
Karibu dear. Ni maji yaliyochanganywa na mafuta na leave in conditioner
I like it