Kwanini Nywele Zangu HAZIKUI? |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 ปีที่แล้ว

    Kabisa nimekuelewa

  • @joycechacha7344
    @joycechacha7344 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana, naanza leo

  • @lidyagasper1492
    @lidyagasper1492 5 ปีที่แล้ว +2

    Naomba ushauri wa mafuta ya kutumia, shampoo na steaming kwa nywele zenye dawa kwa nywele nyepesi km zangu. lakn pia nywele zangu za asili si nyeusi, nifanyeje

  • @annamzatura6920
    @annamzatura6920 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushauri

  • @monicaashery1
    @monicaashery1 5 ปีที่แล้ว +1

    Love it, thanks! Just ran to the bathroom to moisturize my hair while you were talking!

    • @vincenzoaiden5383
      @vincenzoaiden5383 3 ปีที่แล้ว

      a tip: you can watch movies on flixzone. Me and my gf have been using it for watching loads of movies recently.

    • @kieranthomas6489
      @kieranthomas6489 3 ปีที่แล้ว

      @Vincenzo Aiden definitely, been watching on flixzone for months myself =)

    • @brixtondamian2638
      @brixtondamian2638 3 ปีที่แล้ว

      @Vincenzo Aiden Yea, been watching on flixzone for since november myself :)

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 ปีที่แล้ว

    Asante dada tupenyingineee

  • @mishially9929
    @mishially9929 5 ปีที่แล้ว

    nimekupenda dada angu , una vutia na video zako ni nzuri , asante kwa haya tunajifunza zaidi

  • @roidatadey4599
    @roidatadey4599 6 ปีที่แล้ว

    Mimi namshukulu mungu nywele zangu ndefu zinafika mbaka mgongoni

  • @elliceylameck2149
    @elliceylameck2149 3 ปีที่แล้ว

    Kwanin nywele zangu ni laini sana

  • @sumaiyaburhan4931
    @sumaiyaburhan4931 6 ปีที่แล้ว +2

    Love u channel dear god bless u

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hujibu messages?

  • @jacquelineproneth6157
    @jacquelineproneth6157 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante mamie kwa video zako huwa siachi nipitwe hata moja... Nina mambo mawili napenda kujua...1. Napenda kujua jinsi unavyotunza ngozi yako dada maana unapendeza sana, ingekuwa vizuri utupe tips za jinsi unavyotunza 2. Napenda kupata ushauri wako kuhusu kusuka nywele za "afro kink" na kukaa nazo kwa mda mrefu kama njia ya kukuza nywele, je ni sawa?

    • @swahilinaptural7177
      @swahilinaptural7177  6 ปีที่แล้ว +1

      ☺️ Asante sana! Nitafika kwenye masuala ya ngozi, hiyo iko kwenye mpango. Kuhusu kusuka yani maximum kukaa na extensions zozote tunashauriwa isizidi wiki 6. Tena Afro Kinky ni ngumu ukikaa nazo muda mrefu sana zitakatika.

    • @jacquelineproneth6157
      @jacquelineproneth6157 6 ปีที่แล้ว

      Asante sana.

  • @renathagodwine7208
    @renathagodwine7208 3 ปีที่แล้ว

    Kama sina ela ya kufanya stiming

  • @sabriramadhani2930
    @sabriramadhani2930 3 ปีที่แล้ว

    Sorry Dada je nisuka mnyoosho kila baada ya wiki ni vibaya?na edges zmekatka nfanyaje

  • @marthajeremiah
    @marthajeremiah 5 ปีที่แล้ว

    Napenda unavyoongea

  • @winiemmary968
    @winiemmary968 6 ปีที่แล้ว +3

    Ushauri wako ni mzur lkn naona km unaegemea nywele asilia vp ambazo zina dawa? Tunaomba utunzaj na mafundisho ya nywele zenye dawa

  • @irenemuro5077
    @irenemuro5077 6 ปีที่แล้ว

    Je kushonea wiving kunamadhara katika nywele kukua au kuwa na afya..?

  • @salomeelson7481
    @salomeelson7481 6 ปีที่แล้ว

    asante Dada naomba kuuliza ukitaka nywele ziwe nyeusi ni dawa gan ya asili naweza tumia

  • @lidyagasper1492
    @lidyagasper1492 5 ปีที่แล้ว

    I see, nimekuelewa vzr! Na vp kwa nywele zenye dawa? Naomba nisaidie, steaming gani nzr

  • @florangowi2459
    @florangowi2459 5 ปีที่แล้ว

    Asante mumy

  • @angelkwelimsangi9340
    @angelkwelimsangi9340 6 ปีที่แล้ว

    UKo vzr dada

  • @stellahkilomo8179
    @stellahkilomo8179 6 ปีที่แล้ว

    naweza kujifanyia stiming home ?

  • @blandinajustine9702
    @blandinajustine9702 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante dada abee

  • @kibibimwanamvuamohammadmoh9823
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823 6 ปีที่แล้ว +2

    Asantee sana dada kipenz, nmekuelewa utamu💓💓💓

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 ปีที่แล้ว

    umenifanya nifunge natural hair

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 6 ปีที่แล้ว

    Dada Mimi nywele yangu inadawa je nitumie mafuta gani na vistimingi ipi?

  • @gladysyonah2849
    @gladysyonah2849 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Abee....nywele yangu ni fupi, ndo nina kama miezi mitatu tangu nikate nyswele kuanza upya. Steaming inatakiwa pia?

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 6 ปีที่แล้ว +1

    samahani ninaswali je ku bold dry nywele kuna madhara gani katika ukuaji wa nywele?????

  • @mbaulidibugingo2425
    @mbaulidibugingo2425 4 ปีที่แล้ว

    Tuna weza pata videos zako za nyuma

  • @gracevtmineunaekasangpgk535
    @gracevtmineunaekasangpgk535 6 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali dada bigup

  • @taqiyaabdallah7367
    @taqiyaabdallah7367 5 ปีที่แล้ว

    Anty nakukibali sana wawez nipatia namba yako nikutaft private

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว

    Je, Uzeeni nywele hazikui?

    • @swahilinaptural7177
      @swahilinaptural7177  3 ปีที่แล้ว

      Zinakua lakini zinaweza kuchukua muda zaidi kwa sababu mwili unakuwa na mahitaji makubwa zaidi ya virutubisho muhimu.

  • @tifaomary6409
    @tifaomary6409 6 ปีที่แล้ว

    manaake zinakatika sana kwenye kisogo

  • @aisharosette8644
    @aisharosette8644 6 ปีที่แล้ว +2

    shukran my dear naulizaj mm ngoz yang ya kicwa ina washa sana nifanyej my dear plis naomb jib

    • @swahilinaptural7177
      @swahilinaptural7177  6 ปีที่แล้ว

      Pole Aisha. Kwanza kabisa huwa unaosha nywele mara ngapi kwa mwezi? Je, unapaka mafuta kwenye ngozi na ni mafuta gani au kama si kwenye ngozi unatumia mafuta gani kwenye nywele? Kwenye suala la mafuta kwa wengine ngozi ya kichwa inakuwa na mafuta ya kutosha na hivyo mafuta zaidi hupelekea kuwasha au inawezekana una allergy na aina fulani ya mafuta au inawezekana ngozi ni kavu inahitaji mafuta.
      Kingine inawezekana una tatizo la ngozi. Ni vizuri pia kutafuta ushauri wa daktari.
      Kukusaidia kwa upande wangu, jaribu njia hii: ukishaosha nywele zako na kufanya treatment, chukua kama nusu kikombe apple cider vinegar - ya American garden pia inafaa - changanya na nusu kikombe maji kisha nyunyizia kwenye ngozi ya kichwa, massage halafu acha kwa dk kama 10 kisha suuza na maji ya baridi. Then I endelea na hatua zinazofuata. ACV inasaidia sana kutuliza muwasho wa ngozi ya kichwa.
      I hope hii itasaidia. Nasubiri majibu ya maswali niliyokuuliza.

    • @deogratiastheophil409
      @deogratiastheophil409 6 ปีที่แล้ว

      kuhusu kusuka malakwamala eti nywele zinakatika nakukatalia mimi nasuka nanywele zangu nindefu hatari

    • @asiashogholo3753
      @asiashogholo3753 4 ปีที่แล้ว

      Aisha Rosette jaribu kufanya sugar scrub yawezekana kuna build up kwenye scalp yako

  • @eunicepalangyo1048
    @eunicepalangyo1048 6 ปีที่แล้ว

    Mh kwa kwel

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @joharbakar5981
    @joharbakar5981 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila me najuaga nywele ni asir maana ninamiaka 4 sijasukaa nywele lakin zipo kawaida na kukatika juu😂😂😂😂

  • @diananindi3106
    @diananindi3106 6 ปีที่แล้ว +1

    dada m nataka bidhaa kutoka kwako kama henna vp napataje

  • @shangweamedson1564
    @shangweamedson1564 6 ปีที่แล้ว

    Je zikiwa fupi nywele huwezi kusuka

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada mi nywele zamgu zina dawa na mi kipilipili nisaidie nami zikue nitumie mafuta ya aina gan kwani zimakatika sana nanimetumia aina nyingi za msfuta .naunapatikana wapi nikufuate

  • @angelamvaa2229
    @angelamvaa2229 5 ปีที่แล้ว

    Shampoo gani nzuri kwa natural hair?

  • @gladysyonah2849
    @gladysyonah2849 6 ปีที่แล้ว +5

    Nywele aside, ngozi yako ya uso iko mzuri, can u share unafanyaje?

    • @swahilinaptural7177
      @swahilinaptural7177  6 ปีที่แล้ว +1

      Thank you Gladys. This series is coming soon! I promise! 😊

    • @genoisebrice8880
      @genoisebrice8880 6 ปีที่แล้ว

      N

    • @muniradaudi440
      @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว

      Ni Kweli uso uko vizur kwa kwel ungetuambia unatumia bidha gn kwa mwili wko

  • @kulthumsalim1886
    @kulthumsalim1886 6 ปีที่แล้ว +2

    Mafuta ya almond oil,olive oil,alovera oil na coconut oil yapi yanakuza nywele haraka my dear sister.maana unyevu unyevu upo maji nimepunguza chumvi lkn hazikui zinajaa tu.nilipoanza kujichanganyia mafuta matokeo yake ni hayo kipenzi.ushauri wako please (mafuta gani bora ya nywele)

  • @arnoldchristopher6181
    @arnoldchristopher6181 6 ปีที่แล้ว

    asante

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 6 ปีที่แล้ว +1

    Great video sister

  • @suzanlyamuya4442
    @suzanlyamuya4442 6 ปีที่แล้ว

    Dada napenda sana ushauri wako.

  • @queenmacha921
    @queenmacha921 4 ปีที่แล้ว

    😍🙏

  • @cresensiandimbo4195
    @cresensiandimbo4195 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani leo nimekutana na ugonjwa wangu,nimehangaika sana na nywele zangu ni ngumu sana hadi nikapelekea kuweka dawa natani kuwa nutural nifanyeje dear.

  • @irenemuro5077
    @irenemuro5077 6 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wengine asili yake ya nywele ni ngumu sana afanyeje ili zilainike nakuwa na mwonekano /afya nzuri...?

  • @moureenmushi9168
    @moureenmushi9168 6 ปีที่แล้ว +3

    Habar dada samahan stemming nzur ni ya aina gan

  • @stellahsanga8214
    @stellahsanga8214 6 ปีที่แล้ว +1

    nakweli nywele na ngozi yako ya USO ziko vizur Mimi huwa nasumbuliwa na MBA kichwani pamoja na usoni Dada Abby unaweza kunisaidia ubarikiwe

    • @swahilinaptural7177
      @swahilinaptural7177  6 ปีที่แล้ว +2

      Mba mara nyingi ni ugonjwa wa ngozi. Ningekushauri ukaonane na daktari wa ngozi kwanza ujue kinachosababisha. Matatizo kama hayo huzidi wakati mwingine pale tunapojaribu kuyatibu kutokea nje. Kamuone daktari kwanza

    • @stellahsanga8214
      @stellahsanga8214 6 ปีที่แล้ว

      okay Dada Abby nimekuelewa nitafanya ivo

    • @maryamsuleiman4163
      @maryamsuleiman4163 6 ปีที่แล้ว

      Stellah Sanga kweny nywele tumia mafuta ya radiant ni mazuri kwa mbaa na upakee kwenye ngoz ya nywele

  • @jovenchik2521
    @jovenchik2521 6 ปีที่แล้ว +5

    Hey there new subscriber , tusapotiane 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @angelamvaa2229
      @angelamvaa2229 5 ปีที่แล้ว

      Maji ya kuspray niga kawaida au ya mpera?

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 6 ปีที่แล้ว +9

    Mi nilizani et ukivutwa ndo zina kuwa😂😂😎

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada mremboo napenda nywele zako

  • @husseinhaji2655
    @husseinhaji2655 5 ปีที่แล้ว

    Naomba siri ya hyo ngoz

  • @tifaomary6409
    @tifaomary6409 6 ปีที่แล้ว +1

    mm nataka uwe mwalimu wang wa nywele

  • @tifaomary6409
    @tifaomary6409 6 ปีที่แล้ว

    namba yangu 0710153089