Jifunze kusuka UTUMBO MPYA WA UZI | Nywele mpya ya Uzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 292

  • @faridaothman
    @faridaothman  ปีที่แล้ว +14

    CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA
    Chuo kimesajiliwa
    TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA
    LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI
    Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000)
    📞0657292650
    TUPO DAR TEGETA AZANIA
    TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇
    1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k)
    Ada: 300,000
    Muda: miezi mitatu
    2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,)
    Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti)
    Muda: Miezi mitatu
    Field :Mwezi mmoja
    Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA TH-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇
    th-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/w-d-xo.html
    ✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE
    NOTE :HOSTEL ZIPO
    Ada :100,000
    Muda: Mwezi mmoja
    Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen
    MAHITAJ YA MWANACHUO
    1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani)
    2.Tshet 15,000
    3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding)
    4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron
    5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue

  • @KesheniPelamiho-lj5jt
    @KesheniPelamiho-lj5jt 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 good song kipaj unacho

  • @karolshkada2782
    @karolshkada2782 29 วันที่ผ่านมา

    That nice imagine nmeelewa n rahisi cna

  • @MamaHeri-ny4sy
    @MamaHeri-ny4sy ปีที่แล้ว

    Nitamu saana ♥️ Asante saana ,mm naomba kukuuliza Kama mnauza hata less wig hapo kwenu ,na kofia zakuanza ndani kwanywele Pana gundi zake

  • @ElizabethNgalimo-rn9ox
    @ElizabethNgalimo-rn9ox ปีที่แล้ว +1

    Mnaxuka vizuri xana hongereni

  • @NandokaAgnes-gi3ei
    @NandokaAgnes-gi3ei ปีที่แล้ว

    Dada zangu nywele zinatokeya Uziii nifanyaaje from Uganda

  • @BeatriceKipkorir-uq3xu
    @BeatriceKipkorir-uq3xu ปีที่แล้ว +1

    Is so sweet but hapo mbele cjaeliwa

  • @dorcahemari5435
    @dorcahemari5435 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri dada

  • @AustinNjau
    @AustinNjau ปีที่แล้ว +1

    Ski inapendeza very coo

  • @ShukuruMan
    @ShukuruMan 5 หลายเดือนก่อน

    ❤nimependa dads

  • @MonicaWarioba-v2o
    @MonicaWarioba-v2o ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde dada kwa kutwq kuwa mloo

  • @ZainabuRajabu-bo3qb
    @ZainabuRajabu-bo3qb 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa dad asante sana mung akubariki

  • @YuvistaSarimu
    @YuvistaSarimu ปีที่แล้ว +2

    Asanteee dada farida

  • @happynesscharles4286
    @happynesscharles4286 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada nimejifunza

  • @jamesfrancis5302
    @jamesfrancis5302 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda nywele hongera sana

  • @GloryGeorge-bj8ez
    @GloryGeorge-bj8ez 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ nataman San nijue jmn

  • @LovenessJoseph-i4x
    @LovenessJoseph-i4x 4 หลายเดือนก่อน

    Wow ahsnt mwalim

  • @jennysindoya
    @jennysindoya ปีที่แล้ว

    Mafuta yanayofnya nywele ziwe hvo ni mafuta gan

  • @NeemaJuma-km1yv
    @NeemaJuma-km1yv 8 หลายเดือนก่อน

    Asante nimeolewa dada

  • @tiffanytayo9912
    @tiffanytayo9912 ปีที่แล้ว

    Naipenda bt sijaelewa poa

  • @TumainiTumainjh
    @TumainiTumainjh 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sna nitajaribu kuisuka

  • @collethapilly1256
    @collethapilly1256 ปีที่แล้ว

    Umetumia uzi kias gan

  • @azizapeter2042
    @azizapeter2042 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwl wangu ❤❤❤Allah akuzungushie ulinzi na afya telee🙏

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว +1

      Amiin❤

    • @Miss-M-12
      @Miss-M-12 ปีที่แล้ว

      @@faridaothman Asante dada, naomba ufundishe na matumiz sahh ya rangi ya concealer kwa mtu mweupe na mtu mweusi pliz

    • @FAUDHIATWAILI
      @FAUDHIATWAILI ปีที่แล้ว

      Amependeza manshallah iv nikitak fashion nyingn unaifanyaj best wang

  • @violetedaso1582
    @violetedaso1582 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ni rahisi sana nilijua kuzisuka 2019

  • @ZainaBongi-kh1ou
    @ZainaBongi-kh1ou ปีที่แล้ว +1

    Asante najifunza kusuka kupitia video zako

  • @SalhatZayumba-wu9ge
    @SalhatZayumba-wu9ge ปีที่แล้ว

    Hapo mbele sehem ya kuunganish mmefany harkhrk me cjaelew

  • @JesssFave
    @JesssFave 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada nmeelewa

    • @DavinaMapunda-fv4uf
      @DavinaMapunda-fv4uf 26 วันที่ผ่านมา

      Sorry uzi ngapi zinafaa kusukia vibutu vya mbele

  • @ErickRobert-v7y
    @ErickRobert-v7y 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiko pow

  • @Leya-kashindi
    @Leya-kashindi ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada najuwa kusuka ❤❤

  • @DevoMateo
    @DevoMateo 10 หลายเดือนก่อน

    Iko vizur sana

  • @FumbweSalim
    @FumbweSalim 5 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba nielekez vizur

  • @EnelisaMwasongwe
    @EnelisaMwasongwe 7 หลายเดือนก่อน

    Nzr sanaaa

  • @AbuAyaan-v6w
    @AbuAyaan-v6w 6 วันที่ผ่านมา

    Ongera dada

  • @RizikiMwene
    @RizikiMwene ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana iyo

  • @JacklineBenjaminNyanza
    @JacklineBenjaminNyanza 4 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzr

  • @AminaAlly-i4f
    @AminaAlly-i4f ปีที่แล้ว

    Amependeza jaman

  • @RodaTumain
    @RodaTumain ปีที่แล้ว

    Natamn xan kujua mitindo ming

  • @JustineAtieno
    @JustineAtieno 5 หลายเดือนก่อน

    Ningependa kusema hivi,unapanga Uzi ngapi unapoanza kusuka

  • @HildaMwanyika-br8gv
    @HildaMwanyika-br8gv ปีที่แล้ว

    Napenda Sana hila nashindwa kila nikijitaidi

  • @JudithJackson-y2r
    @JudithJackson-y2r ปีที่แล้ว +2

    Kujitunza online bei gani?

  • @mariamswila3868
    @mariamswila3868 ปีที่แล้ว +1

    Nimeelewa kwa urahisi sana💕💕 ubarikiwe dear

  • @SifaAnuarite-dq5ep
    @SifaAnuarite-dq5ep ปีที่แล้ว +1

    Vizuri saana

  • @SophiaJoseph-j4e
    @SophiaJoseph-j4e ปีที่แล้ว

    Ninzuri nimeipenda

  • @raphaelasaid6772
    @raphaelasaid6772 ปีที่แล้ว

    Jeli gan unatumia

  • @PaulinaKahangala
    @PaulinaKahangala ปีที่แล้ว

    nataman kuzijua hizo nywele

  • @fulgensenshunju946
    @fulgensenshunju946 ปีที่แล้ว

    Hapo mbele sijaelew

  • @PerucyHenry-kg4ql
    @PerucyHenry-kg4ql ปีที่แล้ว

    ❤madam farida

  • @jamesdavid3621
    @jamesdavid3621 ปีที่แล้ว

    Nimeeleewa

  • @WhiteSony
    @WhiteSony ปีที่แล้ว

    nakufatilia sana najua kama izo

  • @catherinejm8625
    @catherinejm8625 ปีที่แล้ว

    Ipo vzuri sanaa

  • @SaraphinaMoshi
    @SaraphinaMoshi 9 หลายเดือนก่อน

    Nimepend

  • @LightnessTungaraza
    @LightnessTungaraza ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @devothajuma-s8e
    @devothajuma-s8e 11 หลายเดือนก่อน

    Nmeipenda hyo

  • @miriamkusula8166
    @miriamkusula8166 10 หลายเดือนก่อน

    Namtafuta msusi mzuri aje Kwa saluni yangu

  • @deborahgodda7052
    @deborahgodda7052 ปีที่แล้ว +1

    Ninapenda sana kusuka imeangalia hapo sijaelewa jinsi ya kuanza kusuka utumbo

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 ปีที่แล้ว

      Hata mie,nafikiri angetumia slow motion

  • @monicatano
    @monicatano ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde adi nitakapo kuja kusoma hapo

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      Karb sana kipenzi changu

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA
      Chuo kimesajiliwa
      TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA
      LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI
      Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000)
      📞0657292650
      TUPO DAR TEGETA AZANIA
      TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇
      1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k)
      Ada: 300,000
      Muda: miezi mitatu
      2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,)
      Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti)
      Muda: Miezi mitatu
      Field :Mwezi mmoja
      Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA TH-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇
      th-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/w-d-xo.html
      ✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE
      NOTE :HOSTEL ZIPO
      Ada :100,000
      Muda: Mwezi mmoja
      Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen
      MAHITAJ YA MWANACHUO
      1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani)
      2.Tshet 15,000
      3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding)
      4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron
      5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      Karibu sanaaa

    • @qinisojiji
      @qinisojiji ปีที่แล้ว

      @@faridaothman which fiber you using for this?.....am your number one fan keep up the good work.from south Africa

  • @Clare-ri6zx
    @Clare-ri6zx ปีที่แล้ว

    Sijaelewa kabsa

  • @Babesjuniorkasim
    @Babesjuniorkasim 7 หลายเดือนก่อน

    dada farida unaatikam tegeta maeneo gan

  • @yoriviabyera8260
    @yoriviabyera8260 ปีที่แล้ว

    Naomba ushauri kuhusu jery nzuri ya kutumia kwa nywele isio na dawa

  • @DidaFilbert-ny5mk
    @DidaFilbert-ny5mk 6 หลายเดือนก่อน

    Dada mm nywele nimeiyelewa ila hapo misho ndio cjaona vizur

  • @ishaqal-makur6124
    @ishaqal-makur6124 ปีที่แล้ว

    Good job

  • @Jemimah-tp1ct
    @Jemimah-tp1ct ปีที่แล้ว

    its so lovely ❤❤❤

  • @EdinestaKendrick-br1rr
    @EdinestaKendrick-br1rr ปีที่แล้ว

    Nauliz hpo mbel unatumia uzi ngap

  • @VelentinaMghena-st1fs
    @VelentinaMghena-st1fs ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @jovitakokunula8517
    @jovitakokunula8517 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa kidogo nywele unaweka ndani

    • @rizikiebohabitendelo
      @rizikiebohabitendelo ปีที่แล้ว

      Ata mm pia sija elewa zile chongo za uzi ndo una zianzia ama una ziweka wapi

  • @rosemaryaugustino5360
    @rosemaryaugustino5360 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kufaham hiyo gelly unayotumia inaitwaje dear

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Zb3TFsSiAHc/w-d-xo.html

  • @agathaJose-y7k
    @agathaJose-y7k ปีที่แล้ว

    Ongeren

  • @cikugrace3113
    @cikugrace3113 ปีที่แล้ว

    Keep up the good work

  • @GexgtdfBtdvhtdg-s2e
    @GexgtdfBtdvhtdg-s2e 3 หลายเดือนก่อน

    Keeling Green

  • @IdidiStephano-jj9xd
    @IdidiStephano-jj9xd ปีที่แล้ว

    Mbona sioni jinsi unavyoweka huo uzi kwenye nywele

  • @richvanny8458
    @richvanny8458 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana teacher wng mzr

  • @FaridaWainaina
    @FaridaWainaina ปีที่แล้ว

    hi Farida naomba unitumie hio gel unayotumia ukisuka

  • @EvelineSabedra-e4c
    @EvelineSabedra-e4c 3 หลายเดือนก่อน

    Koepp Green

  • @Babesjuniorkasim
    @Babesjuniorkasim 7 หลายเดือนก่อน

    umetumia bunda ngapi

  • @rahmaramadhan-ew6vv
    @rahmaramadhan-ew6vv ปีที่แล้ว

    Hii jelly inaitwaje

  • @LezleyFrank
    @LezleyFrank ปีที่แล้ว

    Nimeelewasana jamaani

  • @GroryEliya
    @GroryEliya ปีที่แล้ว

    Nimependakujifunzakusuka

  • @ShalhaS-wj6qf
    @ShalhaS-wj6qf 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi jmn uzi siendagi saluni najisuka mwenyewe

  • @ShiveLenje
    @ShiveLenje 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo Uzi unasokota ndio unavuta pia

  • @maryjoseph439
    @maryjoseph439 ปีที่แล้ว

    This is amazing 🙏🙏

  • @zenabadru5084
    @zenabadru5084 8 หลายเดือนก่อน

    Bd sijaelea apo kwenye kuunganisha nywer ya mber

  • @hildaJoseph-oq7ny
    @hildaJoseph-oq7ny 8 หลายเดือนก่อน

    Ukweli Dada unafundisha tutakuja

  • @irenematokeo6116
    @irenematokeo6116 ปีที่แล้ว +1

    Dada nashukuru sana apo mbele kuunganisha nilikuwa nashindwa ila nimeelewa sasa

  • @jovitakokunula8517
    @jovitakokunula8517 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

  • @rahabusimika5503
    @rahabusimika5503 ปีที่แล้ว

    Asante mwl

  • @KenyanOxcygen-di3nm
    @KenyanOxcygen-di3nm ปีที่แล้ว

    Iyo shule iko wapi ningependa kusomea

  • @AzizaMasoud-hm9oz
    @AzizaMasoud-hm9oz ปีที่แล้ว

    mmmmmmh dda naomb unifundishe dred locks

  • @JaidNurdin
    @JaidNurdin ปีที่แล้ว

    Nzuli Dada nimeelewa

  • @ttrttt7198
    @ttrttt7198 ปีที่แล้ว

    Hapo mbele kuunganisha umeifanya haraka haieleweki poa..halafu hio uzi ni gani

  • @KambonaMnkondya-sk1mk
    @KambonaMnkondya-sk1mk ปีที่แล้ว

    Dada farida samahani sijaeliwa hapo mbele kwenye kuunganisha

  • @LeticiaSimon-vc5su
    @LeticiaSimon-vc5su ปีที่แล้ว

    Sijaelew hapo mbele

  • @TiffaAbeid-nv5dr
    @TiffaAbeid-nv5dr ปีที่แล้ว +2

    Unatumia geli gani

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Zb3TFsSiAHc/w-d-xo.html

  • @Grace-k2b6y
    @Grace-k2b6y ปีที่แล้ว

    It is lovely

  • @AdventBaharia
    @AdventBaharia ปีที่แล้ว

    Nataman kujua dada

  • @VenerandaByela
    @VenerandaByela 9 หลายเดือนก่อน

    Ccta apo mbele unatumia ngp?

  • @MarthaDawn-g4k
    @MarthaDawn-g4k 3 หลายเดือนก่อน

    Hegmann Place

  • @JoshuaMussa-s4m
    @JoshuaMussa-s4m 6 หลายเดือนก่อน

    Nahitaj kujiung

  • @Sarah-zf1iv
    @Sarah-zf1iv ปีที่แล้ว +1

    Hap kweny kuunganush nywel za mbele baada ya kusuk butu la kwanz unap pasua la pil unaongez Uzi au

  • @jannathyalexander2125
    @jannathyalexander2125 ปีที่แล้ว +1

    Naelewa darasa

  • @nanjobeanitah5029
    @nanjobeanitah5029 ปีที่แล้ว

    Z it ok if u sometimes use English please am from Uganda and I appreciate ur work