MWANAMKE WA AJABU (EPISODE 01)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 48

  • @ashuumuhammad8269
    @ashuumuhammad8269 11 หลายเดือนก่อน +2

    MaashaAllah..lakin mhuu huyu ni mwanamke wa Ajabu tena moyo wa ajabu mtu kirahis rahis asije kujarib kama hana moyo

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 ปีที่แล้ว +5

    mwanamke wa ajabu kweli. wanaume sijui wana shida gani mke mzuri hivi alafu unampiga. huyu mama ana hikma sana natamani angekuwa dada yangu

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Wewe Dada ni Mwanamke wa pepon kabisa😭😭😭😭yarabby weee Namim nipe iman maana huu wiv nlonao🧐😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Dada wewe Allah akujaalie pepo Wewe Dah ni kiboko hadi Sheikh Rashid ametoa macho kodo🤔😭😭😭cjui na yeye amefanyiwa nin alipoongeza kibiwii chetu kipya cha hubbulhalal🤔😂Subhanallah Dada Inshaallah uwe mfano mzur kwetu yarabby😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤔

  • @shamusathebeautifully5945
    @shamusathebeautifully5945 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah Allah akuzidishie imani ni mwanamke mwema sana Alhamdulilah ❤

  • @husna34562
    @husna34562 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah tabarakallah Allah awape maskizano ❤❤❤❤kwahilo ulolifanya nskiombea kwa Allah akuingize peponi bila hesabu ya rabb taqabali dua🤲

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah dada anguu nikweli unavosema ukewenza raha kama nini hasa mkipendana na Alhamdulillah na mimi pia napendana na dada zanguu Allah atujaalie tuzidi kupendana na mume wetu🤲

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah Allah akuripe pepo ya fridaus na sis Allah atujaliye iman ya kweli na tujaliye kufanya mazuri kwajili yakesho yetu

  • @abalkassimali2804
    @abalkassimali2804 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah ni jambo la kher kubwa umelifanya

  • @husna34562
    @husna34562 11 หลายเดือนก่อน +2

    Lakin wanaume ndio wanaofanya wanawake kuchukia ukewenza wanaume badilikene wanawake wengi wanadhilalika kwa ndoa za ukewenza 😢😢

  • @saadasaid1764
    @saadasaid1764 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aaa masha allah ni wa ajabu sana . Allah akulipe kheri

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa Allah

  • @ZizouKhan-wm9iy
    @ZizouKhan-wm9iy ปีที่แล้ว +4

    Nimwanamke mzuri sana ❤
    Mwanamke❤️❤️🦚💝🥰😌 mrembo kweli daa!
    🥰💝🦚

    • @tatuaamuuinyi9633
      @tatuaamuuinyi9633 11 หลายเดือนก่อน

      Ningeshangaa mwisho wa hiinsafar wasimlize

  • @salma_74
    @salma_74 ปีที่แล้ว +2

    Maana sheikh hapo anafurahiya sanaaaaa wanaume kuwa na wake zaid ya mmoja😅😂

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 11 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH Mama uko na busara ALLAH Akuzidishie na wanawake wengine waige mfano wako

  • @AymanKhalfan-ss2rs
    @AymanKhalfan-ss2rs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashllh ana iman sana mungu amzidishie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @salmaomar9483
    @salmaomar9483 11 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe kheri kubwa, mwanamke mchamungu kweli.

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mume yuaboesha 😢

  • @muaminimsina
    @muaminimsina ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah.....
    Kipindi ni mujarrab kabsaa...
    Hakika matunda yake tunayaona

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 11 หลายเดือนก่อน +1

    Una roho ya kivyako dada Allah akuhifadhiii

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mashallah tabaraka Rahman ❤❤❤

  • @salama45ful
    @salama45ful ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah.

  • @salma_74
    @salma_74 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kwa huyu mwanamke.
    Nitapenda kusikia aje mwaname mwenye wake zaid mmoja. Akamuwacha mmoja akampa rafiki yake kwa ishara ya upendo. Kuonesha kuwa wapo wanaume wana moyo wa iman ya dini.

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂Mamdogo huyooo miss sanaa ww

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah nasie Allah atufnyie wepes ❤

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanamme hatakiwi kuwa mkali kwa mkewe

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 11 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wenyew ndio sio, mambo mengi yanaharibika kwasababu ya wanaume siwez tafutia Mtu mke atafute mwenyew na akamalize uko uko

  • @hasnaally1713
    @hasnaally1713 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah upendeza mama mavazi yako ya stara Allah akuzidishie elimu yenye manufaa

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 11 หลายเดือนก่อน

    mashaallah

  • @husna34562
    @husna34562 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mumeo hapo kwakupiga anaboesha😢

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 ปีที่แล้ว +1

    maashallah maalim

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah! Waiting for eps2

  • @AhmedJuma-jw1gt
    @AhmedJuma-jw1gt ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kipindi nakipenda sana hiki

  • @MwanahijaKassm-oz4bn
    @MwanahijaKassm-oz4bn ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah atakulipa dada

  • @anduldullaomy3817
    @anduldullaomy3817 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 ปีที่แล้ว +3

    Mtu ana kupiga mpk mimba zinatoka aka ndo mapenzi hayo aaa tena walim wenye ilmu wamesoma wapi

    • @MohammedAllysaid-kn3jh
      @MohammedAllysaid-kn3jh 11 หลายเดือนก่อน +1

      Shangaa ww mpenz jomoni kupenda tuna wapenda na kua pepo yetu pia tunaliamini lkn ss mambo yakupgana jomoni mbn apo kuchupa mipaka mana ata uyo mwengine alo muwowa itakua ni ivo ivo mwendo kpgo bora linge suluhishwa kwanza kwenye apo kupga kwani nawao wanaume ni binaadam tu nasio malaika so hukosea na was si kuchukulia rahisi ivo lkn Mungu ndo anaejua zaid

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 11 หลายเดือนก่อน

    Ww umetoa amri kwa sababu una matatizo ungekuwa huna tatizo usingetowa amri na tatizo kalisababisha yeye

  • @SharifaKh-b9h
    @SharifaKh-b9h ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ❤

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 11 หลายเดือนก่อน

    Pepo gani hiyo hakuna dini inayosema mwanamke apigwe hicho kizazi kakiowa yeye kwako kwa kukupiga

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว +1

    Thank you

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 11 หลายเดือนก่อน

    Unaambiwa uowe ikiwa una uwezo ww mumeo alikuwa hana uwezo ikiwa hata mahari hana

  • @shhjab3621
    @shhjab3621 11 หลายเดือนก่อน

    😮😮eehh

  • @AhmedJuma-jw1gt
    @AhmedJuma-jw1gt ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว +1

    Were unampenda mumbo sahihi bi Sara watu hawajui ukewenza raha kama mwanamume mwaadilifu maana yeye ndio inKua chanzo cha matatizo

  • @ZainabIssa-u3i
    @ZainabIssa-u3i ปีที่แล้ว

    Rashid wee hutaki kuongeza mke🤔🤔🤔

    • @husna34562
      @husna34562 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZainabIssa-u3i
      @ZainabIssa-u3i 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣