The Story Book : CHUMBA NAMBA 2805 ‘Kisa Cha Utata wa Kifo Cha Jennifer Fairgate’ (Part 02)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 322

  • @kamangaomary8951
    @kamangaomary8951 5 หลายเดือนก่อน +75

    Hembu lala vizuri, hakuna aliyefuata kubaka mtu hapa, tumefuata peesssaaa,😂😅 discipline kwenye kazi ndo msingi wa kufanikisha lolote unalolilenga🤔🏃. Gonga dole kama umeielewa hii.

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 5 หลายเดือนก่อน +38

    Hii stori pia utaipata kwenye kitabu cha yeriko Nyerere kiitwacho ujasusi wa kidola na uchumi, kwa wale wasoma vitabu

    • @gracegabriels7068
      @gracegabriels7068 5 หลายเดือนก่อน +4

      Kuna soft copy online maybe?

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@gracegabriels7068Hapana

    • @Abdulrahmanhassan18
      @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน

      @@gracegabriels7068 ipo ila mpaka umuone yeriko Nyerere Instagram or Facebook atakupa maelekezo

  • @fajotv6767
    @fajotv6767 5 หลายเดือนก่อน +99

    Kama unaikubali The story book gonga like

    • @CharlesRashid-wy7ts
      @CharlesRashid-wy7ts 4 หลายเดือนก่อน +5

      Katafunuwe uko

    • @Lu_keng
      @Lu_keng 4 หลายเดือนก่อน +1

      Makumamakuma tuh man.,...,.et gonga like nn ss

  • @DevsnsDevsns
    @DevsnsDevsns 5 หลายเดือนก่อน +9

    Sasa Mimi swali langu ni kwenye île hoteli akukuepo kamera ikirikodi tukio mzima, kwa sababu aiwezekani hotili kubwa kama naile ikose kamera 🙄🙄

    • @Dennisquotes235
      @Dennisquotes235 5 หลายเดือนก่อน +3

      Mwaka tajwa haukukuwepo kamera za CCTV

  • @kipropvincent5847
    @kipropvincent5847 5 หลายเดือนก่อน +36

    Jamal mungu akupee nguvu bro, hii uwanga inanisomesha sana sababu...am Criminologist🔥

    • @Brian.254
      @Brian.254 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa jitap kokwet🤝

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel wa depo

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo kesi waliamua kuifanya ngumu lakini iko wazi kuwa hakujiua bali aliuliwa na mkuu wa ulinzi alihusika maana umetwambia alikuwa na kadi ya kuingia kila chumba na alipofika alitumia kadi kuingia nusu alafu akafunga akasubili polisi kufika so ile kadi ilitumiwa na muhalifu then ikarudishwa kwa mkuu wa ulinzi

  • @Dealdone-z7r
    @Dealdone-z7r 5 หลายเดือนก่อน +36

    Absolutely genius Jamal , from united state (USA)I love you

    • @josephomondi7929
      @josephomondi7929 2 หลายเดือนก่อน

      Do you hear and speak Kiswahili nowerdays Ishowspeed......😂😂😂

  • @michaelobina5539
    @michaelobina5539 5 หลายเดือนก่อน +60

    tunayemkubali jamali goka like apa

  • @USTAWIWAJAMIITZ
    @USTAWIWAJAMIITZ 5 หลายเดือนก่อน +10

    Jamal unafanya Poa Na Matangazo Ndo Yanaleta Fedha , Ila Kwa kipindi Chako Cha story don't interrupt Story na Matangazo , ni heri uka weka mwisho au Mwanzo wa story
    Mfano story inakuwa emotional unaiingizia TANGAZO hailet picha Nzuri ....
    I noticed part 2 ya Hii story ina D.K chache sana ungeweza Kuifanya kuwa story moja Yenye 37 minutes

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 หลายเดือนก่อน +1

      Akiweka mwanzo wa kipindi uta skip mkuu, Ila akiweka katikati Kuna uwezekano mkubwa ukatulia mpaka liishe pia akiweka mwisho utaskip kuangalia pia.

    • @zindunajaphary9286
      @zindunajaphary9286 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rjkwelii

  • @YustinaMasawe-ex2cs
    @YustinaMasawe-ex2cs 4 หลายเดือนก่อน +9

    Prof Jamali suti kali location kali story kali respect Prof Jamali

  • @Kaigah
    @Kaigah 5 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mwanamke alikuwa shemeji wangu, nimechoka kujificha😅

  • @rafaeljoseph6427
    @rafaeljoseph6427 5 หลายเดือนก่อน +27

    Unajua sanaa kaka

  • @dullydebadest5738
    @dullydebadest5738 5 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani Jamal, tunakuomba utupe Historia ya Princess Dianna🙌🏾

    • @stephenvenancee7131
      @stephenvenancee7131 5 หลายเดือนก่อน

      kwan uijui

    • @BlandinaTogolai
      @BlandinaTogolai 5 หลายเดือนก่อน

      😂​@@stephenvenancee7131

    • @dullydebadest5738
      @dullydebadest5738 5 หลายเดือนก่อน

      @@stephenvenancee7131 siijui

    • @I_loved_him
      @I_loved_him 3 หลายเดือนก่อน

      Angekua anajua asingeiomba ...au kama ww unaijua tuadithie ​@@stephenvenancee7131

  • @rahimmahamoud4472
    @rahimmahamoud4472 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hyo intro ni kali kinoma😂

  • @zankid9692
    @zankid9692 5 หลายเดือนก่อน +21

    Kazi nzuri sana Jamal🔥

  • @essaugeorge94
    @essaugeorge94 5 หลายเดือนก่อน +30

    A good listener is a good speaker...stop begging likes ....keep on listening from prof. 🙏

  • @johannesnyabara2527
    @johannesnyabara2527 4 หลายเดือนก่อน +6

    hua unanifurahisha na huo utangulizi wa simulizi, ama kwa hakika najifunza 💪👍

  • @FaisalKimath
    @FaisalKimath 5 หลายเดือนก่อน +1

    Broo iv kwnn usitafsir na move unajua we ninoma sasa❤❤❤❤

  • @nehemiakiswaga1819
    @nehemiakiswaga1819 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeipenda sana huu mfano wa ujambazi bank..1.cheza na akili za watu 2. Discipline kwenye kazi 3.cheza na Fulsa 4. Experience kwenye kazi 😂

  • @lameckbashite5338
    @lameckbashite5338 5 หลายเดือนก่อน +17

    The only Jamal ❤

  • @mussatete2618
    @mussatete2618 5 หลายเดือนก่อน +7

    NIKIOMBA LIKE MNANIPA KWA MASEMANGOOOO! LEO "SITAKI"KABISA LIKE HATA MOJA

  • @ronofestus99
    @ronofestus99 5 หลายเดือนก่อน +11

    Kenya 🇰🇪 oyee nipeeni likes

  • @JumaRama-y6c
    @JumaRama-y6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Storry nzuri ila najiulza ukubwa waiyo hotel hadhi ya 5star ulaya miaka ya90
    Hakukua Na technology ya camera ¿

  • @HellenNyawera-l8t
    @HellenNyawera-l8t 5 หลายเดือนก่อน +13

    Let's show love to this professional professor Jamal ❤❤❤

  • @JacksonKisena
    @JacksonKisena 5 หลายเดือนก่อน +24

    Nambal Moja nimen like zangu❤🎉

  • @Msakatonge23
    @Msakatonge23 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa hii Hotel wanamchango kwenye kifo cha mwanamke wa chumba namba 28o5 kwasababu kadi zote za kufunga na kufungua mlango zilikua ndani ya chumba

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 5 หลายเดือนก่อน +5

    Attention sana
    Chumba namba 2805
    Hii ni kama ya Gareth

  • @okwarotv
    @okwarotv 5 หลายเดือนก่อน +9

    Kenya 🇰🇪 we love you mkuuuu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mwanzoni umeongea kama watu elf moja nakubali jamali endelea kututoa ujinga

  • @FredrickKisata
    @FredrickKisata 5 หลายเดือนก่อน +12

    On firee

  • @gracembungu8336
    @gracembungu8336 5 หลายเดือนก่อน +20

    This guy is so talented najifunza mengi kupitia huyu❤

  • @feisalkhan5685
    @feisalkhan5685 5 หลายเดือนก่อน +12

    Naombeni like 100 tyu wale wa chuga tujuanee hapaa kwa like

    • @AmyeSanga-u4c
      @AmyeSanga-u4c 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sijuagi kumbe chuga Nako kuna muslims...nisamehewe jamani najuaga ni Yesu na Maria tu

    • @feisalkhan5685
      @feisalkhan5685 5 หลายเดือนก่อน

      @@AmyeSanga-u4c amna banaa

  • @salamaomary6395
    @salamaomary6395 5 หลายเดือนก่อน +5

    Daanh najifunza vitu ving saana ,,, kumbe vitu hivi vipo kweli jaman

  • @johnmaina3093
    @johnmaina3093 5 หลายเดือนก่อน +9

    From Kenya, Nipeni likes pls.

  • @nuhumatola
    @nuhumatola 5 หลายเดือนก่อน +10

    The introduction was so good

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwanamke jmn ni Mpwa wangu nimejitokeza Adharani mnifahamu ndugu zangu Watanzania😂

  • @salma_6j975
    @salma_6j975 5 หลายเดือนก่อน +5

    Jamal ni msimulizi mzur sana....

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nimesha timiza moja niko na familia bado jmbo moja nifundishe ama ni wa peleke Watto shule ili wawo waje kuwa msaada baadae kwa wana ulimwengu

  • @sarahlondo7597
    @sarahlondo7597 5 หลายเดือนก่อน +9

    Been waiting for this moment 🥹🥹🥹

  • @shemnjeri2972
    @shemnjeri2972 5 หลายเดือนก่อน +8

    I wish i followed my teacher's advice as i follow you

  • @abdulismail9190
    @abdulismail9190 5 หลายเดือนก่อน +11

    NORWAY wana MYSTERY STORIES nying, HII YA JENNIFER FAIRGATE na ISDALEN WOMAN🔥

  • @mtukufumilambo1131
    @mtukufumilambo1131 5 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza leo

  • @hajirimrisho
    @hajirimrisho 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nikitaka kujifunza kuwa killer bila ushahidi nianzie wap😀

    • @amriamraan2612
      @amriamraan2612 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anzia ktk familia yenu, mpe mtu sumu.

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 5 หลายเดือนก่อน +10

    Kwa sisi tulio na ufikira mdogo: 100% alikua ni jasusi alietumwa kukamilisha mishe fulani ngumu so akapak mzigo wa kutosha na kutumia mafunzo yake kufuta ushahidi wote na utambulisho wake. Sijui kama alifanikiwa ama hakufanikiwa ila mishe hio inaonesha ilikua very sensitive na ilimpasa auawe baada ya mishe hio. Yaani kiufupi alipewa target na huku yy akiwa ni target so baada ya kukamilisha mishe na yy alimalizwa. Kuhusu kujuilikana kwake hio inawezekana sana asijuilikane maana baada ya vita ya pili ya dunia kuna familia nyingi ziliuliwa na watoto kulelewa ktk vituo so inawezekana ni ktk hao. Ila serekali na taasisi za kijasusi za nchi husika zinamjua na zimeamua kuvunga tu.

    • @kiambakiloalli1675
      @kiambakiloalli1675 4 หลายเดือนก่อน

      Wachache Sanaa wataelewa nn umeongea ila Kwa asilimia 💯 ukwel ni huo target on target

    • @elizabethmadihi3424
      @elizabethmadihi3424 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo nimekuelewa jamn

    • @ElizabethSamweli-pu8mn
      @ElizabethSamweli-pu8mn 3 หลายเดือนก่อน

      Nimekupata

    • @JimmyRashidy-hr4ih
      @JimmyRashidy-hr4ih 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo target on target yes

  • @laskojoseph7466
    @laskojoseph7466 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kama unamkubali mkali wa The story book comment & like

  • @OnesmosangalaliThs
    @OnesmosangalaliThs 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Jamali #the next level guy

  • @jameskabui860
    @jameskabui860 5 หลายเดือนก่อน +1

    Labda huyu binti alikuwa amefanya plastic surgery.Ndio sababu hakuna anaye mtambua hadi wa leo.

  • @bantuboy-ne3mj
    @bantuboy-ne3mj 5 หลายเดือนก่อน +6

    Uyu jususii ni nomaa sanaa izii ndo kesii..

  • @youngbonie2176
    @youngbonie2176 2 หลายเดือนก่อน +2

    salute to this guy,,he's soo talented na najifunza mengi kupitia yeye

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mwanzoni umeongea kama watu elf moja nakubali jamali endelea kututoa ujinga

  • @jamesongori1082
    @jamesongori1082 4 หลายเดือนก่อน

    Please make of Simpsons please.story

  • @eyshwaria100
    @eyshwaria100 5 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu aliuliwa sikualokua anakula na ile alama ya risasi ilokutwa kwenye mto ndo ilerisasi ilopigwa ili kumchanganya mlinzi alogonga mlango na wauwaji ni watu waloshirikiana kati ya 2816 na 2804. Pia muuliwaji na muuaji wanaonekana kuwa n watu waliokua wakifanya kazi pamoja 😉

    • @HusnaJamal-r1k
      @HusnaJamal-r1k 4 หลายเดือนก่อน

      Muuwaji alitoka vp chumbani na mlango ulifungwa kindan

    • @huddahmunny5001
      @huddahmunny5001 4 หลายเดือนก่อน

      Umefkiria sanaa

    • @huddahmunny5001
      @huddahmunny5001 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusnaJamal-r1k dirisha lilikuwa wazi

    • @eyshwaria100
      @eyshwaria100 4 หลายเดือนก่อน

      @@HusnaJamal-r1kalitokea mlangoni ndomaana aliona amchanganye mlinzi, siku alopotea hotelini kwa sikunzima pengine muuwaji alimlaghai na kuchukua kadiyake ili kuitumia kuchonga kadi feki

    • @elizabethmadihi3424
      @elizabethmadihi3424 3 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana yeye mwenyew alikuwa muuwaji baada ya kumaliza mishe yake wakamuuwa na yeye

  • @TonnySaul
    @TonnySaul 5 หลายเดือนก่อน +6

    Gonga.like kwanguu..kama unamkubalii Jamal

  • @SunMusc
    @SunMusc 5 หลายเดือนก่อน +11

    Jamali mwamba kweli kweli nakubali kama na ww unakubali the story book gonga liki apa

  • @AbbasMagambo
    @AbbasMagambo 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nice professor

  • @gabriellamwende3402
    @gabriellamwende3402 2 หลายเดือนก่อน

    Am confused my people,,, inakua aje mtu kuingia hotel kubwa kama mnavo sema bila kujisajili kutumia passport au ID yake????

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 5 หลายเดือนก่อน +4

    BRAVO JAMAA MUSTAFA NAPENDA SANA STORY ZAKO 👏 🙏 ❤❤❤

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 5 หลายเดือนก่อน +3

    The same as isdal

  • @EzraMfuse
    @EzraMfuse 5 หลายเดือนก่อน +7

    Fantastic 💫

  • @omarymichael9634
    @omarymichael9634 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hui ni nomaaaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @Kallibranzo5665
    @Kallibranzo5665 4 หลายเดือนก่อน +2

    Am Brian Dickson from 254 Kenya I always love this guy, napenda sana kutazama story book za Jamal... lakini kaka tuandikie adi vitabu kuna wengi kama mm wanapenda kusoma vitabu.

  • @KamaraHussein
    @KamaraHussein 4 หลายเดือนก่อน

    Nafikiri tungepata record za CCTV camera za floor number 28

  • @KhadijahSalamy
    @KhadijahSalamy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii part2 imefanya nipate kiu zaid ya kujuwa mwisho wa hiki kisa. 😂

  • @ms123ru
    @ms123ru 5 หลายเดือนก่อน +2

    Usijitie ushujaa kuokoa kisichokuwa chako

  • @tawfiqsaid4918
    @tawfiqsaid4918 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaona sehemu wanazungumzia uchunguzi wa CCTV camera ya hotel

  • @mdouharoon66
    @mdouharoon66 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asee m ni wa 100 nipeni milikes bc japo 10 tuu

    • @djmatrixtz4320
      @djmatrixtz4320 2 หลายเดือนก่อน

      Hzo lik za nn...

  • @Immamk__44
    @Immamk__44 5 หลายเดือนก่อน +2

    It's the same with a Isdal Woman

  • @JaneLebayo
    @JaneLebayo 3 หลายเดือนก่อน

    jasusi anauwawa na jasusi mwenzie tena aliye bora kuliko yeye,serikali inajua hilo wapelelezi watahangaika ila serikali zinajuaga kabisa

  • @powerrecordszanzibar3384
    @powerrecordszanzibar3384 4 หลายเดือนก่อน

    MAUAJI MENGI YA COLLEGE, APARTMENTS, NA HOTELINI, MTU WA KUMUANGALIA NI MLINZI AU MHUDUMU

  • @SabrinaMFuru
    @SabrinaMFuru 5 หลายเดือนก่อน +4

    Najifunza sna mengi kutoka kwako jamal

  • @ShafiiMwedy
    @ShafiiMwedy 3 หลายเดือนก่อน

    Ningeomba kuskia historia ya rapper Eminem proff Jamali

  • @deomajuva2432
    @deomajuva2432 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuu mdaada wa watu jaman sijui nani alimuua...sasa najiuliza tu kama mpelelezi kama malngo ulikua wakisasa hawakuweza kuangalia watu wangap wame ingia kutumia door reading. Hebu nipe namba za wapelelezi niwasanue

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 5 หลายเดือนก่อน +3

    The story book 📚📖 toka kwa Prof Jamal ❤😊

  • @nasriclamfilms8520
    @nasriclamfilms8520 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo wakubwa walioondoka na zile 100 nazo ziliainishwa kwnye zile pesa ambazo waliiba wale jamaa kwahiyo hapo mkasa na mzozano lazima uwe kwa wale wezi

  • @DannyWiston-xo4hx
    @DannyWiston-xo4hx 4 หลายเดือนก่อน

    Alikua yuko sawa aliesema wahesabu, maana kuna m mia zilichukuliwa na wahidumu, so hesabu isingekua sawa

  • @youngjames8354
    @youngjames8354 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice braza ❤❤❤❤❤

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwanzoni umeongea kama watu elf moja nakubali jamali endelea kututoa ujinga

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwanzoni umeongea kama watu elf moja nakubali jamali endelea kututoa ujinga

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwanzoni umeongea kama watu elf moja nakubali jamali endelea kututoa ujinga

  • @allyhamic1255
    @allyhamic1255 4 หลายเดือนก่อน

    Magaidi ni watu wenye ufahamu mkubwa huwenda kuliko majajusi

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 4 หลายเดือนก่อน

    Kujiua kisha upon mkono upo kwenye kibonyezeo , hiyo bunduki una undugu nayo?

  • @yakubkhan5183
    @yakubkhan5183 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unachambua mpaka inaeleweka hongera JAMAL APRIL,,,,,,, from mbezi

  • @Delux698
    @Delux698 5 หลายเดือนก่อน +6

    Best narrator from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿, please like my comment from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HucksonDebawa-bg9mb
    @HucksonDebawa-bg9mb 5 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana tumefurah na update senu

  • @captainb.o.b568
    @captainb.o.b568 5 หลายเดือนก่อน +3

    The story book with professor Jamal ,,🔥

  • @ronaldmwanakawa4943
    @ronaldmwanakawa4943 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo mwanamke pia alikuwa assassin na aliuaua na group yake juu ya siri fulani

  • @edmundphilemon3054
    @edmundphilemon3054 4 หลายเดือนก่อน

    Lkn je mbn hakutaka kulipa mapema huenda alijua kwamba atakufa

  • @arodiahchalesi-rp7ig
    @arodiahchalesi-rp7ig 5 หลายเดือนก่อน +9

    Hakika Leo nimewahii wekeni like zenu hapa wa tz

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sijawai kupata Like 20 mimi kupitia Story book

  • @williminajohn9386
    @williminajohn9386 4 หลายเดือนก่อน

    jamani naombeni kuuliza ujasusi maana yake ni nini???

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Fundi wa story more than stephanie harlow

  • @AbdulMilonge
    @AbdulMilonge 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamal kwa kazi ya kuweka sauti kwenye biashara yangu tunafanyaje nisaidie

  • @petergisamo7001
    @petergisamo7001 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamal am your no.01 fan seriously🎉😢

  • @bwiganeelia1972
    @bwiganeelia1972 5 หลายเดือนก่อน +1

    KAKA JAMAL UKIMALIZ HII TUNAOMBA UTULETEE NA ILE YA "ISDAL WOMEN "

  • @husseynmohammed1189
    @husseynmohammed1189 4 หลายเดือนก่อน

    Poz nafs Alhabib na Jamal

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 5 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu ninavtovikubali kwa jamali Ni vile vikolombwezo kabla ya story na baada ya story hakika huwa najifunza sana

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi Ndo Yule Fiargate

  • @Kadiam726
    @Kadiam726 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani intro inasisimua kuliko story,🤣

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo tukio lilifanyika kwa umakini sana au alikua ni jini

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 5 หลายเดือนก่อน

    Hvi nyie mnaoomba likes mnapata hela au?????