DOTTO MAGARI: AWACHANA BABA LEVO NA MWIJAKU BADO NI WASHAMBA/ HAJI MANARA NA ZAIYLISA NDOA TAREHE 18

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
    #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

ความคิดเห็น • 24

  • @walterkisaro-9168

    Dotto we fanya kazi usisikilize mtu

  • @user-cv4yx4uf8u

    Mama amalize urithi wake alioachiwa na magu atembee hatutaki tena

  • @JOHNJOHN-pu7wb

    Sikuhizi vijana ndomaana hawataki shuleee kabisaa yaani 😢😢😅😂

  • @mohamedmahmudali9346

    Wewe doto unapotea ndugu yangu huu umaarufu na kipato na iyo afya njema vi sikufanye ukawa unavuka mipaka ya kuongea,ujue Mungu anakupa mitihani tu jiangalie mengi ushafanya ya ovyo,ila point yangu ni hii hauwezi kumtukuza binaadamu mwenzio kwa kumuita Mfalme wa dunia nzima eti yeye bugati ndio anae endesha viumbe vyote duniani".kwanza ivo vikao vyenu vyote vya zinaaa na elewa yakuwa "kila nafsi itaonja Umauti..soma hii surah25aya2 inasema("Ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo") huyo ndie Allah kama haumjui ulizia habari zake kwa wanaemjua🙏

  • @MwagamboSanga

    Kama wewe mwengine apo Eti Dotto ni uchafu Tanzania,basi muelekeze chakufanya ndio apate risiki yake yule mtu hana tofauti na comedian juu anachekesha sana na utani mwingi achana na Dotto wewe fuata yako,ama wataka akashike mapanga tena vichochoroni ndio iwe furaha yako wacheni roho mbaya

  • @MwagamboSanga

    Wacha dotto afanye chenye anafanya iyo anafanya sasa ivi na maisha yake ya zamani kutumia madawa ya kulevya na ujambazi bora lipi acheni wivu na uchawi wa roho,ile nameno ya kuongelesha wanahabari mbaya huwa ni utani tu na

  • @mahmoudaziz4717

    Dotto keto 😅😅😅😅😅

  • @dancemedfuture

    😂😂😂😂😂 huyu kijana anafurahisha kweli

  • @tatusalum5728

    Njaa isikupeleke ukamkufu molla wako

  • @reisedyy4910

    Huyu ni mtu mjinga, hawezi kudumu, ni new harmo rapper,,, ila anachekesha 😂😂😂

  • @joshuasarakikya1442

    Dotto magari 😂😂😂😂

  • @user-qz5yh1dl1n

    Na hapa ipo Safi sana mkuu tunakukubali sana

  • @abednego3876

    Huyu mbwa anawazalilisha waandishi alaf hawaeshimu.

  • @pavillioncry5241

    Hili kafiri kazi yake kukufuru tuu

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy

    😂😂😂😂

  • @nsabimanadominique3907

    DOTO MAGALI NI UCHAFU NCHINI TANZANIA

  • @prospermsemwa1433

    😂😂😂😂