JOHARI AIBUKA NA MAPYA BAADA YA SNURA NA IRENE UWOYA KUOKOKA/ SIWEZI KUACHA KUIGIZA ''LISHANGAZI''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
    #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

ความคิดเห็น • 21

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน

    Aya hongera sana

  • @khamismuhammad
    @khamismuhammad 2 หลายเดือนก่อน +9

    Fikiria na kufa pia usifkirie kuwa bibi tu ivi unaijua kesho yako itakuwaje ata ujipe matumaini kama utafikia kuwa bibi!! Ivi ni mara ngapi mauti yashaingia nyumbani kweni yakawanyakuwa wengine yakakuacha wewe!

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 2 หลายเดือนก่อน

    Makafiri wao hawafikirii Akhera wao ni wadunia tu

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kama unapenda ushetani na mambo ya kishetani endelea na ushetani wako iko siku moja utakufa na utarejea kwa mola wako aliyekuumba halafu utafute majibu mazuri ya kumridhisha mola wako kama kweli amekuumba ili ufanye mambo ya kishetani Mimi sijakuumba aliyekuumba ni mola wako na mola wangu Mimi

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kama ushetani baki na ushetani wako wewe na usijaribu kuwashauri wengine waliomrudia mungu warudi katika ushetani shetani mkubwa wewe

  • @Khaly-v7c
    @Khaly-v7c 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hujajielewa kabsa ila ikon cku mauti yatakuelewesha,rudi kwa Allah mapema, mda unaupoteza huo,tunakwenda mbali dada jitambue.

  • @ramadhanimandoa716
    @ramadhanimandoa716 2 หลายเดือนก่อน

    Makafir wanafikra za kishetan hawan pes haramu wal kaz haram wao kila litu ni halali ilimrad pes inaingia

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi wenye fikra za kishetani dawa yenu ni dola ya kiislam tu na inakuja haiko mbali kwa uwezo wa allah inshaallah na itakapokuja dola ya kiislam mtatia akili na mtakua na adabu na heshima

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jo❤🎉

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu johari kutoka na mbele simpendi na sasa amezidi kunifanya nimchukiye shetan mkubwa

  • @omarmussa7654
    @omarmussa7654 2 หลายเดือนก่อน

    Ww hujajitambua bado ndo mana unaongea hivo siku yakikukuta utatamani mda wako umekwisha naa ushapoteza muda

  • @MwantumAbdallah
    @MwantumAbdallah 2 หลายเดือนก่อน

    Isomfaa akili yake utamdhuru ujinga wake

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo 2 หลายเดือนก่อน

    Mmh unadini yako nae anadini yake jitambue unapoongea. Viovu kukaa uchi sio usijimalize ww

  • @omardamka9708
    @omardamka9708 2 หลายเดือนก่อน

    wewe huna akili ya kumshauri Snura ukt Snura amejitambua na ameelewa lengo la kuletwa kwake hapa duniani hivyo nami nakuomba achana naye kabisa huo ustaa wako unaojiita ni wako Ukt amejizjngumzia yeye binafsi hakutaja mtu yeyote amefikisha unamshauri aendelee na filamu ajivue asiwe na stara achana naye kabisa tunakueleza wewe huwezi kumpa chochote hapa duniani.

  • @FarhatNassor-b4q
    @FarhatNassor-b4q 2 หลายเดือนก่อน

    Kafiri mkumbwa

  • @khamismuhammad
    @khamismuhammad 2 หลายเดือนก่อน +5

    Fikiria na kufa pia usifkirie kuwa bibi tu ivi unaijua kesho yako itakuwaje ata ujipe matumaini kama utafikia kuwa bibi!! Ivi ni mara ngapi mauti yashaingia nyumbani kweni yakawanyakuwa wengine yakakuacha wewe!

  • @ramadhanimandoa716
    @ramadhanimandoa716 2 หลายเดือนก่อน

    Makafir wanafikra za kishetan hawan pes haramu wal kaz haram wao kila litu ni halali ilimrad pes inaingia