TAZAMA VITUKO VYA JOTI,MWIJAKU,BABA LEVO VILIVYOMUACHA HOI WAZIRI MKUU WAKAT KUCHANGIA TIMU ZA TAIFA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2024
- KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv
joti atateseka kwa hawa watu!!!!!
Babalevo Analopok san... anamsumbua san diamond alikiba nusu aampige kofi alivogeuk
Baba level unalopoka sana anamsumbua daimond ndiyo maneno gani hayo mbele za waziri mkuu .hayo maneno ya kenye mitandao ndiyo unaleta kwenye sehemu kama hiyo kuwa makini unamvuniia hesshima kiba
Joti anazunguuka zunguuka2 duuh😂😂😂
Dah aibu sana mzee inchi yetu itaendelea hadi lini kuwa omba omba kipindi cha mzee Magufuli haya hatukuyaskia
Aaah , kalohokangumieeeee 😅😅😅
💛
skiya baba levo eti hakusema kuhusu hele huyu😅😅😅
Joti wanammask saana! Amekutana na wachambaji 😢😢
Joti rudi tu kwa wanao The Commedy ukarudishe heshima yako kwa sasa hawa machawa wanashine
Joti afadhali angerudi kukaa hawa Machawa wamemfunika sana
Naona mziki wa peramiho songea upo hapo😅😅😅😂😂
Joti usitaje watu ambao hukuongea nao😀😀😀😀
Ao waha ni shida
Hivi hawa joti hawamwoni anavo waita jamani
Peramiho Sound . . Homeland wangonii tumefikiwa 😅😂😂😅...!!!
Covid ni uji na mgonjwa tz..kama mambo nihivyo microphone moya🤣🤣
Pesa zana inchi zinapigiwa mnada live
Mbona sijasikia DABILIYU SIBII wamechangia bei gani??
Joti alitakiwa protocally apate heshima kama Alikiba yaañi brand yake ni kubwa alikatakiwa kukaa kama boss anayewakilisha makampuni makubwa