“LAZIMA TUFUKUE KAMA KUNA BINADAMU TUWATOE TUWASITIRI KWA HESHIMA ZOTE” RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick 5 วันที่ผ่านมา

    Mueshimiwa laisi wangu mpendwa umeongea pwent kabisa Alha akuongoze salama inshallah

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 6 วันที่ผ่านมา +3

    Wapigaji washakaa tayari kwa kupiga maana hata jengo likiwa lipo sawa utatikiswa zikutoke

  • @nizytz7273
    @nizytz7273 6 วันที่ผ่านมา +4

    kwan apo uwa anasoma nini samahani lakini kama nimewakosea kwa namna moja ama nyingine😂😂

  • @donvanpierre4369
    @donvanpierre4369 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mshimiwa rais hili lisiishie kariakoo tu bali liende kwenye kila wilay na mtaaa haya magorofa yanahitaji maintainance ... Na wengi ha2afanyi hivyo yapo makumbi ya sherehe na starehe majengo makubwa yaangaliwe kwa kuwa athari yake ipo kwenye mali na watu... Tanzania nzima liwe linafanyika kwa uwiano walau wa miaka 3 hadi 5... Hii itasaidia hata wanaojenga majumba makubwa kuzingatia viwango vya ujenzi.... Asante

  • @JamesMnonga
    @JamesMnonga 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa malayakwanza na poteza muda wangu kumsikia rais

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 6 วันที่ผ่านมา +1

    DAA MUNGU AWASAIDIE WALIO HAI watoke salama

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman si kulikuwa bado kunawatu wapo hai Kwan walitolewa😢😢

    • @paulojohn-bh2vz
      @paulojohn-bh2vz 5 วันที่ผ่านมา

      Watatokaje ss na hawawezi 😢

  • @CatherineMhina-u7m
    @CatherineMhina-u7m 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa mkutano wa nini waache waendelee kwanza

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 6 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa km mwenye mali kafa atazitambua nani nahisi km vile angewapa mitaji mipya tu hizo mali wangeenda kugawa kwa wasiojiweza km itawezekana

    • @sharifanyumayo6314
      @sharifanyumayo6314 6 วันที่ผ่านมา +1

      Hilo hata mie nimewaza ila lazima kutakuwa na ndugu wa karibu au wazaz watapata TU na ingependeza Kwa wale walopoteza ndugu waongezewe mitaj pia cz wengne walikuwa tegemez

  • @sarahaly-vf8qn
    @sarahaly-vf8qn 6 วันที่ผ่านมา

    Kimya kingi hakuna tunachojua muda wetu mwingi tunangoja kama tutawapata wenzetu

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 6 วันที่ผ่านมา +1

    Naww usipende kukaa kimya uko walinzi wanaua watu temeke hujasikia

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 6 วันที่ผ่านมา

      Temeke gani tena jaman wengine ndy kwetu huko😢😢😢😢