Mungu akubariki zaidi Rais wetu mama Samia Kwa kweli umefanya jambo kubwa sana Kwa nchi yako Tunakupenda Rais wetu tunakuombea sana Kwa kuweza kuliweka Taifa pamoja ktk kipindi hiki kigumu
Huyu binti ana shukrani sana, kila nikimsikiliza anashukuru🙏♥️ Ni kweli mama Samia ana upendo na huruma, anatujali sana raia, ni mama, tusisahau ametuinua sana wanawake kuwa tunaweza...wanawake tumuunge mkono mama ktk uchaguzi ujao , cc ni jeshi kubwa, tukiamua jambo letu kwa nguvu moja tunaweza. Poleni sana wahanga wote, poleni sana wafiwa na tunaishukuru Serikali , Waziri mkuu, majeshi yote,watu binafsi na kila aliyesaidia kwa njia yoyote, ila zaidi sana tunamshukuru MUNGU kwa yote.🙏
@healingclinic698 Unajua lile ghorofa lingekuwa sehemu yake peke yake hiyo kazi ingefanywa siku moja ,lakini maghorofa yenyewe yamesongana kama mashimo ya kupandia maharage
Salaam za pole kwa walioumia, walotangulia mbele Mwenyezi Mungu awalaze sehemu stahili, nasi atungoze tuwe ni wenye kumshukuru. Tusiyoyajua ni sawa na usiku wa Giza, tunalaumu mno jitihada za watu wengine kwa lolote wanalofanya ilhali sisi ni mabingwa wa maneno, kashfa, dharau, matusi, na ...... ndio yanatutawala. Tuwe makini tumuogope Muumba, kesho ipo tutakutana nae si masihara!
Tunamshukuru Mungu kwa Huruma zake na wote walionusurika 🙏🏿🙏🏿 na Pia pole kwa Wale wote waliopoteza ndugu na jamaa na watoto na wote kiujumla Mwenyezi cha kukulipa Ni Ibada zetu na kutoa Sadaka kwa wahitaji wote 🧎🏾♀️🤲🏾👏🏾
Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani najua imekuumiza sana laia wako kupatwa na ajali hii Alha akujalie kilalaeli akupe nguvu ya kutuongoza salama ❤❤
Asante sana mama yetu, Rais wetu kwa upendo wako kwa hawa wahanga wetu,umekuwa faraja kwao na faraja yetu sisi watanzania.Mungu akulinde,akuongoze na akubariki katika kazi zako.
Mungu akubariki sana sana Mama wa Taifa letu!. Mama wa Tanzania yetu na Mama mwenye Umama Rais wetu Mama Samia, umetoa ushirikiano mkubwa mno kuwaokoa wapendwa wetu. Tuendelee kuwaombea waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani. Tuendelee vilevile Watanzania wenzangu kumuombea Rais wetu Mama Mwenye UMAMA Samia Suluhu Hassan Mungu amdumishe afya njema ili atuongoze katika yote maana uongozi sio lelemama ni kazi ngumu mno!. Hasa huu uongozi wa kuongoza watu unahitaji advanced wisdom. Hivyo tumuombee sana. Mama wa Taifa letu, Our beloved president.
Mungu akupe nguvu sanaaaa Mama Samia wanaokyfikiria mabaya yawarudie wenyewe wewe ni mti wenye matunda haushi kupigwa mawe 2024 2025 unachukua unaweka waaaaa mpaka 2030
Big up. Bwana. Tanzania ni jadi yetu kushukuru kama ambavyo tunaenzi utamaduni wa kusaidiana. Shukrani ni utamaduni wetu Tanzania. Hata unapopewa haki yako. Unasema naomba. Ukipewa unasema ahsante.
Huyu mama ni wa pekee. Miaka hii michache ya kuwepo kwake madrakani amefanya makubwa katika nyanja nyingi. Katika sekta ya michezo Kila mtu ameona. Mungu ampiganie na kumlinda.
mbona kawataja hadi akakazia kwa kusema wizara ya kwa ujumla alianza kwa kusema watumishi wa afya ,isikilize upya kwa utulivu ila kamsahau waziri mkuu ila kasema viongozi wote kajitahidi sana kagusa sehem zote
Mungu akubariki zaidi Rais wetu mama Samia Kwa kweli umefanya jambo kubwa sana Kwa nchi yako
Tunakupenda Rais wetu tunakuombea sana Kwa kuweza kuliweka Taifa pamoja ktk kipindi hiki kigumu
Huyu ni mwenye Shukran
Allah azidi kumtia nguvu na ampe subra
Sanaaa zaid hakuwasahau wananchi maskini mungu ambariki sana wamejitolea
Huyu binti ana shukrani sana, kila nikimsikiliza anashukuru🙏♥️
Ni kweli mama Samia ana upendo na huruma, anatujali sana raia, ni mama, tusisahau ametuinua sana wanawake kuwa tunaweza...wanawake tumuunge mkono mama ktk uchaguzi ujao , cc ni jeshi kubwa, tukiamua jambo letu kwa nguvu moja tunaweza.
Poleni sana wahanga wote, poleni sana wafiwa na tunaishukuru Serikali , Waziri mkuu, majeshi yote,watu binafsi na kila aliyesaidia kwa njia yoyote, ila zaidi sana tunamshukuru MUNGU kwa yote.🙏
Kwa kweli serikali imefanya kazi sana yaani sana hakuna uzembe kabisa hongera sana Mheshimiwa Rais
Hakuna uzembe et unafikiri watu wangeandamana wangetumia muda gani kuwawatanya ndio ungeona vifaaa vya kisasa
@healingclinic698 Unajua lile ghorofa lingekuwa sehemu yake peke yake hiyo kazi ingefanywa siku moja ,lakini maghorofa yenyewe yamesongana kama mashimo ya kupandia maharage
Salaam za pole kwa walioumia, walotangulia mbele Mwenyezi Mungu awalaze sehemu stahili, nasi atungoze tuwe ni wenye kumshukuru. Tusiyoyajua ni sawa na usiku wa Giza, tunalaumu mno jitihada za watu wengine kwa lolote wanalofanya ilhali sisi ni mabingwa wa maneno, kashfa, dharau, matusi, na ...... ndio yanatutawala. Tuwe makini tumuogope Muumba, kesho ipo tutakutana nae si masihara!
Dada kajitahidi Sana kuongea
@@kanankirannko6174 hahahahhaahahj HhHahJ 🤣😀😀🤣😀🤣🤣😀🤣😀🤣😀 ila nimecheka mashimo ya maharage
Tunamshukuru Mungu kwa Huruma zake na wote walionusurika 🙏🏿🙏🏿 na Pia pole kwa Wale wote waliopoteza ndugu na jamaa na watoto na wote kiujumla Mwenyezi cha kukulipa Ni Ibada zetu na kutoa Sadaka kwa wahitaji wote 🧎🏾♀️🤲🏾👏🏾
itifaki imezingatiwa vizur katika kushukuru, lakin wale watu wa kariakoo walioanza kuokoa kabla ya mtu yeyote kufika, nadhan washukuriwe saana
Kweli kabisa kajitahidi
Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani najua imekuumiza sana laia wako kupatwa na ajali hii Alha akujalie kilalaeli akupe nguvu ya kutuongoza salama ❤❤
Asante sana mama yetu, Rais wetu kwa upendo wako kwa hawa wahanga wetu,umekuwa faraja kwao na faraja yetu sisi watanzania.Mungu akulinde,akuongoze na akubariki katika kazi zako.
Mungu akubariki sana sana Mama wa Taifa letu!. Mama wa Tanzania yetu na Mama mwenye Umama Rais wetu Mama Samia, umetoa ushirikiano mkubwa mno kuwaokoa wapendwa wetu. Tuendelee kuwaombea waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani. Tuendelee vilevile Watanzania wenzangu kumuombea Rais wetu Mama Mwenye UMAMA Samia Suluhu Hassan Mungu amdumishe afya njema ili atuongoze katika yote maana uongozi sio lelemama ni kazi ngumu mno!. Hasa huu uongozi wa kuongoza watu unahitaji advanced wisdom. Hivyo tumuombee sana. Mama wa Taifa letu, Our beloved president.
Hongera sana Mama kwa kazi kubwa pamoja na timu yako yote Mungu aendelee kukutia nguvu katika kulijenga taifa hili na kulinda uhai wa raia wako
Mama tunakushukuru kwa upendo wako,hakika ww ni zaidi ya mama 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kwakweli raisi tunae kwa moyo aliouonesha kwenye hili janga kwakweli mungu ampe maisha malef mama yetu
Hongera Mama SAMIA Kwa upendo wako juu ya watu wako unao waongoze MUNGU akubariki sana pamoja wenzako wote
Jamani dada unashukrani😂😂😂Mungu akubariki Ila unatuchekesha sie wananchi, tunakosa mbavu!! Unaongea Sana na ni mcharuko
Utunzwe Na Mungu mheshimiwa Rais wetukwa Upendo Na kujali,kweli umekuwa faraja Kwa wahanga Na watanzania wote
Amina
Hongr dada Mungu awatie nguvu sana
Allah akujalie heri mama❤
Cjuwi kama tutampata rais kama samia kwa huwezo wangu hungetawara mirere
Huyu dada aliniliza alitoka ikilitangaza jina la Mungu,Mungu waponye na wale waliotanguria mbele wapumzike kwa aman
Mwna mwana ECG Makongo juu
Huyu ndio alionwa sana na mama😂😂😂❤❤
Aiseeee si clip tu jamani au😅😅, hicho nacho nikipaji,, anajar watu
Akika selekali tunayo inajaliwatu inashaili🎉
Wewe ni kushukuru Tu jamn haya jishukuru mwenyewe sasa
Mama yetu mungu ampe umri na azidi kutupambania kwenye taifa letu hatuna cha kumlipa ila tunamuombea awe salama
Ni muujiza aliuofanya mungu kwa ndugu zetu waliopona na janga hili shukrani zina uzito na hisia kali.tuseme ahsante mungu
Rais wetu. Yuko vizur. Watu wameona wenyewe.
Mheshimiwa siku hizi anakonda shida nini 😢😢😢
Mungu awatie nguvu dada, nipitieni guys
Pole sana,Dada,ila Kichwa bado hakijakaa sawa
Mungu akupe nguvu sanaaaa Mama Samia wanaokyfikiria mabaya yawarudie wenyewe wewe ni mti wenye matunda haushi kupigwa mawe 2024 2025 unachukua unaweka waaaaa mpaka 2030
Big up. Bwana. Tanzania ni jadi yetu kushukuru kama ambavyo tunaenzi utamaduni wa kusaidiana.
Shukrani ni utamaduni wetu Tanzania.
Hata unapopewa haki yako. Unasema naomba. Ukipewa unasema ahsante.
Wokozi kwel
😊😊
Wapelekeni sehemu wakae kama week ivi wale na kupata utulivu wamepitia naxito
Ameen
Mmmh aliyemwambia hakunywa maji nani?😊😂
Mama mwema ishi daima
Huyu mama ni wa pekee. Miaka hii michache ya kuwepo kwake madrakani amefanya makubwa katika nyanja nyingi. Katika sekta ya michezo Kila mtu ameona. Mungu ampiganie na kumlinda.
Kawashukuru mpaka waliokufa jamani
Mama ni Mama anayesema vibaya sijui kazaliwa na nani.
Kuna majengomawili ni hatari saana wahusika tuwasiliane
Mama hana noma
Mm cpo
Na mwisho wa sku ukasahau timu ya wataalam wa afya walohusika kuwawezesha
All in all
Thanks to the almighty God
Mungu ndiye aponyaye
mbona kawataja hadi akakazia kwa kusema wizara ya kwa ujumla alianza kwa kusema watumishi wa afya ,isikilize upya kwa utulivu ila kamsahau waziri mkuu ila kasema viongozi wote kajitahidi sana kagusa sehem zote
Mama samia anauchungu na watu wake tatizo sisi tulio chini
Uyu kichwani bado inaja gani yakujieleza ivyo kha!! Ebu anyamaze uyu anatoka kwenye point
Omba yasikukute
Kweri nisahihi Dada Ayupo sawa nikama Wenge MUNGU Atutee@@homeandaway2811
Dada kakosea sana. Hakuona umuhim wa. Wale raiya walio okoa
Wametajwa.
Embu rudia kumsikiliza labda masikio Yako hayapo sawa
mbona ametaja
Hajakosea na ata kama amekosea Binadamu tumeumbiwa kusahau. Amejitahidi
Kagusia raia
Nmmmmmmhhh
Mmmmmh Mimwenyewe
Dada anajuwa kujieleza
Mama unaupiga kama msuva
😂😂 msuva
😂😂😂😂😂🎉😂