MAPYA YAIBUKA M/KITI ACT AFUNGUKA KILICHOWAKUTA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI SONGWE..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 113

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Poleni Xana mungu awatie nguvu wote waliofanya kitendo hicho walaaniwe na vizazi vyao

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kijana uko vizuri.....kwa uwasilishaji...
    Mungu atahukumu kwa kila tendo na neno...

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Sijawah kuipenda CCM.

  • @justicebridge
    @justicebridge 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Hata kama ratiba ya campaign imevunjwa ,inalalarishaje kupigwa hiyo ni kinyume na katiba ibara ya 13

  • @KennethZengo
    @KennethZengo ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mnatoa maoni yanasaidia nn inatakiwa Sasa tususie biashara zote zinazomilikiwa na watu wanaoiunga mkono ccm

  • @danielkanso
    @danielkanso 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Poleni sana police wanatumiwa na wana CCM yaani kwa maana nyingine ni kwamba police wako utumwani babeli hivyo wanahitaji kuokolewa pia police wengi wana msongo wa mawazo kutokana na namna wanavyotumikishwa nje ya utaratibu wao

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kisheria polisi ni wafanyakazi WA serikali hawapaswi ku base kwenye Chama chochote cha siasa. Ni ubadhilifu tu

  • @starlily07
    @starlily07 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata kama mlivunja ratiba ya kampeni hamkustahili kupigwa, 😢 aisee hawa policcm wanatia hasira sana

  • @WemaShayo-p5c
    @WemaShayo-p5c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Pole Sana tupo na nyonyo mwanzo mwisho

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pole sana kijana mdogo jasiri Mungu akutunze wewe ni kiongozi una Hekima pole sana

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ni aibu kwa CCM kuwaogopa wapinzani na kutegemea jeshi la polisi hata siku moja sijawahi kuona wanachama wa CCM wanapigwa na kuwekwa mahabusu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Bongo hatuna usalama wala jeshi la kulinda raia tunao ma bodyguard wa ccm wamejipa jina la jeshi!!!

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole sana brow mm ni mkenya ila imeniuma sana pole sana

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pole sana

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Polen sana

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wengine wanaipenda CCM kwa 7bu ya PESA lakini mimi ni uzalendo kabisa kwa Chama kingine

  • @Hkilave
    @Hkilave 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hawa police wamekwisha zoea kuua lkn iko siku mwisho wao utafika

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 53 นาทีที่ผ่านมา

    Jambo baya sana sana kupigwa aisee, lakin pia tujue kwann hicho kitendo kilitokea. Nasikia kuna polisi pia wamelazwa hospitali kwahyo tujue nn kilitokea pia kwao, polen sana mambo haya hayakubaliki ya watu kuumizwa

  • @fabby1181
    @fabby1181 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Police wetu hebu mjitofautishe na vibaka .
    Ukiwa ma mtuhimiwa ambaye hafanyi fujo ya nini kumpiga??? Au ninyi NI vibaka??

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Poleni Sana fungueni kesi

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ayo unayotuhadithia tumeyaona kwenye clip Jin's mlivyokua mkipigwa km wez

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana aisee

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o 10 นาทีที่ผ่านมา

    Hili si jeshi la polisi ni Jeshi la mhemkoo!Halifanyi kazi kwa kufuata sheria na katiba ya nchi

  • @ClementMercelli
    @ClementMercelli 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hivi viongozi walioapa kuilinda katiba wako wapi kama hawajui wanachofanya waangalie Msumbiji na jeshi huwa haishindi kwenye vurugu

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nguvu kubwa inatumika kwa vyama vya upinzani, wezi wa mabilioni wanalindwa. Mungu tunusuru waja wako.

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amken. Wao wako wangapi kituon kwako. Achen woga Haki huchukuliwa.

  • @rdmjeshi
    @rdmjeshi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polisi Hawa mnaowaona hawana maisha Mimi hiyo kazi naielewa Sana Huwa ni madeni kwasababu polisi wanafosi ccm wakati mishahara masilahi Yao Bora hata mlinzi wa kampuni ya SGA polisi wetu ni mbwa, ila nawaibia jambo moja next year ni mawili tu either upinzani ushike nchi either Samia atoke, asipoamua kutoka basi baada ya uchaguzi wiki moja baadae jeshi la wananchi ndio litashika nchi na ndio mwisho wa chama Cha majambazi(ccm)

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ccm wamesha jichokea hawatumii akili wanatumia nguvu ya polisi wanaogopa nini kama waoo ndio watawala mbona mnatuogopa tuvyama tudogo tumewachoka watanzania mnazidi kutupa hasira Kila kukicha

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o 9 นาทีที่ผ่านมา

    Kwa namna hii ndio wanatukomaza,na siku tukiamua polisi ni sifuri kwa wananchi

  • @ClementMercelli
    @ClementMercelli 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii jeshi linatakiwa lifumuliwe maana ni la CCM silo la nchi

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ccm ni washenzi wanashirikiana na mapolisi kuwaumiza wananchi ,ccm ni lazima ichukiwe na kila mtanzania

  • @KennethZengo
    @KennethZengo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ifike Mahali wanasheria mtueleze je polisi hawashitakiwi kama hawashitakiwi basi nyinyi wanasheria hamfai

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Police siku zote huwa hawatumii akili CCM naichukia toka moyoni mwangu

  • @JamesMsemwa-b2t
    @JamesMsemwa-b2t 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana jamani hawajuwi kama mnapambania wenyewe

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 5 นาทีที่ผ่านมา

    Kama mnajua mlivunja sheria kipigo halali yenu ungepivwa ungekuwa hivo wewe acha unafiki

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 49 นาทีที่ผ่านมา

    Mnataka huruma kutoka kwa wananchi wauwezo mdogo nyinyi hamna lolote

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole xana ndugu

  • @LawrenceGingo-u2h
    @LawrenceGingo-u2h 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mim nawaraum sana viongoz wavyama vyasiasa wananukabisa hawawezi kushinda kivyovyote wanashindwaje kushirikiana kualitu kimoja kupinga kugombea awemjumbe mwenyekit udiwan ununge warauraice achampateshida unganeni kupinga vyama vyasiasa

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama nyie wenyewe mlikubaliana sawa wao wanaumiaje,hee mungu tunusulu na haya majanga,huu ni uchaguzi mdogo je mkuu itakuwaje

  • @tluwaysulle
    @tluwaysulle 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wache walinde mfu ambaye hana sera ipo siku watafia naye

  • @tluwaysulle
    @tluwaysulle 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ipo siku hiyo nguzo wanayotegemea utaanguka na tutajuana wakati huo

  • @dezideliusrubambula9565
    @dezideliusrubambula9565 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Km selikaliya Tanzania haitaki vyamavingi nivyema wakawawazitu kuliko kutesawatubule.

  • @FarajaThomas-o4i
    @FarajaThomas-o4i 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni jamani upinzani hamna haki

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama jeshi linafanya haya bora tujilinde wenyewe

  • @Eliasa-h5t
    @Eliasa-h5t 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka ungepigwa usoni ungekua hivyoo? Acheni kudanganya watanzania msitafute Kiki

  • @mapendomeela7166
    @mapendomeela7166 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu naomba tenda miujiza Tanzania naamini mungu huyu atatenda tu

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asaivi nikienda kwenye kampeni natembea nakisu polis akinisogelea nameaga utumbo

  • @WemaShayo-p5c
    @WemaShayo-p5c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hilo nijeshi la CCM sio jeshi polic

    • @jafetzani8568
      @jafetzani8568 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      CCM kwa sasa wao hawana haja na uchaguzi wao haja yao nchi iwe na vurugu wao watawale bila kuwa na uchaguzi wowote wao waitaji kutawala kimabavu. Kwahiyo Watanzania tusitegemee kupata viongozi wakuchaguliwa ila wakubambikiwa ila mimi niwatie moyo hakuna marefu yasiyo na mwisho wananchi tutumie haki yetu kupiga kura hata kama hatutapata viongozi tulio wachagua ila tunakuwa na uzoefu zaidi ni njia gani watu wstumie safari ijao. Nafikiri siri nyingi viongozi wa CCM wamesfazisema kuanzia nape hata yule kiongozi wa karatu aliyetumbuliwa, maamuzi yote yameshapangwa mezani hata mfanye nini wapinzani hamtoboi. Kwanza hata hao viongozi wenu wengi ambao wamepitishwa wengi wao wameandika barua za kujitoa, kwahiyo mnapigia kampeni hewa tu

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu azidikukujalia uweo saayako ipo ushindi wako upo

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Washitakiwe, dai fidia, ikiwemo kulalamika kwenye mahakama ya haki za binadamu.
    Polisi hawatakiwi kupiga mtu, au kupata ushahidi kutumia nguvu.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    NIABU POLICE MNACHO FANYIA WAPINZANI HAMUELEWI VYAMAVINGI NINI NENDENIMKASOME MAANA YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI NINI ACHENI KUTUMIKA VIBAYA NIAIBU MNACHOFANYA NYINYI SIO CHAWA WA CCM KWANINI MNATUMIKA ? ACHENI MABAVU.

  • @DANIELHAONGA-sr9ek
    @DANIELHAONGA-sr9ek 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Police alie wagusa walio kua wanapigwa wate ajali waje kufa kifo cha ovyo aise nimeumia saana😢😢😢

  • @DANIELHAONGA-sr9ek
    @DANIELHAONGA-sr9ek 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utakuja kuwa rais brother

  • @eliudinjoka8698
    @eliudinjoka8698 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawawe mambo ya kariakoo yana uhusiano gani na watu waliopigwa na polisi

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana CCM na Serikali wanataka kuleta machafuko

  • @AkleyChuwa
    @AkleyChuwa 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tusikubali Tena kupingwa na polisi

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nini mbowe na sugu hawakupigwa wamepigwa wadogo tu, basi huenda hao si wenzenu...bora CUF yangu ilivokufa nimebaki sina chama...

    • @Hkilave
      @Hkilave 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huo ni unafiki na uchonganishi si muda mrefu sugu alipigwa sana

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yakome hayo matukio yakupiga wananchi

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Police police mungu shuka tenda haki tunakuomba usikae kimya

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    FREEMAN MBOWE wewe sio FREDMAN MBOWE,ZITTO ndio hawa vijana wako kweli?

  • @DANIELHAONGA-sr9ek
    @DANIELHAONGA-sr9ek 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mutapata ajali nyie polisi ninalani vibaya mnoo

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA RPC MKOA WA SONGWE NA VIONGOZI WA POLISI....AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI KWA MH. RAIS SAMIA NA SERIKALI YAKE YA CCM....CHUKI KUBWA INAJENGEKA KWA WATANZANIA DHIDI YAKO BINAFSI MH. RAIS...NA NCHI 'IMEPASUKA'!

  • @anselemmasirikali6384
    @anselemmasirikali6384 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa polisi pgo hawarusu kupigwa watuhumiwa nani anapa jeuri ya kupiga watuhumiwa na kuwaumiza halafu chama Cha wanasheria kipo kimya watu wanaumizwa na polisi

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      hata Polisi wa Marekani na Russia wanapiga ije kuwa Polisi wa Tanzania?

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ccm hovyo kweli kweli

  • @FelisterBazil
    @FelisterBazil 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We unassembled wamezixi mdomo hutumii akili

  • @eliudinjoka8698
    @eliudinjoka8698 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii inch yetu inaelekea kubaya

  • @MwanaMohd-u6s
    @MwanaMohd-u6s 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umepigwa sana upo hvyo hauna ata kidonda

  • @josephatbwakome5711
    @josephatbwakome5711 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Inaumiza sana, hizo nguvu za kupambana na watu huru tungetumia kupambana na wezi wa mali za umma nadhani ingependeza zaidi.

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wangepambqna na watekaji

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani wezi wa Mali ya umma ni akina nani?

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walaaniwe wote waliohuxika

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni tu kampeni ccm waendeleee msi riski maisha yenu kwa ajili ya watanzania wasiojitambua

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jana tu leo unaongea,hujapigwa sana

  • @moussamoussa6166
    @moussamoussa6166 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamna issue bwanaaaaa ....... Wanaume wapo Kenya tu na Maputo. Tushachoka malalamiko yenu kila siku nyinyi mnalalamika hamuna ACTION. Kama wanaume kweli waigeni wakenya na wamaputo

    • @MichaelJohn-c9c
      @MichaelJohn-c9c 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asante Kwa ushauri Bi.Aisha

  • @justicebridge
    @justicebridge 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapelekeni mahajamani hao wajinga sana hawajira.bui

  • @EdgarMwaninyaga
    @EdgarMwaninyaga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Bado saaana hajagongwaaaaa

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ezekia..Ezekia.. mbona uso wa kirembo huo..
    umepigwa usoni..kifuani kichwani kichogoni taya mpaka mkawa mahatuti.. basi ata plasta huna..
    kk kdg jifunze pplic speaking

    • @kilianjulius9882
      @kilianjulius9882 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nena kwakuwa si ndugu yako ila tambua sisi wote ni ndugu

  • @yasirabdallah636
    @yasirabdallah636 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ACHA MPIGWE MMEZIDI MDOMO,TENA HUYO MDUDE KIROPOROPO ILITAKIWA APIGWE SAWASAWA

    • @sammykateregga6238
      @sammykateregga6238 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakishamaliza kuwapiga hao........ mla nyama ya watu............. Ni muda tu utaeleza.

    • @EmmanuelJeremiah-r2s
      @EmmanuelJeremiah-r2s 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbwa wewe unaeombea watu wapgwe

    • @danielkanso
      @danielkanso 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pepo ni pepo tu

    • @jacksonsawe2301
      @jacksonsawe2301 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Laana kum wewe

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siungi mkono askari kupiga watu, ila unaposema umepigwa sana mpaka ukawa mahututi tena jana tu halafu leo unanguvu mpaka ya kufanya press na waandishi wa habari na sauti inatoka vizuri,hapo ndo nashindwa kuelewa. Ila pole sana

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waliwapiga Polisi mawe na kuwajeruhi Polisi wawili.

    • @millitarybattalion7515
      @millitarybattalion7515 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mm nashangaa

  • @MwesigeMwesige
    @MwesigeMwesige 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asikali unampiga laliya umepata nini

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ww unaekomenti etimungepigwa kumbuka to waliokufa kariakoo sio waupinzani hata wanaccm na waliosaidia wokozi sio Wana ccm hata waupinzani waliosaidia kuokoa sasa mnawagawa watanzania

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata siku moja msikae kufikiri Polisi ni Wajomba zenu na Shangazi zenu kwakuwajibu mnavyotaka. Mnajipangiaje ratiba halafu mnabishana na Polisi? Mbaya zaidi mliwapiga Polisi Mawe mpaka wengine walipelekwa hospitali kushonwa mapaji ya uso. Nani aliwaambia Polisi wanapigwa? tena mna bahati mmepigwa hamkuvunjwa mbavu maana kwa hasira za kuumiza polisi mlitakiwa mmalizwe hukohuko Cello.

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe akili mkundu hujui hata unacho kiongea

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Police mmekosea mngewapiga sana Hawa Ili wawe na adabu

    • @japhethotieno2285
      @japhethotieno2285 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wana kosa gani?

    • @agustinohizza1395
      @agustinohizza1395 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ipo siku utapigwa na hauto jua unapigwa na nani na utapigwaje

  • @Castory-k4j
    @Castory-k4j 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polisi nawaomba mpambane na watekaji nitafurahi sana kama nitaona mumepambana na hao kama munafanya kazi kwa maagizo ya mtu munaiharimbu .TZT Watanzania hatutaki vurungu ikitokea vita Polis mtahusishwa si vyama vya siasa hilo mliangalie sana rindeni raia siyo kupiga

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumeona hakuna kipigo chochote wacha kuleta Propaganda hapo unajua kipigo cha police wewe hiyo Taya ungesema hivyo wacha Uwongo wewe

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nahisi unatumia makalio kufikiri na SI akili 🤔

    • @MohamedRashid-py7ro
      @MohamedRashid-py7ro 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @husseinmtima6106 imekutachi kwa ukweli arafu kwa nini nyinyi wanaharakati Chadema mnapenda sana kutukana sana arafu ni mtoto wa kiume au huwa mnasiri ya ushoga

  • @WillKilulya
    @WillKilulya 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpigwe tu mmezidi mdomo na jeuri.

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unadhani ni afya kwa demokrasia watu wawe mabubu? Vipi tukirudi kwenye mfumo mfumo wa chama kimoja?

    • @LameckMbele
      @LameckMbele 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kunasiku utakumbuka sasaiv shabikia tu

  • @EdgarMwaninyaga
    @EdgarMwaninyaga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha ujinga ulipigwa usoni kaka ungekuwa hivyo

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatuoni kama wapinzani wanania ya dhati ya kuiondoa CCM. Hamtaki kuunganisha nguvu ya pamoja mkidhani kufanya hivyo nikukipa nguvu chama kingine.

    • @ellymwanga1335
      @ellymwanga1335 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unasema??

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana