Sie binadamu husahau haraka sana,Yan kufungwa mech tatu tu mipovu kibao wakat Kuna MAFANIKIO mengi ambayo uongozi,kocha na wachezaji wameyapata kwa misimu mitatu mfululizo ,Tuwe wavumilivu hizi ni nyakati ambazo haziepukiki kwenye maisha ya mpira✍️✍️
Gamondi alikuwa kocha mzuri sana ila kwa vile mambo yanaanzia kwa viongozi sisi mashabiki kuja kujua tayar maamuzi wameyafanya hatuna namna kwa hili acha tuumie na huu ndo wakati we2 tena wakuumia kwa wananchiiiii😭😭😭 Ki Aziz na Dube jana hawakustahili kabxa kuendelea Kipnd cha pili ila kwa sub ilofanywa sasa et max njee duuuh noma!! Wananchiii wenzangu huu ndo wakati uleee acha tuishi nao kama wenze2 walivyokuwa
Mhh jamani huku mi naona kama kupanic sasa hao hao makocha waliletwa na huyo huyo aliyewatoa sasa kwa mm naona kwa mechi hii moja na ngumu hebu tutulie kwanza, mpira wa yanga haukuwa mzuri sio mechi tulizofungwa tu bali tangu ligi inaanza mm niliona yanga hawakuwa na performance nzuri, Sasa tutaanza kupiga kelele hapa game moja akianza kushinda sijui tutasemaje, angalau tumpe hata michezo mi5 hlf tuanze sasa kuwa rais alikosea au lah, lkn kwa sasa tutaambiwa tufute hya maneno tutashindwa
Maisha ya Makocha wa Mpira ni Mafupi Sana….. Kwenye hizi timu mbili (Yanga na Simba) hakuna kitu sahihi kinacho wahakikishia makocha maisha marefu. ✍️Imagine huyu Gamond aliwafunga Simba goli 5-1. ✍️Imagine huyu Gamond msimu uliopita alishinda mechi 8 tofauti kwa goli 5. ✍️Imagine Msimu huu Gamond ameshinda mechi 8 mfululizo Tena bila kuruhusu goli. Ila hayo yote hayakitosha kumbakisha Bongo🙌 Maisha ya makocha ni mafupi sana…..
Yani mashabiki wakitanzania uvumilivu hakuna kabisa anafungwa Man City, Real madrid sasa nyinyi msifungwe kina nani. Hii ni kawaida kwa timu ilofanya vizuri na kucheza michezo mingi ya kiushindani hivyo January viongozi inabidi waimarishe timu. Muhimu kujua wachezaji sio mashine huwa wanachoka hasa wanapotumika sana bila kupumzika.
Hivi yanga jana kwa mfano angepata matokeo haya yote yangetokea si kila mtu angesifia kwa nn tusiwe na imani na timu.hao has wazee ndio waliotupa heshima msimu iliyopita leo kufungwa wazee kwa nn tunakuwa na tabia ya kusahau hata hao mliocheza nao wamejipanga pia kwa hiyo tusiwe na tabia ya kuwa na matokeo mikononi tuwape moyo wapambanaji wetu.
Ila bongo yani mtu anakimbia bila kuwa na kosa sababu tunajua wazee wakikushika tu ata uwaambie nn hawakuelewi iyo simo yako lzm ufike central😂😂😂😂 jamaa anahojiwa Ila kaona watu wanaamsha nae mapema 😂
Jamaa kasema ukweli hakuna kitu kibaya 😢kama uwongozi kumwacha GAMONDI pigo kubwa na nasema watajuta usiku na mchana sikuzote mimi nasema kocha hakuwa na tatizo tatizo ni wachezaji magoliyote yote tumefungwa tatizo kipa na bekizake hawako kimchezo wanaingia uwanjani mawazo yako inje ya uwanja
Nimesikiliza interview nyingi ila hii jamaa kaongea ukwel mtupu. Dube hakustaili kumalima Ile mechi kwn mzize na baleke wapi wp na sikuona sababu ya kumtoa max.
Unaweza ukasoma arafu ukawa mbumbumbu ila herisi alizingua kufanya maaumuzi ya kumtoa masta gamond dah Herisi hamna kitu kabisa yupo kimasrahi yake binafsi nasio masrahi ya Timu ya Wananchi Yanga
HAYA YOOTE YANATOKEA KWA SABABU HATUKO SAWA NA MANALA .KWANI MANALA MAOMBI YAKE YANASIKIKA HARAKA SANA MBELE ZA MUNGU HASWA ANAPOTENGWA NA KUNYANYASIKA
Kweli kabisa hapo rais aliteleza pls pls wanayanga tupaze Sauti gamond arudishwe.
Kwl kbs yaan
Hawezi kurudi 😂😂😂
Ngoja aende timu itakaa sawa tu nyie mnajua kilichomtoa nyamazeni hivyohivyo Tena angekuwepo gamondi Leo tungefungwa tano
Jamani Kocha mwenyewe ndiyo mechi yake ya kwanza tunakosa uvumilivu mashabiki tuweni wavumilivu jamani
Sio kweli Gamondi aliharibu sana timu
Injinia Hersi alifanya kosa kubwa kumwondoa Gamondi
Ni kweli
Sisi tunafurahi mkifarakana kutesa kwa zamu😂
@@jassonnelly3445 roho ya uchawi hiyo.
Huyu jamaa anajua sana, hii ndio ukweli mtupuuu, hersi kazingua sana...tukiongea tunaonekana mashabiki maandazi
Mm nafurahi sana utopolo kuvurugana
@@hassanially1773 we mchawi.
Unaongea ukweli mtupu broo
Good mwane2 me J.Naldo 7 apa flom Bagamoyo Tz Sikupingi
Mm shabik wa simba damu lkn kiukwel kwenye mda wa sabu pale kumtoa max nilishangaa sanaa,dah watani zoeeni tu,,,maumivu kupokezana😂😂😂😂😂😂
Waache wateseke
HUYU JAMAA ANAJUA MPIRA
Hersi mpiga hela ndo maana akafanya vigisu alete kocha mwengine, hersi anatafuna na kupuliza
AZIZI KI AMEATHIRIKA KISAIKOLOJIA...APUMZISHWE.
Fukuzaa hilooo engineer hamna KIONGOZI PALE
daaaah n kweli kabisa viongoz walikurupuka yan kufungwa match mbili tu anafukuzwa kocha hakika hiki kinaumiza
Hadi raha😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mliosema mcheze na malaika walete walete
Mm napenda hawa wakiteseka😂
😂😂 kulia kupokezana😂
Dogo upo vizuri
Aliyemleta ndo ka mwondoa , we ulikuwa unamfahamu Gamond lakini pia alishawambia wala mihogo waache kelele
Sie binadamu husahau haraka sana,Yan kufungwa mech tatu tu mipovu kibao wakat Kuna MAFANIKIO mengi ambayo uongozi,kocha na wachezaji wameyapata kwa misimu mitatu mfululizo ,Tuwe wavumilivu hizi ni nyakati ambazo haziepukiki kwenye maisha ya mpira✍️✍️
Atumtaki huyo kocha wao ssi tunamtka gamond wetu
Iv yule aliyetoka kmc yupo kwenye ufundi gan wa Gali la yanga 😂😂
Hahahah
😂😂😂😂 Engineer Mitano tena
Poleni watani,muache kujisifia mlizidi sifa jamani,Yanga hii inafungwajeee,l
Gamondi angefungwa mechi ya Al Hilal hawahawa wangesema "KOCHA HAFAIII"! watu wanafiki sana!
Gamondi alikuwa kocha mzuri sana ila kwa vile mambo yanaanzia kwa viongozi sisi mashabiki kuja kujua tayar maamuzi wameyafanya hatuna namna kwa hili acha tuumie na huu ndo wakati we2 tena wakuumia kwa wananchiiiii😭😭😭 Ki Aziz na Dube jana hawakustahili kabxa kuendelea Kipnd cha pili ila kwa sub ilofanywa sasa et max njee duuuh noma!! Wananchiii wenzangu huu ndo wakati uleee acha tuishi nao kama wenze2 walivyokuwa
Aziz ki ameleta mahaba😂😂😂
Yanga team yetu mbovu wazee wengi yanga
Jamaaa anaongea mpira sio wanao piga kelele
Jamaa nimemkubali sana Aziz ki kaishaa
Shida ni kujiaminisha na kuaminishw Kuw yanga ni bora,...Sasa hiii ndo yanga , dube ni yikpe😂
Nauyo mfukuzeniii hamjuwimpira hayo ndio atatizoyenu wabongo cc huku zenji tunakuchekeeeni mapumbavu
Hapana gamondi alishaharibu wachezaji kwenye starehe kocha mpya anakosa
BADO AMJASEMA mpaka mseme 😂😂😂😂😂😂😂🎉😢🎉🎉🎉🎉wooooooooooy
Aliyeharibu timu ni gamondi.nidhamu zero
Eng hersi ndo tatizo yanga mashaki wenzangu tunakiwa kujua hilo
Mhh jamani huku mi naona kama kupanic sasa hao hao makocha waliletwa na huyo huyo aliyewatoa sasa kwa mm naona kwa mechi hii moja na ngumu hebu tutulie kwanza, mpira wa yanga haukuwa mzuri sio mechi tulizofungwa tu bali tangu ligi inaanza mm niliona yanga hawakuwa na performance nzuri, Sasa tutaanza kupiga kelele hapa game moja akianza kushinda sijui tutasemaje, angalau tumpe hata michezo mi5 hlf tuanze sasa kuwa rais alikosea au lah, lkn kwa sasa tutaambiwa tufute hya maneno tutashindwa
yang inatia huruma
Maisha ya Makocha wa Mpira ni Mafupi Sana…..
Kwenye hizi timu mbili (Yanga na Simba) hakuna kitu sahihi kinacho wahakikishia makocha maisha marefu.
✍️Imagine huyu Gamond aliwafunga Simba goli 5-1.
✍️Imagine huyu Gamond msimu uliopita alishinda mechi 8 tofauti kwa goli 5.
✍️Imagine Msimu huu Gamond ameshinda mechi 8 mfululizo Tena bila kuruhusu goli.
Ila hayo yote hayakitosha kumbakisha Bongo🙌
Maisha ya makocha ni mafupi sana…..
YANGA IMEPOTEZA MVUTO...YANGA KWAHERI...BYE BYE
Yanga mmekunya ten na taifa hii ss sifa
Yanga hiii inafungwajee yangahiii inafungwajeeèeee
SASA MUAMUE, KUMUOMBA RADHI MZEE MAGOMA AU KUKOMAA NA INJINIA
Sisi kama Simba tunasema mfungwe tu
Mkiwa hivi sisi ndo tunasikia raha😂😂
Wananchi maneno mengi lakini ni Sauti isiokuwa na Mlio. Injinia akiwaachia timu mtaweza???
Amekosea sana raisi hersi alinikera sana kusema ukweli katika siku zote
Injinia mnamlaumu bule we mlamiogotu unajia kilichomtoa gamondi ?
Ukweli mtupu
Yanga mwakani hatutoboi hilo lipo wazi,Gamond baba chukua mauwa yako huko ulipo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mtaften alosema maneno ya kutftiwa malaika amombe radhi mungu kw alichokisema laa siivyo kilio kitaendelea hadi kufa
Walitusema Simba sasa kipo kwao
Mpira wa yanga ni mdogo wale jamaa mpira wanajua acheni kelele tu! Kila timu ina ujuzi wake wale sio level yenu
Arudi gamodi la sivyo tunakuwa wa tan kwa hali hii gamodi arudi
Misindano imeshawaumiza wachezaji wetu wote wamexspaya😢😢😢😢😢😢
Sahihi kabxa
Hapa tatizo ni uwanja kikubwa ni kuhama kwa mkapa baaaasi
😂😂😂😂😂😂 Kweli kabisa Wahamie Burundi au Rwanda
😂😂😂😂 wachawi wanaogop kwa mkapa 😅😅 nendeni Burundi
Yani mashabiki wakitanzania uvumilivu hakuna kabisa anafungwa Man City, Real madrid sasa nyinyi msifungwe kina nani. Hii ni kawaida kwa timu ilofanya vizuri na kucheza michezo mingi ya kiushindani hivyo January viongozi inabidi waimarishe timu. Muhimu kujua wachezaji sio mashine huwa wanachoka hasa wanapotumika sana bila kupumzika.
unakoseasema washabiki wa yanga sio watz
Kwani amevaa jezi ya timu gani?rangi nyeupe😢😮😅
Wachezaji wasenge hawajitambui uwanjani dude andoke mamae
Uyu Mwamba Nimesoma Nae Darasa 1 Shule ya MSingi Kiwalan Hashim Hata Kupiga Dana Dana Ajui 😂😂
kweli mc
mimi nilimuona hapa kwa marehemu mzee kirungi
😅😅, watoto wa mwalimu adam
Ndio maana wewe unachezea LIVERPOOL 😅😅😅😅
Mourinho ni kocha mkubwa ila hajawahi kucheza mpira so Kama kupiga Dana Dana hajui sio tatizo, acha ujinga
Hahahahah
Kuna mgunda anawazoom tu jumamosi maumivu mengin😢😢😢
Hatatukipigwa sawa tu maumivu tumesha zoea mechi tatu si mchezo
WATU WANAKIBULI TIMU IMEKUWA MALI YA MTU
Mbona apo amjaongea bado,,subirini mtaongea vizuri taratibu tu
Nashangaa mashabiki wa yanga wasahau ya mzee magoma?
Hivi yanga jana kwa mfano angepata matokeo haya yote yangetokea si kila mtu angesifia kwa nn tusiwe na imani na timu.hao has wazee ndio waliotupa heshima msimu iliyopita leo kufungwa wazee kwa nn tunakuwa na tabia ya kusahau hata hao mliocheza nao wamejipanga pia kwa hiyo tusiwe na tabia ya kuwa na matokeo mikononi tuwape moyo wapambanaji wetu.
Hamna mtu anasifia ujinga kinachoongelewa ni mchezo ulikuwaje
Nyoonii yavuneni mulioyapanda mumeomba malaika kutoka mbinguni je mnalijuwa kamahili nikosa kisheria mpaka utubie
Ila bongo yani mtu anakimbia bila kuwa na kosa sababu tunajua wazee wakikushika tu ata uwaambie nn hawakuelewi iyo simo yako lzm ufike central😂😂😂😂 jamaa anahojiwa Ila kaona watu wanaamsha nae mapema 😂
Yanga matatizo ni mengi mno
Fukuza wawili Lete msuva pesa yawawili apewe msuva nawo ni dune na baleke
Ukitaka kukimbia😂😂😂 hapoo
Usajili umetufelisha waliofika sio nailitakiwa fowadi sio wakakumbe fowad kweli
yanga waliomba kucheza na malaika sasa binaadam t wanawapa shida je hao malaika
Bado hamja sema hata kwa mkapa mtahama
Hyu anajua ball
Mzimuu umefikaaa
😢 tunaumia
Jamaa kasema ukweli hakuna kitu kibaya 😢kama uwongozi kumwacha GAMONDI pigo kubwa na nasema watajuta usiku na mchana sikuzote mimi nasema kocha hakuwa na tatizo tatizo ni wachezaji magoliyote yote tumefungwa tatizo kipa na bekizake hawako kimchezo wanaingia uwanjani mawazo yako inje ya uwanja
Gamondi aliharibu timu
No Feisal no yanga
Nimesikiliza interview nyingi ila hii jamaa kaongea ukwel mtupu. Dube hakustaili kumalima Ile mechi kwn mzize na baleke wapi wp na sikuona sababu ya kumtoa max.
Angalia magori tunaofungwa ni ya akaunti ataki kwenye michexo iliyobaki angalieni utaratibu mwingine wa kucheza
Facts
Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nimemic kukunwa vizuri 😊😊
Njoo nikukune kama Nazi
Upo serious nipe mchoro
Leo sijaona wanapost
Unaweza ukasoma arafu ukawa mbumbumbu ila herisi alizingua kufanya maaumuzi ya kumtoa masta gamond dah Herisi hamna kitu kabisa yupo kimasrahi yake binafsi nasio masrahi ya Timu ya Wananchi Yanga
Alikuwa anabahatisha tu kipindi hichoo
🎉🎉
👏👏
Yanga kwani imefungwaje?
Hesi ni nan kwan
Uyu jamaa anajua mpira yanga
Bado mpoteze gemu mbili muanze kumtafuta Magoma
Bafo hamjasema😂😂😂
Tulien mpaka museme
ENG HERSI ANA STRESS..!!😂😂😂🤣🤣🤣
HAYA YOOTE YANATOKEA KWA SABABU HATUKO SAWA NA MANALA .KWANI MANALA MAOMBI YAKE YANASIKIKA HARAKA SANA MBELE ZA MUNGU HASWA ANAPOTENGWA NA KUNYANYASIKA
Ndomutakapo koma atabado
Mocha mgen n Fala unamtoaje max ukamuacha dube
Tatizo la wachezaji wa Yanga hawajitumi kabisa. Hasa duɓe nà Aziz Ki ni wajinga mno!
Hahaha