MCH. HANANJA AFICHUA SIRI ZA MH. MAKONDA NA SABABU ZA KUTAFUTWA NA KUULIZIWA WAPI ALIPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • TUMEPATA WASAA WA KUJADILI SIASA NA KIONGOZI WA KIROHO MCHUNGAJI RICHARD HANANJA KUHUSU ANAVYOMJUA MAKONDA KATIKA UTUMISHI WAKE

ความคิดเห็น • 6

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 21 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana, watu watakupenda na wengine watakuchukia, hilo nimepata jibu.

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 26 วันที่ผ่านมา +2

    Makonda nimtu wawatu anahuruma anatimiza wajibuwake kwawananchiwake wasiompendawachache niwanasiasa wenzake waliojaawivu nachuki hawauzikinawala hawanauwezo wakutenda kamayeye ndiyo maanakateka nguvu yauma wakitakawakubalike Wafanyekazi nzurikuliko yeye kumukashifu bilasababu wanachochea hasira zawananchi kanakwamba wao wanamaono auakilinaujuzi kuliko wananchi walio wengi. naujuzi kulikowachache.

  • @BabaBabalili
    @BabaBabalili 24 วันที่ผ่านมา

    Nakukukubar mawazo yako❤

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 22 วันที่ผ่านมา

    Agizo la Yesu lilikuwa hili; Enendeni ulimwengu mwote mkaihubiri Injili . . .Lakini leo si agizo hilo bali ni kutetea watu tunaodhani sisi ni wema, wazuri, wenye haki, nk. Yesu hakututuma kwa hao, bali wenye dhambi watubu. Mbona tunaihalifu injili? Kama mwendo ndio huo wa kila siku ni kuongelea matukio mtahubiri lini Injili? Aisee! Ama kweli!!! Hivi siku ya mwisho ya hukumu za haki za Mungu, mtamwambia mlihubiri injili?

  • @NICEGIVEN
    @NICEGIVEN 26 วันที่ผ่านมา

    huyo mchungaji mwe

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 24 วันที่ผ่านมา

      kaongea point sana kulko mahubili yake kanisani kwenye mahojiano haya kaongea kweli kabsa