SALIM KIKEKE USO KWA USO NA N/WAZIRI MKUU DOTTO BITEKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: profile.php?...
    TIKTOK:
    - www.tiktok.com/@crownmedialiv...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 146

  • @user-vz4xv7lg3x
    @user-vz4xv7lg3x 3 วันที่ผ่านมา +10

    Very humble Man...Biteko ww ni hazina kama ukiendelea hv lakin Kikeke bado uko juu sanaa!! Big up to both of you

    • @dicksonkyando8989
      @dicksonkyando8989 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Awe Rais mtarajiwa! Anafaa Sanaa.

  • @vayeen
    @vayeen วันที่ผ่านมา +4

    Now it make sense why he was crowned Deputy PM. Dotto is way ahead our local politicians, he is intelligent, humble, visionary, highly integrity and a man of people.

  • @e.e5698
    @e.e5698 4 วันที่ผ่านมา +6

    Crown media wanaweza iovertake hii industry kwa spidi kali sana...vipindi kama hivi na viongozi wakiulizwa maswali ya maana na sio ya kichwa ni muhimu sana...Pia kudos to Dr Biteko...he seems to be a very smart man...

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 วันที่ผ่านมา

      Hivi redio yao ni ngapi nukta ngapi(masafa yapi)

  • @user-uh9xg1pn6i
    @user-uh9xg1pn6i 5 วันที่ผ่านมา +13

    Dr biteko...uko smart sana kichwani...mungu akutunze i wish siku moja uwe President wa nchi yetu

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 วันที่ผ่านมา

      Sio kwa sababu anajibu vizuri ndo Rais, tunataka kweny cheo chake hiki je umeme upo? na kama upo unakatika katika? watu wengi wanaweza kuongea sana lakini sio kwamba ndo kigezo pekee cha kuwa President. mbona RUTO wa Kenya ana akili nzuri..lakini kwa ss vijana wake wanamgomea kila kona...

  • @amaningobayi7114
    @amaningobayi7114 5 วันที่ผ่านมา +9

    Jamani hiki kitu ndio Tanzania tulisubiri sana kikeke hongera sana crown media big up

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 5 วันที่ผ่านมา +11

    Mwandishi makini jasili mwenye experience ya Hali ya juu umetisha san ❤❤❤❤❤

  • @emmanuelmoses5881
    @emmanuelmoses5881 วันที่ผ่านมา +1

    I real love this Man of fearing GOD , yaan ana kila kitu chema kwa watanzania . Bigup DOTTO .

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 3 วันที่ผ่านมา +3

    So humble Dr. Biteko God bless you.

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 3 วันที่ผ่านมา

      Very humble kiongozi wetu huyu…🫡

  • @yohannatoroka-ie5ym
    @yohannatoroka-ie5ym 5 วันที่ผ่านมา +7

    Saf sana crown 👑👑

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani hiki kipindi, kitaelimisha sana watanzania na kuanza kuwa wazalendo na kuwa na wivu na nchi yetu, maana haya maswali tunajiuliza wenyewe na hatupati majibu na kipinsi hiki ni zaidi ya kusikiliza bunge maswali na majibu. Hongera bro kikeke uko juu ya muda safi safi sana.

  • @user-ss6jm6jt3h
    @user-ss6jm6jt3h 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah mmetisha sana crown mpo vizur sanaa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 วันที่ผ่านมา +2

    he is very good..great mind and ideas! kuddo deputy

  • @eliapendakileo
    @eliapendakileo 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mheshimiwa biteko Tanzania ya baadae inakutegemea sana.
    Mko watatu lakini mmoja ni Kama nimemuondoa kwenye malengo yangu yaani kwenye serikali ya mama mawaziri vijana na makini ni wewe Bashe na bashungwa lakini Bashe ni Kama maji yamezidiwa na sumu. Chapa kazi mkuu nakuamini tupeleke kesho ilivyo bora

  • @abdulazizmputeni5416
    @abdulazizmputeni5416 วันที่ผ่านมา +1

    Maswali na majibu yote yamenyooka! Legendary interview

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu8546 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nilikuwa sijawahi kumsikiliza huyu jamaa anaonekana mzalendo sana huyu mwamba, afu siomnafiki

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 5 วันที่ผ่านมา +6

    Dr Biteko anajua kujibu hana mihemko ,serikali inabdi ijipange sana maana ndio watu wanazd kuzaliwa

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika wewe ni Waziri wa pekee unae ongea ukweli mtupu kuhusu kazi yako asante sana mh

  • @omzedstationary932
    @omzedstationary932 5 วันที่ผ่านมา +4

    VIVAA..TZ..VIVAA

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 5 วันที่ผ่านมา +2

    Big up oll fan's on crown media

  • @RamadhanShwaibu
    @RamadhanShwaibu 5 วันที่ผ่านมา +1

    Crown muko vizuri sana maashaallaah

  • @EtieniRama
    @EtieniRama 5 วันที่ผ่านมา +2

    Crown mme tisha sn❤❤❤

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi doto huwezi kuchukua fomu au unamuogopa boss waka 😂😂😂

    • @emanuelwakawenga4023
      @emanuelwakawenga4023 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nami nimewaza why asichikue form

  • @navioma4882
    @navioma4882 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hizi camera 🎉🎉🎉🎉❤❤😂

  • @ELITE779
    @ELITE779 5 วันที่ผ่านมา +11

    Salim wewe ni hazina ya taifa kwenye ubobevu wa habari," mimi unanipa fahari sana.

  • @user-bb4hy7xq9y
    @user-bb4hy7xq9y 5 วันที่ผ่านมา +1

    Big up kwa kazi mzuri crown

  • @mamoniniyoyishura3289
    @mamoniniyoyishura3289 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante sana crown 👑

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 วันที่ผ่านมา +1

    Biteko anafanana na Uchebe wa Shishi😂...Crown🔥🎉

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ilove crown fm

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h 4 วันที่ผ่านมา +2

    Alikiba unatakiwa kumpa salim kikeke zawadi ya v8 mana ndie bora kwetu na crownmedia sikama hana garii hapana ila apewe zawadi ya gari v8 naapewe na dereva wakumuensesha mana bado tunatakiwa kujifunza kwake naujuzi atuachie crownmedia

  • @kidsontemba1641
    @kidsontemba1641 วันที่ผ่านมา

    MH:umeeleweka vizuri sanaa hongera

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh 5 วันที่ผ่านมา +2

    Am here 👋👋👋

  • @Abdul-azizSaidNassor
    @Abdul-azizSaidNassor 5 วันที่ผ่านมา +2

    noma sn crown❤❤

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yes thanks Mweshimiwa asemae ku katika umeme itakuwa historia ni mjinga

  • @faksa9607
    @faksa9607 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mh Nakuelewa Sana

  • @jacobsimkoko3096
    @jacobsimkoko3096 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna sehemu nimecheka, na nimejifunza mengi nikafurahi. Thanks

  • @samwellaurence7035
    @samwellaurence7035 วันที่ผ่านมา

    Brother Kikeke wewe ni mfano wa kuigwa kwa wana habari wengine, hongera Crown kwa hiki kitu lkn mheshimiwa Biteko ni mtu makini sana... Watanzania tujivunie hiki kichwa, hajawahi kutuangusha hata alipokuwa wizara ya madini awamu ya tano.

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 3 วันที่ผ่านมา +2

    Moja ya suala alilokwepa ni kwamba wakati wa JPM umeme ulikuwa haukatiki. Hivyo sababu ni hujuma hukohuko serikalini na wizarani. Walimwogopa jpm hawakuthubutu kukata umeme. Hizo rushwa alizozisema Biteko ndio chanzo cha kukatika umeme

  • @ErnestMmeta-xu5gh
    @ErnestMmeta-xu5gh 4 วันที่ผ่านมา +3

    Natamani ck moja mh Dotto Biteko aje kuwa Rais yuko tofauti na watawala yeye ana simama cku zote kama kiongozi

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mh kwa kazi iliotukuka

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kikeke 👍👍👍👍👍🙏

  • @Bama959
    @Bama959 5 วันที่ผ่านมา +2

    Sio jambo rahisi sana kwa sababu linahitaji kwa kasi mwingi sana na kila mtu lazima awe makini kwa kutaka kupata chochote kile kutokana na mradi huo tuwape hongera umefanya jambo la msingi sana lakini tusubiri tuone matokeo ni yapi kwa wananchi wote

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r 5 วันที่ผ่านมา +1

    Noma

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 5 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa anaweza kuielezea hii sekta🙏

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Biteko ni kichwa sana “ salute 🫡

  • @mosesmdindile332
    @mosesmdindile332 5 วันที่ผ่านมา +2

    Big up kikeke

  • @ShortyShorty-mr3jb
    @ShortyShorty-mr3jb 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana mhe waziri

  • @shabaniswedi8333
    @shabaniswedi8333 5 วันที่ผ่านมา

    Best interview ever

  • @jamesmbaraka634
    @jamesmbaraka634 วันที่ผ่านมา

    Biteku uko vizuri sana waswasi wangu watu ulio nao je watakusaport ufike mbali maana ndio maadui wakubwa wanaoturudisha nyuma.

  • @user-cu9mj3xj8x
    @user-cu9mj3xj8x 5 วันที่ผ่านมา +3

    mora akunze, usipungukiwe uwezo huu ,wakusema nakutenda,wewe nisimutank ya kizazihiki,hongera sana mh.biteko

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 4 วันที่ผ่านมา

    sawa kiongozi🎉🎉

  • @mussakayenze2276
    @mussakayenze2276 5 วันที่ผ่านมา +3

    Very nice

  • @FatmaChezo
    @FatmaChezo 2 วันที่ผ่านมา

    👏👏

  • @user-uq6uv7mb4o
    @user-uq6uv7mb4o 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kikeke tutazid kukufatili adi mwisho wa maisha yako wanainchi wanataka kujua vitu kama ivo sasa watajuaje kama tusipo pata watu kama hawa mfano kikeke

  • @user-dt9iz2gq3s
    @user-dt9iz2gq3s 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hii inapatikana kwenye ving'amuzi gani

  • @abatinkalango4571
    @abatinkalango4571 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @chiefnyanda3260
    @chiefnyanda3260 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good sir

  • @assanisass6641
    @assanisass6641 5 วันที่ผ่านมา +3

    Waziri iko vizuri

  • @asnalimtv7690
    @asnalimtv7690 วันที่ผ่านมา

    Hatari Sana

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h 4 วันที่ผ่านมา

    Baba wataifa katika habari hongera kwakua bora sikuzote salim kikeke

  • @abukhadija1993
    @abukhadija1993 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @user-xn3ju5gp5p
    @user-xn3ju5gp5p วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MTSshebatiakilihalisi8787
    @MTSshebatiakilihalisi8787 5 วันที่ผ่านมา

  • @user-uq6uv7mb4o
    @user-uq6uv7mb4o 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Biketo nimekuelewa sana Maheshimiwa unajibu vuzur sana sana unastahiki kuwa hapo asant

  • @richardsule4454
    @richardsule4454 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa nchi yenye uchu na maendeleo Nishati ni uti wa mgongo wa maendeleo,,,Uthubutu wa serikali bado ni mdogo kwenye vyanzo vingine vya nishati, hususani upepo, jua na joto ardhi, kwani vyanzo hivi vimekua vikizungumzwa tu na tafiti zisizo kua na ukomo

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani hichi chanzo cha bwawa la umeme la nyerere unaona kitakuwa hakina tija?

    • @richardsule4454
      @richardsule4454 3 วันที่ผ่านมา

      ​kituo cha nyerere kina uwezo wa kuzalisha MW 2000+ na ukiweka vyanzo vingine vya nishati vilivyopo yaani vilivyokamilika ni kama MW 4000+, malengo ya serikali ilikuwa ni kuzalisha MW 10000 ifikapo 2025 yaani mwaka kesho ili kukidhi ongezeko la mahitaji na kuchochea maendeleo ya viwanda,,,Je, huoni kwamba tunaishi nyuma ya malengo na mipango?, Je, huoni kua kuna uitaji wa kua na vyanzo vya uhakika zaidi kama vile jua na upepo?

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 วันที่ผ่านมา

      @@richardsule4454 unajua kwa sasa tunahitaji MW ngapi ili kukidhi mahitaji ambayo tunayo sasa ivi kwenye umeme? Hiyo MW ni malengo ya serikali kubaki na umeme mwingi wa ziada kwa miaka ya mbele lakini kama ulikuwa haujui sisi kwa sasa tunahitaji MW 400 bwawa litazalisha MW 2200 ,hivyo basi kwa miaka ya sasa utaweza kukidhi na ni hatua kubwa mnoo na ndio maana wanasema hawataishia hapo wataendelea kuangalia njia nyingine mpaka kufikia hizo MW 10000 , kwa maana ichi bado ipo na itaendelea kwa vizazi vijavyo hata kama sisi hatutakuwepo kwahiyo wako sawa kuendelea kuongeza

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 วันที่ผ่านมา

      Lakini sio kwamba umeme utakaotoka bwawa la mwl nyerere hautatosha kwa mahitaji ya sasa na ziada kubwa itabakia ndio maana walisema tutautumia na hata kama kuna inchi itahitaji inaweza kufanya nao biashara maana ziada itakayobakia ni kubwa labda sasa huko mbeleni kasi ya maendeleo na viwanda iongezeke basi huo wa ziada utakuwa unaoungua kutokana na matumizi

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan upembuzi ni miaka 2!! Mmh sidhan kama kipind cha mzee ilikuwa inafanyika hivyo🙆🙆

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kikeke uyo

  • @chuseboy6325
    @chuseboy6325 วันที่ผ่านมา

    Camera kali sana

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 3 วันที่ผ่านมา

    Here

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante Biteko😂😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 วันที่ผ่านมา

    ✌️👊👍.

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 3 วันที่ผ่านมา +3

    Habari zako za uhakika na maswali yako ndiyo yetu ..Kikeke mzalendo wetu🙏🏾🙏🏾Unafanya kazi njema siku zote kaka yangu…👏🏾🫡

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 4 วันที่ผ่านมา +1

    Crown media, shikamooni, yaan inapofka sehemu mnazungumzia jambo Fulani, linaoneshwa, mfano mlipozungumzia Mambo ya mashine, mkaonyesha video ya mashine, HONGERENI SAAANA, HII NI KIWANGO CHA JUU SANA

  • @AbdallahBabu-jl8ld
    @AbdallahBabu-jl8ld วันที่ผ่านมา

    Kijana mdogo hekma kubwa na busara mungu akuongoze

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂Kikeke ukitaka majibu nenda kwa Mweshimiwa Doto kifaa cha uhakika hicho😂😂😂😂

  • @greysonmatogo4662
    @greysonmatogo4662 3 วันที่ผ่านมา

    Kikeke na Biteko wote smart upstairs

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 5 วันที่ผ่านมา +2

    Safisana Kikeke

  • @MichaelKilinga
    @MichaelKilinga วันที่ผ่านมา

    AYO TV Ajipange

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg 4 วันที่ผ่านมา +1

    Salm kikeke upo vizuri

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 3 วันที่ผ่านมา

    Salim Kikeke mwambie waziri Dubai umeme hauzimwiii na huwezi kuwa na maendeleo ktk nchi bila ya energy by the way interview kama hii ungeeka hot line number wananchi wakamuuliza live

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 วันที่ผ่านมา

    Dunia nzima kuna matatizo, na hakuna shida hizi. Je uharaka wa kupeleka watengenezaji je?

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndugu ni kiongozi

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 3 วันที่ผ่านมา

    Salim Kikete Umefanya jambo la muhimu sana Huwezi kuwa na maendelea au kupata maendeleo ni energy solution ni kujenga Umeme wa nuclear huo ni ujinga mambo ya miti sijui gari aache ujinga huyo wwziri Dubai umeme hauzimwiii

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kikeke yunusi wazarendo

  • @sadile1057
    @sadile1057 5 วันที่ผ่านมา

    Kikeke

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 3 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu. Unatoa majibu sahihi as ante.

  • @FIFO28
    @FIFO28 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hahhaha "mabadiliko ya tabia ya nchi si tu ukame" Mheshimiwa kwa hii punchline imenifanya nitambue wewe n mtu na nusu... una akili sana no wonder hiyo wizara umeimudu sana... hopefully utakuja kuwa Rais wa nchi yetu.

  • @pidibegashe768
    @pidibegashe768 3 วันที่ผ่านมา

    Kipindi hiki mngekiweka kwenye kingamuzi Azam tv ilikiwe juu zaidi

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 วันที่ผ่านมา

    YAN TOKA UMEINGIA ANGALAU TUMEONA CHANGE KUBWA SAIZ HATUNA BAYA NA TANESKO

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h 4 วันที่ผ่านมา

    Toka makambako hapa

  • @SEBASTIANBEKKO-ni8nn
    @SEBASTIANBEKKO-ni8nn วันที่ผ่านมา

    Dr 2030-40 chukua

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 วันที่ผ่านมา +2

    Ukenda pale wasafi unamkuta lokole na baba levo

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi nashangaa sijui nini mpka leo umeme unakua shida kwabaadhi ya maeneo hususani vijijini kila itwayo leo lazma umeme ukatike

  • @AbdallahBabu-jl8ld
    @AbdallahBabu-jl8ld วันที่ผ่านมา

    Samia team kama nikocha mama kikombe utachukua maana unavyojua kupanga inatisha kama gadioler

  • @athumansaid796
    @athumansaid796 4 วันที่ผ่านมา

    Kileke nihabaar ingine kabsaaaa

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 4 วันที่ผ่านมา

    Wananchi kumbukeni tupo kwenye kipindi cha uchaguzi, kwahiyo kulambishwa sukari ya umeme na Serikali ya CCM ni lazima ili wabaki kwenye madaraka. Tatizo la umeme lina sababishwa na kutokua na ushindani wa kibiashara katika soko la umeme (monopoly). Kukomesha hili tatizo, serikali iruhusu makampuni binafsi yashindane na tanesco, hapo ndio itasaidia kata kata ya umeme ipungue.

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 4 วันที่ผ่านมา

      Msikilize vzr naibu waziri kisha tumia akili yako ya ziada kumuelewa kuna majibu unaweza kupata ya unachojiuliza

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ivi salimu kikeke hapo ni wapi?

  • @GloryLukumai
    @GloryLukumai 5 วันที่ผ่านมา

    Arusha umeme unasumbua sana

  • @marosproduction01
    @marosproduction01 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nice Station Ever In Tanzania

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 3 วันที่ผ่านมา

    Kikeke mmoja tu anazifunika radio na television zote