13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Mathayo 7:13 15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Mathayo 7:15
ko unamanisha nini wataka watu wakeshe kwenu au je umeona ni maelfu ya watu wangapi walokesha pale? ni moja ya milango myembamaba kama ulivo tanguliza kama we mpinzani pita hivi😅😅😅
hajapotea hata kwan wanaosema kapotea walitaka akajisalimishe kwa wanganga? binadamu htuna jema. wasanii kujisalimisha madhabauni pa mungu wanasema wamepotea wasipo jisalimisha wanasema wapo freemasoni khaaaaa
Hawa hawa wasanii wanaharibu maadili ya nchi hawa hawatakiwi kuombewa mtumishi wafundishwe wakemewe waonywe wasanii Mungu awape neema ya wokovu muokoke
Hahahaaa alieona mchungaji katekela akienda sukamahela na kilichotoke gonga like hapa, kuna siku hao watakutwa huko sukamahela wakifanya yao ndio mtajua hamjui
2 Wakorintho 6 14 : Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
Matthew 18:20 [20]For where two or three are gathered together in my name, there am I in the midst of them. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao. Kusameheana
@@benmbwelekwahiyo uwepo Kwa anapohubiri kiboko ya wachawi ukusanyike na yesu yupo? 23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Yohana 4:23
Mathayo 24 : 11 11, Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. Mathayo 15 : 14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Hawa Wasanii Wana akili sana. Hakuna anachobadilika huyu Rayvanny Bado ana nesa nesa Ameamua kukutumia Mwamposa Ili kupush mziki wake Unambariki kivipi azidi kutoa nyimbo Na video chafu za wanawake wapo uchi wenye makalio makubwa Kuna Waumini hawakuelewi Achana na Wasanii ilibidi umkemee
@methewtz926 ndiyo nila kila mwenyee uhai,kwahyo unatakiwa ujue kuwa kwa Mungu hakuna umaarufu, maana yeye kwenda kwa Mungu inaonekana kama kafany kitu kikubwa saana, camre zote za nini?? sasa ingekuwa hvyo inamaan Viongoz wakubwa wakiend kweny ibada wawekewe camera?? kwa Mungu hakuna ustar, ni suala la kwend ukajichangany na waumin ukasali ukarud kwenu
@@jizzotheking9238umaarufu upo acha ajivunie kuokoka mbwa wewe je asipo jionyesha wengine walopotea watashuhudia wapi ili nao wakaijue kweli na hiyo kweli ikawaweke huru? pia mungu haangalii uzito wa dhambi ndo maana alimtumwa yesu akatuokoe kwa kumwaga damu yake msalabani hyo damu ndy ilifuta makosa y kila mmoja na hakubagua kusema wewe unadhambi kubwa sikusamei. Na wewe naona unaitaji maombi na si maombi tu bali ukawekewe mkono
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Kuna posho?
The group does not exist
niunge
niunge
Niunge
Ana sauti muzuri sana la kumtukuza mungu🙏lay vn mtumikie mungu
Mungu akubariki sana siku mlete mke wako muikoke sasa ivi dunia inaenda mwisho mumtumikie mungu 🙏
Rayvanny, God bless. I pray that all your songs coming from now be a blessing gospel ❤
Mungu ni mwema kwetu. Ubarikiwe Apostle Ubarikiwe Kijana Ray van hallelujah
Unajua matumizi ya haleluya wewe au ndo mkumbo
May God bless you more 🙏 rayvanny
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen ❤❤❤
Amen ubarikiwe
Nadhani hata wasanii wanapaswa kumwabudu Mungu
Amen mbarikiwa
Amen, rayvany god bless u
Wewe unayesema Yesu sio Mungu, mbona tukitaja jina la Yesu majini yako yanakimbia acha kudhihaki dini za watu.
God blessed me and all people❤
13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
Mathayo 7:13
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
Mathayo 7:15
ko unamanisha nini wataka watu wakeshe kwenu au je umeona ni maelfu ya watu wangapi walokesha pale? ni moja ya milango myembamaba kama ulivo tanguliza kama we mpinzani pita hivi😅😅😅
Kakaaa adariel kwa NUNGU hakuna kikii izoo unaziziletaa bible yote umeshika mistari miwili tuu😂😂👌👌
@@Bles-x1vkwahiyo unabishana na maandiko ya bible ye yesu Kristo mwenyewe ambae ndio neno. Vitu vyote vitapita lakini neno litasimama mile na mile.
@@adarieldamumoja baridi mi stoki kwa maan analitanguliza neno la mungu na mthibitisha mungu alie naen nani kama we huwezi kumfuata pita hiv
Ameen kubwa Mungu akupe mwisho mwema kwako
Amen God is Able 🙏
Mungu ni wa wote, anawafuta waliopotea ili warudi kwenye zizi lake. Huyo msanii unaemuona amepotea siku moja Mungu atamwinua atakuwa mtumishi wa Mungu
hajapotea hata kwan wanaosema kapotea walitaka akajisalimishe kwa wanganga? binadamu htuna jema. wasanii kujisalimisha madhabauni pa mungu wanasema wamepotea wasipo jisalimisha wanasema wapo freemasoni khaaaaa
Umesema ukweli kakaangu
Mungu akubarik ray
Hongera sana
❤
Wow...nyimb nzur ❤❤❤❤
Yesu ni Mungu
Yessssss,,, YESU ni mungu pekee na wa.kqeli
Yesu ni Mungu ni ukweli kabisa
Good
Raryvan mungu akupe mwisho mwema
Ameni
Hawa hawa wasanii wanaharibu maadili ya nchi hawa hawatakiwi kuombewa mtumishi wafundishwe wakemewe waonywe wasanii Mungu awape neema ya wokovu muokoke
Ameen
Wasani wa Bongo Bwana yani wengi wakiimba live inanitia kichefu chefu
We ndo kama mimi ndugu yangu
Ameen 7:37 ❤
Ndugu zangu niwakumbushe kitu mtu mwenye mafanikio aangukagi mapepo mfano mzuri ni Raymond or chui 😂😂😂😂😂
Maana yangu nikwamba hapa hamna kitu na huu ndio mlango mpana
kenge wa mayai wewe
Leo ndio Nimegundua Chalamila Ana kichwa kama Senene
😂😂😂😂
😂😂😂
Hahahaaa alieona mchungaji katekela akienda sukamahela na kilichotoke gonga like hapa, kuna siku hao watakutwa huko sukamahela wakifanya yao ndio mtajua hamjui
na wewe ungesaka
Jina la yesu Lina nguvu hata hivyo sio wote watakao mkubali
Jamani me nataka tu kujua nikitabu gan kinakili yesu anasema mimi nimungu mbn mnatuvuluga wengine
Dunia Dunia iko kasi sawa twende
Amen
Hakuna Mungu mwingine zaid ya Yesu
Niukweli yesu ni vyote
Mungu sio yesu wew yesu nibina damu kama wew tu chani kuwadanganya uma😢😢
@OmaryNanga-p6o Mungu akusamehe 🙏si wew unanena ambayo huyajui 🥱usamehewe .nakama kitu hujakielewa vizuri kaa kimya usije kujiletea mashida we kaka
@@OmaryNanga-p6o Yesu ni Mungu na ataendelea kuwa Mungu hana upinzani
Duuh jamani msiwapoteze watu mungu sio yesu nawala mungu hafanani na mwingine jaman
Jamaa sauti ya kuimba anayo
Naomba mung anisaidie niwe namaish mazur anpeuzim wamilele anisaidie nipat kaz halal
Chalamila anaona anachelewa kwenda kupiga UGIMBI😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
Mheshimiwa kasimama video zote 😂
Wandishi wa bongo bwana😂😂 rayvann hajaimba na mwamposa sema wimb wake kauita jina na mwamposa
Kivp
Wew sio mwelew ,, sikiliz nyimb mpk mwisho na ujue kashirikishw au nyimbo inaitw mwamposa,,, kaz kujifany kujua tu
Rudi kweny platfom ukaone unaitwaje na kamshirikish nan
@@AndrewChalle-y4k kachukua sauti akaweka akaimba yeye sio mwamposa
Yaaani sio pouwah
Eeh mbona kama nimemuona Chalamila
Sawa jitetee nabii..
Mmmmmh hayaa
😮😮
Musicians wapo slow sana mpka wa load😂😂😂😂
2 Wakorintho 6
14 : Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
Unachisha Brother
Mbeya tunajua bhana
Hamna mungu hapo
😂
Matthew 18:20
[20]For where two or three are gathered together in my name, there am I in the midst of them.
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao. Kusameheana
naona yupo kwa bibi yako pumbavu weee
@@benmbwelekwahiyo uwepo Kwa anapohubiri kiboko ya wachawi ukusanyike na yesu yupo?
23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
Yohana 4:23
tulikuwa wt kwa mwamuposa
Okoka mwanangu unapendeza kuimba gospel
Bado hemmed phd aje na yeye aombewe😂😂😂😂
zuchu na mondi😢😢😢😢😢
😳😳😳
Da😢huyu mwqmposa acha tu binaadam hatari
Mathayo 24 : 11
11, Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Mathayo 15 : 14
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Hawa Wasanii
Wana akili sana. Hakuna anachobadilika huyu Rayvanny
Bado ana nesa nesa
Ameamua kukutumia Mwamposa
Ili kupush mziki wake
Unambariki kivipi azidi kutoa nyimbo
Na video chafu za wanawake wapo uchi wenye makalio makubwa
Kuna Waumini hawakuelewi
Achana na Wasanii ilibidi umkemee
Hao ote ni watu mhh Mwamposa wewe 😁
Mwamposa una balaa wewe......watu wote Hao duuh
ndo raha ya kumfuata yesu na kila kitu kitakufuata
Siyo mwamposa bali mungu ameamuwa kuokoa watu tz
@@SisemiHamisi ameen ila wasio jitambua watakuja kujuta siku akishanyakuliwa
Rayvan si alikuwaga mwanakwaya kabisa sio ajabu labda kaanza kurudi
Nani kasema ni ajabu
Maombi mafupi ila yenye nguvu
PASCAL CASSIAN LAZIMA APITE NA HII
Umewaza kama mimi😂😂😂😂
😂😂😂 habakizi kitu yule uko sahihi kabisa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mwaisa Toka Mbeya Hakuna Mtu Atakaejaza Kama Hivi
Ubunifu ni mkubwa hongera zije kwenu
Kuna wengne wakuda sas kina wauma nn mfano kama ww amiri et ungeenda na ww muone
pumbav saan mkitok kufany makafara yenu kwa waganga wakienyej mnaend kwa aachungaji, acheni ushamba suala la kuombewa kwan mpk uonesh kweny media?
Acha makasiriko , swala la Mungu ni la kila mwenye uhai
@methewtz926 ndiyo nila kila mwenyee uhai,kwahyo unatakiwa ujue kuwa kwa Mungu hakuna umaarufu, maana yeye kwenda kwa Mungu inaonekana kama kafany kitu kikubwa saana, camre zote za nini?? sasa ingekuwa hvyo inamaan Viongoz wakubwa wakiend kweny ibada wawekewe camera?? kwa Mungu hakuna ustar, ni suala la kwend ukajichangany na waumin ukasali ukarud kwenu
@@jizzotheking9238umaarufu upo acha ajivunie kuokoka mbwa wewe je asipo jionyesha wengine walopotea watashuhudia wapi ili nao wakaijue kweli na hiyo kweli ikawaweke huru? pia mungu haangalii uzito wa dhambi ndo maana alimtumwa yesu akatuokoe kwa kumwaga damu yake msalabani hyo damu ndy ilifuta makosa y kila mmoja na hakubagua kusema wewe unadhambi kubwa sikusamei. Na wewe naona unaitaji maombi na si maombi tu bali ukawekewe mkono
MMMH ATAL
Hajamshilikisha waandishi hovyo
Huyo dogo nae kakosea,ametumia kinalu chako angeomba kwanza
Did u realize mwamposa anamtaja Yesu but rayvanny doesnt which is absurd😢
Yes I realised
kuipuka dhambi ni jambo jepesi ko kuwa makini sana
Iviiii ni mtume Gani katika ibada zake na wasaniii wanajumuishwaaa daaaah tuna macho ila atuoni
Kwahiyo unatakaje
Nadhani hata wasanii wanapaswa kumwabudu Mungu
haya kuhusu ko pita hivi
Msanii wa nyimbo za bongo ameokoka ameamuwa kumutumikiya mungu
ulimpeleka kutoa kafara huna adab wew
Kuna ushikika gani kati ya nuru na giza?
Humjui Mungu Rudi nyuma
@@floriangingiri6514 wewe unamjua Mungu kisawa sawa..?
kasome bible utaelewa
Dogo anaenda na upepo safisana
na wewe fuata huo upepo hujui ukifuata nyuki unakula asali
😂😂😂@@Bles-x1v
@@ElizabethKisinga-k4v maan naon anatuchanganyia mada
PASCAL CASSIAN recording and delete
Mpe siku 3 tu ataruka hewan.
Mungu akubarik ray
Ameen
Amen