MZUNGU NAMPENDA BABALEVO/ANAOGOPA KUOMBWA HELA/ANAPENDA KULA MAKANDE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2022
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    MZUNGU NAMPENDA BABALEVO/ANAOGOPA KUOMBWA HELA/ANAPENDA KULA MAKANDE
    #Bonatv #Exclusive #BabaLevo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 193

  • @oslaboy8303
    @oslaboy8303 2 ปีที่แล้ว +9

    Bi levo baa! Fundi manyumba kumbe unajulikana had na wazungu😂😂

  • @jumaradhcompany3792
    @jumaradhcompany3792 2 ปีที่แล้ว +6

    🗣️🗣️🗣️we mtangazaji we.
    Muongeleshe Swahili ivo ivo.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 ปีที่แล้ว +13

    Tanzania pole pole ni kweli tabia inatuchelewesha mambo mengi

  • @ferouzrakeem6532
    @ferouzrakeem6532 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimependa kanavyoongea kiswahili, kweli kanajaribu

  • @leoniemlilapi1429
    @leoniemlilapi1429 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda Sana Rita Frenzel 😍😍nataka niwe kama wewe ipo siku nitaweza

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +6

    Baba Levo Mwali wa kuzungu Huyu mbona mrembo hivi.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +9

    Shikamoo wanaume wa bongo kwa kuomba ela😂😂😂😂

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 2 ปีที่แล้ว +4

    huyu mzungu anaijua shishi na baba levo na waimbaji na waigizaji tu 😂😂😂

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +18

    Mwezi mmoja tu anaongea kiswahili vizuri sana... she is great

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว +1

      No anasema alikuja Tanga myaka ya nyuma, but kwa sasa ndo ana mwezi Tz

    • @fatmasaleh9516
      @fatmasaleh9516 2 ปีที่แล้ว

      Itaum sana🤣🤣🤣

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว

      @@fatmasaleh9516 Msenge akati matiti yake yanaonekana ya Mwana Mama kbs, au kashatoaga mimba 😂😂😂😂😂

  • @brightonsospeter5100
    @brightonsospeter5100 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani na nampenda huyo mzungu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +8

    Sioendi ving'asit wanaomba sena ela watanitoa roho😂😂😂😂😂😂 ila wanaume wa bongo wamezidi daaah 😀😂😂

  • @aby21111
    @aby21111 2 ปีที่แล้ว +8

    Who doesn't love Baba levo? I love him too.

  • @kephatz2814
    @kephatz2814 2 ปีที่แล้ว +2

    Anamjua lakini baba Levo huyu. Au atakuwa kapandikizwa make baba Levo na shilole sio Wachache 🤣🤣🤣🤣

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwijaku hata lala, Babalevo anapendwa na mzungu. Mwijaku anacho

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 2 ปีที่แล้ว +3

    Mswahili akiongea kizungu kibovu nwamtukana lkn madamu mzungu anaongea kiswahili kibaovu munamsifia

  • @abdoulkarimmabulu1416
    @abdoulkarimmabulu1416 2 ปีที่แล้ว +3

    Ongera Ritha.welcome in Africa especially there at Tanzania

  • @musakaphu4581
    @musakaphu4581 2 ปีที่แล้ว +2

    akiaMungu mzungu hapendi ving'asti wanaomba hela lkn yuwampenda blue chawa mwenyewe 🤣🤣

  • @amanijm746
    @amanijm746 2 ปีที่แล้ว +3

    Anaongea kiswahili halafu mwandishi anamuuliza unafahamu neno gani la kiswahili...daah. Anyway, nisicomment zaidi.

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimecheka kwakweli hapendi vingasti wanaomba hela sana watamtoa roho.mzungu umejua kunichekesha kwakweli

  • @Filmz639
    @Filmz639 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimempenda sana, kweli anajitahidi kuongea Kiswahili

  • @meddydoubledi1675
    @meddydoubledi1675 2 ปีที่แล้ว +3

    nimempenda mno Yuko vizuri

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu safi sana kwa kumpenda mwanangu Shilole good

  • @lawrencekabila8997
    @lawrencekabila8997 2 ปีที่แล้ว +1

    i like the guy the way he is direct..umeolewa? uko na mtoto hahahaha

  • @lovvy854
    @lovvy854 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kweli babalevoo na jitumbo lake like anajua kucheza ama ni boyaa tuu labda misthari

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana unajitahidi sana

  • @lovecutetz9668
    @lovecutetz9668 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaasubutuuu uyo tabu sasa kma namuona 😃

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 2 ปีที่แล้ว +8

    Ati anampenda baba level na nyimbo zake😂😂😂😂

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +4

    Baba Revo✨✨✨✨✨

  • @mohamedschaeublin7374
    @mohamedschaeublin7374 2 ปีที่แล้ว

    unafahamu neno gani lakiswahili, 😂
    anazungumza kiswahili😊

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha uyu mzungu anawasanii wake anaowapenda daaah

  • @ngabchris683
    @ngabchris683 2 ปีที่แล้ว +1

    😅🤣🤣😂😂😅😅Baba levo bilevobaaaaaaaa wapendwa jamani nihicho kipua chakooo wanao kutukana nawapa poleeeeee

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi kicheko chake tuu🤣🤣🤣

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 ปีที่แล้ว

    Madini yetu yanaenda hivi hivi jamani🤣🤣🤣wanakuja kujitongozesha kumbe wana inshu zao🤣🤣👌🏼ila tunaona sifa eti tunapendwa wapiii🤣🤣🤣

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu ongea kiswahili tu we mtangazaji vipi..

  • @paulmukhwana5181
    @paulmukhwana5181 2 ปีที่แล้ว

    Bro ongea Kiswahili. Kingereza kinakuchenga kiasi. Rita anaelewa Kiswahili

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiswahili kizur dada mkarim na mchesh sana

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 ปีที่แล้ว +2

    Yy kaondka kalfonia kaja tz kutafuta maisha .. tutaona mengi mwaka huu

  • @babalao910
    @babalao910 2 ปีที่แล้ว +5

    Ukiwa mzungu Hata kama unaokota makopo, ukija Africa lazima usujudiwe.

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 2 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli tunawathamini sana hawa viumbe.

    • @user-bi9pn1pm8z
      @user-bi9pn1pm8z 2 ปีที่แล้ว

      Kawaida akija huku bado ni Tajiri kuliko uko kwabo

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 ปีที่แล้ว +3

    mwandishi unajua sana kuongea nae kulingana na uzito wa kuelewa kiswahili alionao

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 ปีที่แล้ว

    Ok huyu msanii nilimuona akicheza na watoto yukofiti

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 2 ปีที่แล้ว +3

    huy sio mzungu, hadi ving'ast anawajua😃😃😃

  • @Damar1987
    @Damar1987 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations, karibu Kenya Rita

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti vingasti watamtowa roho aaahaa

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁Eti sipendi ving, sti vinaomba hela

  • @shahashaha6269
    @shahashaha6269 2 ปีที่แล้ว +2

    Ving'asti mtamtoa roho dada wa watu pesa waombe ving'asti aibu naona Mimi 😂😂😂

  • @cottamanywele1396
    @cottamanywele1396 2 ปีที่แล้ว +2

    Anajuwa kuongea vzr kiswahili big up

  • @absonbobby3257
    @absonbobby3257 2 ปีที่แล้ว

    Hapendi ving'asti wanaomba hela watamtoa roho Mzungu huyu ni balaaa tupu😂🤣🤣

  • @Dantaata
    @Dantaata 2 ปีที่แล้ว +4

    hapo ka baba levo anajua kuimba na kucheza,, umetudanganya

  • @sumailiramazhani7121
    @sumailiramazhani7121 2 ปีที่แล้ว

    Baba Levo ananyimbo zakupendwa nayeye😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @d1w4n1dmoko9
    @d1w4n1dmoko9 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 apendi vibenten vitamtoa roho

  • @htx1873
    @htx1873 2 ปีที่แล้ว +3

    Sipendi vinyasti!!

  • @faridhasan4398
    @faridhasan4398 2 ปีที่แล้ว +3

    Spy uyo mzunqu

  • @soccersouls7822
    @soccersouls7822 2 ปีที่แล้ว +3

    Angalia watanzania Tulivyo na akili Mbovu Diamond Alivyo kosea tu Kusema kwamba I'm 31st watu walimcheka wakamuona hajaelimika ila mzungu wetu Anavyo koses kutamka maneno watu wanaona kawadia kwasbabu sio lugha yake. Aisee

    • @bonfacemark9048
      @bonfacemark9048 2 ปีที่แล้ว

      Hio ni ndugu umegonga ndipo from 🇰🇪

  • @geja8708
    @geja8708 2 ปีที่แล้ว

    Karibu mafia rita

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว

    Chawa,noma unapendwa jiko hilo🤣🤣🤣

  • @dismasdastan5493
    @dismasdastan5493 2 ปีที่แล้ว +1

    Bona TV naomba number ya huyo dada wa kizungu yuko poa sana

  • @mosatawi393
    @mosatawi393 2 ปีที่แล้ว

    Lita amesemaukweli, kuzaaaa siomchezo, 😁 😁 😁

  • @fatmaamir380
    @fatmaamir380 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti baba levo anajua kuimba

  • @jamesobedy3687
    @jamesobedy3687 2 ปีที่แล้ว

    itauma uwi wee mbona ulizaliwa 🤪🤪🤪🤪🤪

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji anaongea kiswahili Cha kizungu mweeeee😆😆😆😆

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzungu

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 2 ปีที่แล้ว

    Afanye kazi na Mr bigi bigi

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +6

    Watu wakiona mzungu wanajua anamihela wanaomba hela 😅😅😅😂😂😂😂😂😂 mtoto wa kiume nguvu ya kuomba hela mwanamke unaitoa wapi?

    • @hijamwinyi3233
      @hijamwinyi3233 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @qatr3475
      @qatr3475 2 ปีที่แล้ว +2

      Wanaume wa sasa hawana haya hata kidogo

    • @suzanamwangingo2995
      @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

      Yani wanaomba hela wanaume sanaaa tu mimi mwenyewe nimeshaombwa kiukweli

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว

      @@suzanamwangingo2995 Msiwape wanatudhalilisha sana

    • @benardmapuga8370
      @benardmapuga8370 2 ปีที่แล้ว

      Kwani kuombana ni kosa?

  • @meshajoni5662
    @meshajoni5662 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi achaushambaa,,navingeleza wakati mzungu anataka kiswahilii

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      huon mzungu anachanganya

  • @kamugishaernest6227
    @kamugishaernest6227 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazaji bhana 🤣🤣🤣 kwa hiyo anaongea kiswahili-kingereza

  • @tonywambua9505
    @tonywambua9505 2 ปีที่แล้ว

    Camera man weka light sioni vizuri

  • @rehemamajaliwa
    @rehemamajaliwa 2 ปีที่แล้ว

    Watakutoa roho kweli😀😀😀😀

  • @frankkikambako9281
    @frankkikambako9281 2 ปีที่แล้ว +2

    What is the diff between Callifonia and Tz. 🤣

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 ปีที่แล้ว +1

    Saleh hapo itauma sana nahc ultaman kumwambia haiumi ww tuliaaa😂😂😂😂🤣

    • @benasdoris
      @benasdoris 2 ปีที่แล้ว

      😹😹😹

  • @bashiriwilliam5982
    @bashiriwilliam5982 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mnahojiana kiswahili harafu unamuuliza unafahamu neno gani la kiswahili...🤣🤣🤣waandishi wengine madishi

    • @yusufumbasa2720
      @yusufumbasa2720 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eeeh dishi kweli

    • @bashiriwilliam5982
      @bashiriwilliam5982 2 ปีที่แล้ว

      @@yusufumbasa2720 Kaniacha kinywa wazi aliopouliza swali hilo,,alipaswa kuuliza neno/maneno gani ya uswahilini unayajua..walau ingeleta maana Sasa anauliza neno gani la kiswahili mtu anaongea naye kiswahili ,hii ajabu kweli mpaka mdada wa watu kaduwaa🤣🤣

  • @francisboniphace1483
    @francisboniphace1483 2 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana kuzaa kwa hyo sis tuliozaa hatuna maumivu au tuna roho za chuma

  • @yogwemwakulola4093
    @yogwemwakulola4093 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mnahoji mzungu njaa, unapendaje vyakula vyote ivyo

  • @astonymathews6136
    @astonymathews6136 2 ปีที่แล้ว

    🏃‍♂️😂😂😂😂 wabongo nomaAaa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha wanaume wa dar wanapenda kuomba hela hawana aibu

  • @saidabwanakheri7432
    @saidabwanakheri7432 2 ปีที่แล้ว

    Watangazaji WA Tz bwana. Sasa maswali gani MTU unaongea nae Kiswahili halafu unamuuliza kama anajua Kiswahili.

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 2 ปีที่แล้ว

    Rita njoo kwangu, sitakutoa roho mimi nitakuonga

  • @twitchjeffjerry1483
    @twitchjeffjerry1483 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji anaongea kiswahili kama mzungu 😂😂😂 ila hayo maswahili ulio uliza kwa kuzungu umesoma

  • @giftmbogela2435
    @giftmbogela2435 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani huyu mzaramo mixer mruguru😂

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mjamaa ni kutongoza anatongoza ki siri siri

  • @brightonsospeter5100
    @brightonsospeter5100 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipeni namba yake ya cm

  • @nassoromwasandube3727
    @nassoromwasandube3727 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Kama hajaolewa huyo mzungu fanyeni nimpate

    • @kamanzicrouch3881
      @kamanzicrouch3881 2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @amiduchiller8562
    @amiduchiller8562 2 ปีที่แล้ว

    Kusema ukweli hizo sifa baba levo hana hata moja.

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu mwandishi muda wote unatukumbusha jina!!😎

  • @dulummi1095
    @dulummi1095 2 ปีที่แล้ว

    Makandee hahahahahah wee mzunguu jaman

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Mzungu yuko poa nanimzuri sana

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 2 ปีที่แล้ว

    Heheheheh..... difference between California n Arusha?

  • @bozbun3994
    @bozbun3994 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh hakuna mzungu hapa

  • @dorcasemmanuel223
    @dorcasemmanuel223 2 ปีที่แล้ว

    Asa ww kingereza cha nn natuko tz. ...acheni izo wabongo

  • @alphoncevicenti1289
    @alphoncevicenti1289 ปีที่แล้ว

    kanyoa kapenfeza kweli yani

  • @tatumussa651
    @tatumussa651 2 ปีที่แล้ว

    Kweli iyo nimzungu

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 ปีที่แล้ว +1

    Kanajua kiswahili

  • @theresiagreyson9606
    @theresiagreyson9606 2 ปีที่แล้ว

    Hahah eti itauma🤣🤣

  • @hatari9591
    @hatari9591 2 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu huwa wanatumwa kama majasusi kuchunguza mambo mbalimbali.

  • @habibamahmoud3904
    @habibamahmoud3904 2 ปีที่แล้ว +2

    Khaaaaa huyu mzaramo uyu😂😂😂😂🙌

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni hatari

  • @davidjohson8195
    @davidjohson8195 2 ปีที่แล้ว +1

    Acount yake you tube amesema inaitwaje?

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 2 ปีที่แล้ว

    Unafahamu neno lipi La kiswahili wakati anaongea kiswahili aisee? Mtangazaji hapo mmmm

  • @jacksonlukaka4117
    @jacksonlukaka4117 2 ปีที่แล้ว

    Uyu wa mzungu wa mbagala

  • @lovecutetz9668
    @lovecutetz9668 2 ปีที่แล้ว +1

    😃😃😃hii nchi jaman uhuru umezidii

    • @stn4873
      @stn4873 2 ปีที่แล้ว

      KISIWA CHA AMANI🤣🤣🤣🤣

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      😀😂😂😂😂😂😂

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 ปีที่แล้ว +2

    She's very fun I like her