EXCLUSIVE INTERVIEW ROSE SHABOKA - SIJAOLEWA NA MALAIKA MUME WANGU ANATAMANI KAMA WANAUME WENGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • EXCLUSIVE INTERVIEW ROSE SHABOKA - SIJAOLEWA NA MALAIKA MUME WANGU ANATAMANI KAMA WANAUME WENGINE
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 45

  • @MajaliwaAlex-f9q
    @MajaliwaAlex-f9q 2 วันที่ผ่านมา

    Kujaji juu ya mahusiano ni ngumu sana pastor, ujavivaa viatu ivo ukaviona sanasana kwenye usaliti its very painful kwa watu waliokuwa wanapendana, binafsi nakueshim sana pastor mana nakufatilia sana lakini kuhusu mahusiano acha kabisa wafundishe watu kumtegemea mungu na kuombea mapito yao yawe salama itawasaidia kuliko kufundisha waachane siku ikipita kwa maisha yako utanielewa mausiano ni taasisi isiyofundishwa na mtu yeyote.

  • @PamellahMigarusha
    @PamellahMigarusha หลายเดือนก่อน

    Yaani umenena kabisa ubarikiwe

  • @mlagz8032
    @mlagz8032 4 หลายเดือนก่อน

    Good teaching.

  • @petromaley
    @petromaley 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shida watu hamsikilizi.

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kucha kama mwewe😂

    • @albertnyirongo3519
      @albertnyirongo3519 4 หลายเดือนก่อน

      Punguza makasiriko

    • @Madam255
      @Madam255 4 หลายเดือนก่อน

      Punguza wivu

    • @KukuWaMayai
      @KukuWaMayai 4 หลายเดือนก่อน

      Lipstiki na wanja😂😂

    • @rosemaryrobert788
      @rosemaryrobert788 4 หลายเดือนก่อน

      Wote mnaokasirika ni wanaume tu sababu ya ukwel husika

  • @HappyIdama-sd1ew
    @HappyIdama-sd1ew 4 หลายเดือนก่อน

    MTUMISHI WA MUNGU ,HAKUNA KAZI NGUMU KAMA HII,CHAPA KAZI,MUONEKANO WAKO NAUPENDA MIMI NI BINTI NAKUELEWA.NIMEFURAHI KUKUSIKIA UKIONGEA NAKUSKIA TU UKIHUBIRI JAMANI

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 4 หลายเดือนก่อน +2

    DUNIANI DINI NIMBILI TU ,ROMANI CATHOLIC church, 😂 islamic tu basi ,awa wengine wote wafanya biashara ,wazee wa maokoto

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na vipi huyo Papa anayesapoti ushoga???😮

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 4 หลายเดือนก่อน

      Kutoka 20;4 soma

    • @kisituclassicwear5246
      @kisituclassicwear5246 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndivyo unavyoelewa wewe lakini haimaanishi kama ndio ukweli
      Lakini dini ya kweli ni ile inayotii mapenzi ya Mungu bila kuweka mitazamo Yao

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 หลายเดือนก่อน

      Aliyekuambia Roman ni dini nani ? Umevamia mtumbwi tu

    • @Denismushi-j4b
      @Denismushi-j4b หลายเดือนก่อน

      We huajui unachoongea wew

  • @WinjukaShilla-lz1xu
    @WinjukaShilla-lz1xu หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sana mama umenisaidia Sana katika nyanja Fulani

  • @AnastaziaKakisi-i4d
    @AnastaziaKakisi-i4d 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upuuzi mtupu

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 4 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda sana unavyovaa smart pastor yaan unanibariki sana uko smart sana ww ni role model wangu mamyy❤

    • @lianaelgomezulu2259
      @lianaelgomezulu2259 4 หลายเดือนก่อน +1

      Soma neno la Mungu ujue being smart kibibilia

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 4 หลายเดือนก่อน +3

    Katika watumishi sijawah waelewa ni mojawapo na hyu mama kwahyo ushinwe kuhubili kweli watu waache dhambi kisa tupo kizazi kipya acheni kudanganya watu nyie mnaojiita wachungaji💋💋💋

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 4 หลายเดือนก่อน +1

      Una akili sana. Mungu mwenyewe alisema mbingu na dunia zitapita ila neno langu halitapita kamwe! Neno lihubiriwe , kweli isemwe dhambi ikemewe.

    • @gladnesskweka9699
      @gladnesskweka9699 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ushafundishwa sana kuhusu kuacha dhambi na watumishi wa Mungu walio wengi hukuelewa unadhan rose ndo utamuelewa 😂

  • @malulamuhoja1692
    @malulamuhoja1692 2 หลายเดือนก่อน

    Don't generalise kwamba mwanaume hawezi kujizuia, that is totally unrealistic, haijalishi ninmwamaume au mwanamke, hapa ni swala la mtu binafsi, na yote yanawezekana na ndio mana Mungu amekataza zinaa akijua inawezekana, so msaliti nii yeyote uwe makini sana unapo attack gender

  • @zawadimwambungu8632
    @zawadimwambungu8632 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mahusiano yanaumiza sana, Mungu atusaidie tuu na vizazi vyetu

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 3 หลายเดือนก่อน

    ROSE MCHUNGAJI EBU NENDA KAKAE NA CRISTINA SHUSHO KAMPE ELIMU HIYO SRUDI KWA MUMEWE UNAFAA SSNA KTK KUTOA USHAURI WA NDOA CRISTINA SHUSHO ANATAKIWA AKUPATE MSHAURI OM WEWE

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yupo Kiroho kweli .. huyu au Kidunia zaidi..,isaidieni labda mie ndio sielewi

  • @JoyicMwangende
    @JoyicMwangende 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor Rose kumbe unasauti nzuri hivi yenye utaribu ❤️❤️❤️❤️

  • @FirstOnline-ul5oh
    @FirstOnline-ul5oh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna chitin ya bahat mbaya

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nyusi hizo vip,mdomo vip wa kwale au na hizo kucha Jin au ndio maana mungu hakuwapa Kaz ya kuwa wachungaj nyie achen kumwinua shetan

    • @Denismushi-j4b
      @Denismushi-j4b หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wew huyo ni shetani...??

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna pastor hapa.

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe sijui Imani yako iko wapi ? Hapa duniani Kiila mtu na Imani yake , roman , na waislamu ndiyo wachawi sana na washirikina baadhi yao , na huku wapentekoste uchawi ushirikina unakemewa , na ulevi , na uasherati ,

    • @restitutalucian78
      @restitutalucian78 4 หลายเดือนก่อน

      Katika wachawi wewe ndo namba 1, Kwa jinsi unavohukumu watu wewe hata mbingu sahauu

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 4 หลายเดือนก่อน

    Wito+specialisation+GOD saw

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mama angu

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 4 หลายเดือนก่อน +1

    Very true 💯%

  • @nasmabanda6340
    @nasmabanda6340 4 หลายเดือนก่อน

    Sasfi Sana mtumishi

  • @g-makangarealitymbunge9290
    @g-makangarealitymbunge9290 4 หลายเดือนก่อน +2

    KUCHA IZOOOO UYU VIPI TENA MBONA ANAHAMASHA UCHAJU

    • @verohmchihiyo5029
      @verohmchihiyo5029 4 หลายเดือนก่อน

      Zmefanyaje

    • @gladnesskweka9699
      @gladnesskweka9699 3 หลายเดือนก่อน

      Msikilize anachosema ndo cha muhimu achana na kucha zake

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 4 หลายเดือนก่อน +2

    fundisha watu kutubu thambi , sio kuamashisha watu eti michepuko anamaji matamu , unahamashisha usharati sio powa ,

    • @jacquelinemwakasala9563
      @jacquelinemwakasala9563 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hujamuelewa labda mafundisho yake

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anafundisha Nini uyuuu ni kungaaa au mbona cmuelew ivi vitu watu wanavijuwa sana tuuu awaitaj ata kufundishwa

    • @Madam255
      @Madam255 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa. Wewe na ukubwa wako hujui kutubu na kutubu na kuiamini injili
      Unataka mtu akufundishe