@@salmaalimusa6809 hahahaha nimecheka jamani et veli soli hahaha Achana na hio kuna ile anasema mr uk awaplank wadada instead of pranks 😂 afanye improvements za headlines anazoweka ata kama yey ana shida ya L na R
Guys niwaambie kitu unaweza ukawa unamuamini sana rafiki yako ukamwambia hadi hali ya mahisiano yako lakini kumbe huyo ndo mbaya wako tuweni makini wanawake jamani kitu hicho kinaumiza sana jamani yaan,,,, halafu pia wanaume jamani msitufanyie hivyo kuwa tu muwazi mtu umeshamuahidi ndoa halafu unamzunguka tena unafikiri laana zinatokana na nn ni kutotimiza makubaliano na ahadi mlizoahidiana unakuta mwenzako hakuigizii upendo ila wewe sasa ka umerogwa vile kha!
Short n clear Wanawake muwe makini sana na ushauri mnaopeana na kuchukua kwa mashost ama watu wa karibu Kwa 40% labda Mamako mzazi kama sio mkazi wa Sinza Tabata Ilala Magomeni maana wa Mama wa huko hata huyo bwanaako kama ana maokoto wanabeba Ficheni Mahusiano kama bado hamjaolewa mtanikumbuka
Me ndio maana nasemaga nyie wanawake endeleeni kutuita mbwa hvi hvi ila ipo siku 😄😄😄😄sasa demu unaenda haribu mipngo ya ndoa ya shoga yako ukiamini ww ndie utaolewa ama vip yaan
Ulifanya makosa sana kumweleza rafiki yako mambo yako ya ndani kitu nilichokiona hapo ameendaa kumweleza huyo mwanaume kila kituu ndioo maana mwanaume kichwa kikaa jaa akaamua kubadilisha mawazo yakuoa
Hii hapana sio kweli. Huyo dada Hana Namba ya rafikj yake Hadi aichukue kwa cm ya mpenzi wake, aingize kwenye cm yake na haisijuwe km Ni rafikj yake hadi aje kumshangaa hapo? Mnatupanga mazee
Yaan hicho kijambazi komwee😏😏😏😏kibaya ila kinavyojishebedua nyokooo,yaan ndo maana mm Sina shoga
Hicho kidem sasa kinachomzuzua huyo D komwe kama kibanda cha simu.😂😂😂😂😂
Ndiyo 😂😂😂😂😂
Tatizo hawajui nini wanataka sio wanaume sio wanawake😂😂
Mbona komwe😂
😂😂😂 Cha tigo pesa😂
😂
Kaone na komwe lake kama ngazi ya tanesco 😏😏😏😏 dada tulia we mzuri achana na huyo sister komwe😏😏😏
😂😂😂😂😂yoh
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂mkiona mapenzi inawasumbua Niko na mashamba uku jembe zipo kuja tujaribu kilimo
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Exactly 💯😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Mr. Uky una jina kubwa jaribu kutafuta hata mhariri au ongeza umakini kwa kiasi mfano: Rafiki umeandika Lafiki
Kabisa asee ajitahid ku maintain L na R media yake ni kubwa sasa watu ni weng wanafatilia
Imagine veli soli 😢😢mmh
@@salmaalimusa6809 hahahaha nimecheka jamani et veli soli hahaha
Achana na hio kuna ile anasema mr uk awaplank wadada instead of pranks 😂 afanye improvements za headlines anazoweka ata kama yey ana shida ya L na R
@@salmakasim8390mbona planks😂😂
@@salmakasim8390😅😅😅
Napenda sana kipindi chenu lakin mbona watu wanasema mnaigiza kaka uky,mi najuaga kwel
Itakua maigizo mbona zote n mtu na rafiki yake tu,,,,yan kila msaliti n rafiki wa karibu wa msalitiwa.,,,,wote jmn???hapana bhana,,,,
Nikweliii Wana igizaa AWA uyo naar uyo mwanaume katoka namanga mwaka Jana uyo mwanaume myakaa 3 wap na wapi😅😅
Inaumaga sanaa .... Ndiomaana sinaga rafiki au marafiki
Siitaji marafiki😢
Mr Uky kazi nzury❤❤
hv huyu mwenye komwe kashawai kupigwa kweli😅😅😅 jmn mtu ajichanganye 😅😅
Huyu keti na bichwa Lake kama papain bovu😂
Wanaume bwana sasa kuacha mdada mzuri kafata huyo kamwe 😂😂😂
komwEh is typing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂and no 1 can delete 😂😂😂😂😂😂🙌🏻
Huyoo cath anakomweeee😂😂😂😂😂
Nakushauri achana na uyo dada ana komwe
komwe hilo 😂😂😂
Eeeh karuma mkojo kakanyaga mavi aisee wanaume bhana 😂😂😂😂
Guys niwaambie kitu unaweza ukawa unamuamini sana rafiki yako ukamwambia hadi hali ya mahisiano yako lakini kumbe huyo ndo mbaya wako tuweni makini wanawake jamani kitu hicho kinaumiza sana jamani yaan,,,, halafu pia wanaume jamani msitufanyie hivyo kuwa tu muwazi mtu umeshamuahidi ndoa halafu unamzunguka tena unafikiri laana zinatokana na nn ni kutotimiza makubaliano na ahadi mlizoahidiana unakuta mwenzako hakuigizii upendo ila wewe sasa ka umerogwa vile kha!
Short n clear
Wanawake muwe makini sana na ushauri mnaopeana na kuchukua kwa mashost ama watu wa karibu
Kwa 40% labda Mamako mzazi kama sio mkazi wa Sinza Tabata Ilala Magomeni maana wa Mama wa huko hata huyo bwanaako kama ana maokoto wanabeba
Ficheni Mahusiano kama bado hamjaolewa mtanikumbuka
Kabayaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan 😂😅
Mwizi wa mwanaume mwenyewe kibaya komwe kama fanesi😂😂😂😂😂
😂😂😂
Tujihadharin na mashoga looh wanawake hawana huruma😢😢😢
Kabisaa aisee
Nani kaonaaa hilo komweee😂😂😂
Uyo dada mwizi wa mwanaume wa watu anajishaua so kwa hilo komwe😂😂
Mbayaaaa mishauzi tu na hilo likomwee keti mbayaaaaa
Hivi vingereza hivi jamani 😅
Next jamn Mr uky
😂😂😂😢😢marafiki noo mm ningeshe mtandika kofi la mdomo la kilo mojA
Duh nipo hapa😊
Mhh wanaume jamani Anamuacha mwanamke mzuri Anapenda kwa komwe duu
Katakuwa kachawi
Mmmmh nasmaaaa ww ushaanza kugombania wanaume 😢😢😢😢😢
Wangapi wanajua KOMWE FORD😂😂😂😂
Komwe lilee😹😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona kinajeur sas na kimechukua mchumba wa rafiki ake duh nyooo Yani unakikamata unakikunja pumbavu zake
Hilo komooooooo jamani 😂😂😂😂
Akamuulize bwana ake nakuwasha kofi moja2 kione kilivyo na komwe fyuuuu wivu2 ep2 please 😂😂😂😂
Yaan nikiona wanawake wa hivii kama huyo mwenye kikomwee,nachukiaa sanaa wanaharibu sanaaa mahusianoo,,wivuuu sanaa
Nikimpata shemeji enu ntamficha kama ugoro😂😂😂😂
Watu wa anko jay mko kila mahali😂😂😂
@@SaumuAli-ez5xf 😂😂😂😂usingekua miongon mwao usingenitambua🤣🤣🤣acha tuitumikie TH-cam 😂 ipasavo
😂😂😂😂😂
urafiki huo😂😂😂
Me ndio maana nasemaga nyie wanawake endeleeni kutuita mbwa hvi hvi ila ipo siku 😄😄😄😄sasa demu unaenda haribu mipngo ya ndoa ya shoga yako ukiamini ww ndie utaolewa ama vip yaan
Wakina dee jmn😂😂😂
Keti ana komo kama kombora la urusi
Jamn me naomb unifanyie challenge plz 🙏🙏🙏 San Niko arusha njiro nawaomba San mr. Uky and kiredio nawaomba
una kifua cha kuzuia risasii, nyiee izi challange unaweza kufa aseee dont try kama huna ubavu😂😂😂
Na Hilo komwe ka uvungu wa pumbu,afu ananyodo 😅😅😅
Huto D karogwa😂😂😂 afu ww dada mbona mzur usiforce ndoa muache huyo sio rzki bora umejua rang zake bado hajakuoa
Nyie tena😂😂😂jmn kwan mkiishi bila hawa kunguni mnawashwaga nn mnanikera mjue
Naamini kabisa hayo ni maigizo ,,lakin acha tuendelee kukusapoti Mr uk
🤣🤣
Ila uyo catty mercy komwe lake limekaa vby maskinii😥 Alf mashauz mengii
Hilo komwe vep 😮
Lijitu lisalit badala ushukuru mungu kakuonyesha mapema Badó waling'ang'ania uingie kwny ndoa likupe maradhi
😂😂😂😂
Ndio maana mpz wangu sitak awe karibu na mashoga zangu😂
Uky nimenda kipundi chako. Kuliko up ya Mange Kimambi kwa kweli. Mambo yako live. Sio ya kujificha.
Wangap wanajua komwew😅😅
Icho kilichomuibia mwenzie mwanaume kilivyo kibaya xaxa Ila huyo alieibiwa mwanaume alivyomzuri Yan wanaume jmn mhm
Bro inabid you keep up na speed ya kupost the way u delay unafanya kama watu wasiwe na excitement
Komwe lileee😹😹
Jaman nimecheka sana eti komwe kama kibanda cha simu😂😂😂😂😂😂😂😂 from oman
Oyooooo
Aya matukio yamezidi ya kuchukuliana wanaume, Yan mm simtambulishi baby wangu kwa panya yyt
Kunakoelekea mtu wako itakua ata mama yako waogopa kumuonyeshq😅😅😅 mahana sasa kudedeqna bwana kama freshener
Yaani hiyo stoo kama yang marafiki bwana Mungu anawaona
ilaaa mqshoga konyoooo😅😅😅😅
Komwe lile😂😂
Gailisha. Heeeeee wewe kaka😂😂😂😂
Hvi hua n kwel au wanaigiza😂😢
Wanaigiza
My dear sister I know how do you feel you feel so painful but don't never share something to your friends🇿🇦🇧🇮
Sitaki marafiki siwataki ng,o sitaki wanafiki siwataki ng,o By happy wenu apa
Mr uk unazingua unaenda slow sana banaa
Amegahilisha ❌ Ameghahirisha✅
Lafiki❌
Rafiki✅
But vipindi vyako vizuri bro
Mmh jaman malafiki sio watu wazur nakamauna lafkiyako achana nae chap halak jamsni....
Cathy mkali hata mimi ningechepuka nae..ni aina ya demu wenye mvuto flani wa asili
Anauzuri gan kumzid Naaa! Ilo komwe au?
@@KhadijaJacob uzuri wake huwezi kuujua tuulize sisi wanaume ...huyu ana mvuto...omba mvuto kuliko uzuri...unaweza kuwa mzuri lakini huvutii....
Kajeuri na komwe lake kaone😅
Shikamooo marafiki 😢😢
Mi nataka siku mchepuko amshitaki main chick tuone inakuaje 😂😂
Yan kimcjepuk kinajickia chenyew kina sur ngumu Kam flar ya magimb tna iliyolala 😏😏😏
Ulifanya makosa sana kumweleza rafiki yako mambo yako ya ndani kitu nilichokiona hapo ameendaa kumweleza huyo mwanaume kila kituu ndioo maana mwanaume kichwa kikaa jaa akaamua kubadilisha mawazo yakuoa
Hii hapana sio kweli. Huyo dada Hana Namba ya rafikj yake Hadi aichukue kwa cm ya mpenzi wake, aingize kwenye cm yake na haisijuwe km Ni rafikj yake hadi aje kumshangaa hapo? Mnatupanga mazee
Kweli
@@Dida-jv7es washaanza kutudanganya bila ubunifu wa kutosha
Tunaomba part 2 Pls. Story imeanza kunoga ndio imeishia jamani.
Komwest hako kadada kamercy
Hivi kwanini marafiki wanakuaga hivi jmn tamaa mbaya
Leo wakwanza jamni
Lafiki ndo nini mkuu? 😂
😂😂😂😂Ni huzuni
Komwe kubwaaaa🤔🤔🤔🤔ukome kuchukua bwana za watu ww
Musiwapelek marafik zenu Kwa watu wenu muhimu😊
Hao wadada ni mtu na shogaake na walikua wanaish hostel moja juzi tu huyo kaite hata sio jina lake
Mwenye komwe lake mjini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
Kwakweli ctak shosti mm acha niwe mshamba kwenye hili
Izi mambo nahis kama mnapanga mapema kama mnaigiza ichi kitu sio halisi?
Issue ni kuwa wanawake sio wasiri kilakitu unamwambia shoga ako na ukiangalia idad ya wanaume ni wachache 😂😂
Sipiganagi kwa jili ya mwanaume ila ninge mpa uyo binti makofi yangu matatu tu akili inge mkaa sawa
Keth au katarina😂😂
Huyo mwenye manywele ana komwe alafu baya peleka mirasta Yako huko
Jmn😂😂
Wewe dada achana na huyoo mwanaume sio liziki yako
Rafiki, marafiki😢😢😢woiiiiii
Nakuonea huruma mdgo Wang... Maana unatumika vibaya katafute wako umtengeneze sio mnafiki mkubwa aiseee
Uwelewa nao pia ni rizki
Nawewe mr uk unachosha vitu vyako vya mkatomkato tu aah badirisha
Wanaume jmn atar san 😢😢😢
😢😢huyo si naah
Marafik wauwaj kwel 😂😂
alikuwa anajua cath kumbe mess shogaako ambaye ulikuwa ukimwelezea habari zakp wasichana wachaneni na mashogaaa wacha wakuone unaringaaaa
Yn ss ivi akuna ht rafiki jmn kaa