WANAHARAKATI WAMEIBUA MJADALA MZITO:BARUA YA CCM KUHUSU UANDIKISHAJI KUELEKEA UCHAGUZI WA S/MITAA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • WANAHARAKATI WAMEIBUA MJADALA MZITO:BARUA YA CCM KUHUSU UANDIKISHAJI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA BADAYE UCHAGUZI MKUU 2025.

ความคิดเห็น • 25

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huku kwetu tunachoangalia nimekula tumeenda shamba timerudi safi.Ila habari ya kuchagua viongozi hilo ni kama kupoteza muda

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila mtu anajua kuhusu wanafunzi kuandikishwa....

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Taifa hili hakuna ulazima wa kufanya uchaguzi kwani kinachozungumzwa si kinachotekelezwa

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dawa pekee ya Kuondoa ukakasi huo ni kubuni mbinu ya kupiga kura kwa kutumia hadi simu ya mkononi,hili litavutia wengi,haswa walokata tamaa kwenda vituoni,maeneo yenye tension za polisi,mabomu ya machozi,foleni ndefu n.k.Litaongeza pia hamasa ya kushiriki chaguzi.✍️🏿

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo itachukua muda mrefu sana. Kama kujiandikisha tu kuna figisu, huulizwi kitambulisho na ubabe unatumika, itakuwaje kutumia technolojia? Siyo swala la leo wala kesho

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂mnaiogopa siyo itavyowafagia?mbona benki inatumika usiweze kuiba fedha.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mbwa wa fusiemu na shari la mvogamboga huwa anakera natamani kulitemea mate

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ccm ndivyo walivyo ndugu yangu.😂😂😂😂

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo kubwa sana unapokwenda kuandikisha hauojiwi chochote zaidi yakuambiwa majina matatu umri na sahihi kitu ambacho hata raia wasiyo wanchi hii wanaweza kujisajili bila shida

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 55 นาทีที่ผ่านมา

    Mwizi ni mwizi tu unaweza kujiibia mfuko huu ukahamishia mfuko mwingine kha

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na kwanini kuwe na malalam8ko mbona Inchi zilizostarabika hawana huu umbumbu? Ati wanachekelea nini? Kwa kufundisha wanainchi wetu kuwawajinga zaidi kuliko wakati wa stone age.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna haja ya uchaguzi. Watu hawana uhuru wa kuchaguwa viongozi wanao wataka, mpaka wachaguliwe na CCM

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawashangaa sana watu wengine.
    Kwani wananchi wa upinzani siyo raia wa Tanzania. Kwani upinzani ni raia wa nchi nyingine?
    Mbona tunajivuruga bila sababu jamani?

  • @clotildatarimo7847
    @clotildatarimo7847 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huku ni kukosa weledi, unamfundisha mfanyakazi uliyemwajiri kukosa weledi na kuvunja maadili ya kazi

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya ni mawingu. Tarehe 27/ sitashangaa kurudiwa ya 2019.

  • @AshoooraMct
    @AshoooraMct 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    com ni wendawazim kwasababu wanayo yafanya yanaonekana leo anatokea mpuuzi mmoja anasema wapinzani acheni uwongo daa kwakweli uchawa una waponza

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wapinzani acheni uwongo na uzushi kwani wanafunzi waliofikisha miaka 18 hizo kelele nizakutapata .

    • @HappyIceSkate-sb8uf
      @HappyIceSkate-sb8uf 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ubwa muuaji wwe

    • @matiredms917
      @matiredms917 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wananchi wamegeuzwa kuwa mazuzu kabisa. Huyu Mama ni pepo wa kuzimu. Ana uroho wa madaraka kiasi kwamba hajali tena maslahi ya nchi.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi hata wasomi mnafanya ovyo kuliko wawakubwa ambayo hawajasoma jamani Inchi hii itakuwa ya wajinga

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona hapa CCM wanafurahi sana kwa kuwa wafalme wa Inchi milele.

  • @YahyaMbega
    @YahyaMbega 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KAKA MATE MATE MENGI VIONGOZI MNATUAGUSHA UPO KIMASILAHI ZAEDI TANGU MLEMA MLIPUMBA DR SILAHA MBOE NENO SIBILINI KWANZA TUNAFATILIA ENAWAVUNJA WANA NCHI NGUVU NA WATU WANAUMIA NINYI UNATUCHANGANYA SANA

    • @edwardngoye6235
      @edwardngoye6235 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha so hizo unaweza kuwa mjanja wewe tu na wengineo wachache.au hakuna kabisa maana tumeona matukio mengi wanakomea VIONGOZI kukamatwa huku raia kama wewe umefyata mkia.
      Watanzania ndo tatizo.