Daktari aliyedaiwa kuwaua watoto wake wawili huko Nakuru amefariki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Daktari James Gakara anayedaiwa kuwauwa wanawe wawili na kisha kujaribu kujitia kitanzi amefariki hii leo. Familia yake ambayo bado ilikuwa imesalia na maswali chungu nzima kuhusu kiini cha mauwaji ya watoto hao sasa inakabiliwa na kifo cha daktari Gakara. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, hafla ya mazishi ya watoto hao iliyopangiwa kufanyika ijumaa wiki hii huenda ikaahirishwa kufuatia kifo cha baba yao.

ความคิดเห็น • 12

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 2 ปีที่แล้ว +5

    Yani siku hizi sukari inashukanga chini kwaku uwa watoto mbhona miaka hizo zote sukari haiku shuka?

  • @beautifullyMade2024
    @beautifullyMade2024 ปีที่แล้ว

    I never saw this....waah!...

  • @lydianjoki151
    @lydianjoki151 2 ปีที่แล้ว

    Dr gakara. Ulikuwa Dr unapenda watu sana. Juu ww ndyo ulienifanya operation mwezi wa 7 and I make it it's very sad but God knows everything. Rip

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 2 ปีที่แล้ว +2

    We wish Angepona dio aelezee dunia what happened but anyway rest in peace but ulifanya vibaya kuuwa watoto Mbao hawakuwa na makosa na ambao wangetaka kuishi but because it happened may their souls rest in eternal peace

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 2 ปีที่แล้ว

    Shida ninini mungu wangu

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 2 ปีที่แล้ว +1

    So sad 😭😭

  • @marymwikali1456
    @marymwikali1456 2 ปีที่แล้ว +1

    God have mercy on us 😭

  • @karenkairu9938
    @karenkairu9938 2 ปีที่แล้ว +1

    So tragic

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว

    So 😥

  • @haronobuya4676
    @haronobuya4676 2 ปีที่แล้ว

    Kama angekufa pekee, ingekuwa sawa lakini... Wasiojua lolote wamekufa kifo kichungu

  • @agieulerohojuu3238
    @agieulerohojuu3238 2 ปีที่แล้ว

    Lack words to say 😥😥😥😥

  • @davidndugo8787
    @davidndugo8787 2 ปีที่แล้ว

    So disturbing God have mercy on your people