Familia ya mshukiwa mkuu wa mauwaji yazungumza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Familia ya mshukiwa mkuu wa mauwaji ya Kware Collins Khalusha sasa inasema alikuwa na tabia ya kutoweka nyumbani kwa miaka kabla ya kuonekana. Mamake Khalusha akieleza namna mwanawe alivyowacha shule kidato cha tatu na kuamua kuendesha shughuli za kujitafutia riziki.

ความคิดเห็น • 178