Muhadhara Takriban Miaka 9 Iliyopita "HALI HALISI YA WAISLAMU" - Sheikh Kassim Mafuta Kassim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 2

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot วันที่ผ่านมา

    Shekh Qassim huki kipindi ulikua unalingania Sunnah na Manhaj ya Assalaf sawasawa kabisa, na sielewi kilicho kutoa kwenye mstari na kukuingiza kwenye hamasa na misimamo ya kuwakata Waislamu wenzio Masalafi, Wana Sunnah?
    Mbona hii ilikua ndio njia nzuri isiokua na shubha iko wazi na inaingia kwenye moyo wakila alie na akili salama hatakama hakusoma Elimu ya Dini.
    Siku hizi umeiwacha hii njia na umeshika misimamo ya kuwakata Wana Sunnah bila ya haqqi, na unaacha urithi mbaya ambao mpasuko wake utaumisha vichwa vya wasomi kuuziba.
    Yani saizi akitokea Shekhe na kulingania Da'wa ya haqqi, nilazima apige vita kwanza baadhi ya misimamo ya kisalafi na aipinge kwa hoja kama ambavyo wewe kipindi hiki ulipinga baadhi ya misimamo ya watu na ulikua ktk haaqqi, lkn wenyewe hawaja kubali, pia masalafi itakua ngumu kuelewa na kua tayari kuacha baadhi ya misimamo na mawqif zao.
    Kwakweli ummah unahitaji wasomi wenye khibra kubwaaaa na mitazamo iliokua imara na hatua za kuchukua kufikia pale tunapo pahitaji.
    Ila mambo mengi yame badilishwa na kutolewa kwenye uhalisia wake, nanyi masalafi muko mbele kwenye hii qadhia kama walivyo mbele makundi mengine, na huenda mukawa mbele ktk kuharibu baadhi ya sehemu nyeti za Dini hii kwa misimamo yenu kuliko watu wengine.
    Tukisoma historia namna ambavyo Ulamaa waliishi na watu, na namna ya hatua za Da'wa zao zilivyo pita na vikwazo walivyo pitia na badae Allaah akaleta nusra ya kuenea Da'wa zao na kuleta mabadiliko makubwa kwenye jamii, tukiliangalia hili kwenye historia na tukipima na halihalisi ya Da'wa ya Haqqi mulipo ifikisha leo, Wallaahi machozi yanatutoka, kwa namna mulivyo haribu mifumo nyeti ktk Da'wa na maafa yake tuna yashuhudia 'Ayaanan.
    Sunaah ime vurugwavurugwa, viongozi wa Sunnah hakuna alie salimika na upotevu na uzushi leo!!!
    Sasa Sunnah inaongozwa na nani na inasimamiwa na nani?
    Lakini uhalisia hauko hivi, kwamba Mashaayikh wa Sunnah wote hawafai, yaani huyu hafai kwa yule, na yule hafai kwa huyu, huyu kapotea kwa msimamo wa yule, na yule kapotea kwa msimamo wa huyu!!!
    Ukweli hauko hivi, bali hamasa na mihemko ya misimamo isiokua na mashiko, na mazingatio yoyote ya Sunnah ndio inayo fanya watu waishi hivi.
    Walaa hawla walaa quwwata illaa billaah!!!
    Kwaio matokeo ya njia hizi tulizo zishika, ni kutafunana Wana Sunna na Wazushi, na Wana Sunnah kwa Wana Sunnah, nguvu yetu inapotea na kudhoofika, ukweli unakimbia, mwisho yatabakia maslahi tu, kila mmoja atafanya jambo kwa maslahi fulani, lkn sio mkweli hata kidogo kwenye yale anayo yasema au kuyalingania, na ndie atakaekua mstari wambele ktk kuwafitini na kuwasalitisha kwa watawala au maadui, waislamu wenzie!!!
    Walaa hawla walaa quwwata illaa billaahi.
    Na ivisasa yameshaanza kufanyiwa kazi mambo haya na watu tunawajua kwenye swafu za masalafi wanao tegemewa na kuonekana kua ni nguzo kwenye swafu zao.
    Wazushi watafunana wao kwa wao, lkn hilo halichukuwi nafasi kwa sbb niwatu wa baatwil kwa sehemu kubwa ya dini yao, na mwanzoni ilikua wazushi ndio makhaini na wasaliti kwa Maulamaa wa haqqi, wakiwafitini kwa watawala na kwa 'awaamunnaas, hivi ndivyo tunavyo wajua wazushi tangu zamani hadi leo.
    Lakini sasahivi na Baadhi ya Wana Sunnah wamekua msaada mkubwa wa watawala na watu waovu-makafiri-dhidi ya Wana Sunnah!!!
    Tunafahamu na kuyaona haya wazi wazi.
    Ingawa muda mwengine hawakusudii kuwazamisha Wana Sunnah wenzao, lkn zile hamasa na misimamo ya ovyo ndio inawapeleka hapa!!!
    Allaahul-musta'aan

    • @AbuuDharry
      @AbuuDharry  22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Allahul Mustaan,
      Naona Umeandika Maneno Meengi Lakini Pia Umefunga Funga maneno هدانا الله وإياكم.
      Mimi nipo na maswali machache kwenye hii comment yako,
      1. Je! hii comment uliyo comment unakusudia nani?? Sheikh Abul Fadhl?
      2.Ikiwa ni Sheikh Abul Fadhl Je! Unahakika Kuwa Hii Comment yako itamfika yeye?
      3.Swali : je! Hii Comment yako Ni Muongozo Au Nasaha?
      4.Ikiwa ni Nasaha je! Ndio Nasaha inavyotolewa? Na ikiwa ni Muongozo Na Irshaad ndio hivi anavyopewa mtu?
      5.Je! Umechukuwa Hatua Gani Mfikishia Mapungufu Na Udhaifu Katika Da'awah? Au Huwezi Kumfika anapoishi au hujapata Mawasiliano yake?
      6.Je! Ni misimamo gani aliyokhalifu Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta Katika Da'awah Salafiyyah?
      Tunaomba Majibu Katika Maswali haya machache Kwako Ewe! Ndugu yetu.