LIFE WISDOM : TUMIA KANUNI YA GOLDILOCKS UFANIKIWE - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 18

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 2 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka Joel.... nimejifunza barikiwa sana

  • @Semsango
    @Semsango 2 วันที่ผ่านมา +3

    Asante sana Mimi nilianza Biashara 2022 lakini nilikuwa sifanyi kwa Muendelezo na Kilicho nikwamisha ni kujahalalishia Visingizio Vyangu Mwenyewe Yaani naweza nikasema Mimi sio mvivu mbona kazi nyingine nafanya Lakini nikaja nikagundua kuwa kila mmoja anafanya kazi lakini watu wana tofaitiana kwenye Impact Yaani niliacha Biashara na kufocus na vitu vingine lakini nikijaribu kulinganisha impact nikagundua kuwa kama ningefocus na Biashara ningepata impact kubwa zaidi nimerudi kwenye Biashara yangu na kupitia mafunzo yako najifunza mambo Mengi sana Barikiwa 🙏🙏🙏😊

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe umri mrefu sanaaa

  • @yusuphshadrack9168
    @yusuphshadrack9168 2 วันที่ผ่านมา

    Asante barikiwa

  • @LameckElon
    @LameckElon 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ God bless you

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka Joel Arthur nanauka Mwenyezimungu akubariki Sana Sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 วันที่ผ่านมา

      Ameen Ameen

  • @NickGamba-ft8tl
    @NickGamba-ft8tl 2 วันที่ผ่านมา

    ASANTE MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL 🙏🙏

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 2 วันที่ผ่านมา

    Big up Sana kaka unafanya nzuri kazi zako

  • @user-nd3sc6lk2n
    @user-nd3sc6lk2n วันที่ผ่านมา

    Nakupend kak umenifungua xn 🎉

  • @corneliomalya2897
    @corneliomalya2897 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akujailie uishi muda mrefu

  • @meckcp1650
    @meckcp1650 วันที่ผ่านมา

    kwa Sisi tulio mbali na dar tuweza kupata ata link ya kuona live

  • @user-cw4yq7is5h
    @user-cw4yq7is5h 2 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @Immambukwa
    @Immambukwa 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu atupe uzima tupoke Kwa baraka

  • @Prudentssmamtui
    @Prudentssmamtui 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka Joel tangu nimeanza kukufuatilia ninakuwa kifikra na kimang'amuzi sijapungukiwa kwakweli

  • @oneboytzoneboytz6789
    @oneboytzoneboytz6789 2 วันที่ผ่านมา

    MUNGU AZIDI kukufungua Zaid

  • @AllyYusufu-y4b
    @AllyYusufu-y4b 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka Joel hv huwa unawakala mkoa wa mwanza maan nataka kitabu hardcopy

  • @josephmchomvu6770
    @josephmchomvu6770 2 วันที่ผ่านมา

    Ivi mkuu ukimaliza unapata na cheti kabsa kweny io top team academy au mikutano tu. @joelnanauka