NILIANZA KUJIFUNZA KUTAFUTA MARAFIKI ONLINE NIKIWA NA MIAKA 15|KUHAMIA ULAYA INABIDI KUJIPANGA AKILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- @fortunenova6242 ameeleza safari yake ya kujifunza kutafuta marafiki online tangu akiwa na umri wa miaka 15 na akawa na marafiki nchi za mbali wa kutumiana barua.
Amekutana na mwenza wake ndani ya Wiki mbili tu baada ya kua serious anatafuta mwenza mtandaoni.
Subscribe to her TH-cam channel @fortunenova6242 kujifunza na kufurahia life style yake na mwenza wake.
Thank you Fortune Nova for allowing this to be online
www.oda.international
MashaaAllah!!!! Hijab imekupedeza Ramadhani QAREEM.
Such a brave lady. Going to follow her on insta asap. I love the fact that your parents didn’t take bride price as other African parents cudos to them, you are very lucky to have such parents. Anyway continue being blessed
You like free
Nashukuru sana Dada kwa hii programu real it make us understand what is around us❤
Mi nakushauri suala la ndoa usilicheleweshe as long as mwanaume yupo tayari fungeni wakati wewe unamalizia masomo yako.Ukishamaliza mambo mengine yatajiset..unajua jambo jema kama hilo halitakiwi kucheleweshwa sometimes devil anapitia hapo kutaka kuharibu..pia kikanisa uchumba hautakiwi kuwa muda mrefu sana,hongera kwa kuwa mume wako mtarajiwa yupo tayari kwa ajili ya sakramenti ya ndoa,wengine huwa ni wazito kufanya hayo maamuzi so usichezee hii golden opportunity ndoa ni neema.
Umependeza Sana ushungi shena❤
Napenda sana❤ your beautiful channel na Vile unavyo lete mahojiano ya baraka na elumu may the God almighty bless you abundantly amen.
Wise lady, very mature
Mashaallah shena leo umependeza sana🥰🥰😃
Mashallah tabarakya llah hiyo hijabu ungeendeleza na cio kwa ramadhani tu maana huku kujistiri ni wakati wote tunatakiwa tujistiri .Alhamdulillahi
ki ukweli nimetokea kumpenda huyu dada anaehojiwa alivyo tu 🤩❤
Umependeza na ushungi❤
Shena umependeza ushungiii ❣️☺️🥰😍
Shena Leo umependeza saana ❤❤❤❤💞😘😘😘😘
Umepeza Masha Allah
Ushungi unakupendeza ❤ Ramadan kareem 🎉
Mashallah sis shena❤❤❤Ramadan Kareem
Magufuli Oyeeeeee🎉🎉🎉
Dada shena umependeza
Asalaam aleikum wa Rahmatullah wa barakatuh. Habari za leo dada yangu nauliza kwa nini wanawake wa ki Africa hawataki wa Africa wanaome sisi ulaya wanawake wa ki Africa kwa nini wanatubagua 😂😂😂😂
Ramadhan Kareem Shena.
Ukitegemea mtu mwingine akufanye ujisikie vizuri kila mara, utateseka.
Mansha'Allah umependeza da shena Ramadhani Kareem unatakiw uwe hivyo siku zote.
Sio Ramadhani to kujisitili
Mashallah shena
Ni mrembo uyu binti but .kuongea hajui na sijui hixi chuo wanamal7za vip na English mbovu.
Hee jitafakari na hii comment yako
MashaaAllah
Hawa akina last born kaazi kweli kweli
Hakika KWENYE HERI HAPACHELEWESHWI , AWE MAKINI
TH-cam channel yako please Fortu, 🙏 nice interview ❤ na you are a black beauty ❤
@fortunenova
Ramadan mubarak
Ngoja ngoia...... si wako
Nimekumbuka Ile last born ni mtu ambaye ataandoka nyumbani na akirudi,anarudi kutambulisha mzungu
Aai Mashallah 🧕
Chena mrembo jameni ❤
Da shena next ufanye interview na wabongo wanaodate wahindi I want to experience something plz
Niunganishie mmoja umlete kwenye kipindi
Nitafurahi pia
❤️❤️❤️❤️
Please can I have contact with you please I want to visit Vienna Austria
Jamanii naomba dada naomba uniunganishe na huyu dada nina rafiki yuko Vienna Austria 😢😢😢
Wangu haelewi
Bora umekuja huku kwa Shena.
Naomba kujua sifa za mji wa Schwyz wa uko Swaziland.
❤
She na umependeza sana ulivyojiunika
Tumia huu muda kujifunza lugha bdae hutahangaika sana....ili ku intergrate na jamii lugha muhimu
Hapo kwenye mahari hapo
Kila mmoja na neema yake
Watu wa mtandao ni walewale walioko nje huku,so ni kawaida kukutana na majanga km mtaani au ukapata mtu mzuri
Chelsea chels utakuta means sii eako
Ivi vienna n wapi au n Vietnam??na iyo austria iko wap
Hahahaah Vienna ni mji upo ndani ya Austria, na Austria ni nchi ndogo inapatikana Europe
Mb zangu zimeenda bure.shena before kuleta mtu apa make sure anajitambua .
Kujitambua kwako ikoje ?
Kumbe ndio maana kapotea 😂😂😂
Naomba yale mahojiano ya mtu wa Portugal siyaoni.
Shena kumbe mrembo hivyo jamani
🎉🎉🎉❤
Shena uko single or married?
Jina lake la TH-cam linavoandikwa tujue
Fortunatenova
Ndio kushusha nyavu nini
Chelewa chelewa utakuta mwanao si wako
Ongea kiswahili bhn
Mtajuaje kama anajua ngeli😅😅 yani wabongo tunashindwa kuongea lugha yetu
@@Annie_944😂😂