KULEA MTOTO UJERUMANI| KUKOSA COMMON SENSE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Atugonza ametuelezea experience yake katika suala zima la ulezi wa watoto, maisha ya utofauti wa kitamaduni
    Mahusiano na utumizi wa mtandao wa kimahusiano.
    Thank you Atugonza for allowing it to be online
    WWW.ODA.INTERNATIONAL

ความคิดเห็น • 37

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 ปีที่แล้ว +2

    Atugonza Hongera sana kwa kupata Mtoto. Uko na rangi nzuri, nimefurahi kwa kujiacha kama ulivyo. Hongera sana.

  • @furahaVlog
    @furahaVlog ปีที่แล้ว +7

    Nampendaga Atu hajuagi kuringa❤❤❤interview imenyooka

  • @melchadeslukanyanga9489
    @melchadeslukanyanga9489 ปีที่แล้ว

    Hongera nifurah kusikiai analysis yako ni ya mtu aliyeenda shule nzuri,

  • @healthylifestyle7415
    @healthylifestyle7415 ปีที่แล้ว +2

    Nice interview, Dada Mrembo na smart

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว +2

    Ana rangi nzuri san

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd ปีที่แล้ว

    Mungu wabarki

  • @groliarafaeli7232
    @groliarafaeli7232 5 หลายเดือนก่อน

    Mim nakufatilia sana ila mmi nataka kazi uko nafanyeje

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 ปีที่แล้ว +1

    Kaongea vzr sana

  • @nasramussa2370
    @nasramussa2370 9 หลายเดือนก่อน

    Good work guys bt my opinion t you Shena if you are a Muslim bc jarbu kujictr uckae ivo nywele waz afu leo nd ivyo apo karbu wwngn wanaon
    Just advice

  • @KhadijaMusttaffah
    @KhadijaMusttaffah ปีที่แล้ว

    Sisi ambao hatujui kingeleza wazungu tutawapataje 😂😂

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nadhani wanaoogopa Online Dating ni uzito mdogo wa profiles. Kama mtu hana cha kunyanyua profile yake, ni lazima asite kwanza kwa kuwa labda anakuwa hana hakika kama atakubaliwa kwa urahisi! Nashauri vijana wajiongeze kusomasoma. Ili hata wakiwapata wenza wao waweze nao kuchangia kipato. Hakuna anayependa kuwa na mwenza asiyebebeka!

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa comment

    • @Iantussa
      @Iantussa ปีที่แล้ว

      Uwe unatuwekea hizo webisite mwisho wa interview..kama ikikupendeza i beg.

  • @UpendoKassoko
    @UpendoKassoko ปีที่แล้ว

    Mhhhhhh!!

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana kwenye hii interview yani mme wangu hua ajiongezi kwanza anaogopa moto, na vitu vikali kama kisu 😂😂😂😂 yani wanavisa

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mtanzania lakini kama naongea na mtu asinitazame usoni naona:
    1. Kama dharau au
    2. Anaficha jambo.
    Ila naona desturi na tamaduni za kitanzania wanafundisha watu eti akiongea na mtu mzima uangalie chini kwa maana eti ukimuangalia face to face unaonekana huna haya au chakaramu. Huwa sielewi hapo.

  • @mwajutailor820
    @mwajutailor820 8 หลายเดือนก่อน

    Unaweza ukalipia tinder m pesa

  • @oliverlucas7885
    @oliverlucas7885 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa mwisho tuna bidii ya kazi bhana na sio wavivu labda wewe tu

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +1

    hahahahahahahaaah jamaani mnafurahisha saana MUNGU awabariki.

  • @furahaVlog
    @furahaVlog ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @aikandosa
    @aikandosa ปีที่แล้ว +1

    Wazungu wote Baba Yao mmoja 🤣🤣🤣

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @habibajumahabiba6730
    @habibajumahabiba6730 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤