AIC TABORA CHOIR- HAZINA Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
  • Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;
    bali jiwekeeni hazina mbunguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala kuiba;
    kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.
    Mathayo 6:19-21
    Ni muhimu sana kuweka hazina na sehemu salama ya kuweka hazina zetu ni Mbinguni, kwa utumishi wetu kwa njia ya matoleo twajiwekea hazina.
    Song written by: Joshua Mlolanzila
    Song lead by: Magdalena Francis and Neema Mbaga
    Music arrangements: Emmanuel Magille
    Credits:
    Video, Directed and edited by Steve Champ
    Audio, Captured, mixed and mastered by James Masanyiwa
    #aictaborachoirhazina
    2023
    Connect with us via:
    Instagram: AIC Tabora choir
    Facebook: AIC Tabora choir
    Email: aictaborachoir@gmail.com
    ‪@NeemaGospelChoir‬ ‪@DrIpyana‬ ‪@Tesla-New-24‬ ‪@AICTChangombeChoir_‬ ‪@paulclement_‬ ‪@rosemuhandoofficial5676‬ ‪@essenceofworshipministries‬ ‪@rehemasimfukwe‬

ความคิดเห็น • 17