MUNGU ni mmoja kweli katika ibada hatuabudu MUNGU mmoja MUNGU wa waislam hajazaliwa Wala haja wahi kufa Wala hajawahi kusulubiwa na Wala hajawahi kumtoa mtu mwengine ili afe kwa ajili ya dhambi nyengine Wala hana MWANA .
Huyu akirudiana na kajala tu anapotea . ALLAH anasema anaechagua kupotea mwenyezi MUNGU ana muekea Giza machoni na akimpangia mtu kupotea hakuna atakae weza kumuongoza .tuseme innalillah wayna ilayh rajiun. Huu ni msiba mzito kwake 💔
tumia akili wewe mungu wa wakristo sio mungu wa waislam waislam wanaamini ya mungu mmoja wakristo wanaamini mungu yesu alietokana na neno la mungu angalia akili zenu wa kristo mnachanganikiwaga katika kumtaja mungu
Allah tusamehe sisi waja wako na utuongoze katika njia sahihi, huyu jamaa Allah amuongoze ila naona dalili za kurtadi, Yaaraaby tuokoe na adhabu zko.. aaaamin
Usihukumu,usije ukahukumiwa, Mungu ndie anajua ni nani anamwabudu kwa roho na kweli, siyo muislam au mkristo wote ni wa Mungu,kikubwa ni kujua nini unafanya kwenye hii dunia juu ya Mungu wako unaemwamini, Hamonize nae kachagua kitu anachokiona kwake ni sahihi kumtumikia Mungu
From Kenya, Mungu ndiye anahukumu ....usimnyoshee kidole kwa ubaya ,jiangalie njia zako je,zampendeza Mungu? Sina haja na like zenu lakini mkumbuke siku yaja na kila mtu atasomewa kurasa za matendo yake 🙏 Mungu atupe mwisho mwema sote.
unaemuamini kuwa ni mungu,kazaliwa na maryamu.... MUNGU wa ukweli hakuzaa wala hakuzaliwa...mungu wako unaemuabudu ni yesu,na mimi yesu sio mungu wangu...
@@rommyshabby3959 wakristo huwa hatuangalii dini tunawaombea wote hata kama uwe mpagani na hatulazimish mtu kuwa mkristo ila ukiamini kuwa yesu kristo ni bwana na mwokoz na aaminiye na kubatizwa basi ataokoka
Hakika ikiwa njia ni moja sote tunaenda ninyi mnao laumu na kusema Allah , sijui katika uislam nyie ndio mmepungukiwa na mungu awasamehe tuu kila mmoja na achague njia yake tunaenda sehemu moja. HARMONISE Mungu na akupe hitaji la moyo wako
Popote mungu yupo chakusingatia niimani tu dini pembe kumtafuta mungu kwaimani. Yaweseka. Moyo wake ndiyoulifyo mwitikia. Ndiyo njiasahihi. Usimhukumu yeye sirianayo mungu peke ilichopo niimani yake kutoka moyoni mwake ,ameni
Harmo is super intellect when it comes to sight location for his coming new song, don't say you don't see the location in search for and there he captured it and...wow snap!
Katika kama huna mipaka na misimamo katika dini yako hususan ukiwa muislam basi ata kupididiwa kwako itakuwa rahisi Sana..huna akili wewe rajabu ..rajabu Gani inaonyesha mfano mmbaya wakati wewe nikioo Cha jamii...kama muislam unawapotosha watu na hususan wewe nikioo Kwa jamii..ila sio mbaya mungu ametudhihirishia Kwa unafki wako
Wanapiga kelele mana wanajua Yesu ndiye mfalme 😂😂sasa kama dini Yao inaruhusu hizo nyimbo anaimba ,Sisi tutamuelekeza njia za mungu na atahubiri injili kwamba yupo Mungu mbinguni
Kakukwaza nn dini hizi zimeletwa Mungu hana din litambue hilo mm ni Mkristo lakin huwa nasikiliza mawaidha ya Waislamu ili nimjue Mungu zaid na niko tayari kwenda msikitin so lijue hilo
Efeso 6:12 hamuwezi kutambua maana kizazi hiki nicha mwilini na vita niya rohoni. Kuna wakuu wa Giza ambao hamuwatambuii wanao uwezo kusoma na kutaja jina la Yesu. Hii isiwatishe kwamba injili imesonga kama anajikubali aingie kwenye Madhabau ya Moses Magembe kama hajarushwa na mapepoo wakuu wagiza wanapima kwanza nguvu ya kanisaa
Safi sis wote tuwana wa mungu kwa nn tupiganie fito kujenga nyumba ya mungu mmoja ebu dini zetu ambazo ni fito zinazo jenga ufalme wa mungu zisitufanye tukabaguana❤
Sote siyo wana wa Mungu kasome upya biblia. Ili ufanyike mwana wa Mungu lazima umwamini Yesu kwamba ni Mungu.Unaposema sote wana wa Mungu ni kujidanganya.
Kudadadeki This is Too bad for the game. hili ni kosa lakimkakati Ujue waezajiita muislamu nawewe ukiamini kuwa ni muislam kumbe uislam wako tayari usha vuliwa na Mwenyezi mungu sikumingisaana
Kipofu ni kipofu na mwenye kuona mwangaza ni yule mwenye macho hvyo ndio inaitwa mtoto akuzwe kweye mienendo ya kidini, huu n msiba uwezi kumuona Muslim kamili kavaa misalaba wala kutoboa mapua Allah awaongoze
Kuna sehemu nyingi unaweza kuenda kama Mskitin, lakini umeamua kwenda kanisani..... kivipi maisha yakupanikishe wewe au labda ujio wa Kajala ana lazima akuvute mateka! tafakari jielewe
Ukristo ni maisha. Hatuwi wakristo kwa kubadili jina ama kwenda kanisani pekee. Bahati mbaya tuna watumishi wafanyabiashara ambao hawawezi kufafanua ukristo halisi maana yake. Ukristo lazima mtu atubu dhambi zake na kuziacha. Aachane na mambo yanayomnufaisha yaliyo kinyume na Biblia. Mziki wa kidunia na uvaaji wa hereni nk. kama akifanya hivyo tuataamini kuwa kaamua kumfuata Yesu vinginevyo ni drama tu.
Ndiomamnambiwa makanisa mengi sasa hivi yamekua nibiashara , hivi hizi kiki zakijinga anaweza kwenda kuzifanya msikitini , ndomana wazungu wanaivuruga dunia nzima kwatama zakijinga 😢
Tatizo nyie mna muabudu yesu na mwenyezi MUNGU ametukataza kuabudu kiumbe alichokiumba Bali tumuabudu yeye tu na ameahidi kumtia motoni mwenye kudumu kwenye hiyo ibada
Kwani tunashangaa sisi sunajuwa kila mtu anamfata wanao endana hata huyo diamond bado anazuga zuga tu hata yeye atakwenda ishara zakuvaa misalaba ni ishara gani kanisani ndipo wanatia misalaba na yeye anamaanisha kwamba yupo kanisani hata kama hayupo ndani ya jengo lakini msalaba unamtambulisha.NB: dawa alilopewa diamond ndilo hilo hilo kapewa harmonize nibasi tu hamujaribu kufatilia vitu na matukio diamond na harmonize nikitu kimoja
@@vincentcharles4385 kanisani ndio kuna majini na ndio maana wachungaji wamekuwa kama waganga wanaombea majini kila siku mbwa nyie kila kukicha makanisa yanafunguliwa ya nguvu za giza msikitin uliwahi kuskia we matako
@@Davio123kwani kuna Ajabu jini ni kiumbe kama viumbe vyengine ishu ni nani anae abudiwa sikiliza biblia yak inavo sema kanisa ni sehemu ya mashetani waumini wamekalia ktk kiti chake cha enzi wakiristo wanaongozwa na Majini ulisha wahi kumuona jini msikitini halafu Yesu kakwambia msujudie bwana Mungu wako umuabudu yeye pekee weye unafanya hivo? Sisi waislam shetan ni adui mkubwa kwetu na pia Qur'aan inatutaka kumuabudu Mungu pekee bila ya kumshirikisha na chochote
Hermonize kama Ruto. He forces very hard to be there. He is lost na ajijui. Kuna njia zilizowekwa kuomba(Islam). Sasa ukiombewa kupitia njia nyengine sio uislam. Nafkiri anhitaji kusoma. Soo sad kuona makanisa yanahusika na ujinga kwa ajili ya cheo cha mtu ama utajiri.
Amonaize Mungu akubariki u are so gentleman Yesu achagui watu wanaonekana wanafaa wewe unafaa kwa Yesu
Mungu ni mmoja mwenyezi Mungu akupe hitaj la moyo wako
😊.....co kweli...na km ni kweli bc kusingekua na mamilion ya dini
MUNGU ni mmoja kweli katika ibada hatuabudu MUNGU mmoja MUNGU wa waislam hajazaliwa Wala haja wahi kufa Wala hajawahi kusulubiwa na Wala hajawahi kumtoa mtu mwengine ili afe kwa ajili ya dhambi nyengine Wala hana MWANA .
Huyu akirudiana na kajala tu anapotea . ALLAH anasema anaechagua kupotea mwenyezi MUNGU ana muekea Giza machoni na akimpangia mtu kupotea hakuna atakae weza kumuongoza .tuseme innalillah wayna ilayh rajiun. Huu ni msiba mzito kwake 💔
@@Bahati47Allah Ndio nani?
tumia akili wewe mungu wa wakristo sio mungu wa waislam waislam wanaamini ya mungu mmoja wakristo wanaamini mungu yesu alietokana na neno la mungu angalia akili zenu wa kristo mnachanganikiwaga katika kumtaja mungu
Karibu kwa Yesu Harmo. Kwa yesu kunaraha na amani ya moyo ❤
Allah tusamehe sisi waja wako na utuongoze katika njia sahihi, huyu jamaa Allah amuongoze ila naona dalili za kurtadi, Yaaraaby tuokoe na adhabu zko.. aaaamin
Waona dalili ama asharitadi
Amiin
Umejawa naudini .sana ww unauwakikagani kama uisilamunidini yamungu
Alaaa ndo nan
Anamfukuzia mke wa huyo paster
Paster awe makini
Mungu akubariki harmonize ishi maisha yako usiwasikize watu tunakupenda sana🎉🎉🎉
Kwahio na wewe unaweza kuombea msikitini na wazaziwako wakaridhia siujinga uyo akili kama pumbu 😂😂😂
Usihukumu,usije ukahukumiwa, Mungu ndie anajua ni nani anamwabudu kwa roho na kweli, siyo muislam au mkristo wote ni wa Mungu,kikubwa ni kujua nini unafanya kwenye hii dunia juu ya Mungu wako unaemwamini, Hamonize nae kachagua kitu anachokiona kwake ni sahihi kumtumikia Mungu
Kwel kabisa
Jicho la Mungu linatuona popote tulipo,Ameeen❤❤❤❤
From Kenya, Mungu ndiye anahukumu ....usimnyoshee kidole kwa ubaya ,jiangalie njia zako je,zampendeza Mungu? Sina haja na like zenu lakini mkumbuke siku yaja na kila mtu atasomewa kurasa za matendo yake 🙏 Mungu atupe mwisho mwema sote.
He is a shy guy. speach yake is awesome. This guy know how to talk and behave mbele za watu during occasions. 😂😂😂
Kaingia kanisani na heleni haf mnamsapoti 😂😂😂😂
@@fasterwalker1464uzuri mungu haangalii hereni upo...
Mungu akurehemu Brother 🤲🤍🕊️
Mungu asifiwe sio yesu asifiwe kwasababu ata yesu anamtengemea mungu pia
Exactly
Unahisi unajua kitu??
@@OmariNjia-i8q exactly wapi wewe msijidai mnajua ukristo kuliko sisi 😂
Subhana ALLAH
Huu ni msiba mzito wallai tena
@jumakassim8718 mpaka cku hiyo youm hisab ndo tutajua
kila jicho litamwona na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni bwana🙏🙏🙏🙏🙏
Nawakubari wasanii ambao wanaUtambua Uwepo wa MUNGU,kama una kubariana namm gonga like za kutoshaa..❤
Subhanallah 😢 hiki ni kilio kikubwa Pole sana mwana mpotevu
@@kingnass6410 ww ndiyo umepotea kilio kikubwa unan'gan'gana na dini imani yote unapeleka kwa waganga.
Pole sana
@IBRAHIMU-z2u Pole sana mongu wakweli ni mmoja tu Allah pekee, je unaweza kunuambia anaabudu mungu yupi hapo?
@@kingnass6410Allah sio mungu kichwa ww kasome uislamu vzr😂😂
Haha bado hujasema na utasema mpaka usemee 😂😂
@@kingnass6410 waarabu wanasema Allah kwa kiswahili ni Mungu ss ww sijui umeandika utumbo gani
Wacheni ujinga mungu ni mmoja uwe Muslim uwe chiristin wote mtazikwa CV hini hakuna anaezikwa chini
unaemuamini kuwa ni mungu,kazaliwa na maryamu.... MUNGU wa ukweli hakuzaa wala hakuzaliwa...mungu wako unaemuabudu ni yesu,na mimi yesu sio mungu wangu...
@mampumbavu mmkubwa we we wa taifa hmoodmohammed1679
Ok mungu ni mmoja kwanini mnasema yesu ni mungu
ukweli ni MUNGU1 ila ukiwa unamchambua utaona wengine wanaamini mtoto wa Mungu kawaokoana wengine wanaamini hakuzaa wala hakuzaliwa
Harmonize Mzee Popo aombe radhi Watanzania kuroga nyimbo na shows za Diamond na Wasanii wake... Harmonize ni laana kwenye Taifa yetu 💯😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Subhanallah we nani wakumpa lana mwenzako
Nivzur maan mambo anafanya hafanani kuwa mwisilam
Lakini ndio muislam sasa huwezi badirisha ukweli
Amesharitad sio muislam tena so tusilazimishe awe muislam
@@rommyshabby3959 wakristo huwa hatuangalii dini tunawaombea wote hata kama uwe mpagani na hatulazimish mtu kuwa mkristo ila ukiamini kuwa yesu kristo ni bwana na mwokoz na aaminiye na kubatizwa basi ataokoka
cc wakristo tuna dili na kondoo walipotea tuna wasafisha nakua safi kwaajir yaufalme wamungu🙏🙏
@@rommyshabby3959wewe ni kondoo uliyepotea siku ukijielewa utarudi kwa Yesu
Hata Nabii Mkuu alisha mtabilia bila hata Harmonize kuwepo.Kwa hiyo we never know.Mungu haongei hivo hivo tuu bila ya kukusudia.🙏
Inna lillah wa innalillah rajun 😭😭😭Allah anakuona H 😭😭
Ni Kosa Kubwa Sn Kwa Muslim Kufanya Kosa K2 Unachokijua Unampigia magoti Yesu Dah 😢😢
@@Uchukhan_ ebo acheni ujinga nanyie
majito majinga utayaona yanacomment utumbo
@@Uchukhan_bora upige kwa Yesu kuliko kwa shetani
Jaman guys Mungu ni Moja tu ,, tuelewe ilo
Mungu akubariki Harmonize acha wakubeze tu...hakuna kitu kama hcho kwamba utakufa kafiri never
Hongera sana kakaake🙏
Hakika ikiwa njia ni moja sote tunaenda ninyi mnao laumu na kusema Allah , sijui katika uislam nyie ndio mmepungukiwa na mungu awasamehe tuu kila mmoja na achague njia yake tunaenda sehemu moja. HARMONISE Mungu na akupe hitaji la moyo wako
Mungu ni mwema ❤❤❤amupe kbs
Popote mungu yupo chakusingatia niimani tu dini pembe kumtafuta mungu kwaimani. Yaweseka. Moyo wake ndiyoulifyo mwitikia. Ndiyo njiasahihi. Usimhukumu yeye sirianayo mungu peke ilichopo niimani yake kutoka moyoni mwake ,ameni
Inna lillah wainailah rajuin yani uyu nimtihani
Yesu kristo anakupenda❤❤❤
😭😭😭 innalillah wa Innalillah rajiun 😭 😭
Kweli msiba huuu
Njoo n kuoe iliiwe msiba zaid
Kufa na majini yako
😂😂😂pumzika Kwa Amani
Acha ushambaaa
Innalillahi wa Innaillaihi Rajiun
HUKU KWETU #KITIMOTO NI TSHS 7000 KWA KILO KARIBU SANA 🐖🐖🐖🐖
@@kakore_jr una dhambi wewe😂😂😂😂😂😂
Yesu kristo anakupenda❤
@@kakore_jr😂😂😂😂
Wa tazania munaza kusheza n'a mungu mukonafanya mambo isiho wezekana unamupandicha mtu mazabahoni wakati wasio kutubu mungu achezewi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Posh Queen anamchanganya sana
😂
BANGE ni fireee, mtoto wa sheikh 😂😢
Kabisa 💯🙌 akisema inatosha basi🙏🙏🙏
Harmo is super intellect when it comes to sight location for his coming new song, don't say you don't see the location in search for and there he captured it and...wow snap!
Yesu atarudi akute watu tunatanga tanga 😢maan tunashindwa kuwa njia moja 🙌🙌
Kwani yesu ninani
Inna lillahi wainna illahi rajiun. Murtad kichwa chake halal🗡.
Yesu kristo anakupenda ❤
Harmonize ni Smart sana 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Mungu kamchagua ❤
Am proud to be.......... mnateseka mkiwa wapi 😂
bora arudie mungu maana ya dunia hiii
Katika kama huna mipaka na misimamo katika dini yako hususan ukiwa muislam basi ata kupididiwa kwako itakuwa rahisi Sana..huna akili wewe rajabu ..rajabu Gani inaonyesha mfano mmbaya wakati wewe nikioo Cha jamii...kama muislam unawapotosha watu na hususan wewe nikioo Kwa jamii..ila sio mbaya mungu ametudhihirishia Kwa unafki wako
Kiĵana anahangaika huyu kaanza mungu mwanamke akaamia kwa wanawake katoka kwenye matako saivi kaamia kwa makanisa
Akili kubwa saana harmoniz
Innalillahi wainnallah I rajiun
Maana yake nini?
Shida ya wakristo wamesha changanyikiwa wanafungua makanisa kama sehem ya biashara nguvu za giza zimejaa hata huyo bwege kaenda kufata nguvu za giza
Ninacho wapendea wa Islam matusi kwenu nikama chakula😂😂😂😂😮
Unateseka ukiwa wapj kijana😂 kuhukumu tu ndo unachoweza
Ubarikiwe sana bro..... Karibu sana Yesu ni mwokozi wa maisha yako.....
Wakristo wakiwa waislamu hamkwaziki ila waislamu wakija Kwa wakristo mnakasirika .hebu tuachane tutambe na Yesu 😂
Wanapiga kelele mana wanajua Yesu ndiye mfalme 😂😂sasa kama dini Yao inaruhusu hizo nyimbo anaimba ,Sisi tutamuelekeza njia za mungu na atahubiri injili kwamba yupo Mungu mbinguni
Mapenzi yananguvu,hongera Kajala
Mungu akusaidye
hivi karibuni ataanza kusema Mungu amemuonekania..mara ameongea na Mungu..maana huku kwa Uislamu hatuna hizo ujinga
Kabisa!
Hamna Mungu wa kweli, hamna Roho wa Mungu, hivyo vitu mtavisikia tu kwetu tuliompa Yesu maisha na roho zetu 😊
Allah alishakufa
sio kwamba hamna uo ujinga hamna access ya kuzungumza na Mungu kwa namna yyte ile.
Ukiingia kaburin ndo utajua ujui@@GoodDeeds-Jesus
Ukifa ghafla wazazi wako wasumbue watu mkwenda kukuzika nahuku umeshatangazia ulimwengu kwenye makanisa wakuombee , wazazi wanavilio vikubwa kwavijana wao ,inalillah wainalillah rajiun dunia imefika mwisho 😭😭😭
Always god is good
Mm binafc amenikwaza innalillah wainnalillah raajion 😭😭😭daah eee mungu wewe🙏
Kakukwaza nn dini hizi zimeletwa Mungu hana din litambue hilo mm ni Mkristo lakin huwa nasikiliza mawaidha ya Waislamu ili nimjue Mungu zaid na niko tayari kwenda msikitin so lijue hilo
Natumai siku nyingne hato vaa hereni kanisani...amen
Efeso 6:12 hamuwezi kutambua maana kizazi hiki nicha mwilini na vita niya rohoni. Kuna wakuu wa Giza ambao hamuwatambuii wanao uwezo kusoma na kutaja jina la Yesu. Hii isiwatishe kwamba injili imesonga kama anajikubali aingie kwenye Madhabau ya Moses Magembe kama hajarushwa na mapepoo wakuu wagiza wanapima kwanza nguvu ya kanisaa
Dah jamaa kapotea sana yupo tayar kubadili dini kwa matako tu 😢😢😢
😂😂😂😂 mtihani mkubwa.
😂😂😂😂😂jmn kakwambia?
Ame pewa hela kwajili yakuku mkufulu mungu huyo mungu amlaani leo unashindwa kwende mskitini unaenda kumuabudu bwana wako yesu ume shapotea ndugu laana zadiamond Zina fanya kaz😢
Safi sis wote tuwana wa mungu kwa nn tupiganie fito kujenga nyumba ya mungu mmoja ebu dini zetu ambazo ni fito zinazo jenga ufalme wa mungu zisitufanye tukabaguana❤
Sote siyo wana wa Mungu kasome upya biblia. Ili ufanyike mwana wa Mungu lazima umwamini Yesu kwamba ni Mungu.Unaposema sote wana wa Mungu ni kujidanganya.
Tusema SubhanaAllah unatanga tanga sana we Rajabu kama unataka kutrend umefel 😢😢😢😢😢😢
Unateseka ukiwa wapi😂
@ErickCantona-k1c machon kwako🤫😏
Kwann coment za ubaguzi kwani hapo kaenda kusali
Sijamuelewa pale eti yeye ni shabiki mkubwa wa mungu mh kwa mungu hakuna shabiki mkubwa wote ni wake na mungu ni mmoja
MUNGU ✅
Mungu✅
Yesu ✅
YESU✅
BWANA✅
Bwana✅
mungu ❌
yesu❌
bwana ❌
Hizi zinazoandikwa kwa herufi ndogo zote zinamaanisha miungu ya dunia hii
@@kisakim5660Na wewe kwenye post yako umeandika Mungu kwa herufi gani?
Duh..njaa hizi
Kudadadeki This is Too bad for the game. hili ni kosa lakimkakati Ujue waezajiita muislamu nawewe ukiamini kuwa ni muislam kumbe uislam wako tayari usha vuliwa na Mwenyezi mungu sikumingisaana
Kipofu ni kipofu na mwenye kuona mwangaza ni yule mwenye macho hvyo ndio inaitwa mtoto akuzwe kweye mienendo ya kidini, huu n msiba uwezi kumuona Muslim kamili kavaa misalaba wala kutoboa mapua Allah awaongoze
innalillahi waiinna ilaihi rajiun
KATIKA IMANI WANAUMIA SANA 🤣🤣🤣
😂
Kuna sehemu nyingi unaweza kuenda kama Mskitin, lakini umeamua kwenda kanisani..... kivipi maisha yakupanikishe wewe au labda ujio wa Kajala ana lazima akuvute mateka! tafakari jielewe
Amo good choice 🎉🎉🎉🎉🎉
Ushakuwa ueleweki kijana unataka promo ...komasavaa namba 1 huko duniani
Ashaanza kuchanganyikiwa kijana mungu amsaidie
How?
Wa kwanza Naomba like zanguuu😂😂😂
Nice🔥🔥👌
Ukristo ni maisha. Hatuwi wakristo kwa kubadili jina ama kwenda kanisani pekee. Bahati mbaya tuna watumishi wafanyabiashara ambao hawawezi kufafanua ukristo halisi maana yake. Ukristo lazima mtu atubu dhambi zake na kuziacha. Aachane na mambo yanayomnufaisha yaliyo kinyume na Biblia. Mziki wa kidunia na uvaaji wa hereni nk. kama akifanya hivyo tuataamini kuwa kaamua kumfuata Yesu vinginevyo ni drama tu.
Ndugu mwanadamu hambdilishi mtu, ila yesu ndiye anabadilisha watu,
UYO KISHA KUFURU. MISIFA YAKIJINGA ITAMPELEKA MOTONI💥💥
Yuko sahihi maana vitendo vyake sio vya kiislam hvyo ni vyema tu akaungana na makafir wenzie mambo yaende sawa
Wewe hujui Chochote bora usihukumu
Huyu ni dramatic kwa kweli . Huyu ni show off .duh INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUN
Mixer heleni kanisani 😂😂😂
Wahuni wamekutana😂😂😂maana ata uyu past asomeki kabisa
Akitoka apo bomboclaa🤣
Ndiomamnambiwa makanisa mengi sasa hivi yamekua nibiashara , hivi hizi kiki zakijinga anaweza kwenda kuzifanya msikitini , ndomana wazungu wanaivuruga dunia nzima kwatama zakijinga 😢
Haaa nimtihan mkubwa sana
WACHA KUJIPENDEKEZA, unajitengenezea kwa wakristo na unajiharibia kwa waislamu, Akili ndogo
Tony Kapola amemlipa huyu ili afike hapo..Mambo ya branding hamuwezi kuelewa
😂😂 Acha fikra potofu... Sasa pastor Tony anahitaji kujibrand ili iweje
Amina kubwa
Love hamo tz god will do it son of god
Wangekua waislam wangesema kasirim
Sasa pastor mungu anamjua harmonize kweli 😂😂😂😂
Pole weee
God knows everyone in the world 🌍
Sio dhambi kwasababu wote tuna muabudu mungu nduguzetu emu msicomenti kama vile huku nikwa shetani
Tatizo nyie mna muabudu yesu na mwenyezi MUNGU ametukataza kuabudu kiumbe alichokiumba Bali tumuabudu yeye tu na ameahidi kumtia motoni mwenye kudumu kwenye hiyo ibada
@@Bahati47na tatizo nyie ni Wapinga Kristo
Kwani tunashangaa sisi sunajuwa kila mtu anamfata wanao endana hata huyo diamond bado anazuga zuga tu hata yeye atakwenda ishara zakuvaa misalaba ni ishara gani kanisani ndipo wanatia misalaba na yeye anamaanisha kwamba yupo kanisani hata kama hayupo ndani ya jengo lakini msalaba unamtambulisha.NB: dawa alilopewa diamond ndilo hilo hilo kapewa harmonize nibasi tu hamujaribu kufatilia vitu na matukio diamond na harmonize nikitu kimoja
Kesho utaskia machine is machine 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sishangai kama alishasema Mungu ni Mwanamke 😂
Kwani Allah ni mwanaume?
@vincentcharles4385 Ni mwanamke 🤣🤣
@@vincentcharles4385ALLAH hafanani na chochote
Jeshiiiiiiii
Vijana tumkumbuke MUNGU siku za ujana wetu kabla hazijaja zile siku mbaya
Huyu na Niffer sijui wanashida gani 😢
Kila ulimi utakiri kwamba Yesu nibwana 😂
Amen
Karibu kitimoto ni tamu kinoma
Tangu alipoanza kuomba uyo pastor alibaki anasema Yesu tu hakuahi kusema Yesu Christ uyo pastor anaweza kua na anamtumikia Yesu ila sio Yesu Christ
Titizo wakristo hawamtumikii mungu na kumuabudu wao wanamuabudu yesu wameamua cha mungu pembeni😂😂
MUNGU WETU SOTE👏🎉
Yupi uyo katika jina la yesu au uyo wako peke yako
Huenda plan B akajafungua kanisa kama masanja na alivyokua na watu atatengeneza pesa nyingi kuliko kwenye mziki maisha ni plan
Huyu harmonize anamatatizo ya akili maana haiwezekani muislamu akaacha msikiti na kwenda kanisani
Anaogopa majini yanamuendesha,
Watu wanatafuta amani na tulizo wa moyo sio ushabiki wa kidini usio na maana
@@vincentcharles4385 kanisani ndio kuna majini na ndio maana wachungaji wamekuwa kama waganga wanaombea majini kila siku mbwa nyie kila kukicha makanisa yanafunguliwa ya nguvu za giza msikitin uliwahi kuskia we matako
@@Hasnamkamekasome dini vzr kwnye kitabu chenu kuna Sura ya majini😂😂
@@Davio123kwani kuna Ajabu jini ni kiumbe kama viumbe vyengine ishu ni nani anae abudiwa sikiliza biblia yak inavo sema kanisa ni sehemu ya mashetani waumini wamekalia ktk kiti chake cha enzi wakiristo wanaongozwa na Majini ulisha wahi kumuona jini msikitini halafu Yesu kakwambia msujudie bwana Mungu wako umuabudu yeye pekee weye unafanya hivo? Sisi waislam shetan ni adui mkubwa kwetu na pia Qur'aan inatutaka kumuabudu Mungu pekee bila ya kumshirikisha na chochote
Hermonize kama Ruto.
He forces very hard to be there. He is lost na ajijui.
Kuna njia zilizowekwa kuomba(Islam). Sasa ukiombewa kupitia njia nyengine sio uislam.
Nafkiri anhitaji kusoma.
Soo sad kuona makanisa yanahusika na ujinga kwa ajili ya cheo cha mtu ama utajiri.