Diamond and Zuchu, what a good couple!!!!!! , mmoja akimwacha mwenzie atakuwa hajitambui, wenzetu manusiano Yao ila wanatengeneza pesa, tunapowafatilia wanaingiza pesa, wakitumbuiza ndo usiseme, nawashauri wasiachane
Hata sisi wazazi tusinge vumiliana tusinge wazaa nyie, moaka mkafika hapo mlipofika,tatizo jamii ya sasa hivi inamaindi MASILAHI hakina mahaba ya dhati,ZUCHU ana MAHABA ya KWELI wanapendana ❤❤❤❤❤
Mange sura mbaya Waongea nini kwa Zuchu wewe animal ya mwitu Kwenda uko Jaribu ukulevupate mwili Usha zeeka Wacha Zuchu atambe Wivu itakumaliza wewe Zuchu all the way Beautifull
Mapenzi ya dhati kwa mwanaume ambae hayoni hayo mapenzi yako wala kuyadhamini huu ni mpumbqvu mwisho wa siku akuletee magonjwa na muda unaenda akumbukr umri auludi nyuma hana ata mtt miaka 32 na bwana ndio ata habari ya kuwaz ndoa amna
You know you zuchu’s fans I have come to a conclusion that you hate your fav artist it’s clear that this whole relashionship thing is actually making zuchu kuanguka numbers wise zamani alikuwa akitowa akitowa nyimbo in just 3 weeks ilikuwa imeshapata hata 1 million but now hata pwita millioni 3 haina Nimechoka hata 888,888 haina na anten najuwa itaboma sasa ona ameshindwa ata kutowa album . Yani yeye kikibwa awe Mrs platinums and it’s not even worth it mwanaume akikufanya ivi uko GF ukiwa Mke je ? Cz marriage is actually really hard .
Sio wanawake wote wanaopenda kutembea na huyu kesho huyu ukimpata mjinga wako anangalia mazuri yake tu hayo mabaya unamwachia mwenyewe utadumu nae zuuu anamsimamo wake aliojiwekea
Shamsia umenikosha shots wale Ambayo wakipigwa matukio wanaondoka walikuja kimaslahi zaidi,zuchu hakuna kimaslahi anamalengo yake,kajiwekea wewe mange piga papa usubiri kiuletwa ndani ya utajaza mwenyewe,
Sasa wewe na Zuchu nani Mrembo Sura baya kama kwato za Ng'ombe iyo saut cipat picha ukivua ilo wigi unavo tisha Kahaba wewe focus na maisha yako achanana Zuchu .
Zuchu anahaki ya kuforce maana anadate Star ⭐ mkubwa na mbaya zaidi toka Zuchu Kawa Star ⭐ mahusiano yake ya Kwanza ni Diamond so amuache tuuu aonekane katumika Bora angekua amedate mtu mwingine kabla ya Diamond kwa ushauri Zuchu endelea kuwa King'ang'a Mama siku mkiachana na lebal unahama 😂❤
Mahusiano ya kimapenzi Yana hitaji uvumilivu. Zuchu ni mwanamke pekee star mwenye uvumilivu wakipekee katika mahusiano yake. Apewe maua yake na sio kumtukana na kumkejeli
@@AishaNgoyi-vi2ku asipo muowa .kwa yako ww iliyokuwa refu km uzi hizo akili unazani siku zote atakuwa wa kuachwa na kurejewa aahh mbona itafika sk jina la king’a ng’a mutaliondosha mutampya jipya
Kwan akiachika wew utafaidika nin malaya mapamba na wew na mzungu wko hayakuhusu acha mambo yawatu fanya maisha yko wew dad vp unasema zuchu mbaya wee una uzur ulivyo kama mti wa muashoki acha kujiona spesho unavyo jifnya kama uwendi chooni au ufi muacha zuchu bhna wee
Kwa kweli mutu mwenyi akipi.timamu.awezi acha kuowa zuchu zuchu ana tupita ata sisi mwenyi kuwa ndani.ya ndowa kuuvumilivu uyo nimke wakuowa jouna ona simba ana shindwa kumu wacha ❤❤❤I
Mtihani huyu mange why anapata tabu sana kuhusu maisha ya zuchu?? Na hajielewi mana diamond anampenda zuchu mara zuchu anamforce diamond naona anachanganyikiwa dada wa watu...sasa anamforce vip na ushasema anampenda?? 😂😂😂hehehe dada mnoko huyu??
Wanawake wengi hudhani kumwambia Boyfriend wake kuhusu kumuoa ni KULAZIMISHA.. Nope. Ni kuijua THAMANI yako na kupima nafasi yako kwa mtu uliyenae. That's it.
Mwanaume asipokupenda utakuacha tu, wangapi wanaachwa na wana watoto. Wanapendana. Mama mkwe akimchukia mwanaume ampende inatosha kwani mama anaingia chumbani? Wanalala nae kitanda kimoja? Zuchu kaa hapo mambo ya kuvuliwa vuliwa chupi mjini na kila mtu sio mambo yako. Unajua unataka nini utaondoka ukichoka.
Mange nilikuwa na mastress lakini umefanya nicheke sanaa tunakuombea ili uzidi kutupa updates za Zuchu kutunukiwa PhD ya king’ang’a…. Tatizo Diamond na zuchu wanachanganya biashara na mapenzi is very un professional.
Atakuja umia tu huwezi kulazimisha kuolewa huo ni uchawi mwisho ni kuumia na kinachoangaliwa hapo ni kazi yake ya mziki ndio inaheshimiwa hakuna jengine kwanza ni aibu kwa mtoto wa kiislam kulazimisha ndoa utaolewa na utaachwa
@zariadunia6328 🤣🤣🤣🤣🤣 NIMECHEKA WAPO WATAKAO ACHWA LAKINI MI NIKIAMUA KUTOKA BASI NISHAUAGA UMASKINI 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 UPOOO SHOST Yani apige matukio akirudi mgari ngaaa, namwambia na leo nenda tena 🤣🤣🤣
MANGE FOREVER🎉 hapo kwakusema wazanzibari hawaachik niuongo tena haondo mahodari hawana uvumilivu kuwaza kuachika kwao nikamakunywa maji ila zuu yeye nianamoyo wauvumiliv2 🎉🎉🎉🎉 alvoumbwa
Mmmh hata kama mtampa moyo, lakini madharau yamezidi,ningekua mm zuchu nisinge poteza mda wangu zuchu bado ni mdogo,dai sio mwanaume sa hii kwake,i feel for her, zuchu angemwacha huyo dai,hakuna cha maana mtu mwenye haja muowa
Whats there to feel for her , She is making money on her hits daily. She has her Confirmation Diamond on her side 😂😂😂😂 Wewe jionee huruma maisha yako 😂😂🤣🤣
Mange she's Very right ,Zuchu ako desparate due anapigwa matukio with that family but she's still there for Diamond, lf Tanasha Zari and Hamisa waligive up Zuchu your not going anywhere.
Wewe mange, unasema zuchu kabaya papa yake unaijua? Mimi nakuona wewe ndiyo mzuka hupendezi hata uvae nini ,NIWIVU TU UNAKUSUMBUA wakuletee habari vizuri kutoka Tanzania
Zuchu lazima amvumilie domo sababu alijinasibu before kwamba yeye anang'ang'aniwa wengine hawajawahi kung'ang'aniwa so hata afanyiwe matukio vipi anaogopa na tunamsubiri tumpopoe mawe avumilie hivyo hivyo hadi apate kisukari kwa mawazo 😂😂😂😂😂
Eee! Aise nilikuwa sijui wapi nitapata Wanawake wa Kuona wavumilivu kwenye Dunia ya Leo, Kumbe hapo TU Zanzibar wapo, Tunashukuru Mange kwa kutujuza Wanaume wa Bara kuwa Zanzibar Kuna neeema hii ya Wanawake wanaoyajua Maisha😂😂😂😂😂
Zuchu hajiamini wala hajielewi maskini akili zake hazina akili anamuona Daimnd kama vile Mungu wake kumbe Daimond anapata fedha nyingi kutoka Zuchu kwa hiyo Daimond anamwabia mama , mama acha tutengeneze pesa kwanza mbona nikimtaka mwanamke yeyote natembea nae halafu ka Zuchu kakipandisha kanarudi kuomba msamaha kenyewe halafu tunatengenza pesa .Mama asilimia 60% sio mchezi
Diamond and Zuchu, what a good couple!!!!!! , mmoja akimwacha mwenzie atakuwa hajitambui, wenzetu manusiano Yao ila wanatengeneza pesa, tunapowafatilia wanaingiza pesa, wakitumbuiza ndo usiseme, nawashauri wasiachane
Eti kabaya hakuna mdada mzuri Kama zuhura wangu ♥️♥️♥️
Zuchu tulia ,Kwa daimond watasema mcha usiku wanalala ,usifanye umalaya ,kamwe.
@@TabuHome❤❤❤❤
❤❤❤
Nakapenda sana kazuchu❤❤
Bora mange kaongea 😅😅😂😂😂nimechekaaaaa sanaaa. Zuchu let's goooo mpaka ndoa ipatikane ata 2070 tupooooo
😂😂😂😂😂tutakuwa na wajukuu😂😂😂😂
Hakuna ndoa hapo!
Hata mim nmecheka sana mage anachekeza
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpka yamuuee😂
Hata sisi wazazi tusinge vumiliana tusinge wazaa nyie, moaka mkafika hapo mlipofika,tatizo jamii ya sasa hivi inamaindi MASILAHI hakina mahaba ya dhati,ZUCHU ana MAHABA ya KWELI wanapendana ❤❤❤❤❤
Mamangu enzi zake wallah kavumilia mengi nikiona na macho yangu.... I'm 33 now n mm ndo lastborn na tuko sita🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua kwa mama zetuuuuuu
Hakuna mapenzi pale uongo mtupu
Angekuwa anmpenda angefanya maamuzi
Unavumilia kwenye zinaa, Bora uvumilie kwenye ndoa
Exactly yeye Mange angezaliwa kama mama yake asingemvumilia baba yake malaya yule aliyekuwa na wanawake kila moj wa Tanzania 🇹🇿??
Mange sura mbaya
Waongea nini kwa Zuchu wewe animal ya mwitu
Kwenda uko
Jaribu ukulevupate mwili
Usha zeeka
Wacha Zuchu atambe
Wivu itakumaliza wewe
Zuchu all the way
Beautifull
Zuchu sio king'ang'a ni mvumilivu pia ana mapenzi ya dhati ❤
Sasa unavumilia zinaa bora uwe na ndoa
Angalau ingekua ndoa
Weeee subiri
Wala sio mapenzi ya kweri isipokuwa Kuna maslahi ambayo anayalenga kwenye akili yk .
Mapenzi ya dhati kwa mwanaume ambae hayoni hayo mapenzi yako wala kuyadhamini huu ni mpumbqvu mwisho wa siku akuletee magonjwa na muda unaenda akumbukr umri auludi nyuma hana ata mtt miaka 32 na bwana ndio ata habari ya kuwaz ndoa amna
Zuchu anataka ndoa kukomesha ma ex wa diamond, mama dangote, na machawa...kuwaaminisha kikowapi mmeshindwa nyie wazito mm nipo ndani😂😂😂
Tamanio lake lakin haiwezekan
Ila ifike mda unapofikia kumsema klmwenzako km ni mbaya..hakikisha ww ni mzuri...
Mana kiuhalisia Zuchu ni mzuri mno mara 100 zaidi ya Mange
Kwa uzuri Gani?
@sifatiiman ubaya wa zuchu ndio uzuri wa mange
Sasa wewe nyau achana na ZUCHU
Mupe zuchu amani bwana huyo Ndio mwanamke wa kujenga nyumba ni muvulivu sana ❤❤❤❤❤❤
Hakuna kitu ni kujidhalilisha tu
Zuchu ni mrembo sana ndio mondi hamwachi ❤❤ zuchu na mondi
ZUCHU SIYO KAMA WEWE MANGI KIMWAMBI.ZUCHU USIMUACHE DIAMOND PLATNUMZ KUWA STRONG.TWO. BEST COUPLE.
I use to love this couple but now I feel like zuchu should just get someone not diamond guys zuchu is good young beautiful successful
You know you zuchu’s fans I have come to a conclusion that you hate your fav artist it’s clear that this whole relashionship thing is actually making zuchu kuanguka numbers wise zamani alikuwa akitowa akitowa nyimbo in just 3 weeks ilikuwa imeshapata hata 1 million but now hata pwita millioni 3 haina Nimechoka hata 888,888 haina na anten najuwa itaboma sasa ona ameshindwa ata kutowa album . Yani yeye kikibwa awe Mrs platinums and it’s not even worth it mwanaume akikufanya ivi uko GF ukiwa Mke je ? Cz marriage is actually really hard .
❤❤Atoki Zuchu hapo huyo mmbaya iko siku Moja amta amiini atafunga ndoa na Mondi wanagombana ndiyo wanadumu Zuchu na Mondi watafunga ndoa nawaambia❤❤❤❤
Sio wanawake wote wanaopenda kutembea na huyu kesho huyu ukimpata mjinga wako anangalia mazuri yake tu hayo mabaya unamwachia mwenyewe utadumu nae zuuu anamsimamo wake aliojiwekea
Kwel kabsaa..zuchu ana msimamo
Kwa jinsi diamond na tabia zake we ungemvumilia?
Shamsia umenikosha shots wale Ambayo wakipigwa matukio wanaondoka walikuja kimaslahi zaidi,zuchu hakuna kimaslahi anamalengo yake,kajiwekea wewe mange piga papa usubiri kiuletwa ndani ya utajaza mwenyewe,
Hajapigwa tukio mwanamke wakuondoka hagagii Hakuna mvumilivu kwa mwanaume mpuzi siku akipigwa tukio ndo utajuwa wale walondoka walikuwa kimasilahi ao laaa😂😂
Wangekuwa walikuja kimaslahi hakuna ambaye angeondoka hapo wangeganda kama ruba
sijamuumba mm jaman ila huyu mange kimambi ni libaya asee 😂😂😂😂
TRUE LOVE REQUIRE MUCH TOLERANCE
Sasa wewe na Zuchu nani Mrembo Sura baya kama kwato za Ng'ombe iyo saut cipat picha ukivua ilo wigi unavo tisha Kahaba wewe focus na maisha yako achanana Zuchu .
Zuchu katulia ana heshima Ana upendo acheni kumsakama msichana wawatu unajua zuchu anajua nn maana ya kukaa na mwanaume
Zuchu anahaki ya kuforce maana anadate Star ⭐ mkubwa na mbaya zaidi toka Zuchu Kawa Star ⭐ mahusiano yake ya Kwanza ni Diamond so amuache tuuu aonekane katumika Bora angekua amedate mtu mwingine kabla ya Diamond kwa ushauri Zuchu endelea kuwa King'ang'a Mama siku mkiachana na lebal unahama 😂❤
Ilo nalo neno
Kabisa yaani 💪
Zuchu hapo hapo kumbe ndio wa kwanza basi usiondoke Hadi akuoe pia alikuwa anakupa na maneno matamu upo peke Yako ndio shikilia hapo❤❤❤
👍🏽
Diamond anamupenda zuchu sana
Mbona bs hamuwowi
Mahusiano ya kimapenzi Yana hitaji uvumilivu. Zuchu ni mwanamke pekee star mwenye uvumilivu wakipekee katika mahusiano yake. Apewe maua yake na sio kumtukana na kumkejeli
Mange anamsema sana zuchu sijui kama yeye ana cheti cha ndoa
Sio wazanzibar hatuachiki sisi tumefuzwa subra kubwa tutaachana na wanaume wangapi dunia hii kuvuliwa chupi kila sehemu nayo inataka moyo moyo wake
Ni kweli ila inapendeza kwenye ndoa
@ na ndio mana anaililia hiyo .kuwa hafurahishwa na sehemu hiyo atafurahishwa akiolewa bc tusimuone mjinga mn sio kila mtu anafurahia zambi
Kw akili yako ilivo fupi kama mavi ya mwisho unategemea mondi atamuoa
@@AishaNgoyi-vi2ku asipo muowa .kwa yako ww iliyokuwa refu km uzi hizo akili unazani siku zote atakuwa wa kuachwa na kurejewa aahh mbona itafika sk jina la king’a ng’a mutaliondosha mutampya jipya
kuna watu wanaongoza kwa taraka kama wazanzibari??zuchu hataki kutoka hapo anataka the privilege ya kuwa mke wa billionaire
Kwan akiachika wew utafaidika nin malaya mapamba na wew na mzungu wko hayakuhusu acha mambo yawatu fanya maisha yko wew dad vp unasema zuchu mbaya wee una uzur ulivyo kama mti wa muashoki acha kujiona spesho unavyo jifnya kama uwendi chooni au ufi muacha zuchu bhna wee
Kwa kweli mutu mwenyi akipi.timamu.awezi acha kuowa zuchu zuchu ana tupita ata sisi mwenyi kuwa ndani.ya ndowa kuuvumilivu uyo nimke wakuowa jouna ona simba ana shindwa kumu wacha ❤❤❤I
Hoyeeee mpaka afungiwe gate,daaa na huyo ni kinganga kweli,wacha asubili ndowa kinganga huyo.😂😂😂
Mtihani huyu mange why anapata tabu sana kuhusu maisha ya zuchu?? Na hajielewi mana diamond anampenda zuchu mara zuchu anamforce diamond naona anachanganyikiwa dada wa watu...sasa anamforce vip na ushasema anampenda?? 😂😂😂hehehe dada mnoko huyu??
😂😂😂nacheka ata
🎉🎉😂😂😂😂😂😂 Yani mangii wewe wanifurahisha Sana,kwakweli Huo ni ukweli kabisa huyu dada zuchu daaaa....😂😂😂😂
Ila mangee nyie 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 mange kashindikana jmn😂😂😂
Nimecheka et jamanmage
😂😂😂😂😂😂😂
Huyo zuchu kaona matako mangapi ,ashangae ya tanasha .😂😂😂😂😂😂kabaya. Wewe unauzuri gani ?
@@TabuHomewatu wengine kama washamba
Mmmmhm acha uwongo kwani yeye amjui zuchu amchui daimond ,wewe ndio ujielewi. Mama mtumzima hovyo ,
Hiiiiiiiiii Mangi tangia asubui kuongelea Zuchu hauchoki dada unajuwa poposha kweli
C'est la jalousie pure et simple, et elle a attendu le jour de la sortie de sa vidéo, quel JALOUSIE, c'est pas possible
Wanawake wengi hudhani kumwambia Boyfriend wake kuhusu kumuoa ni KULAZIMISHA.. Nope. Ni kuijua THAMANI yako na kupima nafasi yako kwa mtu uliyenae. That's it.
Asa mtu ambae haonyeshi kukuua jua hakutaki
Mwanaume asipokupenda utakuacha tu, wangapi wanaachwa na wana watoto. Wanapendana. Mama mkwe akimchukia mwanaume ampende inatosha kwani mama anaingia chumbani? Wanalala nae kitanda kimoja? Zuchu kaa hapo mambo ya kuvuliwa vuliwa chupi mjini na kila mtu sio mambo yako. Unajua unataka nini utaondoka ukichoka.
Heee jamani' mwenzenu nampenda huyu da Mange mie.
Mondi akizaa akiwa na zuchu ndo wataachana lkn hiv hiv tu hawezi😂😂😂😂😂😂
Apo kweny ndoa yaku lazima apo kwel😊😊
Muacheni apambane hadi aolewe hata kwa kulazimisha amuoe tu hivyo hivyo
Daaaah Mange mbav zngu 😅😅😅 next week let's meet Virginia please Mange
Me mwenyewe ndo nmemuona vizuri leo😂😂😂
Mange nilikuwa na mastress lakini umefanya nicheke sanaa tunakuombea ili uzidi kutupa updates za Zuchu kutunukiwa PhD ya king’ang’a….
Tatizo Diamond na zuchu wanachanganya biashara na mapenzi is very un professional.
Dah umezeeka saana mange
Zuchu we super women ❤❤❤ usiachie ngangana mama ndo uke huwo
Namna hiyooo wacha tuitwe king'ang'a tumeja tele mjengoni😂😂😂 apige matukio hadi yaji double hatutoki ng'odo
Atakuja umia tu huwezi kulazimisha kuolewa huo ni uchawi mwisho ni kuumia na kinachoangaliwa hapo ni kazi yake ya mziki ndio inaheshimiwa hakuna jengine kwanza ni aibu kwa mtoto wa kiislam kulazimisha ndoa utaolewa na utaachwa
@zariadunia6328 🤣🤣🤣🤣🤣 NIMECHEKA WAPO WATAKAO ACHWA LAKINI MI NIKIAMUA KUTOKA BASI NISHAUAGA UMASKINI 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 UPOOO SHOST Yani apige matukio akirudi mgari ngaaa, namwambia na leo nenda tena 🤣🤣🤣
Sante 😅😅😅@@StrongbowArrow2004
Nimetembea mahali nyingi sijaona mwanamke ambae nimbaya kama mange duuuuuuh angekuwa bongo ungekuwa vipi?
Ubaya wake up
Wazanzibari tumefunzwa kustahamili na heshima kwa waumezetu ilazuchu hajaolewa hapo anatuaibisha
Mange mwenyewe yake yanamshinda muache Zuchu namaisha yake.
Hyo ipo wazi dada angu unakuw vip na pesa akuache hata akukute unambato hakuachi so sio habar mpya dada angu mwache binti wa watu huo ni Wivu
Hmmm yaan aseeee😂😂😂😂😂😂😂nikweli
Kalimati
Huyu dada anaumwa sio bure,kaona siku hizi azungumziwi,watanzania tuwe bize kujenga nchi yetu,kuliko kuwa bize kufuatilia umbea
Mange kawa chiz kwajili ya umbe wa Zuchu😂😂
Kweli mama nasimbu kasha feli 😂😂😂
MANGE FOREVER🎉 hapo kwakusema wazanzibari hawaachik niuongo tena haondo mahodari hawana uvumilivu kuwaza kuachika kwao nikamakunywa maji ila zuu yeye nianamoyo wauvumiliv2 🎉🎉🎉🎉 alvoumbwa
Mange... 😂😂😂 sometimes unasemaga ukweli
Ila MANGE ni kabayaaaaaaa ana sauti mbayaaaaaa Yani Hana mvuto ata maskin😆😆😆
Ww kama n mzuri inatosha nyoko
Mbona Zuchu anamsumbua Mange kimawazo? Mtoto wa Zanzibar kiboko!
Mim mange jaman apana noma yule dada,,, anakaonea sana kazuch
Sasa mama mbona Sula ka ya bi tukinao umezeeke mange kimambi au kimavi daaaa umezeeke makulu
Mange Hana lakusema! Yaani Hana content! Hajui Sisi ndio tunamtia nguvu Zuchu!!!!😂😂😂
Haujui uyo...tunampenda Sana zuchuu...
Nguvu! Unajua anayopitia?
Mmmh hata kama mtampa moyo, lakini madharau yamezidi,ningekua mm zuchu nisinge poteza mda wangu zuchu bado ni mdogo,dai sio mwanaume sa hii kwake,i feel for her, zuchu angemwacha huyo dai,hakuna cha maana mtu mwenye haja muowa
@@Wakiomiss.78
Badoo alichoka atamuacha tu
Whats there to feel for her , She is making money on her hits daily. She has her Confirmation Diamond on her side 😂😂😂😂 Wewe jionee huruma maisha yako 😂😂🤣🤣
Kenge wewe wacha kutukana Wazanzibar alafu Punguza Chuki kwa huyo Zuchu, punguza Chuki kwa Wazanzibar
Ukiona ivyo mapenzi ni makubwa kuliko matukio ❤❤,😂😂 ila hakuna mwanaume asiyekosa matukio
😂kweli kabisa
Kweli yako, basi tu wanawake tunazingua
Hahaha apilka kalimati hahaha
Mange anafanana Jackson wa siko zake zamwisho 😂😂😂
Jamani maisha ya roho juu kwenye ndoa hasa wanawake ndo yapooooo yaani hakuna namna. Tofauti ni nafasi zetu tuuuuu....
Anampikia urojo😂
@@khadijamohamed8170 ahaaaa
Ila mange 😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman zuuuh pole kupenda kubaya sana vituko unafanyiwa lkn wapi😮😮😢😅
Zuchu hakuna kutoka komesha Mange na wambea wote hata kam hakuna ndoa
mume wake gani kwani? kumbe zuchu ana mume😂😂😂😂😂
Mange she's Very right ,Zuchu ako desparate due anapigwa matukio with that family but she's still there for Diamond, lf Tanasha Zari and Hamisa waligive up
Zuchu your not going anywhere.
Kwani mama dangote ndiye alimdate ama?and nani mjinga hapo?mama dangote is stupid
Yan alivyo mange nae anamuona zuchu mbaya😂😂
😂😂😂😂
Ukute kiwigi cha mange kina umri wangu😂😂😂
😅😅😅😅
🤣🤣🤣
That is not wig 😂 is a saw in weaving my dear
😅😅😅😅😅😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Zeee zima unateseka kwa bint mdogo ambaye hataki kuwa malaya kama ww,kila mwanaume ana mapungufu akimuacha atakUwa na wangapi
Kwan kumsema vibaya au wew maskio yako yapo tofauti
Penina, anaofanya zuchu ni umalaya maana hajaolewa na wewe unalijua hilo
Mange Noma saana 😅😂😅😂
Wewe mama utakufa mdomo wazi ,akii mungu mmoja
Mange anaongea ukweli 😂😂😂
Kbsa
Zuchu Anajiheshimu sana mwacheni. Mshaurini tu mdogo wako. Sio mabaya tu nampendw mdogo wako
Wewe mange, unasema zuchu kabaya papa yake unaijua? Mimi nakuona wewe ndiyo mzuka hupendezi hata uvae nini ,NIWIVU TU UNAKUSUMBUA wakuletee habari vizuri kutoka Tanzania
Ile tuzo ya fahymma apewe zuhura😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Haya Maneno sio mageni jijini
Ila kwa wageni wa jiji
😂😂😂
Ngoja tu nicheke maana 😂sina lakusema jamani
Zuchu lazima amvumilie domo sababu alijinasibu before kwamba yeye anang'ang'aniwa wengine hawajawahi kung'ang'aniwa so hata afanyiwe matukio vipi anaogopa na tunamsubiri tumpopoe mawe avumilie hivyo hivyo hadi apate kisukari kwa mawazo 😂😂😂😂😂
Umeyqpqnga mpaka yameelekeya pumbavu zako na kuna watu wanakuelewa na kuamini usemayoia hakuna hata la kweli ulichoongeya
Mimi namuombea Zuchu abaki hapo hapo na baazi ya wapenzi wetu wanafanya maajabu pia.
Mmbeba vimabegi juu karudi 😀😀😀 wiki 1 kuachana wiki 1 mnarudishana vituko ayibu naona mimi mda simurefu mtaona baruwa tana
Zuchu Ana True love ila mond hayupo hivo kwa kweli ila moyo wa mwanamke unasiri kubwa itafikia mda atachoka tu na wakiowana ndo kaburi Lao
Kuna namna mange anamchukia zuchu kisa NI uzanzibari Tu ... ukimtizama kwa makini utaelewa ni ubaguzi fulani
Hakika dada ila na huyo zuhura alazimishe ndoa
Mange tabia yake so poa,, aende basi yeye Kwa mond
@@SakinaValy uko wap ww
@@YahyaMakame nipo campala
@SakinaValy sawa
Allah awarinde zuchu na DAIMOND ndoa sio lazima ila upendo ni muhimu mausiano Yana CHANGAMOTO kawaida sana kununa na kupatana
daaah ndoa sio lazima?..Eeeh haya.
Laana tullah wewe et Allah awalinde Allah awalinde wadhinifu ili waendeleze uchafu wao?🤔ivi unaakili timamu kweli wewe
Ndoa muhimu utazini mpka lini ALLAH atuhifadhi
Mange kazeeka alafu kajichibua kawa mbaya
Ila mange nakupendaga sana mange😂😂😂😂
Wampenda Kwa lipi
Kwa kushushua @@BarbaraPatience-qt9cc
Huna akili kumbe
Kwani nyie mnapendwa na watu wote hmn akili nyie
Unazeeka na ubaya wako see Mange , roho mbaya … ZUCHU Kwani ameondoka mara ngapi . Diamond langusts … King’ang’a wewe kwenye kibibi chako!!
Dd mange ,bd alijamfika la moto mwenyewe ataachia mda bd.
Licha ya kufosi ndoa muoaji hakuna hapo mama ake anakaba kila kona madale kahama tena daimond hawezi kuoa kutokana na mama ake
Mi nazani Zuchu ndio mwanamke sasa mwenye hulka za kiafrika... mvumilivu na mwenye wivu la mpenz wake.
Eee! Aise nilikuwa sijui wapi nitapata Wanawake wa Kuona wavumilivu kwenye Dunia ya Leo, Kumbe hapo TU Zanzibar wapo, Tunashukuru Mange kwa kutujuza Wanaume wa Bara kuwa Zanzibar Kuna neeema hii ya Wanawake wanaoyajua Maisha😂😂😂😂😂
WA Zanzibar hawashiki jamani
Mnamtukana lakini bado mnamfuatilia ,mi nakupenda mange
Nimecheka hata sijui nacheka nini 😂😂😂
Safi mnyooshe huyo mondi kazoea😅😅
Monde anatomba vizuri
Diamond sio mtu wa kucommit, but akicommit kwa Zuchu ameisha, pesa zote Zuchu atamanage,,, ndio kina mama Dangoti washaona mbali
Yani yule mtoto mbovu king'ang'a kweli duh 😢
Kama wazanzibari ni ivyo, basi sisi wote tutakwenda kuowa nzanzibari