NANI YUKO NYUMA YA MR MANGURUWE LICHA YA MALALAMIKO KILA KONA ALIANZA KUDANGANYA KWENYE VANNILA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 417

  • @Purityaroko
    @Purityaroko 2 หลายเดือนก่อน +11

    Makonda wewe hatariiiiiii, nakupenda Sana brooo MUNGU akubariki

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 หลายเดือนก่อน +22

    Hongera sana Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa kwa uchapa kazi wako na busara ya hali ya juu sana unayoionyesha.

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 2 หลายเดือนก่อน +6

    makonda anachapa kazi sana hongera sana mkuu uko vizir mim niko arusha mji umetulia kiongozi uko vzur sana najua utachukiwa na watu wachache kwa wivu tu

  • @benny4345
    @benny4345 2 หลายเดือนก่อน +9

    This guy’s confidence is 🔥🔥. Kijamaa kinadanganya bila kupepesa macho! Am not a fan of Makonda, lakini matapeli kama hawa wanatakiwa kuchukuliwa hatua! Good move

    • @SamonJohn-d5m
      @SamonJohn-d5m 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mhasibu mwizi wa MO Dewji Foundation

  • @Emmaa-Joshu11
    @Emmaa-Joshu11 3 หลายเดือนก่อน +26

    Hii ni movie😅😅😅Moja Kali sana ya Mr manguruwe

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 2 หลายเดือนก่อน

      kabisa

    • @mr.erickmwacha8575
      @mr.erickmwacha8575 2 หลายเดือนก่อน

      kakutana na Makonda, chief wa wadudu anamjua uyu mhuni tu.

  • @GeorgeMwita-i8o
    @GeorgeMwita-i8o 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Arusha suala la Vanilla umelitatua vizuri sana kwa hekima kubwa sana. Unatukumbusha ya Mfalme Sulemani. Ubarikiwe sana.

    • @kombawinnie
      @kombawinnie 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan anabustan anaitwa mashamba

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mtaalam wa vanilla Ni Tapeli anajisifu sana Africa yote anafahamika😂😂😂

  • @OscarLucars
    @OscarLucars 3 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda the great ulisema tusiache kutoa sadaka Kwa ajili ya watoto wetu kusudi wasije kutana na vichwa panzi kama hapo "respect "

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 3 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu jamaaaa mhuni sana 😂😂😂 janja janja sana

  • @rauhiyanyange-u4n
    @rauhiyanyange-u4n 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa achunguzwe vizur si vanila tu analima bangi pia itakuwepo ndo anayo vuta huu ujasir anaupata wapi kwa akili za kawaida😂😂😂😂

  • @HilaryMassawe-y7s
    @HilaryMassawe-y7s 2 หลายเดือนก่อน +2

    ✅✅✅ ✅✅✅ ILA MR MANGURUWE😂😂🙌🙌 AFU YUPO SERIOUS 😅😅

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 3 หลายเดือนก่อน +20

    Manguruwe ana confidence kama Nguruwe pori😁😁😁, angejua mapema angeachana na hizo mavanila na kitimoto angechukua jimbo lake 2025, hiz sound zake ni za SGR speed zaid ya Boka😀😀

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน +4

      Speed ya ngiri kinyeo juu

    • @NuruNgolle
      @NuruNgolle 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwakweli vichwa vingine ni hatari

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 2 หลายเดือนก่อน +1

      @hejmabohejhej9 hukumpa mtaji wa vanillah

    • @Purityaroko
      @Purityaroko 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 3 หลายเดือนก่อน +10

    Baada ya Magufuli kufariki huyo makonda ndio mtu ambae sasa namaliza mb zangu kuangalia kazi zake 💪

  • @HilaryMassawe-y7s
    @HilaryMassawe-y7s 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAHAHA ILA NIMECHEKA SANA 😂😂😂DAH 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 3 หลายเดือนก่อน +3

    The Makonda effect.....Great Makonda ......barikiwa

  • @kombawinnie
    @kombawinnie 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo nitapeli kabla ya kujiita Mr mangurue alikuwa anadeal na green house office ilikuwa mlimani city huko dar kawaliza wengi hasa wastaafu

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 2 หลายเดือนก่อน +10

    Ila Makonda! 🫡🫡🫡🫡. Huwezi kumuelewa kwanini Alienda na Mr.Manguruwe kwa upole na mdogomdogo.

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 3 หลายเดือนก่อน +25

    Huyu jamaa anaongea kama Dr shika , ambae alifariki , naona akili za huyu zina fanana anaongea mambo tofaut kabisa ,anajibu tofauti na maswali ya Rc ,kama unamuelewa shika weka like zako nyingi

    • @IsmailAlly-u3l
      @IsmailAlly-u3l 3 หลายเดือนก่อน +2

      Uyu ni mtoto wa Mjini ndugu.....😂 Anaakili timamu sema anajiitoa ufaham 😂😂😂

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 3 หลายเดือนก่อน

      @IsmailAlly-u3l ukishajitoa ufahamu unaitwaje?

    • @jamesassanga9220
      @jamesassanga9220 3 หลายเดือนก่อน

      Atakuwa ni muhaya huyu

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 3 หลายเดือนก่อน

      Anasema yeye ni mtu wa mbeya japo jina lake la ukoo ni mkondyaa​@@jamesassanga9220

    • @KutorobozaMungele
      @KutorobozaMungele 3 หลายเดือนก่อน

      Jiji he jj
      ​@@IsmailAlly-u3l

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mwenyezi MUNGU akupe afya njema kwa uchapakazi wako wa kuwasaidia watu wanao onewa, barikiwa sana kaka Makonda.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 3 หลายเดือนก่อน +9

    SUPANA SUPANA SUPANA ZIENDELEHE PEMBE ZOTE ARUSHA 😂😂😂❤❤❤

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 หลายเดือนก่อน +5

    😅😅😅😅 mkuu wa mkoa very smart 🤓

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 3 หลายเดือนก่อน +7

    Duu!!mtu kajiingiza mwenyewe mtegoni wa makonda alipe huku polisi wakimsindikiza akishindwa rumande 🤣🤣🤣

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kampuni inaongoz afrrca ina wafanyakaz wawili😂😂😂😂

  • @StanMrema
    @StanMrema 3 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂 daaaah mwekezaji dishi sio zima

    • @KwanduHumo
      @KwanduHumo 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @thomas-kx4dq
    @thomas-kx4dq 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hahahaha huyo doctor manguruwe akili hamna hapo 😂😂😂😂

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 หลายเดือนก่อน +4

    jamaa ana bonge la confidence yaan mpaka raha anajiamin sana sana hana ppara hata kidogo

    • @SamonJohn-d5m
      @SamonJohn-d5m 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni comedian

  • @AllyChristopherAlly
    @AllyChristopherAlly 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeamini huyuu jamaa nimtamboo😅😅😅😅

  • @oswardpeter6179
    @oswardpeter6179 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani nilikuwa nimenuna lakini imebidi Michele. Hongerasana Mh, Makonda.

  • @aggreymsemwa4389
    @aggreymsemwa4389 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂Mamaeee Kampun Ina Wafanyakazi Wawili na Inaongoza Kwa Kilimo Africa Nzima😂😂😂😂

  • @BernardMwaitalako
    @BernardMwaitalako 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ukiwa jambawaz confidence muhum..

  • @RichiekicheRichie
    @RichiekicheRichie 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kawapiga watu vanila kawapiga watu nguruwe😢😢

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂makonda unajua kuchekecha vichwa panzi kweli😂😂

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kichwa kimeyumba.😂😂bangi kidogo

  • @doublehmsd
    @doublehmsd 2 หลายเดือนก่อน +3

    maskini mr manguruwe wanamtumia vibaya😅😅😅😅

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 3 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda unakazi kubwa sana.Kupambama nahivyo Vichwa pole sana Mweshimiwa.

  • @PeterMwasomola
    @PeterMwasomola 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa hongera

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aisee huyu hakujua kama makonda anamjaza ili aingie kwenye 18 zake

  • @elymollel
    @elymollel 3 หลายเดือนก่อน +4

    Baba Kaegan solved the matter in a very technical and softcated manner 😂😂

  • @bensonmshiu1894
    @bensonmshiu1894 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dct mangurueee😂😂😂😂😂😂

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hiki kichwa aisee 😂😂😂😂

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alijua watanzania wanamshangilia, akijua wapumvavu hawa. Kumbe watu washashtuka. 😂😅😅😅

  • @masubilufungulo9173
    @masubilufungulo9173 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ila manguruwe hamza kitu maji kichwa chote😂😂😂😂

  • @sebastiankilongo2052
    @sebastiankilongo2052 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu boya jizi kweli.Makonda 👍👍

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 หลายเดือนก่อน +7

    Dr. SHIKA

  • @RichiekicheRichie
    @RichiekicheRichie 2 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda uishi miaka mingi🙏

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 3 หลายเดือนก่อน +17

    Huyo Boss wa Vanilla Dishi limeyumba

    • @AllyKasa-iy8px
      @AllyKasa-iy8px 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kidogo

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 2 หลายเดือนก่อน +1

      halijayumba, amezidi utani mizaha kwenye mambo ya siriaz, ndo maana wakina Deo wamechoka choki yaan wamesamehe m18 wapewe m zao 2 tu waachane na mateso

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kweli

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 2 หลายเดือนก่อน +2

    uuw, yaani Makonda anacheka tuu, amepata taarifa akiwa Comoro

  • @aristidesmtui6593
    @aristidesmtui6593 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda bhna eti😂😂 eti tajiri akiongea masikini unasikiliza

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂manguruwe kapatikana.

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wahuni wana Confidence kinoma

  • @KaristaMwinami
    @KaristaMwinami 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi basi tu yaani ukisikiliza kwa umakini utagundua level yetu ya uelewa bado sana. Nadhani kuna kitu hakipo sawa

  • @lelooelectronics
    @lelooelectronics 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mr Manguruwe atazidi kuwapiga sana ..mwakani ataibuka na project mpyaa na atasepa na kijiji kama kawaida

  • @Kisipikaonlinetv
    @Kisipikaonlinetv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Dr manguruwe

  • @edwardkishiwa3296
    @edwardkishiwa3296 3 หลายเดือนก่อน +5

    matapeli wanajua sana kujenga hoja na sijui kama atakuwa m Tanzania

  • @hassannjiku
    @hassannjiku 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona hii n ya mda sana🎉🎉🎉

  • @JohnBegele
    @JohnBegele 3 หลายเดือนก่อน +5

    Akili mingi sana ya uongozi, dah !! God bless you.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hamna kitu hapo, huyo aliyenyuma yake ajulikane watu anawatwanga sana huyu

  • @hamzakem2924
    @hamzakem2924 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jmaa ni tapel m a si mrefu utaskia watu wanalia kwenye mtaji wa ngurue😅😅

  • @Habaujr
    @Habaujr หลายเดือนก่อน

    Makonda b up bro

  • @anyangograce1465
    @anyangograce1465 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sio ngurue na vanila alianza na tangawizi kigamboni kisha nyanya mwizi mkubwa uyu jmn hafai hata kidogo uyu

  • @joycenyamwela9967
    @joycenyamwela9967 3 หลายเดือนก่อน +12

    Tapeli sana huyu alianza Njombe vanila akahamia Zanzibar akaja Arusha
    Sasa kahamia kwenye Manguruwe

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน +4

      Acha awanyooshe watz wengi wajinga wanapenda sana pesa za haraka ambazo Hua hazipo

    • @anyangograce1465
      @anyangograce1465 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mwizi sn uyu jamaa jmn cjui ana ujasiri gani ata aachagi kuibiwa watu jmn

    • @mnmyz
      @mnmyz 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tumeumizwa wengi, jamaa anatumia viongozi kuhadaa wananchi, alitumia kiongozi mmoja katika uvunaji wa vitunguu maji pale Bungi miembe

    • @MrOmarmack
      @MrOmarmack 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huku Zanzibar alishaliza watu na style Yake ya Kitalu kubwa wa kitanda kitakutajirisha sijui hata kama wapo. Ngoja niwafutilie

  • @peterkabeke362
    @peterkabeke362 2 หลายเดือนก่อน

    lisenge limekamtwa huku linacheka hahaaaa😂😂😂😂 ila mkonda kiboko dah akili kubwa sana

  • @Ruben-b9t
    @Ruben-b9t 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @deodatusnabaku6255
    @deodatusnabaku6255 3 หลายเดือนก่อน +18

    Pamoja na yote ila Mr Manguruwe hana shda hapo😂nimeipenda confidence yke

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ndo maana mnatapeliwaaaaa

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mr Kitimoto muhuni

  • @mbokimartin7910
    @mbokimartin7910 3 หลายเดือนก่อน +4

    makonda anamchota manguruwe na manguruwe anajaa tu tu kwenye mtego

  • @kabwanga83
    @kabwanga83 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mtu aliye nyuma yake bali ana matatizo ya akili ndio maana aliwapaata wasiokuwa na akili wenzake.

  • @michaelkisesa3959
    @michaelkisesa3959 2 หลายเดือนก่อน

    Wezi hao kaka.

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kawaliza wengi sana jmbe huyo kwenye vanila

  • @richardmtutui2422
    @richardmtutui2422 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Nguruwe😂😂😂

  • @janekijazi1365
    @janekijazi1365 3 หลายเดือนก่อน +6

    Watu wamelizwa Sana na Mr manguruwe akiwemo rafiki yangu na familia yake huko dar

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa tapeli akiamungu 😂😂😂 17:53

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii nchi watu wanaiba sana

  • @EmanuelMwarabu-v1d
    @EmanuelMwarabu-v1d 3 หลายเดือนก่อน +6

    naona pameanza kuchangamka! patazichapahapo

  • @nasekawanga1737
    @nasekawanga1737 3 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu jamaaa si ndo anajiita manguruwe boss wa dodoma na alimpa kipa wa simba camara sh laki tano😂😂😂😂

  • @venancekusare983
    @venancekusare983 2 หลายเดือนก่อน +1

    Twende mbele turudi nyuma, mpaka mwisho wa maelezo, sijaona makosa ya huyo "Mwekezaji" hata mwanasheria aliyekuaja hapo hajaongea any substance, madai kwamba hajatimiza wajibu wake sikuona ushahidi, ndio maana inabidi na yeye apewe nafasi ya kumleta mwanasheria wake, hao kina Deo wamedandia tu huruma...sijaona walipo wasilisha hoja yao.

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 3 หลายเดือนก่อน +8

    Alhmdullh mwamba karudi tena allahu akajaalie uje kua raisi watanzania insha allahu

  • @janutulyanje5378
    @janutulyanje5378 หลายเดือนก่อน

    huyuu Tajiri ni Dishi mbn😂😂

  • @lyimoedmund
    @lyimoedmund 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki makonda

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkiambiwa acheni kula ngurue mungu amekataza haya ndio mazara yake sasa yani huyu jamaa akilizake na ngurue hazina tofauti kabisaa harafu wanaoongoza kwa kudanganywa nindugu zetu wakristo wananganywa mitaani mpaka makanisani huu nimtihani mkubwa sana

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu kakataza kula nguruwe kubwa na nani nguruwe

  • @MasterRegan
    @MasterRegan 2 หลายเดือนก่อน

    14:33 Makonda amewezaje kumsikiliza huyu jamaa mbaka huku.

  • @KachePaschal-iw4zk
    @KachePaschal-iw4zk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba Yuko vizr Serikali imutumie vzr anakitu huyu jamaaa

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa...nishida😂😂😂

  • @ClintonAward-e4v
    @ClintonAward-e4v 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂daaah yani wanaotapeliwa ni akina baba wa familiah flani na waoh wanawachapa watoto wakikoseah 😂😂😂

    • @nickluca1512
      @nickluca1512 2 หลายเดือนก่อน

      Umenikumbusha roma alisema kwenye msafara anapigwa ng'ombe wa nyuma na wakati ng'ombe wa mbele ndo anacheleweshaa msafara😅😅

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa kabaki anashangaa, nani nyuma ya manguruwe farm😅😅

  • @MasterRegan
    @MasterRegan 2 หลายเดือนก่อน

    13:05 huyu jamaa apimwe akili, anaulizwa hiki anajibu hiki

  • @ManusuraBwanamoya
    @ManusuraBwanamoya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh tunakulimia alafu unatuuzia 😂😂

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana mnaibiwaaaaaa Yan jamaa anadanganya

  • @kanobayirelambert8400
    @kanobayirelambert8400 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hhhhhhhh.....Maskini wenzangu!!!!

  • @kellyenterprises5358
    @kellyenterprises5358 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo umeweza

  • @josephleray970
    @josephleray970 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manguruwe ≈ Dr. Shika 😂😂😂😂😂

  • @mwiruhabibu2060
    @mwiruhabibu2060 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bila shaka mwamba atakua muhaya😂😂😂😂😂Kama sio muhaya ni msukuma sio kwa tambo hizo

  • @SamonJohn-d5m
    @SamonJohn-d5m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wajina anawafanyakazi wawili tuu na ni mwekezaji mkubwa

  • @justinmwenda7449
    @justinmwenda7449 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂makonda ana akili sanaaaaa

  • @LeonardPeter-t5e
    @LeonardPeter-t5e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Wana leseni na serikali ndo imewapa

  • @deotvonline2776
    @deotvonline2776 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila wahaya kwa sifa😂😂😂

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa hivi yuko sawa

  • @amanisharutiely5535
    @amanisharutiely5535 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nikama anacho ulizwa na anachojibu nitofauti nikama comed flani au mimi mdio sielewi vizuri

  • @ClintonAward-e4v
    @ClintonAward-e4v 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂hpah ndio kuna tofauti kati hekima ,busara na elimi ila nashukuru mungu amenipa vyote kama makonda😂😂😂😂

  • @foncetec
    @foncetec 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mimi

  • @klexmann
    @klexmann 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu manguruwe awe mwana siasa