VIONGOZI CHADEMA PEMBA WACHIMBWA MKWARA HUU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2024
  • Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Zanzibar Salim Mwalim amewataka viongozi wapya wa chama hicho waliochaguliwa hivi karibuni kisiwani Pemba kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa katiba kabla ya kuwajibishwa kwa kushindwa kutimiza majukumu yao.

ความคิดเห็น • 4

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupata Kamanda wetu Salumu Mwalimu

  • @veronicaadrof8244
    @veronicaadrof8244 2 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa umewaambia ukweli kiongozi kama kiongozi lazima ajitambue afanyekazi kwa mjibu wa katiba au miongozo ya chama

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 หลายเดือนก่อน

    Mikutano yenu mnafichaga watu.ccm wanajiongwzaga kwa hicho mnaficha watu wengine mnaonekanaga viongoz tu