Education + talent kaka sio kitu unaweza fananisha ovyo ovyo na hasa kwa bongo wasanii wenye sifa izo 2 wanahesabika na due to the fact watanzania wengi hawajaelimika (HAWAUJUI MZIKI)ndio unaona wcb na wengine wanajizolea mashabiki zaidi kuliko jux coz mziki wanoimba ni wa level ya walio wengi (UNEDUCATED) ITOSHE TU KUSEMA CLASSIC MUSIC IS FOR CLASSIC PEOPLE KWA BONGO JUX NDIO KIMBILIO LETU.wapo wengine pia wakali nawajua in this sagment lakini wanaimba RNBgeneral but sio "RNBclassic" kwa wasio jua RNB ni kubwa however diamond (wcb)wao wote ni wanaimba afro pop mixed with dhow music na saa nyingine wanaimba NEW BONGO FLEVA but NOT GENUINE BONGO FLEVA.SO U CAN'T COMPARE NA JUX
team jux.jamani tumpeleke vanessa mahakama tena kenya hata sio tz hawawezi sikiza hii kesi.real storng feling doog job keep it my babby unaniua uwa.aiiii!!love this song forever.
One thing I like with Jux is he puts everything in his music.I mean you can feel the music itself its lively atimes I feel like am the one singing Big up bro +254 all the way
#juxvanessa reminds me of nameless &wahu aki waliimbiana 😂😂mwishowe wakaoana so usife jux kama ni fungu lako mtarudiana tuu ila punguza mapenzi ya kisela tutakuzika tuu ukifa😂😂😂😂.also the song is 🔥🔥🔥both audio and visuals well done👏
I had this song for the first time when I was in grade 7 now am a big girl n it’s blesses me everytime I listen to it..I’ll make sure my kids also listens to this song when I have them..going to 2025 with this song.Such a blessing for sure 🙏🏾
since day one nasikia nyimbo yako broo nilitamani kuwa shabiki no 1 but ivyo2 haitishi, kwani niko na ndoto za kufanya music kwa style ya aina yako.hope i can,pamoja sana jux unafanya good music peleka Tz 2 de top.
Really admire the guy,the song and the language itself... I don't really get the whole story but try singing it,I love it and also melt hearted when listening. GO JUX
I've discovered this song and certainly this guy is simply one of the greatest artists not only within continental Africa but globally. Keep the heat up bro
Love u so much jux hongera kwa kaz nzur kila siku kabla sijalala huwa napenda kusikiliza interviews zenu na vanessa kiukwel mnahamasisha,pig up msije mkaachana amiin
I really listen n watch musicc as in hapa bongo n worldwide...n whether ppl agree or not hapa bongo afterr Diamond...next z Jux n i mean in all levels..n ths songg z exact PROOF. Eti Kiba sijui Ben Paul etcc...he cn actually sing..he is finee as hell n stylishh nw those u r either born wt or not..Jux z naturall talentt wengine cn b worked on n dts okayy too..i pray he goes far jst as Diamond already has.
Jux acha kwanza wezao tutafute maisha kwanza wengine bado tunatafuta tukichanganya na mapenzi ndio tunapotea kabisa mioyo yetu umeumbwa na nyama sio chuma
This song is like.. my breakfast.. what were u thinking Jux.. I love it like that.. bt believe me hawezi kukuua.. yo strong.. and immortal jus by this song.. lol hope u will know that I day
2021 and still a hit song❤️ Kaka angu jux nikiskia sauti yako popote namkumbuka vanessa kwanini lakin hukumpea Mimba me ntakulaumu kila siku kwann hukumpa xhemeji yetu Mimba jmn kweli umeacha vanessa kaondoka mikononi mwako kakuacha mtu 😭😭😭 naumia Sana
Mimi ni kiziwi na pia ni kipofu ila huu wimbo nimeunusa na ni wimbo mkali sanaaaaaaa,bila kusahau sijui kiswahilo na nipo sayari ya Jupiter....jamani Duniani huko mnajua!
Ukitaka kujua huu wimbo unagusa kila mwanaume ngoja ya kukute bwana we acha natamani niwe ndo nime uimba nili nimwimbie mke wangu ila ngoja tu ni usikilize tu asante bro
It's 2023! I had forgotten what being in love felt like. But this song reminded me all of it. One day you are so madly in love and the next day you are fighting like cats and dogs. Love is a beautiful dilemma
You Just Expressed What Im Going Through In Your Music🙌🏽..Story Of My Life..My best song for 2017 already..kila kitu ni perfect..nice job mzee you have earned yourself the biggest fan👏🏾👏🏾
Uyu mkaka nampend anavyo jua kuvaa na ana damu ya nguo juma jux zaman nilikuwa najua ya kwamba sio mtanzania kumb mtanzania bigup mzee baba💯💯💯💞💞🙏🙏🙏✋✋✋💪💪💪
Juxx..i can understand mdeez love for you..love this song greatly#utaniuwa..GREAT SONG!!..Beautiful man...to die for lyrics that we can all relate..Big up Juxx..hope to meet you and Mdee one day!
Tunaosikiliza hii ngoma 2024 like hapa
mimi hapa
Wambieeeeee jx ni upande mwingne hafananishwi na wcb hata chembe gonga like kama tupo pamoko
Education + talent kaka sio kitu unaweza fananisha ovyo ovyo na hasa kwa bongo wasanii wenye sifa izo 2 wanahesabika na due to the fact watanzania wengi hawajaelimika (HAWAUJUI MZIKI)ndio unaona wcb na wengine wanajizolea mashabiki zaidi kuliko jux coz mziki wanoimba ni wa level ya walio wengi (UNEDUCATED) ITOSHE TU KUSEMA CLASSIC MUSIC IS FOR CLASSIC PEOPLE KWA BONGO JUX NDIO KIMBILIO LETU.wapo wengine pia wakali nawajua in this sagment lakini wanaimba RNBgeneral but sio "RNBclassic" kwa wasio jua RNB ni kubwa however diamond (wcb)wao wote ni wanaimba afro pop mixed with dhow music na saa nyingine wanaimba NEW BONGO FLEVA but NOT GENUINE BONGO FLEVA.SO U CAN'T COMPARE NA JUX
mambo nimoto san jux anajua sana
Bangiiii
Angalia maneno ykoooo
Kbsa
If Yoh Still Here In 2021. I Can Never Doubt Yoh Taste Of Music. #Utaniuwa
This guy is one of the most underrated artist in Africa,his song are🔥🔥🔥🔥..........much love from 🇰🇪🇰🇪.2021 still jamin this masterpiece.......
So sweet and romantic❣️
2024 but still hot wapi likes kwa jux jameniii much love from South Africa❤
JUX UTANIUA KWELI
Nani ako hapa kabla ya million views. Jux ngoma yenyewe kali!
team jux.jamani tumpeleke vanessa mahakama tena kenya hata sio tz hawawezi sikiza hii kesi.real storng feling doog job keep it my babby unaniua uwa.aiiii!!love this song forever.
I Miss Seeing You and Venessa Together,Haidhuru
Lakini Jux Songs zako Kali Sana,Mad Love For You 😘😘😘
🇰🇪
So me😔 buh all has happened for good.✌🏽
One thing I like with Jux is he puts everything in his music.I mean you can feel the music itself its lively atimes I feel like am the one singing Big up bro +254 all the way
This guy has amazing vocals. Tupa like Kama unamkubali Jux.
adi rahaa
I appreciate this man
Ngoma kali kabisa
Jamaa ni hatari huyu
#juxvanessa reminds me of nameless &wahu aki waliimbiana 😂😂mwishowe wakaoana so usife jux kama ni fungu lako mtarudiana tuu ila punguza mapenzi ya kisela tutakuzika tuu ukifa😂😂😂😂.also the song is 🔥🔥🔥both audio and visuals well done👏
Esther Nyokabi 😀😀😀
😅😅 mapenzi ya kisela though
Esther Nyokabi amna mtu kufa apo..
Karim Ahmed ndio anafufuka eti😂😂😂😂
irene kalugula l love this couple mi ntakufa tuu wawe pamoja 😮😮😂😂😂
those who are live in 2021 listening to this let me see your likes
ii ngoma hukua poaa banah
I don't understand Swahili but this song is just all sorts of fire😍😍🔥🔥🔥😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️all love ❤️from Botswana 🇧🇼
Send me your numbers then I send the meaning in your language.
Wow
I can translate that for you
English lyrics could help
I don think there is a translated lyrics to the song
Song zake nikisikiza nafeel like nko stress free...kama pia ww n hvo tumpe likes zake....favorite song
J na V nawapendaa sanaaaa mrudiane jaman nitafurah mie, mnapendana sana nyote mmesema kwa interview sasa mbn mnatutesa hv wapenzi wenu??uwiiii
dah... jux yote maisha ila usijali mama ataelewa tu kwamaba hukuwa na usela wa aina yyte.
kama unayakubali mahusiano ya jux na v like hapa
MSOKA TV oooj'l''''nvnuio0dn.
jgg. K. .
.. N. Jn/'#grzra qq. Nn. Et rerrr4a?lnnnkjb
Hii NGOMA kama Unaisikiliza mwezi huu wa 9 trh 29 mwaka 2019 tambua kuwa hii ngomaa KALI MNOOOOOO from Changchun Jilin china
It reminds me of the perfect memories I had with my ex girlfriend. I love this song. I respect you Jux.
Why did you let her go!?
Jux ..., oooh my..,you deserve the best...,what a talent.self made.
. great milestone
Me 2 my ex boyfriend am xoo. Sad😭😭😭😭plzzzzzzzzzz hlp me
Translation
I had this song for the first time when I was in grade 7 now am a big girl n it’s blesses me everytime I listen to it..I’ll make sure my kids also listens to this song when I have them..going to 2025 with this song.Such a blessing for sure 🙏🏾
since day one nasikia nyimbo yako broo nilitamani kuwa shabiki no 1 but ivyo2 haitishi, kwani niko na ndoto za kufanya music kwa style ya aina yako.hope i can,pamoja sana jux unafanya good music peleka Tz 2 de top.
Fundi wangu unanifurahisha toka umenikamata sisikii zaidi yako nikisikia mziki wako nikama nakula asari mbichi mdomoni mwangu big up sana👏👏👏👏
Really admire the guy,the song and the language itself... I don't really get the whole story but try singing it,I love it and also melt hearted when listening. GO JUX
wimbo waguza roho yangu.. salute naona mumerudiana na v your baibe.. naomba mcheze wimbo na Nyashiski. watisha kaka mdogo
I've discovered this song and certainly this guy is simply one of the greatest artists not only within continental Africa but globally. Keep the heat up bro
2020 and still a hit song ❤
❤❤❤❤
I'm Kenyan uuhpy
Booom
Nice
If u r still listening to the song for more than 10times...likes zkam...it's my best 💖😘
Naomba tujuane maana mm ni kama ww I like 👍 this song
i am still
Nyimbo koki
Ss na ww madam umeniacha😂😂😂...nimbie kama hivi😂...ukichelewa tu natoa yangu...
kama umeikubali weka like yako hapa🔥🔥🔥...
Usife jux km vip mtafute dem mkal ambae so super staa afu mpe n mimb kabisa v money mwenyew atajiua yey
shan George 😂😂😂😂😂
shan George 😂😂
Mh oscar veep mbn unachek
shan George an comment yako ndo imenchekesha
xema uo u shaul kuntu., inabd au fanyie kaz
Love u so much jux hongera kwa kaz nzur kila siku kabla sijalala huwa napenda kusikiliza interviews zenu na vanessa kiukwel mnahamasisha,pig up msije mkaachana amiin
Bado najiuliza ni kipi sija timiza...kipi kina kuumiza...kipi sija weza...ooooh i like this song. Thann u Jux for that
Thiz guy is damn good in Music. He really knowz the meaning of gd Music. Keep the fire burning #Jux
I really listen n watch musicc as in hapa bongo n worldwide...n whether ppl agree or not hapa bongo afterr Diamond...next z Jux n i mean in all levels..n ths songg z exact PROOF. Eti Kiba sijui Ben Paul etcc...he cn actually sing..he is finee as hell n stylishh nw those u r either born wt or not..Jux z naturall talentt wengine cn b worked on n dts okayy too..i pray he goes far jst as Diamond already has.
So sweet and hot music ,
Its 2019 and am still hanging on it. Jux is just being underrated, this guy is in the top of the game, my #1 tz male artist. I like his vocals.
Daa hii ni hatari haijawahi tokea
This guy is the best artist for me in Africa ❤ ❤
Oh God!! This song speaks directly to my soul. Thanks Jux for the song.
WHAT a lovely song bro just big up sanaaa tatizo hawatosheki 😄😄😄 tamaaa
This guy produces such amazing hits.....Jux ....soon you will be shaking international plaforms and stages daily
#
❤
My daughter always admires u African boy☺️ much love from her❤️....ur hits are lit🔥
Jux acha kwanza wezao tutafute maisha kwanza wengine bado tunatafuta tukichanganya na mapenzi ndio tunapotea kabisa mioyo yetu umeumbwa na nyama sio chuma
Dah kaka jux ktk huu wimbo umebaba sana pia nibonge la ngoma nimelikubali salut mkuu
This song is like.. my breakfast.. what were u thinking Jux.. I love it like that.. bt believe me hawezi kukuua.. yo strong.. and immortal jus by this song.. lol hope u will know that I day
Guyz msimfananishe huyu mwamba na kiba na mond...huyu level ingine nyie vipi mnatubo
Hussein Khamisy Mbonanza nimeluxoma boy.
Laakin wanamuzik tofaut
Tunaosikilia hii ngoma 2024 gonga like hapa
2021 and still a hit song❤️
Kaka angu jux nikiskia sauti yako popote namkumbuka vanessa kwanini lakin hukumpea Mimba me ntakulaumu kila siku kwann hukumpa xhemeji yetu Mimba jmn kweli umeacha vanessa kaondoka mikononi mwako kakuacha mtu 😭😭😭 naumia Sana
Mimi ni kiziwi na pia ni kipofu ila huu wimbo nimeunusa na ni wimbo mkali sanaaaaaaa,bila kusahau sijui kiswahilo na nipo sayari ya Jupiter....jamani Duniani huko mnajua!
king Guyana uwiii yu gwud
king Guyana hahahahahah
Nikujuzeee gossip we kwel chiz😂😂😂😂
guyana gimakwi hahaaaaa
Hahaha
Hiv nymbo zko huwa unatunga kwa kingereza hlf unatafsir eeh!!nymbo zko zote hot 😘😘😘.penda ewe!
Who still listen this in 2024
Was not fun until my boo used to sing this song for mee...much love baby💓💓💞 big fun for jux now
Nilijifunga chumbani cku nzima ili niyashike mistari mikali ya hili bonge la ushairi! Mapenzi tele toka Kenya! Hapa twasema INAWEZA!
This guy writes in English and translates it, that's genius!!
from KEN, came here after 'incase you dont know', how did i miss this guy!!!!
This is a very beautiful song....More love Jux from ZImbabwe.
Ukitaka kujua huu wimbo unagusa kila mwanaume ngoja ya kukute bwana we acha natamani niwe ndo nime uimba nili nimwimbie mke wangu ila ngoja tu ni usikilize tu asante bro
Hali niliyo kwa sasa lakini ni wingu tu linapita. Thnks Jux kwa huu wimbo. Happy to see you together agan with your love V. 2018 mpo?
It's 2023! I had forgotten what being in love felt like. But this song reminded me all of it. One day you are so madly in love and the next day you are fighting like cats and dogs. Love is a beautiful dilemma
Who's diamond?Good work Jux,this is raw talent,leave alone those sijui wasafi chaps with repetitive content and boring melody
Diamond is platnum
Correct
Diamond is a Precious Stone..
And a classic Musician.
Daaaaaaaah jux nimekuelewa sana kwa song hili
usiombe yakukute
raisi wa waruguru ,aise we acha tu
Bc of Tanzanian's attitude towards our princess jux will relocate to lagos nigeria.
mimi huwa nasema hata diamond platnum and harmonize hawaezi fikia huyu msee aiseee..moto sana
You Just Expressed What Im Going Through In Your Music🙌🏽..Story Of My Life..My best song for 2017 already..kila kitu ni perfect..nice job mzee you have earned yourself the biggest fan👏🏾👏🏾
Leaving this comment here for my great grand children to know which kind of songs their grand guga liked ❤️
I love this song....jux you are an amazing artiste love from kenya (iko kwa playlist)
Heartbreak aki💔💔💔💔💔
Likes zikam through
Mapenzi ina yenyewe
21st June 2021 i never left
Fell in love with this song and will never get tired of it
Ngoma kali Sana na ni true story ila kaka jishushe tu umrudie V siunajua wanawake wanapenda kubembelezwa mwombe radhi yaishe napenda sana mkiwa pamoja
Huwez rudi makombo yako hata cku moja kinachotakiwa kusonga mbele kwenye safari mwiko kurudi nyuma
..
Saidi Ally we wacha ..kama ndio fungu lako iwejeeee? ?😂😂😂😂😂
jux umenigusa sanana I wish ningesikia siku moja collabo yako na nyashisk au rama D
Andrew Kessy na Rama d Itakua poa sana zaidi
hawa kiki tu ili tuwaangalie,,,watafutaji pesa hawa
hii ngoma lini, mbona tamu hivi, Loh!!!!! nilikuwa wapi,
Atariii ngoma hiiiii 😭😭
Jux on top usiachie kwa mdee u guys on top.top always
nimesikiliza huu wimbo mara mbili mbili na ule wa Vanessa wa "mapenzi ya kisela" nimegundua kuwa bado mnapendana, acheni kutuchosha EMBU RUDIANENI
bado najiuliza nikipi sijatimiza bado najiuliza nikipi sijaweza fanya 100000%zote chukua love the songs
I love this video. Can't stop watching it. Great work Hanscana
If you are jux's great fun like!.... he has a great hits than any tz singer
True
Very true
My best vocalist of this generation. Reminds me of Case, Joe Thomas and R. Kelly.
Uyu mkaka nampend anavyo jua kuvaa na ana damu ya nguo juma jux zaman nilikuwa najua ya kwamba sio mtanzania kumb mtanzania bigup mzee baba💯💯💯💞💞🙏🙏🙏✋✋✋💪💪💪
Mimi mpk mwishoo... Nitakuwa TEAM JUX..... African Boy....
This song melted me, wherever I listened to this song reminds me my ex Isabella 😢😢😢😢
If you are still listening to this song then you are legend 💯
🎶🇯🇲🇵🇹👍
The song is a killer plus actually makes one understand the feelings one has
Kama umefika hapa 2020 gonga like ya jux
jux benpol
jux benpol nakuchana
Nice kiukweli
2020 twende sawa
Saf sn jux
Nyimbo zako JUX nazipenda daily kamwe hazitanichosha...from 254
One of the best East African artist
Keep going much love
Thiz song is still a banger 2024.
Wenye mnaskiza hii tukiwa 2024 come my was na izi likes
Kama baado unaukubali huu wimbo 2019 Gonga like Twende hewani 🤗🤗
juma
Hunajuwa Sana juma
Elo
-
Nyombo kali
This is my favorite song of Jux..❤
Chaf poz❤❤on toz!✊🏾💪🏾💯...
..Hakuna zaidi ya Bill Nenga!..
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wakisema una ni "roga" waambie una ni rogea chumbani!
man uko serious sana......huwa najaribu kukaza kumkazia girlfriend wangu ila nikisikiliza songs zako najikuta ka biscuit iliyo nyeshewa
This song will never get old , it makes me remember my ex girlfriend
Isabella where are you 💔😭😭
Niko uku😂
@@sophymchana8045 Ebu pin location
@@ledamatwala832 am sorry am just kidding
Atakaye niimbie hivi aje upesi jameni hehehe....Jux uko Juu!!!
Loice hae
naeza jaeibu kukuimbia
Loice nimekupata
Utampa nn akiweza kuimba
Utatua na ww loice
Kama unakubaliana na MM kuwa mwanaume Ni mashine teleza na like hapa.... Tuuane kisela.
Muulizeni Jux, tutaruka hzoamapiano mpaka lini ndo urudi kwenye huu mziki mtamu
Maina kageni brought me here...the guitar in this song makes my day
Kazi safi juma jux
Nakuelewa sana brother hujawai kukosea
Online inlaw association from Nigerian . One love!
It's April and the song is still lit 2020 🔥
Very true
Sure
Nipooo
@@netliamsandra8571 !
Kazi ya fundi man hainaga makosa. 🤫
jux wew kibok broo nimekuelew kinyam huu wimbo unaweza kusababisha ukachanganyikiwa kabisaaaa
Hakika ni wimbo wa maumivu kwa mpenzi wng tuliyeachana kwa hakika nilimpenda xana!!!!
kaka daaaah umeimba hatari naomba nifanye cover ya hii ngoma
Nakumbuku pindi sipo kwenye mahusiano nilikua na life LA amani.
viaipi
Dah rud tena uko uko
@@faithaction2505 🤣🤣🤣
Hahaha
Ht miee yn
Bado najiuliza ni kipi sijatmiza🎶... Bado najiuliza n kipi me sijaweza🎶... Jaman rahaaaa
the song is killin though
Nana B nilijichangachanga
ili mradi upendeze
Nikajikazakaza me nisijikweze.........
Oooouuuh utaniuaaaaaaa
Keep it up nakukubali
Nana B utaniua ua ngoma kali sana
Mapenzi asikuambie mtu
Juxx..i can understand mdeez love for you..love this song greatly#utaniuwa..GREAT SONG!!..Beautiful man...to die for lyrics that we can all relate..Big up Juxx..hope to meet you and Mdee one day!
This one too is spiritual song,Mr Jux to the levels.
Im a major jux fan!!! peacefully huku hakuna uteam ❤️❤️❤️ loving the vibes🎶
i myself i do feel the song
Queen Gibbons same az mi Jux en Vanessa fan ever hamna cha team nani wala nani jux big up bro..respect frm germany
Queen Gibbons nice song
Am in love with the song
Naomi Kasera am in love with the song th-cam.com/video/676tgvfiHX0/w-d-xo.html