Okkk..... Lemme say this, our music is moving foward so very fast. This could be like that time when Vanessa, Diamond, Joh ...were disturbing those int'l tv stations and their charts. Now it's Diamond, Vanessa, Ali, Joh, Navykenzo and now Jux... Maaan how more can I be proud. Great melody, great words, great song Juma Jux....and great video.
Akika huyu kijana anaimba nyimbo vizuri sana pamoja na mziki wake kama Mzee R Kelly wa USA, Big up !! kijana uko vizuri sana mm ni mwanachama wa mziki wako.
There are songs and then there's the song, the one song that takes you to bed, you carry on a journey, ata cho...you take hihi....you get the idea yani, damn....this is good....big tune, loving it 24/7.
Broo Juxi We Ni Mkali Sana Bonge La Ngoma safiiii sana kaka tulikusubili kwa hamu sana hatimaye umerejea vizuri kabla hatujakaa vizuri tupe kingine kikali dah we mkali
heyee niamini leo hii sitamani mwigine tenaaa kazi zangu mishemishe. .. tarudii nyumbani mapemaa , nacho nipa baby sitoo kaankumize... . na zile raha nazonipaa. . ( wewe) napenda unavyo kata nakunipa taarabiibuu..... (iyeee) mimi mgonjwa we ni doktar unanitibu nkikushika nantizama unona aiibu we tabibu unanipa raaaha x2
On behalf of all coolest Tanzanian teens, Jux ma maan this video was lit!!.... Big up bro, unaweza sana yani jembe...... Hope to see you collaborating with Chibu Simba soon
sidhan kama itatokea.... huwaga wenyewe kwa wenyewe hawapeani sappoti..... kama unabisha ingia kwenye official account diamond ya instagram kama utakuta amesapoti ngoma ya jux na pia same kwa jux....... I hate situation kama iyo 😭😭😭😭
is the only jux video to hit 1m view its really nice ata kama to some level he is underrated.people from kenya are starting to like ur songs but i liked you from day 1 he is really dope
good Hill Godó en el que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se u otra manera
Nyimbo mpendwa adi elf 2024 Nani ame ludia nyimbo yetu pendwa❤
Noma sasa
Mmm
2024 wangap tumeiludia Ii track 2024
MARCH-2021
Wangapi bdo tunaangalia hii ngoma mpka Leo hii weka like
Who's here 2024?
march 14 2024❤
❤
💪
Imgn bado tuko hapa
Vitu ni vulai May 17th 2024 siku Stella wa Freshly Mwamburi aliregea na mjapani wa futi Nne...WIVU Dah😂😂😂😂
Naingia form 5 kila mtu alikua anaimba darasan almost every time😢😢 i miss those moments jaman mwika high school 2016
I'm in 2023 still appreciate this mystery work from bro Juma.Thank you
Thank you 🎉🎉🎉
Thank you 🎉🎉🎉🎉
tisher xana brother,siku zote umekua mwanamzik no 1 kwangu na ujawai kuniangusha.#asantee
2024 tunaangalia Bado from 254
I'm a Kenyan and I really love Jux Juma ❤️❤️❤️
Ni nani mwingine anamkubali huyu jamaa kimistari, Jux enyewe umetisha boss
Okkk..... Lemme say this, our music is moving foward so very fast. This could be like that time when Vanessa, Diamond, Joh ...were disturbing those int'l tv stations and their charts. Now it's Diamond, Vanessa, Ali, Joh, Navykenzo and now Jux... Maaan how more can I be proud. Great melody, great words, great song Juma Jux....and great video.
Mazee huyu msee anaimba ngoma safi sana.kwanza sisikii.wallahi hajulikani Kenya.Mimi nimemjua 6,months ago! njoo ujimarket huku ....
Day 1 Juma fans know how magical this song is, 2023 n we are still here🔥
Akika huyu kijana anaimba nyimbo vizuri sana pamoja na mziki wake kama Mzee R Kelly wa USA, Big up !! kijana uko vizuri sana mm ni mwanachama wa mziki wako.
After engagement with Nigeria bae ❤
There are songs and then there's the song, the one song that takes you to bed, you carry on a journey, ata cho...you take hihi....you get the idea yani, damn....this is good....big tune, loving it 24/7.
Nani yupo 2024 tena❤
DAh Kaz zAngu mixhe mixhe nitarudi nyumbani mapema.....hiii ngoma jux...imekuwa ya kupig asubuh ndo niingie mixhe mixhe
Broo Juxi We Ni Mkali Sana Bonge La Ngoma safiiii sana kaka tulikusubili kwa hamu sana hatimaye umerejea vizuri kabla hatujakaa vizuri tupe kingine kikali dah we mkali
You are my favorite singer in East Africa, I really appreciate your works, bravo man Jux!
Oooh
I do appreciate you too jux
Niamin leo hii sitaman mwingine tena,jux unanifanya nashindwa kula kabisa.
2024 we still watch it 😅
Yaani mm apa nyimbo krbu zote zko nmjaza kwa cm ...nyimbo zenye mafunzo zaidi n zko😍😍😍👍👍🙏
This is da song that made me fall for your music.
2022 and still can't get enough of it.
Your damn good.
Keep the fire burning and all da best.
Dude got an awesome,unique and consistent melody
husije Fanya visa me nna wivu..., penda sana wimbo huu keep it up jux
This song is my favorite since 2020, keep it up bro, you and Nyashinski are my only two favorite in the entire continent, love you so much man.
ahaahahah nyimbo nzuri sana hasa pale na vinanda vya Bob vya'bembeleza dah ivo vinanda vimesikika AFR.B safi sanaaa
#2019
wangapi mpka sasa HV tuna iangalia hii video
☝
datiuce d kama woteeeeeeeeee
datiuce d Mimi hapa
Wengiiii tuu
☝
Tunaotizama wivu kutoka kwa jux 2024 tujuane
Wangap bado tumeshikwa na hii track 2020
❤
Oy
katika ngom yamapenz nakuona wew navinand vya bob vyabembeleez nishagom kwingine kwako nipewe umenitek mazim nimelegeez, duuuu san
Listening to this master piece in 2022💯, and still don't understand how jux isn't the best artist from Swahili national.
Wangapi hata Leo July 2023 Bado hii ni hit sana? Ni kama vile naiskia kwa mara ya kwanza❤
Hongera braza jux
Congratulations from Nairobi,Kenya
Jux my all time favorite musician
Jux, 2023
Achana na mambo ya " mwenzenu mm sujui kutongoza"
ndo kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda unavyokata na kunipa taratibu🔥🔥🔥🔥🔥,I just love this song. Juuuux jamani juux🥰🥰🥰🥰🥰. Leo nimepitia account yako yotee. More love from 254🇰🇪
Still vibing to this track 2024 any fellow Zambian 🇿🇲
Here❤
Bro big up Sana ,I am Burundian but we need more songs nzuli like this one
2024 ,this song is still trending in our area 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My fellow Nigerians where are you, our in-laws has sweetest song ❤
and everything i do for you is for my heart as u know💃💃💃💃 na kila siku Mimi....... ..💃💃 unavyokata na kunipa taratibu.mi na wivuuuuuuu
Unavyokata na kunipa taratibu...... Whoooh! Such a nice song
2021 bado nasikiliza🙏🏽😘wimbo mzuriiiiiiiii
2020 nimeangalia mara 10000..... mkali wangu nasubili na 2021 lazima niendelee kuangalia
2023 and still loving this track
Hi
Niamini Leo hii stamani mwingine tena,kazi zangu mishemishe nitarudi nyumban mapema.
Nani bado anaupenda huu wimbo 2021🔥🔥
Aki where have I been,this song is just killing me right now na ni ya one year a go....Jux jamani mi na wivu.
I can feel his voice deep inside me whenever he sings am seriously addicted to his songs ...though I don’t understand but it’s ohk
heyee niamini leo hii sitamani mwigine tenaaa
kazi zangu mishemishe. ..
tarudii nyumbani mapemaa ,
nacho nipa baby sitoo kaankumize... .
na zile raha nazonipaa. . ( wewe)
napenda unavyo kata nakunipa taarabiibuu..... (iyeee)
mimi mgonjwa we ni doktar unanitibu nkikushika nantizama unona aiibu we tabibu
unanipa raaaha x2
I'm in South Africa still listening to this song 2024
Wangap tumekuja hapa 2020, sweet song nevr expire.
Hii video nimeitazama zaidi ya Mara 10 duuh imetisha sana, Jux ametisha sana angekuwa anapaitikana kitaa ningemzawadia Coke ya Baridi.
hahaha nakuunga mkono aiseh!
mfuate kimara
haha, nitaongezea Fanta.
+Qimos7 ,##
pia mm nitaongezeya sprite na Coca Cola
Haha novida
Jameni Naini anaeza niambia huyu video vixen ni nani? I have seen magnificents today ,,, wueh huyu Dem ni mrembo jameni
I love this guy...his music..and the fact that he knows how to sing Swahili Rnb music..big up jux
Why do u love him, what about the owner they shut the video together
Nishakoma kwengine ...mi mgonjwa..we tabibu.dah.jux hiyo kali
wangapi tumeirudia ii track 2023😂😂
Niko apa❤❤❤❤❤
Tupo
Nipo
😊
Tupo😅
to be honest jux my young brother much respect kwako,haiwezi pita dakika bila kusikiliza
On behalf of all coolest Tanzanian teens, Jux ma maan this video was lit!!.... Big up bro, unaweza sana yani jembe...... Hope to see you collaborating with Chibu Simba soon
sidhan kama itatokea.... huwaga wenyewe kwa wenyewe hawapeani sappoti..... kama unabisha ingia kwenye official account diamond ya instagram kama utakuta amesapoti ngoma ya jux na pia same kwa jux....... I hate situation kama iyo 😭😭😭😭
2021 bado natizama wangapi Tupo kupewa Raha na JUX🔥🔥🔥
is the only jux video to hit 1m view its really nice ata kama to some level he is underrated.people from kenya are starting to like ur songs but i liked you from day 1 he is really dope
True he is so talented
At some level.....jux is a star,who can has underated him
jux utaniuaaa,I love you song,usijefanya visa mi na wivu......beats uwiiiii
from Kenya listening to this song everyday..
I'm mozambican, and I really love Jux
can't get enough of this song! Damn! I find maself play it all day long over and over again!
2024 tunaosikiza hii nyimbo tujuane
Don't get tired of this song,still here in 2022🔥🔥🔥
Nakukubali sana kutoka Comores 🇰🇲❤❤❤❤
I used to be your fan now am an airconditioner......this is 🔥🔥🔥
Huuu wimbo kwangu huwa huishi ladha yake ni tamu kuliko chochote 😘😘
Nice song, from chorus, lyrics, beat, the mix, audio, video, the whole concept... all excellent. Big up bro.
"Napenda unavyokata nakulipa taratibu" Aweeee😂 noma sana💪
Usije fanya visa mi na wivu....😉
Staki nile mbichi wao mbivu.😍😍
Iko poa saana kaka
💍
2024 Jux!!!! 2024 and I’m blasting this in my house coz Mi’na WIVUUUUUU ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
4 years & still rocking...!!!
I live this one too. Who is this Tanzanian R&B singer that I never knew of before. This is another hit song.
I love jux music so soothing and touching( well done jux)
2024 but i feel the same ❤️❤️❤️
Vocals ✔Rhymes ✔Video ✔.... Whole Package ✔👌.. Dope... Love from Kenya
good Hill Godó en el que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se trata de un proyecto para que se u otra manera
This guy is so good
Joyce Wanjiru Matheri nivizur
Mmbo
U said whole package 📦 I think that included the beat and whole instrument koz itakuwa sio haki Kama haungevitaja hivyo 👋
Ngoma kali sana🔥🔥🔥🔥💯
This guy's every song is just amazing..he has 0 bad song
uyu dada yuko wapi jux. mlitendea haki nyimbo hii
Jux is my number one African artist.
his really good, but his underrated I don't why he got good songs.
John Jackson iko poa hiyo
He chose study over music for a bit..which was a miss.otherwise,should be on the same league as 'Simba'.I didn't say better.
Yaaan soong tamu Kama la kihind vile, daah
Napenda unavyokata na kunipa taratibu, Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu,!!!!!
2020 wangapi paka sasa bado tupo nayo hii ngoma
Iyoo
Like hapa kma unaamini jux ndio king 👑 wa ngoma za mapenzi
Kenya is Watching. big fan of Jux.. nice work
yeah 254
hatukosagi😀
kama kawa....nice song there👌
Naona tuko wengi huku..kujaajaa kila mahali
nce
😊 mimi ni kimÿ JP, kutoka drc 🇨🇩
Niko tena APA Adi 2024😂❤😅😊
Wangapi Tupo hapa 2023?
My favorite in Tanzania 🇹🇿
NICE VIDEO BRO NICE MELODY OMG EVERY THING IS NICE IN THIS SONG
2024 Bado nyimbo inatamaba best song...🙈🔥🔥
Where is he from?
Is this Swahili?
I love this song omg!
nonkavw he is from Tanzania, yes It is Swahili and "wivu" means jealous
Our Production from Beautiful country.. Tanzania is thé Best
nonkavw
His a Tanzanian man and educated one
Haaaaaaaa
usije fanya visa mi na wivu na moyo ukaniumiza mi na wivu naogopa watakuteka mi na wivuu, staki nile mbichi wao mbivuuu
2024 still here for this nice song ❤❤❤❤❤❤❤
Wangap tunarudia kuangalia huu wimbo 2024 tujuane ...
2024 hapa
this guy sings!!🌟🎶🖤✨❤️
2020 wangapi tunangalia the African boy team
nice Jux keep it up uko juu sana,, i love the RNB from Bongo so cul,,
keep it up ipo siku utafika
it gud xna jux upo up xna
moses abwao je
poa bro inakuwaje
wangpi munaipenda his nyimbooo 2024 tujuane likee
I'm in love with this Song love for Tanzania 😊👈