MCH.AKERWA MKOA WA SIMIYU TZ KUKABIDHIWA KWA WAGANGA WAJADI,AONYA"UMEKABIDHIWA KWASHETANI TUWAOMBEE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno yenye nguvu ya Mungu aliye hai aishuye milele!

  • @HalenBahati
    @HalenBahati หลายเดือนก่อน +1

    Waachie kwa jina la Yesu Kristo

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq หลายเดือนก่อน +1

    Mmmm ase Usalama wetu ni YESU!

  • @NeemaSulle
    @NeemaSulle หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya MCH KATEKELA iwekwe humu kwa mawasiliano

  • @elizabethawuor5402
    @elizabethawuor5402 หลายเดือนก่อน

    Asifiwe yesu nisaidie maombi Kwa ajili ya mtoto wangu anapata zero yuko sekondari ninafanyakazi ngumu yamjengo ukiomba najua atafungukiwa Mimi nimkenya niliona Kwa TH-cam ukiombea watu na Mimi nilikuwa mgonjwa sana wewe ukasema kilamtu na awe na imani hatakama uko mbali kweli nilibeba Imani ulipo maliza maombi nika pokea uponyaji nikawa mzima u arikiwe sana nimekuwa kiroho Kwa ajili ya kusikia mahubiri yako Niko nawenzangu tuna barikiwa sana mungu azidi kukubariki Nina roho ya uchungu sana nikiona wenzangu wamenishindawale tulio anzanao maisha naumia sababu Niko nyuma sana niombe na Mimi mungu anisaidie nifanye kazi yake na ukweli mtupu

  • @anthonymaina7100
    @anthonymaina7100 หลายเดือนก่อน

    Kutoka Kenya nami nafuatilia Sana...mkoa Wa simiyu TZ MUNGU auokoe

  • @user-28Gerardineakimana
    @user-28Gerardineakimana หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah hallelujah Amen Amen

  • @EdwinMbwilo-fj6bf
    @EdwinMbwilo-fj6bf หลายเดือนก่อน +1

    Hayo yote yataisha kwa walokole kujaa Roho Mt sana tu.

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Yesu amponye dah😊

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur หลายเดือนก่อน

    Shalom!
    Hii Imeenda

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe. Kamanda wa yesu

  • @PaulinaMajengo
    @PaulinaMajengo หลายเดือนก่อน

    Nataman sana huyu mama aliyeharibiwa miguu aje atoe ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu wetu

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf หลายเดือนก่อน

    Amen amen mtumishi wamungu

  • @eunicekileo
    @eunicekileo หลายเดือนก่อน

    Watuache hiyo miungu haikuwasaidia hawakujenga' hawakusoma' hawakula vizuri halafu mnakabidhi watu kwao lli iweje

  • @wemangota8945
    @wemangota8945 หลายเดือนก่อน

    mungu atusaidie

  • @AlbethAlbeth-wh6qd
    @AlbethAlbeth-wh6qd หลายเดือนก่อน

    Amina pasta

  • @SelemanZakalia
    @SelemanZakalia หลายเดือนก่อน +1

    Bendeara chuma mlingot chuma wachane mutumishi

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 หลายเดือนก่อน +1

    Maumivu Sana jamani dah

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 หลายเดือนก่อน +1

    YAANI KACHEMKA KWELI SHETANI AMEPEWA KIBALI

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 หลายเดือนก่อน

    Ivi jamani nampataje huyu mtumishi wa Mungu, tafadhari nisaidieni namba yake

    • @anthonymaina7100
      @anthonymaina7100 หลายเดือนก่อน

      Ingia group yake Ya watasspp

    • @nursechunga4470
      @nursechunga4470 หลายเดือนก่อน

      @@anthonymaina7100 kupitia namba ipi?

  • @ZawadiDaudi-js7wl
    @ZawadiDaudi-js7wl หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh หลายเดือนก่อน

    Wapigwe

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 หลายเดือนก่อน

    NI KWELI MGANGA NI MCHAWI KABISA

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb หลายเดือนก่อน

    Huyo mkuu wa huo mkoa ndiye amepata majanga ya .... na yule mwana chuo!!

    • @tadeymdota8480
      @tadeymdota8480 หลายเดือนก่อน

      Hapana huyu ndiyo kachukua nafasi ya yule, huyu anaitwa Kihongosi

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb หลายเดือนก่อน

      @@tadeymdota8480 ooh! Ahsante kwa kunijulisha! Hata aliyeondoka pia alikua tatizo kwa hiyo scandal iliyomwondoa! Mungu auponye Mkoa wa Simiyu.

  • @E.emillymillyBlessings
    @E.emillymillyBlessings หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ikifika kwa maombi mnakata jamani naomba mwache kwa maombi tuombe pia pamoja tunakombolewa hakika

    • @rosekishinhi8246
      @rosekishinhi8246 หลายเดือนก่อน

      True, hiyo ni muhimu saaanaaaa

    • @E.emillymillyBlessings
      @E.emillymillyBlessings หลายเดือนก่อน

      @@rosekishinhi8246 ndio please promover tunaomba mwajie sehemu ya maombi tunaitaji kukombolewa pia

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 หลายเดือนก่อน

    Baba Babu zako walitibiwa wapi acha ujinga wewe

    • @user-dz3rl1ki6u
      @user-dz3rl1ki6u หลายเดือนก่อน

      Shetani mkubwa hujielewi nyamaza

  • @user-hz8mp5cp7v
    @user-hz8mp5cp7v หลายเดือนก่อน

    Mwambie huyo mch katekela apokee simu yangu, kwani nimemkosea Nini?.