Katika sisi binadamu hapa duniani hakuna mwenye na shukurani hata mmoja kila utakapo fanya kwake halitoshi mpaka siku ya mwisho!! Wewe fanya unavyoweza tu kaka na usingoje shukurani .atakaye kulipa ni Mungu pekee . One love
Kuna vitu viwili tofauti wapo watu wana akiri na hawajasoma na pia wapo waliosoma na hawana akiri Kabisa yani ukimtolea elim aliyonayo anabaki box tupu kwahiyo tanzania tuamini ushauri wa mtu mwenye akiri sio elim
Hikindicho nilicho ambacho nimeamka nikiwaza nimuabidu .mungu alafu nisikize haya mazungumzo ila mlichelewa kupandisha lakini freshi siwalaumu sijuikitu ila nawapongeza zamaradi tv kwahili

Ambaye amesubsribe kwa ajili ya Mwakinyo kaka mimi gather here
Great Off All TIME
CHAMPEZZ
⭐⭐⭐
Nimekusikiza sana mungu akusimamie
Mkali mwakinyo mkali wa Tanzania 🇹🇿 nzima nakuelewa sana mfalume hassani
Inshallah nakuombea wa tanga mwezangu love mwakinyo 🙌🙌🙌🙌💞💞
Kama hauna D mbili uwez kumuelewa mwakinyo amenyooka sana maisha ya mwakinyo ndio maisha yangu
Mwakinyo 🎉🎉🎉
Coloradoking vamos star Alindwe🙌
Jamaa ukimsikiliza utagundua ana uwelewa wa maisha yk
Kweli bro huwezi ukapoteza mda kwa kitu kisicho kua na manufaa kwako ngumi watu wanaumia wasichukulie poa.
Upo sahihi kaka
Bondia la Taifa
🥊
Champezi one time
Champez onetime
Binafsi nakuombea sana sana mwakinyo
Saf sana kaka
Ni mmoja tu tz
❤
Tunataka mtuonyeshe live coz azam wanazingua
Champez
Mwakinyo tunatarajia uyafanye makubwa
Kuna vitu viwili tofauti wapo watu wana akiri na hawajasoma na pia wapo waliosoma na hawana akiri Kabisa yani ukimtolea elim aliyonayo anabaki box tupu kwahiyo tanzania tuamini ushauri wa mtu mwenye akiri sio elim
Mtangazaj anasound kama kikeke bila shaka ni role wake
Ila kwa king majuto hapo tushushe kituo kinacho fuata
Hikindicho nilicho ambacho nimeamka nikiwaza nimuabidu .mungu alafu nisikize haya mazungumzo ila mlichelewa kupandisha lakini freshi siwalaumu sijuikitu ila nawapongeza zamaradi tv kwahili
Sasa wataka ajifananishe na nani sehemu kama makorora mzee?
Kaka nakuku balisana asee bro mungu atubalik tutatimiza ndondo zetu Tanzania kaka una akili sana
Host nimekubal kazi yako unayo maswali ya maana ya kuuliza kwaajil ya kupelek michezo mbele, na siyo maswali ya maish binafs...
Kit nakitaka hicho
Ko mwakinyo anasema yeye maarufu kuliko Mzee Majuko (marehemu) ??
Sikiliza tena vizuri inawezekana ukabahatika kuelewa
Unataka kubisha?
Sasa huyo Majuto anamjua nani duniani?
Mzee umetumia kilev gan rud tena uckilze
Nililia masaa matano😢😂
Ww ni kama niliumia sana
Wewe mtoto wali nazi kweli, acha kujifananisha na king majuto
Acha chuki masikini wewe
😂😂😂😂😂😂😂
Amesema kwa pale makorora watu maarufu ni watu wawili amekosea wap au chuki tu na wewe
Kwan we kinakuuma nn boya ww
Mtangazaji kama sijamsoma
Ana mawhat???
Kama ulokuepo ktk akili yangu 😂😂😂 ila mwenye D2 ndio atakuelewa
Anatumia nguvu nyingi kuonesha anahekima, na akili
Uyu ni kikeke mtup tafta tone yako mtangazaj
😂😂😂😂😂😂
Hoya Sasa wewe bikioo
Champez one time