ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
Ridhiki - Tip Top ConnectionTunda Man
มุมมอง 722K
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips DanDuncan Kips Dan
มุมมอง 2M
อยู่ได้แล้ว - LIPTA feat. Mirrr [OFFICIAL MV]LIPTAofficial
มุมมอง 591K
ONE FIGHT NIGHT 24 Full Fight | CH7HD | 3 ส.ค. 2567terodigital
มุมมอง 352K
อย่าทิ้งหลอดพลาสติกบนชายหาด อาจทำให้หลอดติดในจมูกเต่าได้ #savetheworld #เต่าทะเล #shortsคิดดีทีวี | Kiddee TV
มุมมอง 252K
It's Clash Anime Season! Happy 12th Clashiversary!Clash of Clans
มุมมอง 4.8M
Kassim Mganga Feat. Christian Bella | Subira | Official VideoKassim Mganga
มุมมอง 4M
Tunda Man - True Love (official video)Tunda Man
มุมมอง 2.1M
DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)Diamond Platnumz
มุมมอง 48M
KAYUMBA- MAMA ( OFFICIAL VIDEO)Kayumba
มุมมอง 8M
Rayvanny Ft Misso Misondo - Kitu Kizito (Official Music Video)Rayvanny
มุมมอง 4.8M
Tundaman - Demu sio (Official video)Tunda Man
มุมมอง 533K
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)Isha Mashauzi
มุมมอง 456K
Yamoto Band - Mama Official VideoMkubwa na Wanawe
มุมมอง 8M
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)Dulla Makabila
มุมมอง 7M
"วิว" เผยมองตัวเองเป็นรองทำให้ไร้ความกดดัน ยังไม่มองถึงเหรียญเพราะนี่คือโอลิมปิกStadium TH
มุมมอง 75K
It's Clash Anime Season! Happy 12th Clashiversary!Clash of Clans
มุมมอง 4.8M
Toys that control people #Shots #Love #Kolic #FinneyAnne Crazy Girl
มุมมอง 3.1M
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!Mini Katana
มุมมอง 19M
วัยรุ่น ปรุงเเต่ง | วัยรุ่นวุ่นวาย 💢โจ๋ โซเชียล
มุมมอง 491K
Wale wanaoangalia mwaka 2024 mtanikuta hapa like zenu❤❤❤
Kama mda huuu nipo na angaliq
Anayeangalia hii nyimbo mwaka 2025 gonga like apa
😂😂😂😂😂
DAAH 😂😂😂
😂😂😂😂😂 oya huko uliko tyr 2025
@@MakenziMakenzi-bi6vv mda 2 maana ndy simu yangu Inavosema na saiv ndy 2po mwez wa 5
@@nyimbompyakilasiku eeeeh 🤣🤣🤣 bc cm yako og
Nani ananga hii nyimbo 2023 gonga like twende sawa
2024😂
2024😊🎉😢
2024/03/24
Hii ngoma acha tu nakupenda Sana tujuane 2024
Nimekuja kuitazama hii nyimbo baada tu ya kupata mimba 😅😅😅2024🎉
Yaan kila siku kazima niangali baba kija mbavu ana😂😂
2024 still listening to this big tune
2024 gonga like nyingi tu😂❤❤❤
Wallah Tunda umeimba kwa uhalisia haswaa,kiukweli.wimbo huu ni mzuri sana pongezi kwako
Aliyetizama 2021 like APA ninamama kija wangu ananipeleka puta mwendo wa ngirii😄
Yani leo 2021/2/24 ndo nauelewa huu wimbo
Poole saana
2021/8/17
Nani anatizama 2021 pamoja twende sawa....
Hivi ngoma sijui kwanini haikuhit sana, kiukweli ni bonge moja la wimbo.
2021 ANAETAZAMA HUU WIMBO LIKE HP
Mm nimetizama Leo tr /25/5/2021 nimecheka kweli, Tunda mungu amembariki sauti🔥.
Tundamani Big up nyimbo napenda mbaya imetilia aswa
2023 ngonga likes 🔥🔥🔥🔥🔥
Nilipokuwa na mimba Nlikuwa kisirani hatari 2017. Baba mtoto kauimba sana huu wimbo 😂😂😂
😁😁
Tupooo wengiiii mungu atunusu kwakweli wamama apanaaa uwiiii
Daah 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂daah mnatuzinguag san nyie
Huyu jamaa wa kulia komediani sana❤
Kumbuka Sana mama kijacho wangu 2017 in Dodoma may her soul rest in peace
R.I.P🙏🙏🙏
@@pierrewhite3060 pole aisee😭
Pole braza
Pole brother 😥
mwenyee shatiii laa bluuu mpkaa jashoooo duuuu
😀😀😀😀😀
Huwa na mkumbuka MKE wangu hapa na usumbufu wake. 2022 gonga like goma kuishi.
2020 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawakilisha
Bigap sana tunda napenda mziki huu unasauti nzuri tokea hasubuhi nasikiliza sichoki kusikliza
Nimekuja kusikiliza tena maana mama kijacho wangu ananivuruga hatar daah!🤰🤰🤰
Pole kàka
2022......still nyimbo inaishii🔝🎇
Kuna vinana wawili jmn ngoma wameitendea haki
2021 still on fire....nyimbo zenye ujumbe wa uhalisia zinapatikana na Tundaman pekee
Song kali sana ili 2nda 100 chukua kichupa kinaladha ya tende from oman au asali ya Tz km umeeleewa ichi kichupa mwaga like apa👍
Wimbo wa 2024
Nani aliyeona kiwowo chaaliye vaa shati lablue.
hatar
Kautendea kaz huu wimbo wallah
Unafanya vizuri sana jamaa yangu huwa napenda nyimbo zako zinaleta tabasam
Mwamba unajua sana lakini ulipokuwa shabiki wa simba ndipo ulipoharibu!💚💚
Hamia chama la yanga utajiona mwenye bahati sana
Nipo hapa 2023 najionaa Tu haki nilivyobadilika na hii mimba jamani 😌😌😌😌😌🙌🙌🙌🙌 mtoto wa mama mkwe namhurumiaa
Kaza but
Jamani mimba ifanye utowe jino la mwenzako eti watamani kuona mapengo🤣🤣🤣🤣
Usiombeee ikutokeeee kaka nikisilani sana mimba nyingineeee
Tundaman man l appreciate you and l have all your songs am from kenya
Hii nyimbo aipiti siku bila kuangalia napenda hawa wakakawanavyocheza mweee!
Jamnii usiombe hikuute ii kitu jamnii eeeh mungu wangu tabu nayo pata jamnii
Yani hii ngoma tunda ulitulia sana
Not me watching this knowing very well it's me and my funny cravings 😂😂😂
Mpaka 2020 nakasikilizaga tu Kama nawe mmoja wao gonga like twende sawa
Anyone listen to this beautiful song in 2019?
hii ngoma ni kari bado hinatamba
Daaah Kaka umeimba Kaka napata tabu leo
😂😂😂😂😂😂😂
2021 leo hii tarehe 5 mwezi wa 7, kama unaangalia gonga like
Kuishi tiz.. raha sana nyie tu.. hamjui 'nce song;
Kwel tz raha
Safi sana nilikuwaga sijausikiliza kwa makini Big up
I think African music is the best in the planet, Kiswahili anoints the music. Congratulations to you Tundaman, 14/04/2022
Have u listen hind songs??
@@frankjr2810 yes, but haven't ever been loved Indian music
Nani Nikonae 2023 tunaangalia hii video gonga like hapa😂
kiukweli tundra sijui nyimbo hi uliwaza nn
ninaikubali sana
For who have doubt about..'' Africans musicians are the best in this planet'' Sit and listen!!!
Anyone still listening this song in 2020 😍.
Mziki mziri huishi mr fruit 🤑🤝✌️👍🏿👍🏿👍🏿👏🏾👏🏾👏🏾
2023 tujikumbushe hili goma la kwemda
Tunda unabahati umeowa hiyo sauti mi hoi
Ngoma nzuri sn hii.Tunda uko juu miaka 100,kwangu Mimi ni wimbo bora kwa miaka yote.
hiiiii ni kijacho band haaa nimeipenda sana
Nkukubar tundamn❤sauti2 bala inafaa sana kuimba qaswida
Ivi kama naona mtu unafanana na joti vle more love from +254
Mimi nilijua joti
Namie niljuaga niyeye
2020 anayeitzam nipee like
Hi
Mwenye anaelewa lasima aburudike
Schoki kucheki hi ngoma aisee
Yani nampenda sana tunda man Keep it up my brother ❤❤❤❤❤
Kali sana mkuu
Hivi ndivyo tunavyoingia 2023! Mpo?
Tunda uko vizur sana zaindi ya sana, uko juu mtani wangu
Kumbe kawimbo kananoga ndio nasikiliza 2019🔥🔥🔥🔥
huu wimbo inanikumbusha mbali sana
wimbo
Mkali
gud song naipenda kuingalia kila mara siishiwi hamu kazi nzuri xana
Weweeee da.....! Inanikumbusha mbali mnoooo 2018 /2020
2023 here🎉🎉
Wallah shemeji angu saizi anapata shida mdgo wangu anavyopelekeshaaa wallah mimba shikamoooo sina hamuuuu
Malyk kibao hapa saii,huyu jamaa anaimba uhalisia kabisa,,c hizo nyimbo zenu zisizoeleweka,,Kila wimbo,KAJALA kajalakajala
Kazi nzur. Tena mambo ya zilipendwa
Matrida Haule ipo gd
Safi sana tunda na kukubali gonga mnamo uma
❤️❤️whose listening this song in 2021 listening it all the way from Australia 🇦🇺 ❤️❤️
Wimbo mtam sana nime utafuta sana mpka kichwa kiliwaka moto
Nabi Tito made me come back here
Ngoma saf mzee
Aliyeitizama hii nyimbo 2023 tujuane hapa☝️☝️☝️
2020 LIKE, PITA KWA ACCAOUNT YANGU PIA, BOFYA KWA JINA LANGU HAPO
Nakukubali sana mwamba😅😅😅
2023...still killing it
Ngoma Kali sana hii nimeisikiliza mara 10000sijaichoka daa 2011 Hadi Leo 2022 ipo Moto hongera tundra man capten Simba mwezangu huyo
Nakukubali mpemba
its 2022 and naangalia everytime I open youtube
Gosto muito dessa musica com esse humorista 😀😀 tudo doce 🍬🍬 Tunda Man
Nyoa mchezo shat la blue hahahaaaaa
2021 still listening to this song Tunda Ngoma kari Sana one love from Australia 🙌
27/1/2024 still here
.nakukubali kaka good yako mana hii nyimbo mmejuwa kucheza asa uyo mwenye shati ya buru
Hahahahahaha. Mama vijacho mnatupa Shida sana wanaume. Hahahahaha
2021 likee hapaaaa
Nimefungua mwaka na hilii goma
Hii ngoma n poa sana watu wasome kitu
2023 tuko hapa
Hii sauti niyakipekee kabisa
Napenda sana hii
Ni noma sanaaaaa
Noma sana
🎉🎉kali snaaa
Best song ever
Tunda fundi
Kwel mma kija noma
Maisha magumu kweli.😢🇰🇪