Ridhiki - Tip Top Connection

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 171

  • @evancenchimbinapokea8839
    @evancenchimbinapokea8839 2 ปีที่แล้ว +19

    Tiptop connection walikuwa wanatupa ngoma kali mpaka leo ngoma imesimama

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 4 ปีที่แล้ว +47

    Leo hii mzee hatupo nae Allah atujaalie mwisho mwema

  • @JonasElisha
    @JonasElisha 11 หลายเดือนก่อน +31

    Tuliopo 2024 hapa..Tujuane.

  • @yusufurajabuomari647
    @yusufurajabuomari647 3 ปีที่แล้ว +31

    Japo ni 2021 Bado itabaki kua ngoma kali kwangu. Rest in peace mzee majuto.

  • @albadawiamour8509
    @albadawiamour8509 ปีที่แล้ว +10

    2023 sasa siku zimekatika sana lkn ngoma itaendelea kuish RIP king majuto

  • @assadatykhalledy4056
    @assadatykhalledy4056 4 ปีที่แล้ว +44

    Duuh dunia ina maliza wa2 mungu ailaze roho y mzee majuto salam n ampe kauli thabit ameen

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akupumnzishe kwa aman mzee majuto

  • @aizakhabib6373
    @aizakhabib6373 3 ปีที่แล้ว +16

    Wanawake sawa na bofu utaliyona zuri sana lakini ndani yake kuna hewa tu .Ndo wanawake utamuwona mrembo kumbe atakuetkia kila mapozi kumbe ni tapeli mimi kwenye hi dunia wanawake wataniyona tu washenzi wakubwa tena wote mijanakike loo mnashefuwa roho.👿👿👿👿👿👎🏿👎🏿👎🏿👎🏿👎🏿

    • @mashamasha2854
      @mashamasha2854 2 ปีที่แล้ว

      ᴜsɪᴍᴀʟɪᴢᴇ ᴍᴀɴᴇɴᴏ ᴜᴍᴇᴢᴀʟɪᴡᴀ ɴᴀ ᴍᴡᴀɴᴀᴍᴋᴇ ɴᴀ ʜᴀᴘᴏ ᴜʟɪᴘᴏ ᴜᴍᴇᴏᴀ ɴᴀ ᴋᴍ ʜᴜᴊᴀᴏᴀ ᴜᴋɪᴡᴀ ʀɪᴊᴀʟ ᴡᴀ ᴋᴡᴇʟ ʟᴀᴢɪᴍᴀ ᴜᴏᴇ ᴀᴜ ᴜᴛᴀɪsʜɪ ɴᴀ ᴡᴀɴᴀᴜᴍᴇ ᴡᴇɴᴢɪᴏ😠😠

  • @dullahmponda3421
    @dullahmponda3421 9 หลายเดือนก่อน

    mamb gan haya ya kukumbusha mbali jaman😂😂😂😂😂mchikichin kwa haiden that time 2010😢😢

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 4 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo do hizi hakuna matus wala aibu

    • @EvanceMalley
      @EvanceMalley 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kwely

    • @Musahamisi-oj5lj
      @Musahamisi-oj5lj 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@EvanceMalleyDA x HV matus tu

  • @maporiwall5330
    @maporiwall5330 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukipata buku usidharau mia ndio mwanzo juhudi ongeza

  • @kiumbemussa9231
    @kiumbemussa9231 4 ปีที่แล้ว +11

    nakumbuka nipo banda la vidio kwamala yakwanza naisikia hlo goma duuuuu yan nakumbuka mbar sana

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 3 ปีที่แล้ว +4

    Uko wapi tunda man..mbona kimya 2021..

  • @DaudiMasai
    @DaudiMasai 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo za zamani ni nzuri sana

  • @JoyceSengo
    @JoyceSengo 14 วันที่ผ่านมา

    Nimekumbuka bibi yangu alinipa kanga ya dunia si mbaya wabaya walimwengu nimezimiss zile siku wallah 😢😢

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 2 ปีที่แล้ว +1

    This gives me hope to hustle because nikikosa leo Mungu yupo nitapata kesho

  • @mariethaswedy4296
    @mariethaswedy4296 3 ปีที่แล้ว +5

    Udongo unakula jamani

  • @FrankjumaNdakama-g1c
    @FrankjumaNdakama-g1c 11 หลายเดือนก่อน

    Tundra una sauti mwamba 🌷🎉♥️💐💯❣️🌹

  • @officialdon1922
    @officialdon1922 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ili song uwaga linanikumbusha mbali nilikuwa nawanangu wafaida NURU , SONGRO’GADAFF tulikuwa tunajipa moyo kutafuta kwajasho jah bless them

    • @Kimware-kb1yb
      @Kimware-kb1yb 4 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢pole brooh kweli inauma xana ila ndo ivyo mungu alivyo panga

    • @officialdon1922
      @officialdon1922 4 หลายเดือนก่อน

      @@Kimware-kb1yb Asante brother

  • @amlimuhusini4890
    @amlimuhusini4890 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ailazeloho yake mahali pema peponi

  • @mustafamgonja8444
    @mustafamgonja8444 ปีที่แล้ว +1

    Naangalia hii ngoma 2023

  • @aseliboaz
    @aseliboaz 3 ปีที่แล้ว +5

    dunia sio mbaya ila wabaya walimwengu, kweli kabisa

  • @Josephodungo2
    @Josephodungo2 2 หลายเดือนก่อน +1

    This one will never get old,2024 but still hitting 🔥🔥🔥👊💥

  • @musaeddie7878
    @musaeddie7878 3 หลายเดือนก่อน

    Ile ngoma ya tiptop ustaz Juma namusoma yaitwaje

  • @dicksonmunga5882
    @dicksonmunga5882 3 ปีที่แล้ว +30

    Kusema ukweli huu wimbo utaishi milele

  • @samsonmweneke6309
    @samsonmweneke6309 3 ปีที่แล้ว +12

    Good song I love it really I'm from Dr Congo but I enjoyed this song too much thanks for the singers

  • @kopite_fever
    @kopite_fever ปีที่แล้ว +1

    2023🎉imani potofu eti umekosa uvunje chungu😊

  • @munaissa2529
    @munaissa2529 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umenigusa Sana huu wimbo kwa ujumbe wake

    • @David-pn9xi
      @David-pn9xi 8 หลายเดือนก่อน

      Nampenda sana Mzee majeto mungu ni mwema kwala jambo

  • @husnarajabu4343
    @husnarajabu4343 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song dunia sio mbaya ila wabaya walimwengu

  • @ibrahimufande
    @ibrahimufande 2 ปีที่แล้ว +10

    R. I. P bado nyimbo nasikiliza nzuri 2022

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 ปีที่แล้ว

    Aliyeaangalia hii ngoma 2023 agonge like kuonyesha tumemsi king majuto

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +1

    Nmekja kmchek mzee mjuto woohf big up Sana 💪

  • @LucasMbimba
    @LucasMbimba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii beat nzur sana imetumika kwenye wimbo gan please

  • @erickmpangala1814
    @erickmpangala1814 2 ปีที่แล้ว

    Tunda ulipiga kaz kubwa sana hapooo...Hongera Mwamba wangu

  • @MohamedAlly-o8j
    @MohamedAlly-o8j 2 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka mbal sana kwa hii ngoma

  • @NiaHamisi
    @NiaHamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera Tundaman Kwa Ino Ngoma Ni True leave

  • @fredythomas1848
    @fredythomas1848 4 หลายเดือนก่อน

    R.I.P King majuto 2024 tunakukumbuka sana

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 10 หลายเดือนก่อน

    Daa wa 2000 dujuane vibe zetu hzi

  • @GodwinMtitu-io9ub
    @GodwinMtitu-io9ub ปีที่แล้ว

    Listen2023...Ngoma kali ujumbe🔥

  • @labankarani6973
    @labankarani6973 2 วันที่ผ่านมา

    Mzee majuto pumzika Salama baba

  • @edwardlucas8912
    @edwardlucas8912 4 ปีที่แล้ว +7

    Hizi ndio nyimbo

  • @TwalibuHalidi
    @TwalibuHalidi 2 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka mbali sana ❤❤❤

  • @stanleyshedrack2386
    @stanleyshedrack2386 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema la ukweli King majuto hapa ulizingua kwa kwelii😂😂😂

  • @Lilcfanstv9
    @Lilcfanstv9 3 ปีที่แล้ว +5

    Isaicas best song 2021 gonga like hapa

  • @jobkofficial1591
    @jobkofficial1591 2 ปีที่แล้ว +7

    Bonge la chorus! When bongo flavor was bongo flavor itself!

  • @AlfaKilipamwambo-rc5mv
    @AlfaKilipamwambo-rc5mv 3 หลายเดือนก่อน

    Ww ndio msanii rijali wengine waliobaki p Diddy kapita shwaaaa

  • @saviomgaya5381
    @saviomgaya5381 4 ปีที่แล้ว +4

    Dah nimeona mpama bas la super feo jaman

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 ปีที่แล้ว +1

    2022 hii ngoma itaish mpaka kesho ina ujumbe ndani yake 🙌🇶🇦🇹🇿

  • @uswegemwasanjala1465
    @uswegemwasanjala1465 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tundaaa unajua br

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 ปีที่แล้ว +10

    Tunda man good singer

  • @jumajuma6704
    @jumajuma6704 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice song Itaishi milele , rip king majuto

  • @mudiboy255
    @mudiboy255 2 ปีที่แล้ว +1

    Zaman sana maisha bwana sometimes natamani ata ijirudishe nyuma tu

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 2 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli Kifo ni kibaya 😢

  • @derckmaseben1467
    @derckmaseben1467 ปีที่แล้ว

    sana tu 2023 hiyo

  • @MwinyiBabu-ft1bk
    @MwinyiBabu-ft1bk 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo za zamani ikizisikiliza kwa makini utagundus kitu

  • @Massok_tz
    @Massok_tz 2 หลายเดือนก่อน

    2024 nipo hapa

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 4 ปีที่แล้ว +11

    Nakumbuka ilivyo vunja mitaani kwetu 🙏🙏🙏

  • @yusuphraphael8690
    @yusuphraphael8690 3 ปีที่แล้ว +4

    2021 bado ninaiwatch

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 2 ปีที่แล้ว +1

    One of my favorite song of tip top🙏🙏🙏 m’barikiwe sana popote mlipo

  • @babyhayra5593
    @babyhayra5593 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe unaoishi milele pumzika kwa AMANI Mzee majuto 2022

  • @hamischichi2799
    @hamischichi2799 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa aliyeimba verse ya kwanza anaitwa Nani❓

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 ปีที่แล้ว

      Anaitwa Said, na hii verse yake ndio imebeba ujumbe nzima wa hii nyimbo

    • @babizzo_
      @babizzo_ 2 ปีที่แล้ว

      Sungura maujanja

  • @magerafael4890
    @magerafael4890 3 ปีที่แล้ว +2

    R.i.p mzee mjuto

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah nice song love majuto

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo aloimba verse ya pili kipaji kikubwa sana sjui amepotelea wap

  • @wancenumber5855
    @wancenumber5855 2 ปีที่แล้ว +1

    Sana tunda man

  • @futuredady9697
    @futuredady9697 ปีที่แล้ว

    2012 nilikua silali bila kuiskiza.. 2023 April naisikia tena

  • @MaserasLove
    @MaserasLove 5 หลายเดือนก่อน +1

    2024 LAMU KENYA🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @BARUANIKIBANGULA-jt3vs
    @BARUANIKIBANGULA-jt3vs 2 หลายเดือนก่อน

    nipo marekani ila ihi ndo yetu

  • @moha2five463
    @moha2five463 3 ปีที่แล้ว +10

    my favorite songs

  • @IssamgelwaJacobo
    @IssamgelwaJacobo 6 หลายเดือนก่อน

    Niatary ii ngoma babu kubwa

  • @blessing1061
    @blessing1061 8 หลายเดือนก่อน

    🎉❤2024 kama miaka haiendi ... Upo moyoni

  • @kabweterezia4541
    @kabweterezia4541 3 ปีที่แล้ว +10

    R.i.p mon star king majuto

  • @latwibujuma
    @latwibujuma 10 หลายเดือนก่อน

    Daah mzee majuto innalillah wainna ilayhi raj' un 😢😢😢

  • @officialchalube6704
    @officialchalube6704 ปีที่แล้ว

    till 2023 bado hajafubaa 🥰🥰

  • @KhalifaMwinyi
    @KhalifaMwinyi 3 หลายเดือนก่อน

    Rip mzee wangu😢😢

  • @ramadhansembuche3457
    @ramadhansembuche3457 หลายเดือนก่อน

    Kipindi cha strabag wanajenga barabara ya mwendo kasi mjini kimara

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭mzee uliupiga mwingi sana

  • @ZakiaShelary44
    @ZakiaShelary44 หลายเดือนก่อน

    Il ulikua na ngom nzuli

  • @AngelaKibius
    @AngelaKibius 10 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuriii sanaa

  • @DayanaMoshi-bi1wx
    @DayanaMoshi-bi1wx 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daah aisee rip.rich

  • @victormikidadi2965
    @victormikidadi2965 ปีที่แล้ว

    Dunia sio mbaya daaa!!

  • @KiddyKiddy-r3p
    @KiddyKiddy-r3p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bado niko apo 2024

  • @nickyczarsy5183
    @nickyczarsy5183 10 หลายเดือนก่อน

    Rest easy mzee majuto

  • @bashirukanju7207
    @bashirukanju7207 3 ปีที่แล้ว +4

    kitambo dingi

  • @swabrinaidassy865
    @swabrinaidassy865 ปีที่แล้ว +2

    20/02/2023❤❤❤❤❤

  • @cdemohd8687
    @cdemohd8687 6 หลายเดือนก่อน

    Gone are the days

  • @kazungutonny6626
    @kazungutonny6626 2 ปีที่แล้ว +1

    RIP Mzee Majuto ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Benedictolukanyima-f1i
    @Benedictolukanyima-f1i 6 หลายเดือนก่อน

    June 2024

  • @NikolousJulious
    @NikolousJulious 6 หลายเดือนก่อน

    Umenigusa sana uwu wimbo

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 ปีที่แล้ว +19

    R,i,p King Majuto❇️

  • @fortunatusmushi8995
    @fortunatusmushi8995 3 ปีที่แล้ว +3

    2021

  • @official_jmo749
    @official_jmo749 2 ปีที่แล้ว +4

    Still i proud this song but rest in peace king

  • @JamesMassawe-m3o
    @JamesMassawe-m3o 8 หลายเดือนก่อน +1

    💥2024 like pliz tujuane

  • @MohamedANawab
    @MohamedANawab 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana

  • @SanuniMajid-sc4ff
    @SanuniMajid-sc4ff 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ rest in peace majuto😢😢

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 3 ปีที่แล้ว +3

    2021,,,

  • @LameckNdunguru
    @LameckNdunguru 4 หลายเดือนก่อน

    Sanaa untouchable pro

  • @SHABIKI_PENDWA
    @SHABIKI_PENDWA 3 หลายเดือนก่อน

    Tunao mkubali dulla makabila tujuane kwa like❤

  • @erickmpangala1814
    @erickmpangala1814 2 ปีที่แล้ว +1

    I still likes this song in my life

  • @gituritisam6426
    @gituritisam6426 2 ปีที่แล้ว

    Lala salama mfalme majuto😭