THE CLASSIC WITH JAY MOE PART2 EP 2 ; KUGOMBANA NA MAJANI/STRESS ZA 'MAWAZO YA JAY MOE'/KIMYA KIMYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • Episode ya sehemu ya pili ya The classic na Jay Mo amezungumiza mambo mengine mengi ya ziada kama namna walivyofanya kazi Bongo rec/ubunifu wa Dully Sykes/alivyotofautiana na Majani P Funk namna alivyorudi Bongo rec na mengine mengi

ความคิดเห็น • 39

  • @user-rn2ej4fn6o
    @user-rn2ej4fn6o 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kipindi bora kuliko vyote tanzania tunapenda sana ngoma za zamani kuliko takataka za sasa hivi

  • @ndesafanamfala5800
    @ndesafanamfala5800 2 หลายเดือนก่อน +6

    Me Nakubali kwann Wanakwita Mawazo Umezaliwa ktk Tarehe na Mwezi wa Uhuru wa bara la Afrika na Ww ni Mwanaharaki Nuksi kama Moja ya mistari Yako Upo Balance Kush Man kuanzia Skonga unafahamu benefits zake na Ume capture Una Nyota ya Mapacha Unajua kama Unajua aikupi tabu ww ni third person... Mbakiaji

  • @zacharialughano3541
    @zacharialughano3541 2 หลายเดือนก่อน +3

    Imenibidi ni stop nikamsikize The root dont say nothin aisee wimbo naufaham ila sikujua kama ni the roots daaa kuvi 🎉🎉🎉

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah Jay Moe umeongea Madini mpaka yanamwagikaaaaa
    Blessings bro 🙌🏿

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nasema Jay Mo huu mzima aje kwenye The Classic

  • @westcijosh
    @westcijosh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Maisha ya boarding created strong men

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hiki kipindi kimekuwa kipindi changu bora sana

  • @HamadRajabu
    @HamadRajabu หลายเดือนก่อน

    The classic ya jay mo aiwezi kukamilika bila kumleta tony babaloo bro iri story iwe nzuri bwanaa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jaymo is intelligent

  • @hamzaminja5448
    @hamzaminja5448 2 หลายเดือนก่อน +4

    kaka uwe unagusa ngoma ata sekund 15 kun mt mwingn ngoma haijui jina ila akiskia tuu inaanza ankumbka mahal flan

  • @Eustacengweshemi
    @Eustacengweshemi หลายเดือนก่อน

    Utawasahau vipi watu hawa kwenye kuukuza music wa bongo flavour?congrats sana kizazi hicho

  • @calivaligoligota1943
    @calivaligoligota1943 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pindi liko hot 🔥ila hapo tunamtaka babuu wa kitaa coz nae anatakiwa awe hapo ili tupate stor za zaman🔥🔥🔥 jabiri tunakubal unachokifanya mzee wetu👈🔥

  • @STEPHANOLUCAS
    @STEPHANOLUCAS หลายเดือนก่อน

    Namkubali xana bro Jay Mo, kipindi maisha ya boarding ina kick nilikuwa boarding moja ambayo life yake ilireflect na wimbo wa Jay Mo, that school was Geita Secondary or Geseco wayback 2002.

  • @emanuelalmasnchembi978
    @emanuelalmasnchembi978 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jay moe arudi mzee

  • @JamesPaulo-oz7tb
    @JamesPaulo-oz7tb 2 หลายเดือนก่อน +1

    We need Jay Moe he deserves this

  • @Nuru-zr2yv
    @Nuru-zr2yv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mo freva jay to the mo legendary salute

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mo arudi tuuu next weak uyooooo😂😂😂

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwangu mm binafsi, Bro Jay mo anakaa ktk ile list ya top 10 ya waandishi bora wa muda wt ktk hip hop ya tz. Anastahili huyu jamaa palipo na ukwleli tuseme jamani. Kizazi hiki chakuanzia miaka ya mwanzoni mwa2000 ni wakali mnoo ktk kuandika.

  • @Mussapeter-ct1fu
    @Mussapeter-ct1fu หลายเดือนก่อน

    respect broo

  • @FredyFrank-tf6jy
    @FredyFrank-tf6jy หลายเดือนก่อน

    kuvi moe anahitaji episode kama 2 zimebaki tumalizane nae nimesoma coments weng bado wanmhitaj

  • @user-rn2ej4fn6o
    @user-rn2ej4fn6o 2 หลายเดือนก่อน

    We jamaa ni moja unajua sana kutafuta hawa watu waliofanya makubwa kwenye mziki kwa kuadika hits ambazo mpk leo watoto wetu wanasikia na bado ni hits sasa hivi miziki ya amapiano kama yeboyebo tumetoka kwenye uhalisia. But nafurahi sana kuona waliopitia Bongo record kwa p funk hao ni watu wakubwa sana

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta 2 หลายเดือนก่อน

    Moe unaweza piga nae hata Episode mia na hachoshi, jamaa yoko deep sana halafu anaijua sanaa ya kujielezea. Arudi tena aseee

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 2 หลายเดือนก่อน

    Kuvi nimekubali umetokelezea kinyama🚀🐐

  • @SalimSalim-bv3wb
    @SalimSalim-bv3wb 2 หลายเดือนก่อน

    Endeleeni interview haichoshi

  • @trendingfootshorts
    @trendingfootshorts 2 หลายเดือนก่อน

    Super Men

  • @JamesPaulo-oz7tb
    @JamesPaulo-oz7tb 2 หลายเดือนก่อน

    Nephew ulikimbiaje Uboizin

  • @robertmwita4327
    @robertmwita4327 2 หลายเดือนก่อน

    Next week

  • @barakamwansele5040
    @barakamwansele5040 2 หลายเดือนก่อน

    Arudi tena

  • @user-sb3vt1yh9s
    @user-sb3vt1yh9s 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

    • @clementramadhan
      @clementramadhan 2 หลายเดือนก่อน

      Jay to the moooo its great arts big up so he know to describe the questions ❤❤

  • @amanilyimo5907
    @amanilyimo5907 2 หลายเดือนก่อน

    Rudi tena Mo.

  • @morganrichard4384
    @morganrichard4384 2 หลายเดือนก่อน

    Rudi Tena

  • @eliudeliakayela9598
    @eliudeliakayela9598 2 หลายเดือนก่อน

    Rudi tena

  • @MohamedAhmed-yi7qz
    @MohamedAhmed-yi7qz 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnakata mziki kwa interview maana ya kuweka youtube is useless

    • @user-kk7re2jl8y
      @user-kk7re2jl8y 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda wasafi kasikize akina juma lokole

    • @jabirkuvichaka5391
      @jabirkuvichaka5391 2 หลายเดือนก่อน +4

      Nyimbo zina copyrights hizo huwez kuziacha kwa kukisaidia tu kama unataka kuusikia pitia account za wasanii hao ukazisikilize

    • @jabirkuvichaka5391
      @jabirkuvichaka5391 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-kk7re2jl8y😂

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 2 หลายเดือนก่อน

      Copyright